umeme

  1. JamiiForums Tanzania Rasmi Ethiopia waanza kufua umeme kutoka Mto Nile, Nchi jirani zakasirika

    Ethiopia, leo Jumapili inatarajiwa kufua umeme kutoka kwenye Bwawa la The Grand Ethiopian Renaissance linalokabiliwa na utata lililoko katika Mto Nile. Bwawa hilo limekuwa chanzo kikuu cha mzozo wa kikanda tangu kuanza kwa ujenzi wake muongo mmoja uliopita. Mataifa jirani ya Ethiopia, Misri na...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kama ni kweli kwa gharama hizi za umeme, tutawasha chemli hakuna namna

    Jamani, TANESCO naomba nielewesheni Jana nimenunua umeme wa 200000 lakini nimekatwa vat 29500 Ewura 14000 Rea 4900 Swali ni kwann mimi mteja nikatwe pesa zote hizi wakati umeme nguzo nalipia waya nalipia na mita nanunua sasa swali langu ni kwann nikatwe pesa hizi Source CarolNdosi Twitter...
  3. JamiiForums Tanzania Upepo Ukipuliza Waya Zikagongana Pale Ubungo Umeme Unakatika

    Mada inajieleza, hayo maneno yalisikika yakitoka kinywani mwa mtu mwenye dhamana ya kutupa moto mara moja, nimejiuliza maswali; Wakati wa ujenzi wa hizo line, wahandisi, designers wa hizo power lines hawakujua kuwa kuna upepo hivyo wazingatie spacing ya waya? Miaka yote upepo umekuwa ukivuma na...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Serikali kuja na mradi wa Dola bilioni 1.9 kutatua tatizo Umeme

    Waziri Makamba amesema wanakuja na mradi wa Dola billioni 1.9 kutatua tatizo. Nauliza huu mradi ameukuta ofisini au umebuniwa ndani ya hii miezi yake 4. Kama hajaukuta umepitishwa na bajeti ipi?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Bwawa la Umeme la Mwalimu Nyerere kujengwa chini ya kiwango, naomba kuuliza haya...

    Kama mwananchi wa nchi hii na mlipa kodi nimesoma na kusikia kupitia magazeti, luninga na mitandao kuwa Bwawa la Mwalimu Nyerere limejengwa chini ya kiwango. Naomba kuuliza maswali yafuatayo:- (1) Kwanza Kampuni ya Misri iliyoshinda tenda ya ujenzi ilikuwa na uwezo, utaalaam, uwezo wa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Waziri January Makamba anamaanisha Magufuli alikuwa akiwakatia umeme watumiaji wakubwa na kuwatisha wakae kimya?

    January Makamba akijibu hoja za wabunge kuhusu kukatika kwa umeme, kwanza alimlaumu mbunge Musukuma kwa kumshambulia yeye binafsi na kueleza kazi ya ubunge sio kushambuliana na kama ana matatizo na yeye kuwa waziri au samia kuwa rais apeleke kwingine lakini sio kwenye masuala ya nchi. Pamoja na...
  7. JamiiForums Tanzania Kwani shida kwenye umeme wetu ni nini?

    Mwezi wa 11 walisema ni kawaida kuwa na mgao kila mwaka. Hadi Zitto akawaunga mkono. Kama mwezi wa kumi na mbili Wakasema tena kuwa ndani ya siku mbili watatoa majibu na kukomesha mgao. Mwezi huu wakasema mgao mpaka tarehe kumi utakuwa historia lakini wakasema hakuna haja upo wa kutosha...
  8. JamiiForums Tanzania Aibu, Vijiji vya Maluwi na Tingida Kilosa havina Umeme tangu Tanzania tupate Uhuru

    Habri za Mchana Wakuu, Majuzi nilipokuwa safarini katika vijiji vya Maluwi na Tindiga vilivyopo wilayani Kilosa mkaoni Morogoro nilkuta jambo ambalo sikutegemea kulikuta. Ni kwamba tangu tupate uhuru, vijiji hivyo havijawahi kupata umeme. Nimekuta rundo la nguzo za umeme zikiwa zimemwagwa...
  9. JamiiForums Tanzania Nashauri Wizari ya Nishati kuielekeza TANESCO kusitisha kwa muda kupokea maombi mapya ya kuunganishiwa umeme

    Kutokana na mlundikano wa watu waliokwisha lipia gharama za kuunganishiwa umeme na kupelekea kusubiri kupatiwa huduma hiyo kwa muda mrefu, busara yangu inanituma kuishauri Wizara huska KUIELEKEZA TANESCO kuhudumia wahanga hao kwanza kwa muda utakaokadiwa vizuri kumaliza zoezi hilo. Haipendezi...
  10. JamiiForums Tanzania Awamu ya tano Tanesco hawakukarabati miundombinu ya umeme, sasa mmehitimisha ukarabati tusikie mgao tena

    Mmnetangaza wenyewe kuwa mmehitimisha ukarabati wa miundo mbinu ili umeme upatikane vizuri. Tunataka tusisikie habari ya mgao na umeme kukatika katika hovyo imeisha kama enzi za awamu ya tano.
  11. JamiiForums Tanzania Mbunge Tarimba apendekeza TANESCO kufumuliwa na kuwepo kampuni 3 kwa ajili ya Uzalishaji, Usafirishaji na Ugawaji umeme

    Mbunge wa Kinondoni, Tarimba Gulam Abbas amehoji ikiwa Serikali haioni ni muda mwafaka wa kulifumua Shirika la Umeme (TANESCO) ili kuwe na Kampuni tatu kwa ajili ya kufanya Generation Uzalishaji, Usafirishaji na Usambazaji kama ilivyo Nchi nyingine. Akimjibu, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema...
  12. K

    JamiiForums Tanzania TANESCO mnatusababishia hasara kubwa kwa kukata na kurudisha umeme kila wakati

    Kichwa cha habari chahusika. TANESCO toeni ratiba ya kata washa kata washa ifahamike kuliko jambo mnalotuanyia kwa sasa. Hizi hasara za kutuunguzia vyombo vyetu sijui kama mtazibeba tukiamua kuwaburuza mahakamani. Siku hizi haieleweki lini mtu unakuwa na umeme. Halafu watu tunashindwa kupanga...
  13. JamiiForums Tanzania Hali ya kukosa umeme haivumiliki na Watanzania siyo wajinga kiasi hicho

    Habari wana familia ya JF. Naandika huu uzi nikiwa na hasira sana, kama yatajitokeza makosa ya kiuandishi basi mniwie radhi.Ni muda kama wiki sasa tangu serikali hii dhalimu ilipotangaza mgao wa umeme kwa umma ila uhalisia mgao wa umeme ulianza muda sana tangu waziri makamba aingie pale...
  14. JamiiForums Tanzania TANESCO wanachotufanyia sasa hivi tutamkumbuka Magufuli, wakazi wa Keko siku ya 3 hakuna umeme

    TANESCO wamejisahau sana haiwezekani leo inaenda siku 4 hakuna umeme mtaani TANESCO wanazunguka tu mtaani na ngazi zao, ukipiga simu zao za call center zote wamezima.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Rwanda yapata chanzo kipya cha umeme kutokana na gesi ya sumu

    Nchi ya Rwanda imefanikiwa kupata chanzo kipya cha umeme kupitia gesi ya methane iliyoko ziwa kivu ziwa lililobatizwa jina la utani la killer lake mpaka sasa inakadiliwa kuwa chanzo hicho kipya cha umeme kitaweza kuchangia hadi 30% ya matumizi ya umeme wa nchi nzima
  16. JamiiForums Tanzania TANESCO imechukua hela zetu lakini haitaki kutufungia Umeme

    Habari wadau, Nina ndugu yangu mkazi wa Kongowe hii ya Mbagala anasema amelipia umeme toka mwaka jana 2021 mwezi wa nane Ile 27,000 lakini mpaka Leo anazungushwa Tu kufungiwa umeme. Kauliza tatizo nini kaambiwa eti Nguzo hakuna ina maana miti yote Ile iliyojaa iringa au Yale yaliyokua...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania iliwaza vyema, umeme mkubwa uliopita sokoni umeua watu 26 Kongo

    Nchini Tanzania hairuhusiwi kujenga au kufanya shughuli chini ya miundombinu ya umeme inayobeba umeme mkubwa(High voltage). Wachache wanaelewa lengo, wengine wakijaribu kuishi chini ya njia hizo na mara kadhaa tumeshuhudia bomoa bomoa. Pia TANESCO wakijenga njia mpya wako radhi kulipa fidia...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Wamesema hakutakuwa na mgao wa umeme; mbona wanakata umeme?

    Nduguzanguni Serikali waliibuka nakusema hakutakuwa na mgawo wa umeme ambao walikuwa wameutanganza kwasema ni kwa sababu washapata mbinu mbadala utaosaidia kuwezesha upatikanaji umeme kuwa wakutosha. Nimeshangaa jana wmetukatia kuanzia saa 10 Jioni wamerudisha saa 4 na nusu Usiku hii imekaaje...
  19. JamiiForums Tanzania Umeme unakatwa saa sita usiku, hadi saa 12 jioni

    Hamna mbinu zozote za kupunguza makali ya mgao wa umeme. Umeme umekuwa ukikatwa saa sita usiku na kuwashwa saa 12 jioni. January Makamba na naibu wake wamelidanganya bunge, waliahidi kuchepusha gesi asili kutoka kwenye njia ya mwekezaji na kuingiza kwenye njia ya TPDC, lakini hadi sasa maumivu...
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta fundi umeme tukanunue wote vifaa original, malipo 50,000 to 100,000

    Fundi wangu nilimuamin ila naona ameamua kunizidishia bei ya vifaa, na hakuzidisha elfu mbili au tatu, vipo alivyozidisha hadi asilimia nyingi. Mfano kifaa cha 15,000 ameandika 35,000 huu ni upigaji mkubwa sana, Mimi sina uzoefu wa vifaa vya umeme nahofia kuuziwa fake
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…