vita ya Urusi na Ukraine ipo kwenye hatua hatari sana ya kupanuka na kuvuka mipaka, ingawa bado haijafika kwenye vita ya moja kwa moja ya dunia au mapigano kamili kati ya Urusi na muungano wa kijeshi wa NATO.
Tarehe 20 Novemba 2026, makombora mawili ya Urusi na droni moja vilianguka ndani ya...
Baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA TUNDU LISSU kufungwa miaka minne jela,viongozi wa chama wanahitaji utulivu mkubwa na umakini mkubwa kuvuka hapa.Utlivu utasaidia kutafakari na kufanya mang'amuzi sahihi ya namna gani LISSU anatoka jela,wafuasi,wanachama na viongozi walioko magerezani wanatoka,chama...
Amani iwe nanyi.
Shehe Mwaipopo anaye kiongozi aliyemtuma kuanzisha ufugaji wa mbwa mwitu.
Na kauli zake ni za wazi kabisa, anatamani nchi iwe Islamic state,kwamba utasilimu Kwa kupenda na usipotaka utalazimishwa au uuwawe
Na ukiunga dots Kwa mamlaka kumpa support aseme ayasemayo, aminini ni...
Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikitafiti kwanini ngozi nyeusi lawama zote tunazopewa/tunazojipa katika kufeli kwenye maswala ya kiuongozi/kiuchumi na kujisimamia.
Wengi wanasema tumelaaniwa, wengine wanasema hatupo serious, wengine(wazungu na waarabu) wanasema bado tupo kwenye evolution n.k...
Umakini katika kazi, umakini katika biashara, umakini safarini au kwenye starehe n.k.
Nadhani sote ni mashahidi kwamba, kuelekea mwisho wa karibu kila mwaka, hua kuna kuna matukio yasiyo mazuri kuskia au kuyaona. Hua kuna matukio ya kuhuzunisha sana. Na kwa mtazamo wangu, naona kama tayari...
1. Wabena
2. Wahehe
3. Wasukuma
4. Wakurya
5. Waha
Kwa zama hizi, kutegemea kwamba mke hatachepuka hadi kifo ni ndoto za alinacha. Wanawake wengi wanaoelewa walishawahi kuwa na wapenzi; hata ukimuoa bikra, vishawishi ni vingi sana. Ongeza changamoto kwa wanaume kama kisukari, presha, tatizo la...
bila
familia
kifo
kuchepuka
kudumu
kujenga
kujenga familia
kulinda
makabila
mali
ndoa
siri
tahadhari
tamaa
umakini
uvumilivu
wanawake
waume
wavumilivu
zao
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinasikitika kuwatangazia kifo cha, Suez Dani Maradufu ambaye ni dereva wa Makamu wa Mwenyekiti Bara, John Heche.
Suez amekutwa amefariki leo asubuhi Jumatano, Julai 01, 2026 chumbani kwenye nyumba ya wageni aliyofikia, mjini Kigoma. Mwili...
Kalonzo Musyoka ambaye ni kiongozi wa chama cha upinzani cha Wiper Democratic Movement na aliyewahi kuwa Makamu wa Rais wakati wa uongozi wa Mwai Kibaki, amesema wanafanya uchunguzi juu ya mauzo ya hisa yaliyofanyika hivi karibuni kwenye taasisi ya Nation Media Group kwa bwana Rostam Aziz...
Sehemu ya kwanza (01)
Binafsi niweke wazi, mimi si kada au mfuasi wa chama chochote kile cha kisiasa , ila huwa sikubaliani na utawala huu usiofaa wa ccm maana ni kama wamejimilikisha nchi na wanafanya chochote kile wanachojisikia .
Tamani langu siku moja tuwe na nchi ambayo inajali haki...
Sijawahi kuwa na uhuru wa kutumia internet kama sasa baada ya kununua unlimited internet, Sina hofu ya kumaliza MB, sina haja ya kupunguza ubora wa video, siogopi video calls, sizikwepi post zeny video kwenye mitandao ya kijamii, n.k.
kuna muda nilikuwa najiunga mpaka kifurushi cha elf 5 kwa...
Habari wana JF.
Leo nikiwa kwenye safari zangu mjini Dar es salaam Kuna gari ilikuwa inazunguka round-about, ghafla mlango wa nyuma ulifunguka na akadondoka mtoto umri kama miaka 4 hivi.
Na dereva aliyekuwa anaendesha hilo gari hajajua kwamba mtoto kadondoka, Kwa nyuma pia kulikuwa kuna gari...
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally, amesema kuwa usajili utakaofanywa na Simba safari hii utakuwa na umakini wa kiwango cha ICU (Intensive Care).
"Taarifa tu ni kwamba usajili wetu safari hii unafanyika kwa umakini wa ICU, na wachezaji waliopendekezwa na mwalimu...
WTF ! Wanawake siku hizi pasua unakuta mdada analea mtoto muda wote busy na simu ku chart online hana muda wakuweka umakini kwa mtoto matoke yake mtoto anapata madhara kwa uzembe wa mama kuendekeza mitandao zaidi
Ndugu zangu Watanzania,
Hivi Ndivyo namna Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete Alivyoingia Kwenye Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika leo na kuongozwa na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Sana Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Ambapo Mheshimiwa Ridhiwani...
Tujiulize kwa uzito na dhamira safi: Kwa nini matukio ya utekaji yameendelea kuwa siri nzito inayoumiza jamii, na kwa nini wahanga wakubwa ni wale tu wanaothubutu kusema wazi kuhusu mfumo wa uongozi? Hii sio coincidence—ni pattern ya hatari.
Kama taifa, hatuwezi kuendelea kufumba macho huku...
Hapo zamani niliwahi kuishi na jirani, Tulikuwa tukiishi kwenye nyumba moja iliyogawanywa sehemu mbili. Alionekana mpole, muelewa, mpenda mazoezi na mtu wa kuaminika. Tulikuwa tukiongea mara kwa mara, na kila kitu kilionekana kiko sawa.
Siku moja niliwahi kutembelea sehemu aliyodai kuwa ofisi...
Ndugu zangu Watanzania,
Mimi ni mfuatiliaji mkubwa sana wa ziara za Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya...
Wakuu habari zenu, nilikuwa naomba ushauri wenu katika pitapita zangu za kupambana na maisha nikapata mda kidogo wa kukaa nyumbani mkoani.
Baada ya kufika kuna kama stationary ipo jilani nikamuomba mwenye stationary nijishikize apo akasema hakuna shida, ni mtu ninaye muheshimu, .....
Baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.