umeme

  1. JamiiForums Tanzania Tangu mwaka 2023 tunapamabana kuuza umeme nje ya nchi

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa September 20, 2023 alifungua Kongamano la Tano na Maonesho ya Nishati Tanzania na amesema kwamba Serikali imedhamiria kuwa Mzalishaji mkubwa wa nishati na kuwa na umeme wa kutosha utakaopatikana kwa urahisi na nafuu na ziada itauzwa nje ya Nchi...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wilaya ya Chunya kuna tatizo la umeme kukatika kwa zaidi ya mwaka sasa, tukiuliza tunapewa majibu mepesi

    Kumekuwa na tatizo la umeme Wilaya ya Chunya kwa zaidi ya mwaka sasa, kila siku zinavyokwenda linaongezeka, hatupati umeme unaostahili na tukipiga simu huduma kwa wateja tunaambiwa ni tatizo la low voltage. Tangu January 2026 wanakuwa wanakata umeme kila siku ya Alhamis na Jumamosi wakisema...
  3. JamiiForums Tanzania MADOGO MLIOPANDA DARAJA, HUKU LIGI KUU HAKUNA UTANI HUKU UMEME UPO NA UKISHANGAA UNAPIGWA SHOTI.

    Madogo mnaochipukia kunako KIMASIHARA, Kaeni kwa PASSWORD kwa zama tulizopo usiumize sana kichwa. Mchukue mpeleke hospitali ya serikali, mwambie doctor sisi hatuumwi tumekuja kufanya check-Up. Kisha mtipu doctor hata ka 5K au teni mwambie ampime huyo kuku wako vipimo vifuatavyo; 1.UTI...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hii ni hujuma? Siku moja baada ya bwawa la JNHHP kuzinduliwa umeme unakatika

    Tangu saa kumi mpaka sasa tunasubiri kuangalia mechi kati ya Azam na Pamba Jiji. Umeme umekatika nchi nzima. Habari tulizoambia kuna mega watt 2115 ni kama kupiga ndulu tu.
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania yaipiku Kenya kama mzalishaji mkubwa wa umeme. Aibu kwa Muhongo, Nape, Zitto

    Rais Magufuli alipotangaza ujenzi wa bwawa la umeme kuanza mara moja bila kujali sura ya mtu alipata upinzani mkali sana kutoka ndani ya nchi na nje ya nchi. Nje ya nchi gazeti la economics lilikuwa linakuja na makala ndefu kuonyesha kuwa huo mradi ni white elephant na utasababisha madhara...
  6. N

    JamiiForums Tanzania JPM hatajwi kabisa inavyostahili kwenye hili jambo la bwawa la umeme

    Salaam! Ni kweli,hii ni ndoto ya Mwalimu Nyerere iliyobadilishwa kuwa uhalisia na Rais wa awamu ya tano ndugu JPM ambaye alimwachia kiti chake Daktari Samia Suluhu Hassan Ajabu katika Kila kinacjofanyika hakuna mtu anataka kulitaja jina la mtekelezaji wa ndoto.Wasemaji wote wanaanzia Kwa...
  7. JamiiForums Tanzania MIZANIA Ndege wanaweza kukaa kwenye nyaya za umeme bila kupigwa na shoti?

    Kumekuwepo na dai kuwa Ndege wanaweza kukaa kwenye nyaya za umeme bila kupigwa na shoti kwa sababu umeme haupitii kwenye miili yao.
  8. JamiiForums Tanzania Responded HOJA TANESCO mtuelimishe hapa namna JNHP inavyoweza kutatua changamoto ya kukatika umeme

    Hongereni sana TANESCO, tumeshuhudia kukamilika kwa mradi huu mkubwa na hakika mtambo umewashwa leo, mmetuambia tayari mmeunganisha na gridi ya Taifa. Nina dukuduku hapa Gridi ya Taifa ni moja, kwa nini kusiwe na gridi za Taifa ambazo zinapokea umeme huo na kutumika kama backup iwapo moja...
  9. JamiiForums Tanzania Kumbe Wakoloni walishajenga mabwawa ya umeme kama hili la Nyerere kwa kitambo sana!

    Wakati sisi leo mwaka 2026 tunasherehekea kwa shughuli kubwa uzinduzi wa bwawa la Nyerere, Wakoloni wazungu wa Uingereza walishajenga bwawa kama hilo miaka 60 iliyopita kwa jirani zetu Zambia ( Kariba Dam), 1960 na Wareneo walijenga kama hilo Msumbiji (Cahora Bassa Dam) mwaka 1979 !
  10. JamiiForums Tanzania Huyu hapa mwanasayansi aliyetaka dunia nzima ipate umeme wa bure na kilichomkuta!

    Wazia dunia ambayo huna haja ya kununua LUKU, kuweka bando la umeme, wala kuvuta mawaya ya hatari juu ya paa la nyumba yako. Dunia ambayo unachomeka kifaa chako chochote hewani na kinapata umeme bila kulipia hata shilingi moja! Hili halikuwa wazo la kusadikika au sinema ya Hollywood. Lilikuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua Rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Bwawa la Julius Nyerere, Agosti 22, 2026

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) chenye uwezo wa kuzalisha megawati 2,115 leo, tarehe 22 Agosti 2026, katika eneo la mradi lililopo Rufiji, mkoani Pwani. Viongozi mbalimbali wameungana na Rais...
  12. JamiiForums Tanzania Leo mradi unazinduliwa jambo la muhimu JPM aliwaahidi Watanzania umeme utashuka bei :

  13. JamiiForums Tanzania Uzinduzi Rasmi JNHPP: Safari ya Karne ya Umeme wa uhakika Tanzania

    Mradi wa Kuzalisha Umeme wa Maji wa Julius Nyerere (JNHPP) utazinduliwa rasmi Jumamosi hii. Mradi huu wenye historia ya zaidi ya karne moja, ulioanza kufanyiwa tafiti tangu enzi za ukoloni, ukaasisiwa kama wazo la kimkakati wakati wa Mwalimu Julius Nyerere, na hatimaye kupewa msukumo mkubwa wa...
  14. JamiiForums Tanzania KERO Ni nani atatuambia ukweli wa kwanini umeme unakatika kila siku Dar wakati wowote?

    Nyumbani sina jenereta la kufua umeme. Hivyo, Sasa hivi naogopa kuangalia mechi muhimu nyumbani kwangu kwa kuogopa umeme unaweza kukatika wakati wowote kabla ya mechi au katikati ya mechi. badala yake inanilazimu kwenda bar ambazo zina backup/standby jenereta kama umeme wa TANESCO utakatika muda...
  15. JamiiForums Tanzania Fundi TV na vifaa vya umeme

    FUNDI TV NA VIFAA VYA UMEME.. KAMA TV YAKO INA SHIDA YOYOTE TUNATENGENEZA KWA UHAKIKA NA HARAKA ZAIDI.. KAMA TV HAIWAKI INAWAKA INATOA MWANGA TU INAWAKA MISTARI PICHA INACHEZA CHEZA INAWAKA KITAA CHEKUNDU IMEKUFA MOTHER BOARD POWER SUPPLY BACKLIGHT TV AINA ZOTE TUNA DEAL NAZO TUNA HUDUMA YA...
  16. JamiiForums Tanzania Walokole Wazindua Brand Mpya za Magari yao ya Umeme kushindana na Elon Musk na BYD

    Kanisa la Kilokole la Pentekost la Christ Embassy, chini ya uongozi wa Pastor Chris Oyakhilome, limezindua rasmi safu ya magari yanayotumia nishati ya umeme, ikiwa ni sehemu ya miradi yake ya kiteknolojia na viwanda. Magari hayo yamewasilishwa kupitia njia rasmi za huduma hiyo, huku baadhi ya...
  17. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda UEDCL Faces Questions Over Management Gaps and Rising Power Losses

    Uganda Electricity Distribution and Supply Company Limited (UEDCL) is facing parliamentary scrutiny over gaps in its management structure and rising electricity distribution losses, just months after taking over the country’s electricity distribution network from Umeme. The concerns emerged...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali Kuharakisha Leseni za Walimu, Madalali na WAendesha Guta za umeme zisizo na namba plate!

    Walimu ni kada muhimu inayodharaulika. Siyo kwamba si wasomi ila kwakuwa ukitoka tu chuo basi unafundisha lakini wanapswa kukata leseni ili waheshimike kama mawakili wanavyoheshimika duni a nzima Madaktari bingwa na wa jumla (Physicians Wauguzi waliosajiliwa (Registered Nurses - RN) Wafamasia...
  19. JamiiForums Tanzania Wakati Ethiopia ikijipanga kujenga mabwawa mengine ya umeme mto Nile, Egypt imeanza kutapatapa kwa Kutishia Haitaruhusu ujenzi mwingine

    My Take Naunga mkono msimamo wa Ethiopia kutumia Rasilimali zake. ------------ Waziri wa Rasilimali Maji na Umwagiliaji wa Misri, Hani Sewilam, ametangaza kuwa nchi yake haitairuhusu Ethiopia kujenga mabwawa mapya kwenye Mto Nile. Sewilam ametoa kauli hiyo Agosti 4, 2026, wakati wa mkutano na...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Kiukweli Umeme TANESCO Masasi-mkoani Mtwara Bado ni Kizungumkuti, wanakata sana umeme

    Haiwezi isha siku moja bila kukatiwa umeme hapa Wilaya ya Masasi, kila siku wana matengenezo, hawajali kama ni siku za kazi au siku za kiuzalishaji zinaendelea, Tunaweza kaa bila umeme siku 3 mfululizo, weekend zote hatuna umeme shida iko wapi? Kama wameshindwa tafadhali wataifishe tumechoka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…