Kibarua hiki kigumu kinakuja baada ya tamko la Waziri wa Mambo ya Ndani kuwaagiza chombo chenye dhamana ya Ulinzi na Usalama wa raia na Kali kuhakikisha wanapita Kila Hotel, Guest House, lodge, Air BnB, n.k. ili kubaini wahalifu wa uvunjifu wa Amani.
Kwa Sasa hata kukaa Bar pia siyo salama...
Mlinzi wa John Heche,take care,narudia yake care usidhanie unalinda jokeri
Yeye jukwaani ananyumba akiwa anaongea wewe umesimama pahala pamoja tu,
Take care kiapo chake ni either ufe au afe.
Hivi Tundu Lissu wakati wa kupigwa risasi kwa Nini hakuwa na ulinzi ilihali alikuwa mnadhim mkuu wa...
1. Mfumo wa Almasi
Diamond Formation ni mfumo thabiti wa ulinzi wa karibu unaotumiwa na makomando au walinzi binafsi kulinda usalama wa viongozi (VIPs) wanapotembea kwa miguu.
Mfumo huu hupangwa kwa umbo la almasi ambapo kiongozi huwekwa katikati ili kumpatia ulinzi kamili wa nyuzi 360 dhidi...
👉 Meja Jenerali Francis Ronald Mbindi ni miongoni mwa maofisa waandamizi wenye uzoefu mkubwa katika Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ). Akiwa wakili kitaaluma na mwanajeshi mwenye taaluma ya muda mrefu, ametoa mchango mkubwa katika sekta ya sheria, ulinzi na usalama wa taifa...
Matumizi ya nguvu kupita kiasi mwisho wake ni KUUA WATU KAMA 29.10.2026.
BADO HAMJAJUTA!
HATA MKIWA KABURINI MTAWAJIBIKA!
Soma Pia: RC Chalamila: Wanatamani kuleta chokochoko, nguvu tutakayotumia awamu hii kulinda amani, haijawahi kutokea
🔐 Je, unataka kuona kinachoendelea hata ukiwa mbali?
🔐 Epuka wizi na uharibifu wa mali zako.
🔐 Fuatilia biashara yako LIVE kupitia simu yako.
Smart Eye Security Services tunakufungia:
✅ CCTV Camera Installation
✅ Electric Fence
✅ Gate Motor
✅ Alarm System
✅ Biometric Attendance
✅ Access Control...
Hi
Nimependa sana hii sinema na sio maigizo, je? Si ni tofauti kati ya sinema na maigizo
Nimeona mgawanyiko huu unaenda kuwapoteza baadhi ya wananchi wengi wa kawaida ambao wachanga kwenye siasa na wasiojua lolote
Tujiandae wakuu wa nchi wakimiliki vyama tofauti na kimoja tawala, na kumuweka...
Makabidhiano ya boti ya kisasa kwa Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi kwa ajili ya kuimarisha shughuli za ulinzi na usalama katika mwambao wa Ziwa Tanganyika, hatua inayolenga kudhibiti vitendo vya uhalifu na kuongeza usalama wa wananchi wanaotegemea ziwa hilo kwa shughuli mbalimbali za kiuchumi...
Wakati kakaake Fidel akiwa Rais ye ndo kidume cha utekaji, utesaji, ufiraji, ubakaji na mauaji
Lakini hizi jinai za damu huwa haziozi. Methali za mavi ya kale hayanuki ni uongo tulikaririshwa shule. Shule zetu zile zilikuwa mbovu, ndo maana tunaagiza viberiti Kenya.
Charge sheet, hati ya...
Ulinzi wa taifa si kulinda mipaka pekee.
Ni pia kulinda misingi inayolifanya taifa libaki taifa.
Taifa hulindwa si kwa bunduki tu, bali pia kwa:
Taasisi imara,sheria zinazoheshimiwa, mahakama huru, bunge lenye uwezo wa kuisimamia serikali, uchaguzi unaoaminika, na wananchi wanaoamini kuwa haki...
KWA: Uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Viongozi Wote wa Mataifa ya Afrika.
KUHUSU: Vita Mufilisi Dhidi ya Sauti za Wananchi na Kupuuza Bomu Halisi la Kiuchumi na Usalama wa Taifa.
Waheshimiwa Viongozi,
Nawaandikia waraka huu wa wazi kutoa tahadhari ya kimkakati kuhusu mwelekeo wa sasa...
Supapawa wa Dunia akishirikiana na supapawa wa Middle East Israel wakipigana na nchi iliyowekewa vikwazo na kutengwa na Dunia kwa miaka zaidi ya 40 Iran.
Sasa tuangalie bajeti zao za ulinzi kwa mwaka 2025.
Iran
Iran's official military and security budget for the 2024–2025 period was set at...
Aliyekuwa waziri wa ulinzi wa Uganda Jacob Oboth-Oboth ameapishwa kuwa spika wa Bunge la 12 la nchi hiyo.
Oboth aliteuliwa na chama tawala cha NRM, kuwania nafasi ya spika iliyokuwa na wagombea watatu na alipata kura nyingi kati ya kura 519 za wabunge waliopiga kura.
Anachukua nafasi hiyo...
Kama kweli tuna nia ya dhati ya tume kufanya kazi zake, basi tufuate misingi ya haki.
Taasisi ya Rais kuunda tume ya kuchunguza Jinai, ina maana ya Wakuu wote wa taasisi za ulinzi, usalama wanatakiwa kujiuzulu kwa hiyari kabla tume haijaanza kazi. Ni kanuni za Utawala bora wala si hiyari.
Ndio...
Japo tunaelekea huko kwa huu utawala wa tokea kupata uhuru.Leo nchi hii unaogopa watekaji kuliko mungu na kifo.
Maisha ya naijeria ni kama serikali iliyojifia siku nyingi ila maisha yapo yana endelea tu.
Nchi imegawanyika kuanzia kikabira,udini,kitabaka mpaka kimaovu.
Kuna majimbo mengine...
Yerusalemu ni zaidi ya mji. Ni moyo wa Wayahudi, mahali ambapo historia, imani, na utambulisho hukusanyika pamoja katika vizazi vyote.
Leo tunaadhimisha Siku ya Yerusalemu na miaka 59 tangu kuunganishwa tena kwa mji mkuu wa milele wa Israeli. Kuanzia mawe ya kale ya Jiji la Kale hadi sauti...
Mfumo wa ulinzi wa anga wa **Iron-Dome**ya Israeli haina mpinzani!!
Dk. Yuval Steinitz, mwenyekiti wa Rafael Advanced Defense Systems, alisifu mfumo wa Iron-Dome wa Israeli katika hotuba yake kwa mkutano wa mikakati.
"Hakuna teknolojia inayofanana na **Iron-Dome**duniani," alisema Steinitz...
Wamiliki wa makampuni ya ulinzi binafsi wanapaswa kuwasilisha kilio chao kwa njia ya kitaalamu, kisheria na yenye hoja nzito kuhusu umuhimu wa kutungwa kwa sheria maalum ya kusimamia sekta hiyo pamoja na madhara ya kucheleweshwa kwa muswada husika.
Wanapaswa kueleza kuwa kucheleweshwa kwa...
Imenibidi niulize tena swali hili, ambalo watu wengi wameamini tu kwa kusikia/kuambiwa kwamba ni "vyombo vya dola" vinahusika na mauaji hayo.
Hivi vyombo vinavyojulikana ni polisi, Jeshi, au hata TISS?
Kuna ushahidi wowote unaoonyesha uhusika wa polisi au jeshi katika mauaji hayo?
Picha zote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.