ulinzi

  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 LHRC yaliomba jeshi la polisi kuweka ulinzi mkali uchaguzi CHADEMA

  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Chadema kwa viongozi wa kitaifa hautakua na amani, utagubikwa na vurugu na rushwa zaidi ya ule wa Bavicha na Bawacha, utahairishwa.

    Kwa hali ya uhasama ilipofikia baina ya wagombea wenyewe, lakini pia hali ya uhasama na uadui wa kweli kabisaa baina ya wafuasi wa wagombea uenyekiti wa Chadema Taifa. Posho na malipo ya kujikimu kwa wajumbe inaweza kua chanzo cha fujo kwenye uchaguzi huo. Ni dhahiri, ustahimilivu umefikia...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Vijana Wawili kwa ajili ya Kazi ya Ulinzi Dar

    Na uhitaji wa haraka sana wa kijana wa Ulinzi katika ofisi yangu. Vijana wawili watakao kuwa wanaingia kazini saa 3 usiku na kutoka saa 1 asubuhi. Majukumu ni ULINZI wa Mali zinazolala Nnje ziwe salama. Mshahara kwa mmoja ni 150,000 KAma nitapata DEIWAKA wa kulinda kwa siku mbili tatu hizi...
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hegseth, waziri wa Ulinz mtarajiwa U.S: “Nilijitolea kulinda uapisho wa Biden na nikakataliwa kwa sababu ya kuwa na tattoo ya msalaba wa kikristu"

    Jana Pete Hegseth alipokuwa anahojiwa na kamati ya bunge, alisema alitambulika kama mwenye "msimamo mkali" hivyo kukataliwa nafasi hio ya kulinda sherehe ya uapisho wa Rais Biden. Lakini cha kushangaza jeshi la Marekani linaluhusu ushoga wa kupindukia katika uongozi wake.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Ulinzi zanzibar

    Jamani Kuna anaewajua Chaka force security? Maana Kuna Uzi nimeupitia naona watu wanalalamika kuwa kazi ya ulinzi wengine hawalipwi wengine wanapewa laki Moja Yani balaa tu. Mi naomba kwa anaewajua Hawa Chaka force security je ni salama kufanyia kazi? Na pia kama unajua wanalipa bei gani naomba...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Angalizo la usalama: Hala Hala kabla ya Hatari, "Johh Pambalu aongezewe ulinzi!"

    Wametekwa kina Maria, Kibao, Soka, Kipanya na wengi wengine. Kwa hotuba hii ya John Pambalu: Bila shaka ujumbe utakuwa umewafikia akiwamo mwamba, wazi wazi kuwa: "Pesa kitu gani?" Kwamba, pesa makaratasi! Wanadhibitiwa vipi wasionunulika hawa? Kwani Lissu kushambuliwa suala la kutofika...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Shule ya Maandamano ipo Mbeya, Haya ni maandamano yaliyowahi kutikisa vyombo vya ulinzi mpaka wakuu wa mikoa kukimbia.

    2011 kulikuwa na Maandamano ya Machinga, Askari wa FFU baadhi waliuawa na mabomu ya machozi yaliisha, Muda huo Kikwete yupo njiani kuelekea Mbeya, Ilibidi watumwe JWTZ kutuliza hali (hakukuwa na majibishano yoyote na JWTZ) Kwenye maandamano mengine ya Machinga, hali ilikuwa mbaya, Mkuu wa mkoa...
  8. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Hivi mnawezaje kuwapeleka watoto wenu wa kike wakafanye kazi za ulinzi?

    Binafsi siamini katika 50/50 na sijawahi kuamini kuwa mwanamke anaweza kuwa sawa na mwanaume Inatokea mzazi unampeleka mtoto wakoJKT aje awe mlinzi wa makampuni anakesha akiwa lindo ni ajabu hii kuwa hakuna kazi nyingine? Tumeona vita nyingi duniani kama kule middle east na Ukraine Frontline...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya ulinzi ya Risk Insight iliyopo Masaki acheni kutunyanyasa wafanyakazi wenu (Walinzi)

    Wadau, leo ni tarehe 7/01/2025. Mpk sasa baadhi ya Wafanyakazi wa kampuni hii hatujalipwa mishahara ya mwezi wa December mwaka jana, cha ajabu malipo kwa wafanyakazi yamekuwa yakifanyika kwa mafungu mafungu bila taarifa yoyote kutolewa ili kuwajulisha wafanyakazi nini kinachoendelea ndani ya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tunatoa huduma ya ulinzi maeneo mbalimbali

    ESHOD & B SECURITY COMPANY LIMITED P.O. BOX 30112 KIBAHA - PWANI Simu: 0656 166 742 Barua pepe: eshodmang23@gmail.com ESHOD & B SECURITY COMPANY LIMITED tunapenda kukutaarifu kwamba tunatoa huduma bora za ulinzi kwa maeneo mbalimbali, yakiwemo: Ofisi za serikali na binafsi Shule, vyuo, na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tunatoa huduma ya ulinzi maeneo mbalimbali

    ESHOD & B SECURITY COMPANY LIMITED P.O. BOX 30112 KIBAHA - PWANI Simu: 0656 166 742 Barua pepe: eshodmang23@gmail.com ESHOD & B SECURITY COMPANY LIMITED tunapenda kukutaarifu kwamba tunatoa huduma bora za ulinzi kwa maeneo mbalimbali, yakiwemo: Ofisi za serikali na binafsi Shule, vyuo, na...
  12. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto akiri kuna matumizi ya nguvu kubwa kwenye vikosi vya ulinzi vinapokabiliana na Wananchi

    President William Ruto on Tuesday acknowledged abuses by Kenya's security forces, in the wake of demonstrations against a recent wave of alleged kidnappings that have sparked outrage in the country. Security forces in the East African nation have been accused of carrying out dozens of illegal...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima atoa pole kifo cha Graison, mtoto wa Chief Godlove Dodoma, ataka ulinzi kwa watoto

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dk Dorothy Gwajima ametoa pole kwa wazazi wa mtoto Graison Kanyenye aliyeuawa na watu wasiojulikana, huku akiwataka wazazi au walezi kuimarisha ulinzi na usalama wa watoto. Tukio hilo lilitokea Ilazo Extension jijini Dodoma...
  14. Bams

    JamiiForums Tanzania Mifumo ya Ulinzi wa Anga Yadaiwa Kuidungua Ndege ya Aburia ya Azerbaijan

    Taarifa za awali kutoka vyombo vya habari vya Urusi vimeeleza kuwa kuna dalili kuwa ndege ya abria ya Azerbaijan iliyoanguka ndani ya nchi ya Kazakhstan, ikielekea nchini Urusi, imedunguliwa na mifumo ya ulinzi wa anga ya Urusi. Taarifa zinaeleza kuwa footage ya tukio inaonesha eneo la mkia wa...
  15. Brojust

    JamiiForums Tanzania Mama yangu Raisi Samia Suluhu Hassan, waziri wa ulinzi pamoja na waziri wa miundombinu. Tumieni DK 5 tu kusoma hili juu ya SGR

    Amani ya Bwana iwe nanyi. Roho yangu binafsi inaniuma sana kuona kuna baadhi ya watu wanahujumu huu mradi wa SGR, tena wengine ni mafundi au wanahusika kwa namna moja ama nyingine. Opinion yangu; Mh Raisi na waziri wa ulinzi tengeneza taskforce kali sana, zitungiwe sheria ndogo maalumu kwa...
  16. chakii

    JamiiForums Tanzania Vita imekuwa Kali, Lissu apewe Ulinzi

    Wadau salaam.. Baada ya Mh Tundu A. Lisu kuonyesha nia ya kuwania nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa tumeona mambo mengi na matamko mbalimbali, matamko mengi ambayo hayakutegemewa ni namna Lisu anvyopigwa vita na kukatishwa tamaa, Siyo ndani ya CHADEMA Tu Bali hata kwa Vyama vingine kama CCM...
  17. britanicca

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Lissu nakushauri ongeza ulinzi

    Ninaongea haya nikiwa najua mengi !! Kwa sasa una maadui wawili 1. Ndani ya chama ambao mr Slaa alisema wamo na wanaua 2. Ndani ya Serikali watakaotumia nafasi ya nayotokea kutimiza adhma yao Britanicca
  18. Shanily

    JamiiForums Tanzania Aya 2 za mwisho za suratil Baqarah, kwa ulinzi na Kinga wakati wa kulala.

    Aya hizi ni muhimu sana kwa Muislamu kuzisoma pindi anapotaka kulala. Huleta ulinzi na Kinga dhidi ya Shari za usiku za mashetwani, majini na watu biidhnillah. Kama unawatoto ambao wamenyanyukia jitahidi uwahifadhishe wawe wanazisoma Kila siku kabla ya kulala.
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Muongozo wa ulinzi katika michezo chachu ya mbadiliko

    Na Zurima Ramadhan, Zanzibar. Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Riziki Pembe Juma amesema kuandaliwa kwa mpango mkakati pamoja na muongozo wa ulinzi katika michezo utasaidia kuimarisha ulinzi na usalama katika Sekta ya michezo na kuboresaha mazingira wezeshi ya michezo kwa...
  20. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Polisi mbona hamsemi Benk aliyehusika na utekaji wa Bonge ni ulinzi shirikishi Stendi ya Magufuli na pingu zimetoka hapo kituoni?

    Wakuu, Mnakumbuka kuna uzi niliweka kuwa baadhi ya waliomteka Bonge wanajulikana stendi ya Magufuli na wala siyo siri? Huyo Benk ni anajulikana vizuri hapo almaarufu kama Tall, baada ya tukio la bonge hakuonekana tena hapo Magufuli, na yule kaka mfupi kwenye video ni mdogo wa Benk! Hapo...
Back
Top Bottom