umeme

  1. JamiiForums Tanzania HOJA Kwenye umeme na mafuta....

    Tuambizeni ukweli hizo tozo na Makato hasa kwenye umeme yamezidi... Unanua umeme wa 5000/= Unapata unit za 3800/= Kuna Makato kibao rea,Vat,ewura Kwa sitaili hii kujiajiri Ni ndoto TUWENI TU MAWINGA.... UMEME WA BWAWA LA NYERERE Ulisafirishwa kwenda wapi mbona Bei YA umeme haishuki kama supply...
  2. JamiiForums Tanzania Hii idea yangu ya biashara ya Bajaji za Umeme mnaionaje?

    Habar za Leo Wana forum Nilikuwa na wazo moja la kutengeneza Bajaj za umeme, ambapo Nina fabricate mwenyew kuanzia chases, electronics, mpk programing Baada ya bajaji kukamilika mchakato wa kutafuta madereva utaanza na taratbu zitafuatwa 1.Dereva atatakiwa kuripot kazIn saa moja au mbili...
  3. JamiiForums Tanzania Tetesi: Jumba la kifahari, inadaiwa la Lugumi, ukipewa kuishi bure, unaweza shindwa, kumudu bili ya umeme na maji

    Sina hakika ni skendo tu nasikia ni ya LUGUMI. Kwa ukubwa inaonekana vigogo hewa wa humu jf tunaweza SHINDWA KUMUDU billi ya maji na luku, maisha haya
  4. O

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Changamoto ya uunganishwaji umeme wateja wapya Tanesco-Mkuranga

    Kumekuwa na ucheleweshaji wa huduma ya kuunganishiwa umeme kwa wateja wapya wilaya ya Mkuranga ambapo mteja anakuwa ashafata taratibu zote kwaajili ya kupata huduma ila mteja anasubirishwa Hadi miezi sita bila kupata huduma. Na ukijaribu kufatilia wanakuambia Kuna uhaba wa vitendea kazi kama...
  5. JamiiForums Tanzania Hali halisi ya umeme ilivyo Nigeria inatisha sana,by #shany!

    #Shany ni mtanzania anayeishi nigeria kwa miaka mingi kidogo,anatunyetisha hali ilivyo na uhalisia wake!, #Wale wa upande wapi wajionee na wajiulize,jinsi serekali yetu tukufu inavyo wapenda watanzania kwa kila sekta,japo kwa umahamuma wao hupuuza na kujiona wao ndiyo wana akili nzuri na wapo...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna tatizo gani TANESCO? Nchi nzima umeme umekatika

    Mbona hamtoi taarifa? Megawati 2000 na ushee za ziada Alafu mnakata umeme ?
  7. JamiiForums Tanzania Mwili unakuwa katika hali ya kupatwa na shocks za umeme

    Habari za muda wakuu. Naomba msaada wa hii ninayopitia ya mwili unakuwa katika hali ya kupatwa na shock kama ya umeme hasa nikiinamisha kichwa. Hospitali wameniambia wakati mwingine h-pyori huwa anasababisha hiyo lakini kwa muda ambao nimetumia dawa za h-pyori hiyo hali bado ipo.
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Yadi za malori Temeke zimekuwa kero, magari yanaziba njia, yanakata umeme, maafisa wa TANESCO wakija 'wanapozwa'

    Habari Naomba kutuma kero ya kata ya 14 Temeke Dar-es -Salaam yadi ya malori mtaani ni kubwa, yanapaki magari mbele ya nyumba za watu na magari hayo Hayo yanakata wire za umeme.. Maafisa wa TANESCO wakija hawawasilishi kesi ofisini wanapewa hela na watu hawalipwi, vitu vyao vilivyoungua. Barua...
  9. JamiiForums Tanzania Mwigulu: Nchi haina upungufu wa Umeme, Ina ziada—Changamoto ipo kwenye Uimarishaji wa Gridi

    "Sasa hivi nchi yetu haina upungufu wa umeme, ina ziada ya umeme. Na kama kuna eneo umeme bado unakatika-katika, tatizo sio upungufu. Sasa tatizo lililopo ni kwamba, gridi ile ilitengenezwa kwa ajili ya mtawanyo mdogo. Tulivyoongeza mtawanyo, tumeongeza na uzalishaji, lazima pawe na uimarishaji...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kigogo Fresh B Nyumba 200 hazijaunganishiwa umeme tangu 2025, TANESCO Kisarawe wanatupotezea

    Sisi Wananchi wa Kata ya Kigogo Fresh B, Mtaa wa Golani kwa Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda Wilaya ya Ilala mkoani Dar es Salaam tunachangamoto ya umeme. Mpaka leo nyumba takribani mia mbili hazijafungiwa nishati ya umeme na kuna mradi wa REA kutoka Kisarawe kila tukifuatilia tunaambiwa...
  11. JamiiForums Tanzania Waya bora za umeme

    Kama ulikuwa unajiuliza utapata wapi waya bora za umeme kwaajili ya project yako, huna haja ya kuwaza tena💥 ✅rafiki electrical & tech solutions, ni mahali pekee na kwa uhakika utakapoweza kujipatia waya bora kwa bei nafuu. ✅tunauza waya aina zote: kama vile; single, twin, amoured, flexible...
  12. JamiiForums Tanzania Lazaro Twange: Mradi wa kusafirisha umeme Chalinze - Dodoma wafikia 82.5%, kukamilika Agosti 2026

    Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Bw. Lazaro Twange, amesema mradi wa njia ya kusafirisha umeme wa msongo wa kilovolti 400 kutoka Chalinze hadi Zuzu, Dodoma, unatarajiwa kukamilika ifikapo Agosti 18, 2026. Akizungumza Mei 20, 2026 wakati wa ziara ya kukagua maendeleo ya mradi huo katika mikoa ya...
  13. JamiiForums Tanzania Pikipiki za umeme za RAVOX:suluhisho la Ghalama za mafuta kwa boda boda

    Pikipiki za umeme za RAVOX:suluhisho la Ghalama za mafuta kwa boda boda
  14. X

    JamiiForums Tanzania Je, ulijua kuwa China inazalisha umeme mwingi zaidi ya Marekani, Ulaya na India kwa pamoja?

    China imeongeza sana uzalishaji wa umeme wake tangu mwaka 2014. Katika kipindi cha miaka 10, uzalishaji wa umeme umeongezeka kwa karibu 74%, jambo ambalo ni ongezeko kubwa sana. Mwaka 2014, China ilizalisha takriban 5,795 TWh ya umeme, na tayari ilikuwa mbele ya Marekani. Kufikia mwaka...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Volkswagen: Wajerumani wamezindua VW Polo GTI ya umeme!

    Volkswagen kutoka Germany wamezindua VW ID. Polo GTI, ikiwa ni GTI ya kwanza ya umeme kutoka VW. Inakuja na motor moja, iko mbele, inakupa 220 hp, 0-100 km/h ndani ya 6.8 sec, na top speed ya 175 km/h. Kwa comparison, itakua faster kuliko electric Polo inayokuja na 200 hp, ila itakua slow...
  16. JamiiForums Tanzania Mchina kaleta pikipiki Sinoray cc 200 (umeme), vijana wa Arusha wanazitumia kusafirishia mirungi na bangi

    Hizi Sinoray mpya umeme ni mwisho wa matatizo. Zina speed kubwa sana kiasi cha kufanya sio rahisi kushikwa. Vijana wa kirangi na chuga wanazitumia kama fursa ya kusafirishia mirungi na bangi kutoka border za Kenya kuleta Tanzania. Ukikutana nao hiyo convoy kaa chonjo maana wanakuwa na mapanga...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kikundi cha KIMAUCHA kinachofanya kazi za umeme chini ya TANESCO – Chanika kinafanya dhuluma kwa Wafanyakazi wake

    Kuna kikundi kinaitwa KIMAUCHA kinafanya kazi za umeme chini ya TANESCO Wilaya ya Chanika, Dar es Salaam, watu wanaohusika hasa viongozi wa kikundi hicho wamekuwa na tabia ya kudhulumu hela, ukijidai mdomo kuuliza unafukuzwa kazi. Jambo lingine linalokera hapo ni kuwa malipo yanachelewa sana...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Ulongoni A, Kinyerezi tuna changamoto ya umeme kukatika mara kwa mara

    Mimi ni mkazi wa Ulongoni A karibu na Bar ya Magogoni, Mtaa unaitwa kwa Makamba Jijini Dar es Salam hapa Ilala upande Kinyerezi, kero yangu ni umeme kukatika katika kila mara ifikapo saa moja jioni, yaani umeme unaweza kukatika hata mara 50 kwenye saa moja. Tumeshawasilisha kero hii Tanesco kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Kuna kiwango cha juu cha umeme wa LUKU mtu anachoruhusiwa kununua?

    Habarini wakuu. Naomba kuuliza swali la kizushi. Kiwango cha juu cha umeme wa LUKU ambacho mtu anaruhusiwa kununua ni kiasi gani?
  20. N

    JamiiForums Tanzania Tulikosea mno: BRT Phase 2 & 3 ilipaswa yawe Mabasi ya Umeme

    Hii miscalculation kubwa sana iliofanyika. Electric buses ndizo zipo sustainable zaidi na hazihitaji maintainance kubwa. Nchi yeyote inaweza kuzalisha Umeme lakini si kila nchi inazalisha mafuta Electrification ya Phase ya pili na ya tatu ya BRT ingeweka stability ya bei za usafiri kwa miaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…