ulaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ryan riz

    Baada ya kupitia historia ya siasa ya Afrika,nimegundua 80% ya nchi za Afrika ni majimbo ya nchi za Ulaya na Marekani na marais ni kama ma Governor Tu

    Leo nimepitia karibu nchi zote za afrika historia ya siasa zao na namna uongozi unavyopatikana nchi hizo..kimsingi nchi zetu hata zile ambazo zinaonekana zimetulia hazina vita vya wenyewe kwa wenyewe ujue kuna nguvu kubwa nyuma wanasaidiwa na hizi nchi za kimagharibi pamoja na marekani kwa kiasi...
  2. Intelligence Justice

    Mataifa ya Marekani, Umoja wa Ulaya, Japan na Mamluki wote msithubutu kuishitaki, kuweka vikwazo na kupandikiza magaidi Tanzania mtajuta

    Wakuu, Inaelekea mataifa tajwa hapo juu wamejizatiti kuendelea kuhuju ustawi wa Tanzania. Kifupi hizo nchi zisithubutu kushitaki popote, kupanga njama za kuvamia, kuhujumu ustawi wa nchi kwa kutumia mamluki, wasaliti na vibaraka wao. Mataifa tajwa hapo juu hawana maslahi yoyote na madai ya...
  3. Roving Journalist

    Hotuba ya Rais Magufuli kufungua Bunge la 12: Utumbuaji majipu utaendelea ili kuhakikisha Watumishi wanatenda kazi kwa mujibu wa Sheria na Kanuni

    Kwa sasa anaeongea ni spika wa Bunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na anasema kikatiba wabunge wanaotakiwa ni 393 jumla na waliopo ni 359 wakisubiri wabunge watano kutoka baraza la wawakilishi, wateule 10 wa Rais, viti maaum kutoka vyama vingine. Kwa sasa spika anamkaribisha Rais Magufuli...
  4. Analogia Malenga

    Umoja wa Ulaya wataka wabunge 4 walioachishwa kazi Hong Kong kurejeshwa katika nafasi zao

    Umoja wa Ulaya umeitaka China leo kubatilisha mara moja sheria zake mpya zilizopelekea kupigwa marufuku kwa wabunge 4 waliochaguliwa, ikisema uamuzi huo ni pigo kubwa kwa utawala wa ndani wa Hong kong. Katika taarifa nchi ishirini na saba za Umoja wa Ulaya zimesema hili ni pigo kubwa kwa uhuru...
  5. S

    Mtazamo: Tundu Lissu atafanikisha Godbless Lema kuondoka nchini Kenya na kupata hifadhi katika nchi mojawapo ya Ulaya au Marekani

    Kwa mtazamo wangu, pamoja na Godbless Lema na familia yake kupewa hifadhi ya kisiasa nchini Kenya, Lema na familia yake watakuwa salama zaidi iwapo wataishi nje ya region hii ya Afrika Mashariki na zaidi wakiwa Ulaya,Marekani au kwingineko licha ya ukweli kuwa hadhi ya ukimbizi aliopewa nchini...
  6. Analogia Malenga

    GE2020 Umoja wa Ulaya (EU) wasikitishwa na baadhi ya mambo katika Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

    Umoja wa Ulaya (EU) umesikitishwa na kitendo cha kuiminya mitandao ya kijamii kabla na baada ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 28 ambao umelalamikiwa kuwa na viashiria vya udanganyifu. Pia wamesikitishwa na malalamiko ya upinzani kutopewa nafasi sawa pamoja na kuwa na nafasi finyu kwa...
  7. Roving Journalist

    GE2020 Mara: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mara. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Mara una jumla ya majimbo ya uchaguzi 10 ambayo ni Bunda Mjini: Robert Maboto(CCM) - Kura 31,129...
  8. Dr Akili

    Nchi zilizoendelea kama za Ulaya, Marekani na China huwa zinaongeza mishahara ya watumishi wa umma kila mwaka?

    Nchi masikini zenye uchumi unaoyumba (unstable economy) na mfumuko mkubwa wa bei (high inflation rate), hulazimika kila mwaka kuongeza mishahara ya watumishi wake ili kujaribu kukabiliana na mfumuko wa bei. Ongezeko hilo la mishahara kwa kawaida huwa ni kiduchu lakini matokeo yake huwa ni...
  9. gimmy's

    TBC, kipindi cha Bongo Kama Ulaya mnarudia maudhui yaleyale kila siku

    Tunajua hiki kipindi cha Bongo Kama Ulaya kipo kwa ajili ya kukusanya kura tar 28 lakini kwa sasa hiki kipindi kinaboa. Kila siku madaraja ya juu na treni za mwendo kasi, sidhani kama mmejipanga vizuri. Habari inanoga kama huwezi kutabiri kabla ya kuiona/kuisikia lakini hiki kipindi kikifika...
  10. S

    Picha: Dar es salaam kama Ulaya!

    Angalia jinsi jiji la DSM linavyopendeza kwa Sasa.
  11. MK254

    Hii miradi inaifanya Nairobi kuwa zaidi ya Ulaya; wenzetu njooni mtalii, hamna haja ya kwenda Ulaya kushangaa shangaa

    Majirani wanajitutumua wafanane Ulaya, ila sisi tunapambana tuwe bora zaidi ya Ulaya. ======== Some of the projects undertaken in Nairobi TWITTER A number of Nairobi estates have had an upgrade in terms of infrastructure development with intervention from the county government, the national...
  12. Dr Akili

    Ameshaanza kuunga mkono juhudi na kukiri kwamba tuko kwenye right track kuelekea kuwa kama Ulaya

    Hii likizo ya siku saba inaonekana anaitumia vizuri kujifunza kuelewa nchi yetu sasa hivi iko hali gani baada ya kuiacha miaka mitatu iliyopita. Ndani ya siku moja tu ameshaanza kuunga juhudi za Magufuli kwamba tuko kwenye right track kuelekea kuwa kama ulaya kwa mfano: 1.Kwa mfano amekubali...
  13. Amri97

    Mambo ya Ulaya bhana. Willow Smith ampongeza mamake kwa kuchepuka

    Willow Smith ambaye ni mtoto wa kike wa star wa filamu Marekani Will Smith (52) amempongeza mama yake mzazi Jada Pinkett (49) kwa kumwambia ukweli baba yake mbele ya TV Show yao ya " Red Table Talk" kama alichepuka na mwanaume mwingine ambaye ni mwanamuziki August Alsina (28).
  14. J

    GE2020 Askofu Gamanywa: Nimefanya utafiti wa soko la almasi na Tanzanite huko Ulaya, tumeibiwa sana Rais Magufuli ni Mwokozi

    Askofu Gamanywa amesema Tanzania imeletewa Rais Magufuli na Mungu ili aikomboe kutoka mikononi mwa mabeberu. Gamanywa amesema baada ya kufanya utafiti huko Ulaya amegundua mabeberu wametuibia sana na Rais Magufuli ameletwa na Mungu kuja kutuokoa watanzania. Gamanywa alikuwa katika majadiliano...
  15. The Mongolian Savage

    Mbona Freemason kitengo cha Ulaya hakipendelei kafara kama kitengo cha Afrika

    Mzuka wanajamvi! Hatujawahi kusikia watoto au ndugu wa Bill Gates, Jeff Bezos, Mak zugeberg na wengine matajiri ulaya wakipoteza maisha kizembezembe. Je, Freemason kwa kutoa kafara ni wabaguzi wameegemea tu huku kwetu Africa? Ama Africa kafara zetu zinathamani sana? Yani unakuta mmatumbi...
  16. YEHODAYA

    Kishindo cha Rais Magufuli katika Diplomasia na Uhusiano wa Kimataifa

    Raisi Magufuli awashangaa wanaodhani kujenga diplomasia ya mahusiano ya kimataifa ni kufanya safari za kwenda ulaya!! Raisi Magufuli atema cheche asema asema ana mialiko ila hataenda atatuma balozi yeye anajenga nchi Ninakubaliana naye Uingereza na Marekani wana mahusiano mazuri sana na nchi...
  17. M

    Mifano ya uongozi na maendeleo anayoitoa Lissu kutoka Ulaya ni kujitoa fahamu au ni ushamba

    Tokea kampeni zimeanza nimekuwa nikisikiliza sera za mwanasheria na mtetezi wa haki za binadamu tundulisu lakini mara nyingi akitoa hoja zake lazima aseme "NDIVYO ULAYA WANAFANYA" amekuwa akiyasema akitolea mfano wa bima ya afya na utawala wa majimbo, NK: Nimewaza sana ni ushamba, ujinga au...
  18. Sam Gidori

    Ugiriki: Maelfu ya wakimbizi wameachwa bila makazi baada ya moto mkubwa kuunguza mahema

    Maelfu ya wakimbizi wameachwa bila makazi baada ya moto mkubwa kuunguza mahema katika kambi kubwa zaidi ya wakimbizi barani Ulaya ya Moria iliyopo katika kisiwa cha Lesbos nchini Ugiriki, kisiwa chenye uwezo wa kuhifadhi wakimbizi 3,000 lakini chenye idadi ya wakimbizi 13,000. Chanzo cha moto...
  19. MK254

    Kenya yazidi kunufaika pakubwa na zao la parachichi kwenda Ulaya

    Tuendelee kutia bidii bandugu.... Horticulture earnings in the first eight months of the year rose to Sh101 billion from Sh97 billion in similar period last year, as more countries opened up their economies on easing of Covid-19 restrictions. The earnings were boosted by higher demand of...
Back
Top Bottom