ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania CCM ndio kila kitu, wengine ni watapia mlo tu, ndio ukweli

    Chama cha Watanzania ni CCM, tulieni, Watanzania walio wengi ,na hawa wachache ni wa vyama vingine ambavyo zaid vipo kikanda au kiukoo mfano, wapemba wachaga na kadhalika. Ifahamike inaposemwa kiukoo au kiukabila usiangalie viongozi zaidi angalia wafuasi na viongozi wao, wengi wanakuwa kutoka...
  2. JamiiForums Tanzania Salome Makamba: Uchumi wa Tanzania umesimama tu tangu 2001. Rais haambiwi ukweli na wateule wake

    Dodoma. Mbunge wa Viti Maalum Salome Makamba aliyefukuzwa Chadema amesema itachukua zaidi ya miaka 60 ili kufikia pato la dola 1,500 kwa mtu mmoja kwa mwaka. Makamba alisema tatizo hilo linatokana na uchumi wa Tanzania kusimama tangu mwaka 2001 na kudai wateule wanashindwa kumwambia ukweli Rais...
  3. JamiiForums Tanzania Ukweli Usemwe: Ubovu wa Album ya Rayvanny umechangiwa na kutengwa na kupuuzwa na Mameneja wake

    Wasalaam wana jamvi. Bila shaka kila mtu amepata wasaha wakupitia na kusikiliza Album ya Msanii Rayvany basi utakubaliana nami na utaungana na wengi ni mmoja ya wasanii waliotoa album mbovu kwa sasa hapa nchi. Na ndio maana ni wazi kabisa Album za kina Harmonize na Darassa basi zinaendelea kuwa...
  4. JamiiForums Tanzania CCM tuambiane ukweli: Ushindi wetu wa 2020 haunogi kabisa. Tunatokaje hapa?

    Raha ya ushindi ni kunoga kwake. Raha ya uchaguzi ni kushinda halafu kutamba kama mwenye magamba membamba. Kunyakua kiti cha Urais; viti vya Ubunge na Udiwani kufuatiwe na 'utamu' wa kidemokrasia. Kati ya mihimili ya dola iliyopo: Serikali, Bunge na Mahakama, Bunge ndiyo uwanja wa kisiasa...
  5. JamiiForums Tanzania Je, kuna ukweli kuwa Afrika hatuathiriki sana na Covid-19 kwasababu tunaendelea na maisha bila Hofu?

    Hello JF, Je, ni kweli wa Africa hatufi sana na Corona sababu tunaendelea na maisha yetu ya kawaida bila UOGA? Uoga unaleta stress ambayo ina lower immunity make you vulnerable to the virus infection. Sisi hatuna hio stress. I just think mfano England, those 'daily briefings' send people to...
  6. JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe: Nandy ni msanii namba moja wa kike ambaye tumebarikiwa kwa sasa

    Wasalaam wanajamvi. Kama mnakumbuka ujio wa Nandy alianza baada ya Ruby kukorofishana na Clouds media. Watu wengi nikiwapo mimi walikuwa wana doubt sana kipaji cha Nandy toka awali.. na kama kipindi kile watu walikuwa wakimsikia Nandy basi utawasikia wakisema hamna kitu huyo ameletwa kumfunika...
  7. JamiiForums Tanzania Mbunge anasema hakujawahi kuwa na chanjo ya Malaria; Waziri msomi yuko kimya. Ukweli tujitizame, kuna mahali hapako sawa

    Nimemsikiliza Mbunge mmoja bungeni jana kama sijakosea ni Mbunge wa Maswa, akisema Wazungu wanabagua aina ya magonjwa na chanjo zake ili watufanyie biashara. Akatolea mfano wa Malaria kuwa hawajawahi kutafuta chanjo huku wakijua ndiyo inauwa watu wengi Afrika. Na, wanahangaika na chanjo ya...
  8. JamiiForums Tanzania Kuna mambo inabidi tukubali ukweli tu.!

    Habarini wana nzengo.! Ni hivi , kuna mambo ni muhimu kukubali ukweli tu ili kuepusha magonjwa ya kujitakia . Swala la mwanaume kuwa pekeake kwa mwanamke haliwezekani , na swala LA mwanamke kuwa peke ake kw mwanaume labda mpk shetani aokoke .! Kwa sasa nimetulia nikijaribu kuset mind yangu...
  9. JamiiForums Tanzania Huu ndo ukweli wangu

    My best Politician Nelson Mandela because he forgave his opponents and tormentors , this proved that man was matured enough to know the real meaning of Best revenge is forgiveness , so I appreciate him as my hero politician. My footballer is Mess , because has achieved to dominate on top 10 yrs...
  10. JamiiForums Tanzania Tufikie hatua tutumie akili na tuambiane ukweli. Wazungu wanatuua kirahisi tu

    Hivi ni kweli kwamba wazungu wametaka kutuua na kutufanya tusizaane kwa kupitia chanjo ya Korona? Sidhani. Watoto wetu nasi toka tunakuwa tumepata chanjo za tetenasi, pepopunda, sulua/surua n.k kwa miaka mingi. Na ushahidi wa chanjo ya Ndui upo begani mwa kila Mtanzania. Hizi chanjo sisi...
  11. JamiiForums Tanzania Radio Free wakatisha matangazo ya BBC baada ya Padre kufunguka ukweli kuhusu Corona

    Katika hali ambayo isiyo ya kawaida kwa sisi wasikilizaji wa BBC kipindi cha jioni. Radio Free wamekata ghafla matangazo ya BBC wakati Padre akielezea juu ya tahadhari ya Corona. Katika mahojiano hayo, Padre alisema kuwa kipindi cha nyuma wao kama viongozi wa dini walikuwa wakiitwa mara chache...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Wanasheria wa nchi hii mko wapi? Simameni muwaambie akina Mwigulu Nchemba ukweli kuhusu haki katika sheria zetu

    Law is an art, na sisi kama Taifa katika Sheria tumerithi doctrines mbalimbali kutoka common law na hivyo suala la kujua Kiingereza (English) haliepukiki! Tanzania tunajenga utamaduni wa ajabu sana kwamba kama mtu fulani au kikundi fulani hakijui jambo fulani badala ya kuwekeza katika kujifunza...
  13. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Hakuna ndoa ya mume na mke kuishi sehemu tofauti

    Hapa naweza kurushiwa mawe ila mara nyingi mimi huwa napenda kuwaambia watu ukweli. Hakuna ndoa ya mume na mke kuishi sehemu tofauti kwa kipindi kirefu bila sababu za msingi. Ni vyema kama mume na mke mnafanya kazi nchi, mkoa au wilaya tofauti kabla ya kufunga ndoa mkubaliane aidha mmoja ahamie...
  14. JamiiForums Tanzania Upinzani mmezimishwa sio kama hamtaki kusema

    Nani asiye wajua jinsi mlivyo na shobo za kisiasa? Jinsi mnavyojua kuyavalia bango makosa ya CCM na serikali yake. Eti mnazuga mmeamua kukaa kimya baada ya kuona mlidhurumiwa uchaguzi mkuu! Mlidhulumiwa nini? Nirudi kwenye hoja kuu, ninyi wapinzani njaa mpate skendo ya kweli ya ufisadi ambayo...
  15. JamiiForums Tanzania NYUMA YA PAZIA: CHADEMA ilivyosalitiwa 2015 - Dkt. Slaa

    (Pichani kitabu kikianza kupatikana kwa Wabunge, Dodoma) UPDATE: Kuna watu wanaulizia jinsi ya kupata nakala ya kitabu cha "Nyuma ya Pazia" cha Balozi Dkt. Wilbrod Slaa. Sasa kinaweza kupatikana baadhi ya mikoa: Mbeya Piga Simu: 0759829015 Arusha Piga Simu: 0716505921 Dodoma Piga Simu...
  16. JamiiForums Tanzania Ukweli wa mume wake ulibadilisha tabia yake na akawa mke mwema

    Yasmin ni mwanamke mrembo. Tatizo kubwa alikokuwa nalo Yasmin hakuweza kuwa kwenye mahusiano na mwanaume mmoja. Akiwa kwenye mahusiano, huyo mwanaume akisafiri lazima apate Kiserengeti cha kumliwaza. Hii ilipelekea mahusiano yake mengi yasifike kwenye ndoa baada ya habari kuvuja. Alitokea...
  17. JamiiForums Tanzania Ukweli huwa haujifichi - Kilichomleta Filipe Nyusi

    Credit: Mozambique, Tanzania hold talks on security amid LNG delay worries - News for the Oil and Gas Sector (energyvoice.com) Mozambique and Tanzania have held high-level talks on a number of issues, including terrorism in Cabo Delgado, as Total pushes for more security. The French company...
  18. JamiiForums Tanzania Ukweli lazima Usemwe: kwaiyo Wanawake wote wa Hitwe nyie mikoa yenu ni Dodoma, dar, Arusha na Mwanza, hakuna wa Ruvuma au Mara,

    Ndio nimeingia na mimi huko nami ni mfatiliaji mzuri tu, Sema kinanishinda kitu kimoja Wanawake wote wa huko ni hiyo mikoa ya Dar, Mwanza Arusha na Dodoma ndo wengi, Sijaona wa iringa au Makambako ama wa Rusumo🤦😂, Wanawake mnakwama wapi kuweni kwenye hiyo Mikoa nasi tufaidi alaaa, Sasa...
  19. JamiiForums Tanzania Tuambiane ukweli: Tanzania hakuna utawala wa kidikteta

    Kabla ya kujadili mada husika napenda kuwakumbusha wadau kuwa utawala wa kidikteta huwa unakuwa na sifa kubwa mbili, kwaza hakuna demokrasia hii ni sababu hakuna uchaguzi. Maana wanaotawala huingia madarakani kwa mabavu. Pili ni utawala usiofuata misingi ya katiba na sheria. Kwa sifa hizo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…