ulinzi

  1. E

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama mtafikiwa tu mwenzako akinyolewa zako tia maji

    Ni ahadi naiona ikitimia. Walianza njia ya kuwatoa ni kuwapeleka ubalozini kama nchimbi na polepole soon mtawekwa kizuizini kama VP au kusikojulikana kama polepole joka limechoka kunywa damu za malayman
  2. JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa ajabu: watu wanacheza mziki mpaka wanakufa

    Fikiria unatembea mtaani, kisha unamwona jirani yako anatoka nje na kuanza kucheza muziki katikati ya barabara. Hakuna spika, hakuna radio, wala hakuna wimbo wowote unaopigwa... lakini anacheza kwa kasi kubwa huku akivuja jasho. Baadaye jirani wa pili anajiunga naye, wa tatu, na ndani ya siku...
  3. JamiiForums Tanzania Afunga Wi-Fi ya Bure Usiku Kupata Ulinzi wa Vijana Bila Gharama

    TAMALE, GHANA – Mmiliki mmoja wa jumba kubwa la kifahari (mansion) katika mji wa Tamale nchini Ghana, amegundua mbinu ya kipekee na ya kijasusi ya kuimarisha ulinzi wa nyumba yake kwa kutumia teknolojia ya internet. Mwanaume huyo, ambaye ripoti zinasema alikuwa akikabiliwa na changamoto ya...
  4. JamiiForums Tanzania Nimedokezwa, Palamagamba Kabudi ameongezewa ulinzi kuelekea Mkutano wa Dharura wa CCM huko Dodoma

    Je ndio mrithi ajaye baada ya huyu wa sasa aliyekaliwa kooni?
  5. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi, Dkt. Nyansaho akutana na wazee waliopigana vita, Baba Levo naye atoa neno

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Rhimo Nyansaho (Mb) tarehe 23 Agosti 2026 alifanya ziara Mkoani Kigoma na kukutana na Wanajeshi Wastaafu waliopigana vita.
  6. JamiiForums Tanzania Ulinzi na usalama nchini Tunzania

    Nchi ipo uchi kwenye suala zima la ulinzi wa wa mipaka na mambo ya ndani, na ikitokea hata nchi ndogo ya Rwonda ikavamia ndani ya Tunzania itajichukulia maeneo kwa urahisi sana. Wananchi wa Tunzania wako tayari hata kuisaliti nchi yao kwa kuwasaidia maadui kuiangamiza nchi yetu. Huu ni...
  7. W

    JamiiForums Tanzania MASTERCLASS: Jinsi ya Kutumia Samsung Modes & Routines Kuimarisha Ulinzi wa Simu Yako

    Modes and Routines (Zamani zikiitwa Bixby Routines kwenye simu za Samsung) ni kipengele kinachowezesha simu yako kujiongoza yenyewe (automation) kufanya mambo mbalimbali kulingana na wakati, eneo, au kile unachofanya. Wazo kuu la kipengele hiki linategemea "Kama (If) ... Basi (Then)": Modes &...
  8. JamiiForums Tanzania Mwanahalisi: Nchimbi agoma kujiuzulu

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Dk. Emmanuel Nchimbi, "amegoma kujiuzulu," kwa mujibu wa gazeti la Mwanahalisi. Taarifa mikononi mwa gazeti hilo zinasema, Dk. Nchimbi amekuwa akikabiliwa na shinikizo la kumtaka kujiuzulu wadhifa wake, kufuatia kuibuka kwa madai ya kutoelewana na bosi...
  9. JamiiForums Tanzania Ulinzi kwake ni Muhimu kabla ya 13:08:2026

    Akae rada sana
  10. JamiiForums Tanzania IGP Wambura Azindua Call Centre Ya Dawati La Jinsia Na Ulinzi Wa Mtoto

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Camillus Wambura, leo Julai 31, 2026, amezindua rasmi Call Centre ya Dawati la Jinsia na Ulinzi wa Mtoto wakati wa kufunga Mkutano Mkuu wa Dawati hilo uliofanyika mkoani Dodoma. Call Centre hiyo imeanzishwa ili kuboresha upokeaji na ushughulikiaji wa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nchimbi unawatakia nini vijana ? Ya tarehe 29 uliyakalia kimya unataka vijana waingie barabarani kwa ulinzi upi ?

    Na katika hali ya sasa katiba imeshindikana kabisa kupatikana kwa njia ya kidiplomasia Kwa muda mrefu zimekuwa ni sinema zetu za kujirudia Vijana wengi sana tumewapoteza waliouwa wakitaka katiba mpya na kilele kilikuwa ni October 29 Je muda huo Nchimbi alikuwa wapi akikemea ? ndie anataka...
  12. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ali Nuno Aonya Wanasiasa Wanaofadhili Goons: Serikali Itaondoa Ulinzi Wao

    Kamanda wa Polisi wa Pwani, Ali Nuno, ametoa onyo kali kwa wanasiasa wanaodaiwa kufadhili makundi ya wahuni (goons), akisema kuwa serikali haitaendelea kutoa ulinzi kwa viongozi watakaobainika kutumia au kufadhili makundi hayo kutekeleza vitendo vya vurugu. Akizungumza na wanahabari, Nuno...
  13. JamiiForums Tanzania Dkt. Rhimo Nyansaho: Miaka 99 ya Jeshi la China iwe chachu ya kuimarisha ushirikiano wa Ulinzi na Tanzania

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Rhimo Nyansaho (Mb), amesisitiza umuhimu wa kuendeleza ushirikiano kati ya Tanzania na China katika diplomasia ya ulinzi ili kuimarisha usalama, maendeleo na uchumi endelevu wa mataifa hayo. Dkt. Nyansaho amesema hayo tarehe 21 Julai, 2026...
  14. JamiiForums Tanzania Maelezo kwa undani jinsi mifumo ya Marekani ya ulinzi dhidi ya makombora ya masafa marefu inavyofanya kazi

    Marekani hutumia mfumo wa ulinzi wa tabaka nyingi (layered missile defense system). Mfumo huu haufanyi kazi kwa kutegemea kifaa kimoja tu, bali ni mtandao wa satelaiti, rada, kompyuta, na makombora ya kujihami unaofanya kazi kwa pamoja. Hatua zake kuu ni hizi: Ugunduzi wa mapema (Early Warning)...
  15. JamiiForums Tanzania Inapofikia mahala vyombo vya ulinzi kushiriki "dirty jobs" za kisiasa ndani ya nchi. Ni dalili mbaya kwa Taifa

    Sheria yenye utata ya Usalama wa Taifa namba 2 ya mwaka 2023, ilitungwa mahususi kwa ajili ya kushughulikia wanasiasa wanaoipinga CCM. Sehemu kubwa ya sheria hiyo inakiuka weledi na misingi ya utawala bora. Waemepwa uwezo wa kukamata na haielezwi wakikamata wanamdetain wapi mtuhumiwa. Imetoa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya maridhiano nini kinafuata, uchaguzi unarudiwa au, Isije kuwa ni maridhiano ya kugawana vyeo maana kila baada ya uchaguzi maridhiano

    Kwa akili ya kawaida mnapokuwa na mgogoro mnatafuta sababu za mgogoro harafu ndo mnakubaliana kuutatua huo mgogoro , Hapo ili kupata suruhu huwa tunatafuta mtu watatu ambaye atakaa katikati kuhakikisha pande zote mbili zinaridhia yale yaliyojadiliwa na kuafikiwa yanatekelezwa. Kama sababu za...
  17. JamiiForums Tanzania Maandamano yaruhusiwe na yapewe ulinzi, yasije anzia kwenye viwanja vya maonyesho ya Sabasaba

    Hamjambo! Najua wahusika mpo humu na mnanisoma mara kwa Mara. Vitisho sio njia pekee ya kutuliza mambo. Njia nyingine ni kutoa mlango wa uani wa Faraja na matumaini. Faraja kwa maana yakuwa watu kwa mujibu wa Katiba na sheria wanayohaki ya kuandamana na kutoa maoni Yao, kutoa madai Yao, kwa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania JWTZ wazalendo waungeni Wananchi 7/7, Viongozi wazalendo kumbukeni mafunzo yenu kutoka chuo cha Taifa cha Ulinzi, kuhusu usalama wa Taifa

    Usalama wa Taifa si tu kutokuwepo kwa vita, usalama wa Taifa unahusu umoja wa Kitaifa, Utulivu wa kisiasa, uchumi, teknolojia, masuala ya kijeshi na mazingira. Chadema kimekwisha kuwa chama cha kitaifa kutumia taasisi za serikali kama Jeshi, polisi na usalama kukizuia kufanya kazi ni...
  19. JamiiForums Tanzania Ninaliona tatizo kubwa kwa kamati ya kuu ya ulinzi na usalama wa Taifa letu, HAYA matamko ya wanasiasa ni ushauri wao kweli? 29/10 mlikuwa wapi?

    Sijui ninayo yaona ndiyo mnayoyaona, ILA kiukweli simwamini Katambi, Wala simwamini mwiguru kama kweli Taifa lipo hatarini kuchafuka, km ni kweli kwanini hawakuona hatari ya 29/10/2025?
  20. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi wa Israel Israel Katz amuonya Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Iran, Esmail Qa’ani!!!

    Waziri wa Ulinzi wa Israeli Israel Katz katika taarifa yake kwa Kiajemi: Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Iran, Esmail Qa’ani, hivi karibuni amekuwa akituma vitisho vingi dhidi ya Israeli. Inaonekana picha ya mshirika huyo ilimfaa zaidi kuliko mkao huu wa vitisho vya kipuuzi. Kwa vyovyote vile...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…