umeme

  1. JamiiForums Tanzania CHADEMA tuishukuru CCM kwa kusambaza umeme vijini

    Ni adui muombee njaa lakini sio kila wakati. Pia mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Tunatakiwa kuwashukuru Ccm kwa kusambaza umeme vijini. Huko nyuma mafuta ya taa yalikuwa yanamwakigia kwenye mboga na ugali usiku wakati akina mama wakitumia koroboi kupika,leo ni umeme tu wa ReA Tuwapongeze...
  2. JamiiForums Tanzania Nchi imeanza kurudi nyuma kwa kasi ya ajabu, bila rushwa TANESCO hawafungi umeme

    Nimekuwa nikiripoti Mara nyingi jinsi nchi yetu inavyokwenda kwa sasa tumeanza kurudi nyuma , Huduma zimekuwa mbovu ukiende kwenye ofisi kupata huduma customer care mbaya wahudumu wanakujibu ovyo. Mfano Mzuri ni shirika letu la Tanesco Maeneo Mengi watu wanalalamika, likiwemo eneo letu...
  3. JamiiForums Tanzania TANESCO haina tena nguzo za kusambaza umeme majumbani

    Katika Hali isiyo ya kawaida ,Kwa mara ya kwanza tangu awamu ya tano,imetokea Hali isiyo ya kawaida ya kukosekana Kwa nguzo za kuunganisha wateja umeme Tanzania. Hakuna wilaya hata moja nchini insyotoa huduma ya kuwapatia wateja nguzo ili wananchi waweze kupata huduma ya umeme. Kila ukiuliza...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Fundi umeme wa magari na diagnosis

    Habari zenu wakubwa' Naitwa Kelvin mwasanjobe Nina miaka27 ' Mimi ni fundi umeme wa magari na diagnosis' Nina uzoefu wa miaka9 ' kimtaji kiukweli sijafanikiwa kufungua ofisi yangu'hivo nilikuwa naomba mwenye connection ya kazi kwenye workshop au garage yoyote aniunganishe 0629177983
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu tembelea wananchi wako wa Mji wa Kisesa wanateseka na Changamoto ya Umeme na Maji

    Mji wa Kisesa katika jiji la Mwanza ni Mji mkubwa unakua kwa kasi ambao kipindi cha Marehemu Magufuri aliahidi kuwa halmashauri ya Mji wa Mwanza ,wananchi wake wanalia kwa kutofungiwa umeme na shirika la Tanesco ,huku likionesha hilo shirika katika kituo chake cha Nyakato kuzidiwa nakuwa na...
  6. JamiiForums Tanzania Ukiitegemea biashara yako mpya ikulishe, ikulipie kodi ya nyumba na kadhalika, jiandae kuanguka

    Habari wakuu, Ukosefu wa ajira serikalini, taasisi mbali mbali, viwandani n.k imekuwa ndio chanzo cha vijana wengi mpaka wazee kukimbilia kwenye biashara, Wengi tunapoanza biashara huwa hatuna uelewa wa kutosha, maarifa tunayoyapata kwa kuulizia ulizia kwa watu, mtandaoni au kwa ndugu na...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Kalemani usikubali Mgao wa Umeme Dar

    Baadhi yetu tunalijua hili shirika vizuri sana from experience, Tangu juzi lilipotokea tatizo la kuungua substation Morogoro maeneo mengi ya jiji la Dar yana changamoto ya umeme kukatwa kwa muda mrefu (zaidi ya masaa 7). TANESCO ni wasumbufu mno. Ni shirika linalopaswa kuendeshwa kwa mkono wa...
  8. JamiiForums Tanzania Kukatika kwa Umeme ni Dar es Salaam yote au baadhi ya maeneo tu?

    Leo umeme umekatika majira ya saa nne hivi asubuhi, mi niko Kariakoo Jiji la Ilala mkoa wa Dar es Salaam, kwa style ulivyokatika umeme sikuona kama kuna tumaini la umeme huu kurejea mapema. Nikaamua kuuliza maeneo mengine kama Tabata nk nako hakuna Umeme pia. Nambie we uko wapi? Kwako kuna umeme?
  9. U

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Moto wateketeza kituo kikubwa cha kupozea umeme cha TANESCO

    Moto mkubwa umeunguza na kuteketeza kituo kikubwa kabisa chenye mitambo maalumu ya kupokea, kupoza na kusambaza Umeme kuelekea Mikoa ya Morogoro, Dar es salaam, Tanga na Kilimanjaro Moto huo bado haujazimika hadi sasa na juhudi za kuuzima zinaendelea Hadi sasa chanzo cha moto huo hakijulikani...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri wa nishati aitangaze orodha ya Watanzania ambao Hadi Sasa wameshalipia Tsh 27,000 za kufungiwa umeme Mjini. Tanesco kuna mgomo baridi

    Kuna Kila dalili kuwa kuna mgomo tanesco kuhusiana na kufungiwa umeme maeneo ya mjini Kwa Tsh 27,000. Kila ukienda tanesco popote nchini wanakupatia fomu Bure kazi inaanzia wapi. 1. Hakuna surveyor 2. Ukifanyiwa surveyor hawakupstii control number ya kulipia 3. Ulifanikiwa kulipia unaambiwa...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Kuanzisha Duka la vifaa vya umeme na Plumbing

    Habari za Mchana wadau. Msaada wenu, nina milioni15 niko Dar es salaam nataka kuanzisha duka la kuuza vifaa vya umeme pamoja na plumbing naomba kujua vifaa gani vinatoka sana pamoja na changamoto za hii biashara.
  12. JamiiForums Tanzania Bei Kandamizi: Waziri Kalemani azuia gharama za umeme za Sh. 2,000 hadi 3,700 badala ya Sh.100 kwa unit moja

    Waziri wa Nishati, Dkt. Kalemani amefanya ziara kisiwa cha Maisome Mwanza na kuagiza kampuni binafsi inayosambaza Umeme katika kisiwa hicho kutoza bei elekezi ya Serikali ya Umeme Vijijini ya Tsh 100 kwa unit moja badala ya Tsh 2,000/- mpaka 3,700/- iliyokuwa ikitozwa. My Take: Inaonekana kama...
  13. JamiiForums Tanzania Fozhou China, Mkutano mkuu wa 44 wa UNESCO July 16-31: Utetetezi wetu Watanzania juu ya ujenzi wa bwawa la kufua umeme la Mwalimu Nyerere

    Ni UNESCO haohao walioanza kujiridhisha kipindi cha utawala wa hayati baba wa taifa mwalimu JKN kuwa ujenzi wa bwawa la kufua umeme kamwe HALITOATHIRI mazingira ya viumbe na uoto wa asili katika pori tengefu la SELOUS!!! HAWAKUISHIA HAPO Miaka kadhaa baadae chini ya utawala wa kipenzi chetu...
  14. JamiiForums Tanzania SoC01 Pendekezo: Mfumo mbadala wa Manunuzi ya Umeme

    Umeme ni hitaji muhimu katika maendeleo ya kila taifa na mtu binafsi,kwa kuwa umeme huzalishwa kwa gharama kubwa na serikali hivyo serikali haina budi kuuza umeme kwa watumiaji kupitia shirika lake la umeme TANESCO.Kwa sasa Tanesco kwa asilimia kubwa ya wateja wake wananunua umeme kupitia...
  15. JamiiForums Tanzania Nimechagua viongozi walewale walioahidi kurekebisha matatizo yaleyale

    Nilipokua mdogo naanza kupata ufahamu na kujitambua nilipitia haya: Umeme usio wa uhakika Maji yasio ya uhakika Elimu ya kusuasua Huduma bora ya afya kwa matabaka Miundombinu ya wasiwasi Ahadi za uongo kwa viongozi nk. SASA NINA MIAKA ZAIDI YA 30 Nimepata nafasi ya kupiga kura Kutathmini...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania UN SDG-7: Hatua Za Usambazaji Umeme kwa Wananchi Afrika, Je Tanzania mmefikia Wapi?

    Kuna yale malengo ya nchi ambayo nchi zote zinazoendelea (Developing Countries) zilijiekea za kuweka muda mbao kila nchi inafaa iwe imehitimu, Kitambo malengo haya yalikua yanaitwa UN -Millenium Development Goals (MDGs) ambapo nchi zote zilikua zinafaa zihitimu kabla ya mwaka wa 2,000.. Wengi...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi gari la umeme haliwezi kutumia umeme wa jua?

    Eti wakuu. Huku kwenye jua la kutosha, gari ya umeme haiwezi kutumia umeme wa jua? Inatembea na panels za solar juu.
  18. JamiiForums Tanzania Sababu ya Nyumba kuungua kwa tatizo la umeme na utatuzi wake

    SABABU YA NYUMBA KUUNGUA KWA TATIZO LA UMEME NA UTATUZI WAKE: Napenda kuwakaribisha katika majadiliano ya tatizo hili ambalo limekuwa likisababisha majanga makubwa sana hapa kwetu Tanzania kutokana na hasa kuongezeka kwa matumizi ya umeme. Juu sheria ya umeme ya kimataifa IEE regulation. Pia...
  19. JamiiForums Tanzania Marais Wastaafu, Mawaziri Wakuu wastaafu watembelea Bwawa la Nyerere la mto Rufiji

    Kwa kutambua umuhimu wa mradi wa kufua umeme wa Mto rufiji Marais wastaafu na mawaziri wakuu wastaafu wametembelea bwawa la kuzalisha umeme la NYERERE Hii ni hatua kubwa za kuenzi legacy ya JPM Ndio maana tunasema JPM rest in power === Viongozi wakuu wastaafu Rais Ali Hassan Mwinyi na Jakaya...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Si busara kubeza mradi wa Stiegler’s Gorge, wakati wakubwa wanazindua mabwawa makubwa zaidi ya kuzalisha umeme

    Siku chache kabla ya maadhimisho ya miaka 100 ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), China ilizindua kituo kikubwa cha kuzalisha umeme kwa nishati ya maji kilichoko Baihetan Kusini Magharibi mwa China. Kituo hicho ni moja ya miradi mikubwa ya umeme sio nchini China tu, bali pia duniani. Mradi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…