ulinzi

  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa anayoyaongea Lissu kuhusu uchaguzi, vyombo vya ulinzi na usalama vina machaguo matatu tu

    Habari Ndugu zanguni, Nadhani wote tumemsikia Tundu Lisu akitoa hoja zake kuhusu chaguzi zetu. Tukiacha ushabiki pembeni na kuwa Wazalendo, tutaona kwamba hoja zake ni za Kitaifa, haziegemei upande wowote wa kisiasa au kidini. Lengo lake ni kutoa mwongozo wa nini tunapaswa kufanya kama Taifa...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini tusiingie makubaliano ya ulinzi na kibiashara haswa madini na DRC , JW ingie full scale kulinda mipaka ya DRC ?

    Sina mashaka na Jeshi letu tukiamua kulipa Hilo jukumu Tuna HISTORIA nzuri sana tangu ukoloni Hadi leo Kwa Dunia ya leo vita kubwa ni ya kiuchumi Kila mmoja ana angalia mwenzake atampa Fursa Gani Leo DRC ni nchi kubwa ya kimkakati kiuchumi haswa upande wa soko la bidhaa mbalimbali za...
  3. JamiiForums Tanzania DOKEZO Kibaha kwa Mfipa kuna vibaka wanaopora na kujeruhi watu, Vyombo vya Ulinzi vikomeshe hali hii

    Huku kwetu maeneo ya Kibaha hasa Kibaha Kwa Mfipa kuna matukio ambayo ni hatari sana kwa usalama, kwani kuna vibaka wanatusumbua na wanafanya matukio yao majira ya Saa 11 alfajiri wakiwalenga wale watu wanaodamka asubuhi mapema kwenye kwenye majukumu yao. Vibaka hao wanakaba na kuwapora kwa...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 VIDEO: Viongozi wa dini wamfanyia maombi mazito ya ulinzi Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, John Heche

    Akiwa nyumbani kwao Tarime, John Heche Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Viongozi wa dini wamfanyia maombi mazito ya ulinzi pamoja na familia yake
  5. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu andaa hotuba kwa ajili ya Watumishi wa Umma na wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama

    Kwanza naomba kuanza kwa kukupongeza kwa mikakati yenu ikiwemo kuzungumza na Viongozi wa Dini ili kuunga mkono kazi nyeti mnayoifanya ya kuleta mabadiliko ya kweli kwenye Taifa letu. Watu hawa ni wa muhimu sana na kongole nyingi kwenu kwa mikakati hii. Pili kuna kundi moja nchi hii naomba...
  6. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aongezewe ulinzi wa kiroho, ni mbeba ajenda za Taifa letu pendwa la Tanzania

    Poleni na hongereni na kutafuta mkate wa kila siku. Leo Tundu Lisu ameuthibitishia uma wa Watanzania na Dunia kwa ujumla kuwa yeye yupo serious katika kuleta ukombozi wa mara ya pili dhidi ya utawala wa CCM na serikali yake , ambae ni mkoloni mweusi. Ninaomba watanzania wote wenye moyo wa...
  7. JamiiForums Tanzania Kuchezea mpira kwenye kambi ya Jeshi yenye ulinzi mkali kumetuangusha Yanga, tunashindwa kuingia uwanjani usiku kufanya mila na tamaduni

    Huu uwanja tuupige vita, yaani wanalinda wanajeshi usku na mchana, hata taratibu zetu za jadi tumeshindwa kuziingiza na kuzichimbia uwanjani... Hawa jamaa usiku kucha wanalinda kwa mabunduki. Tusikubali timu nyingine itumie uwanja huo kama nyumba ni, hatutachukia ubingwa
  8. JamiiForums Tanzania Jiji la Dodoma 2025 limetenga milioni 300 kuweka kamera za ulinzi barabarani (CCTV ) yakitokea matukio kama la Tundu Lissu 2017 zinachakachuliwa

    Badala ya kubana matumizi/ kuondoa matumizi mabaya wakati huu ambao misaada imesitishwa mathalani sekta ya afya kutoka USAID fedha kama hizi zingesaidia kuziba gaps zinanunuliwa CCTV camera ambazo ukitokea uhalifu hazitoi msaada wowote na kukaa kama mapambo tu... mfano tukio la Lissu 2017...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Tupige siasa tuzodowane ila amini ulinzi ni mkali acha kabisa

    "Nasemaje tupige siasa tuzodowane ila kwenye akili. Kumbuka ulinzi ni mkali, haijapata kutokea. Sio mipakani, sio kwenye mitaa, sio kwenye taasisi. Bwana weee, usijichanganye, utakutana na bibi na bwana. Mwana, utalia tena, sali. Wasikubambe unahujumu uchumi au una panga mambo maovu. Ukorudi...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi wahojiwa na Kamati ya Bunge Afrika Kusini kuhusu kushambuliwa kwa jeshi lao huko Goma, DRC.

    Waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi wa Afrika Kusini wameitwa mbele ya kamati maalum ya bunge ya mambo ya ulinzi na kutakiwa kunyoosha maelezo kuhusu kushambuliwa kwa jeshi lao hadi kusababisha vifo kadhaa vya maaskari wao.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Bunge la Afrika Kusini, lamhoji waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi kilichowapeleka wanajeshi wa nchi hiyo DRC

    "IT IS NOT A PEACEKEEPING MISSION, IT IS AN OFFENSIVE MISSION". Wabunge wa Afrika Kusini walipokuwa wakiongea na waziri wa ulinzi na mkuu wa jeshi la South Afrika, wameonekana kutofurahia kitendo cha badhi ya watu kuamuwa wenyewe kupeleka wanajeshi nchini DRC, kwa kisingizio cha kulinda amani...
  12. JamiiForums Tanzania Ulinzi uwe kipaumbele historia ya Habyrimana na Ntaryamira isijirudie

    Marais wa EAC na SADC wasicheke na Rwanda, Uganda na waasi...... chochote kinawezekana....ni aheri kuogopa nyasi kuliko kun'gatwa na nyoka. Waasi wakitangaza kusitisha mapigano mara nyingi kuna jambo wanalipanga. DRC na Burundi kuweni makini....mnaweza kuwa mkutanoni na PK mkiwa mnarudi...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri wa ulinzi wa Africa Kusini

    Anaitwa Angie Motshekga, ana miaka 70, ni mwalimu kitaaluma.
  14. JamiiForums Tanzania Athari za Mfumo wa Kichama kwa Idara za Usalama na Ulinzi Kabla na Baada ya Uhuru

    Kutoana na kutoka ukoloni mpaka kuwa watawala kuna utofauti kati ya idara za usalama na ulinzi kabla na baada ya uhuru, hasa katika muktadha wa Afrika na mataifa mengine yaliyojitawala kutoka kwa wakoloni. Kabla ya uhuru, idara za usalama na ulinzi mara nyingi zilikuwa zikitumika kama vyombo...
  15. JamiiForums Tanzania Ushauri: Uhamiaji irudishwe wizara ya ulinzi

    Nashauri Uhamiaji irudishwe Wizara ya ulinzi wafanye kazi na JWTZ. Katika nyakati hizi ambazo Wizara ya Mambo ya ndani ni very corrupt nashauri Uhamiaji uwe chini ya TPDF. Maana JWTZ wanahusika na Mambo ya ulinzi wa mipaka ya nchi hivyo nashauri wawe ndio wakaguzi wa uraia wa watu wote...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa nini Msumbiji iliwakabidhi Rwanda majukumu ya kusaidia ulinzi badala ya nchi majirani zake wa SADC?

    Kutokana na uasi uliochanganyikana na ugaidi kushamiri katika jimbo la Cabo Delgado mwaka 2021 serikali ya Msumbiji baada ya kuzidiwa sana waliingia makubaliano na nchi Rwanda kupeleka majeshi yake katika jimbo hilo kurudisha hali ya utusalama na utulivu. Baada ya kuona ufanisi mkubwa wa kikosi...
  17. JamiiForums Tanzania Usalama wa nyumba zilizozungushiwa nyaya za umeme za ulinzi au electric fence

    Nyumba zilizozungushiwa nyaya za umeme za ulinzi au electric fence zinaonyesha ziko salama sana maana zinadili na njia kuu ya wizi au ujambazi kufanyika. Mara nyingi huduma hii inaambatana na uwepo wa cameras ili kuongeza zaidi ulinzi. Umewahi kusikia uvamizi umefanyika katika nyumba zenye...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi na JKT afanya ziara Wilayani Monduli kuzungumza na viongozi wa jamii ya wafugaji

    Januari 24, 2025, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt Stergomena Tax (Mb) amefanya ziara ya Kikazi katika Wilaya ya Monduli mkoani Arusha na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Kimila wa jamii ya Kimasai, Viongozi wa Vijiji na Madiwani, katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya...
  19. JamiiForums Tanzania Marekani yapata waziri wa ulinzi mlevi wa kupindukia.

    Waziri wa Ulinzi mpya wa Marekani, Pete Hegseth aliyeteuliwa na Trump na kupitishwa na maseneta walio wengi wa upande mmoja tu wa Republicans ni mlevi wa kutupwa wa pombe. Huyu bwana aliyekuwa mtangazaji wa Fox News inasemwa huwa anaweza kupiga tungi kuanzia asubuhi hata anapokuwa kazini. Watu...
  20. JamiiForums Tanzania Walinzi wa Rais Mwinyi wamenikumbusha enzi ya awamu ya tano huku bara

    Rais Mwinyi wa Zanzibar ana ulinzi wenye madoido na wa aina yake. Amenikumbusha enzi ya awamu ya tano chini ya hayati John Pombe Magufuli. Hongera sana Rais Mwinyi!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…