ulinzi

  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tazama Malori yakiwa na Baiskeli za Rais Samia kwa ajili ya kuzigawa kwa wapiga Kura

    Wakuu! Imagine miaka 64 ya Uhuru, bado Khanga na Baiskeli ndio chambo katika Uvuvi wa Kisiasa na kutoa Kura kirahisi tu. Uchaguzi unapokaribia mbinu za kisiasa zinaongezeka, zikiwemo zawadi kwa wananchi zinazobeba sura ya rushwa. Hadi mabox yenyewe yameandikwa jina la Samia Suluhu Hassan...
  2. Inside10

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: "Tusilazimishe Vyombo Vya Ulinzi Na Usalama Kufanya Mengine"

    Mengine hayo ni yapi?!! Msikilize Mh kwenye video hii fupi
  3. U

    JamiiForums Tanzania Putin: Tulitaka kuisaidia Iran katika ulinzi wa anga yao lakini ikapuuza

    Vladimir Putin amesema kuwa Iran haijaonyesha nia ya kushirikiana na Urusi katika mifumo ya ulinzi wa anga. Siku ya Jumatano tarehe 18 mwezi Juni 2025 , Rais wa Urusi aliandaa kikao na wahariri wakuu wa mashirika ya habari, ambapo suala la vita vya Israel na Iran lilijadiliwa. Kuhusu usaidizi...
  4. Dominik Dominik

    JamiiForums Tanzania Protokali/Itifaki za Vyombo vya Ulinzi na Usalama na Mishahara yao

    Oya wadau Hivi protocal haiuhisiani na malipo ya hivi vyombo? Kwa mfano,Katika vyombo vyote vya ulinzi JWTZ,POLICE,MAGEREZA,TISS,UHAMIAJI,ZIMAMOTO hapo chombo mama(senior force) ni JWTZ then vinafwata POLICE nk kama nilivyoviainisha hapo navovitaja.Mkuu wa JWTZ ndiye mwenyekiti wa ulinzi na...
  5. sanalii

    JamiiForums Tanzania Russia sio nchi ya kuitegemea kwenye muungano wa kijeshi na ulinzi

    Imechukua siku tatu tu Marekani kuingia kwenye vita kumsaidia Israel ila mpaka sasa Russia anaangakia mshirika wake anapigwa na watu kibao. Jeshi la Marekani lina jisifu kuthibit anga ya Iran, na kusema wako vizuri. Russia uko wapi?
  6. W

    JamiiForums Tanzania Trump anadai kumiliki anga la Iran, kasema hakuna nchini yenye vifaa bora vya ulinzi kama Marekani

    Siku kadhaa baada ya Rais wa Marekani, Donald Trump kuwaonya raia wa Iran waliopo mji wa Tehran kuhama mara moja kuwa kutakuwa na mashambulizi yanayoweza kufanyika katika eneo hilo amedai kuwa ba udhibiti wa anga la Iran Kupitia mtandao wa Truth Social Trump ameandika kuwa “Marekani sasa...
  7. Heparin

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi waweka ulinzi mkali Kanisa la Ufufuo na Uzima lililopo Ubungo, Dar es Salaam

    Nimepita maeneo ya Ubungo nikiwa naelekea kwenye harakati zangu, naona Polisi wamejaa kanisani kwa Gwajima baada ya yeye kutangaza atashiriki ibada ya Jumapili ya leo. Wengi wapo barabarani wanafunga utepe. Kwakuwa speed ya gari ilikuwa kubwa sijafanikiwa kuchukua picha ya haraka. Pia...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi Iran ilivyoiingiza mkenge Israel ikadhani kuwa imemaliza ulinzi wa anga wa Iran

    Jana Israel ilijidanganya kuwa imepiga na kumaliza ulinzi wa anga wa Iran na kwa hivyo inaweza kufanya lolote. Kumbe hilo lilikuwa uongo, ni mchezo ambao Iran iliucheza ili kuiingiza mkenge kwa kujifanya ulinzi wake wa anga umekwisha. Kilichofanyika kumbe Iran ina decoys (midoli) ya air...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi Israel Katz amemuonya kiongozi wa Iran, Ali Khamenei, kwamba iwapo makombora yataendelea kurushwa kwa Israel, Tehran itaungua.

    Wadau hamjamboni nyote. Live Update arrow right icon From the Liveblog of Saturday, June 14, 2025 Katz: ‘If Khamenei continues to fire missiles at the Israeli home front, Tehran will burn’ By Emanuel Fabian Follow Today, 12:16 pm Defense Minister Israel Katz warns Iran’s leader, Ali...
  10. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Israel yaipa Ukraine mifumo ya Ulinzi wa anga(Patriot)

    🇮🇱 Israel imehamisha mifumo ya Patriot kwenda Ukraine, Balozi wa Israel nchini Ukraine Michael Brodsky amethibitisha. "Mifumo ya Patriot tuliyowahi kupokea kutoka Marekani sasa iko Ukraine. Hii ni mifumo ya Israel iliyokuwa ikihudumu nchini Israel mwanzoni mwa miaka ya 1990. Tulikubali...
  11. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Pale Kurasini leo ulinzi ulikuwa bab kubwa sana, kulikoni?

    ulinzi wa wa leo wa namba 1 ulikuwa kabambe kwelikweli. Mara ya mwisho ulinzi wa aina ya leo ulionekana miaka minne na ushee iliyopita chini ya mwandamizi himself. Hatujazoea kuona hivyo!
  12. xbin40

    JamiiForums Tanzania Yahusu: kufungua kampuni ya ulinzi

    Naombeni kujia tips za kufungua hii biashara na atakaenipa mawazo chanya ntamtumia zaidi kama msaidizi wangu katika kampuni yangu ijayo.. Twende kazi
  13. inamankusweke

    JamiiForums Tanzania Iran imefanikiwa kuvuna taarifa nyingi za nyuklia na mikakati ya ulinzi ya israel

    Iran leo ilitangaza kuwa ilifanikiwa kukusanya taarifa nyingi juu ya program za nyuklia na mikakati ya ulinzi ya israel kwa kuwatumia waisrael Iran inesema nyaraka hizo ni nyingi zikiwa na picha mnato na mjongeo(video) Mwezi April bwana Mizrah na atio, wayahudi wa israel,walidakwa na idara za...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Askofu Mkuu SPCT aitaka Serikali kusikiliza CHADEMA: Asema Maridhiano ni muhimu kwa Ustawi wa Taifa

    Askofu Mkuu wa Makanisa ya SPCT na Rais wa Umoja wa Maaskofu, Wachungaji, Mitume, Manabii na Madhehebu ya Kikristo Tanzania, Askofu Mussa Mlawi, amemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuangalia kwa makini mvutano unaoendelea kati ya Serikali na Chama cha...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi na JKT amkabidhi Mkuu wa Majeshi wa Kwanza Mstaafu (Jenerali Sarakikya) gari jipya la kisasa

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) tarehe 06 Juni, 2025 amemkabidhi Mkuu wa Majeshi wa kwanza mstaafu Jenerali Mirisho Sam Hagai Sarakikya gari jipya la kisasa aina ya Toyota VXR nyumbani kwake Arumeru nje kidogo ya Jiji la Arusha. Akiongea muda mfupi...
  16. MTAZAMO

    JamiiForums Tanzania CCM Mnajilinda bila ulinzi

    Wakuu, Nimetafakari sana nguvu kubwa na ya makusudi inayotumika kuidhoofisha kabisa Chadema tena wahusika hawana tena hata soni waziwazi. Haya yote lengo kuu ni kukilinda chama tawala, lakini huu ulinzi mbona hauna ulinzi? Public awareness kwa yanayoendelea mbona ni sawa na kuzungusha ukuta...
  17. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Zingatia suala la ulinzi wa mali zako unapojenga hivi ni baadhi ya siri za ulinzi kama unajenga

    Ujenzi wa sasa hauishii tu kwenye muundo wa nyumba bali unapaswa kuzingatia ulinzi na usalama wa mali zako. Hapa kuna mambo muhimu ya kuzingatia ili kuhakikisha nyumba yako iko salama: 🔹 Mambo Muhimu ya Ulinzi na Usalama ✅ Ufungaji wa Milango na Madirisha Imara Tumia milango ya chuma au yenye...
  18. Tume Haki Binadamu(THBUB)

    JamiiForums Tanzania Unajua kama raia una wajibu kwenye ulinzi wa uhuru, mamlaka na umoja wa Taifa? Timiza nafasi yako

    Wewe kama raia una wajibu wa kuhakikisha unadumisha uhuru,amani na umoja katika nafasi mbalimbali ili kuimarisha huduma za kijamii na kiuchumi. Kama raia unatakiwa kudumisha uhuru,amani,umoja na kulinda rasilimali za nchi Ikiwa raia hatalinda hatotekeleza wajibu huo basi anaweza kushtakiwa...
  19. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais wetu mpendwa, akae na waandamizi wa ulinzi na usalama waje na tamko!

    Asalam aleykum!, Kwa uoni wangu hafifu, ningeliomba waandamizi na kamati zote za kiusalama, kuyajadili madhaifu yote yanayolalamikiwa na hatimaye kuja na suluhisho moja, namna jinsi watakavyojipanga kuhakikisha madhaifu yote, yanashughulikiwa kwa ukaribu pamoja na ulinzi kuimarishwa zaidi, huku...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Wakoloni waliyahusisha baadhi ya makabila kwenye Elimu, Ulinzi, Dini na Uongozi, kwanini wasukuma hawakuhusishwa licha ya idadi yao kubwa ?

    Nimekuwa nikijiuliza hili swali tangu nikiwa Sekondari na sijawahi kupata jibu. Wakoloni walikuwa wanahusisha baadhi ya jamii kwenye elimu, Biashara, Uongozi, Kueneza Dini, Ulinzi, n.k. lakini inashangaza kuona wasukuma ambao ni kabila kubwa zaidi hawakuhusihwa, why ? Ni kwamba nje ya...
Back
Top Bottom