ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Chanjo: Ufahamu Ukweli Ukuepushe na Makanjanja

    Uliokuwa ugonjwa kama yalivyo mengine, ulifanywa siasa hatimaye kuwa vita tokea kwa mabeberu na watu wakaaminishwa hivyo. Badala ya gonjwa kuwa chini ya wataalamu wa Afya, Sirro na hata wasiojulikana na mabunduki yao wakajiunga kwenye harakati hizo kama watendaji wakuu. Tulipo leo ni kwenye...
  2. JamiiForums Tanzania Video: Maelezo ya kina ya Daktari wa Tiba za asili juu ya Chanjo ya Corona. Je, kuna ukweli wowote?

    Huyu ni daktari mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 50 katika nyanja ya tiba za asili, na haya ni mawazo yake juu ya chanjo ya Corona. Kwakuwa kila mtu ana uhuru wa maoni, basi naomba tumsikiliza ana nini cha kutueleza. Video ipo chini
  3. JamiiForums Tanzania Ukweli utakaojitokeza juu ya Hukumu ya Kesi ya Bernard Morrison ambao Msemaji Bumbuli na Mawakili Uchwara wa Yanga SC hawaujui

    Siku zote Watu wa Simba SC ambao 99.99% si tu kwamba ni Wasomi bali pia tumebarikiwa Akili Kubwa ili tuweze kutoa Elimu kwa Mashabiki wenye bahati mbaya ya kuwa na Upeo mdogo pamoja na Uelewa mbovu kama wa Yanga SC. Hivyo basi kwa Faida ya Watu wenye Uelewa mdogo wa Kufikiri kutoka Yanga SC...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Nani wanahusika kuiba kura kwenye uchaguzi

    FORMER TANZANIAN INTELLIGENCE OFFICER: IN A FREE AND FAIR VOTE, THE OPPOSITION WINS by Evarist Chahali ( ni article ya 2015 but worthy reading) Jasusi, who is going to win the election?.” This is a question I have been asked a lot lately. “Jasusi” is a Swahili word for spy – the moniker I am...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu biashara ya Vanilla

    Wadau Naomba kujua ukweli kuhusu biashara ya Vanilla ambayo inatangazwa sana na jamaa wa Vanilla International wa Vanilla Village wa kule Njombe. Kwa mahesabu ambayo wamenipa naona faida yake ni mamilioni ya shilingi kwa mfanio ukiwekeza 10m faida yake kwa mwaka huo uikshavuna na kuuza...
  6. JamiiForums Tanzania Walitumia nguvu kubwa kuwatisha watu juu ya chanjo, leo wanashangaa wananchi kuogopa chanjo

    Toka chanjo imetoka, serikali chini ya Magufuli imekuwa inaweka hofu kwa wananchi juu ya usalama wa chanjo. Rais alisema waziwazi kauli za kupinga chanjo. Alisema kama wazungu wanaweza kutengeneza chanjo basi wangetengeneza chanjo ya UKIMWI. Watu kama Kigwangalla wakatoa kauli kupinga chanjo...
  7. J

    JamiiForums Tanzania #COVID19 NIMR: Chanjo zitakazotolewa Nchini ziko salama kwa asilimia 99.9

    Baada ya ufafanuzi mzuri wa kisayansi uliotolewa na Mkurugenzi mkuu wa NIMR Profesa Yunus Mgaya kupitia Clouds tv sitashangaa kumuona Askofu Gwajima akibadili mawazo na kutimba Ikulu kupata chanjo hapo kesho. Prof Yunus Mgaya amesema chanjo ya Johnson & Johson inaweza kuwaathiri watu 4 tu...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ukweli lazima usemwe, aliyetufikisha hapa ni Nyerere

    Watu huwa wanamsifia Nyerere kwa mengi. Ila kitu ambacho kinadefine legacy yake mpaka sasa ni hili janga la katiba alilotuachia. Kiuhalisia hii katiba ilitengenezwa mahususi kwaajili ya Nyerere. Yeye ndo alitaka "a strong executive with necessary control of the legislature", alitaka katiba...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Mbowe Mwanza Ilivyopotoshwa ili Kuuficha Ukweli

    Ninalazimika kuuleta uzi huu baada ya hatimaye kupata nafasi kuisikiliza sehemu ya hotuba ya mheshimiwa Mbowe: Katika hotuba hii, sioni popote penye tatizo lolote na mtanzania yeyote: 1. Kwamba kuna wagonjwa wa Corona na watu wanakufa nchini kote? 2. Kwamba wahanga hawa wanalazimika...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia, Waeleze Watanzania ukweli juu ya ulichokikuta Hazina

    Rais Samia mtazame Masoud Kipanya, unaonekana una jambo linakusumbua na huna namna matokeo yake unapokea kila ushauri wa wasaidizi wako. Matokeo yake mnatoa Slogan nyingi na ahadi zisizotimilika. Hili litakurudi sababu itabidi uongope kila mara. Kuna kosa kubwa umefanya na unaendelea kufanya...
  11. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Watanzania huenda tunaiongoza dunia kwa utii kwa Serikali yetu

    Habari waumini wa JF, Uzi huu hauna maudhui ya uchechezi naomba nieleweke. Kila serikali inapopitisha sheria mpya ambazo zinagusa maisha ya Watanzania moja kwa moja wananchi wa Tanzania huiunga mkono Serikali yao. Iwe sheria mpya ya kodi ambayo inawaminya mbavu, wananchi wataiunga mkono, iwe...
  12. JamiiForums Tanzania Ukweli: Legacy aliyoiacha hayati Mkapa ni kulipatia taifa uongozi wa hayati JPM tuache kupindisha ukweli

    Hayati Benjamini Mkapa aliona mbali mwaka 2015 baada ya CCM iliyokuwa chini ya Jakaya kuwa imepoteza imani kwa wananchi. Mkapa aliona mbali na kuhakikisha taifa letu linapata kiongozi ambae atalinyoosha taifa lililopinda. Ukweli ni kuwa hayati Mkapa ndie alieona umahiri wa hayati JPM kusimamia...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Jose Mourinho 2018 aliongea haya kuhusu Bonucci na Chiellini. Je, kwa performance yao unahisi kuna ukweli?

    “Leonardo Bonucci and Giorgio Chiellini... they could go to Harvard University to give classes about how to be a central defender. They’re quality. When I say quality I don't just say creative players. Chiellini-Bonucci, it’s absolutely beautiful to see”. 🇮🇹 José Mourinho - 2018
  14. JamiiForums Tanzania Ni jambo la muhimu sana lakini hataki kuniambia ukweli. Nisaidieni...

    Habari zenu wanaJF! Ni hivi, kuna msichana mmoja nilizoeana nae sana kipindi alipokuwa ameolewa. Kuna kipindi ndoa yao iliingia dosari akaachana na mumewe wakiwa na mtoto mmoja, kiufupi huyu msichana hakuwa na kosa la kuachwa Ila mumewe alifanya maamuzi haraka sana ya kumuacha kwa mambo ya...
  15. JamiiForums Tanzania Kuukimbia Ukweli(Escapism)

    Escapism There is no one answer to this but others try to define it as process of seeking distraction from reality by engaging in entertainment or fantasy. instead of facing the difficulties head on and resolving them, it is easier to escape. Accepting the truth sometimes is hard...! Why some...
  16. JamiiForums Tanzania Jaji Mutungi mwambie Rais ukweli kuwa kauli yake ni kinyume na Sheria na Katiba ya JMT

    Baada ya purukushani za mitandaoni wiki nzima kati ya wanaharakati, wanasiasa na Serikali kuhusiana malalamiko mbalimbali ya kisheria na kikatiba. Hili lilipelekea matamko, vitisho, kejeli na kashfa mbalimbali kutoka katika majukwaa mbalimbali na hata kufikia jana tulijionea kuwa Kada wa Chama...
  17. JamiiForums Tanzania Kusema ukweli VPL ni kama iliisha tarehe 3 Julai 2021 mbele ya Rais Samia

    Timu zetu 4 kufanikiwa kwenda kushiriki mashindano ya CAF msimu ujao ni kama vile yamemaliza kiu ya kuwa bingwa kwa msimu huu. Mshindi wa kwanza na wapili wa VPL hawana tofauti kubwa maana tofauti kati ya zawadi ya mashindi wa kwanza na pili hairushi roho washindi wa pili, ni ndogo sana...
  18. JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Ukitaka Mafanikio Makubwa, Usiwe 'Fair'

    Rafiki yangu mpendwa, Kuna vitu waliofanikiwa sana wanavijua, lakini huwa hawaviweki wazi. Wanafanya hivyo kwa sababu jamii huwa haielewi vitu vingi kuhusu mafanikio, na hivyo huishia kuwashambulia waliofanikiwa pale wanapojaribu kuwa wakweli. Mara ngapi umesikia masikini wakiwasema matajiri...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Huku Afrika Tanzania tuna ujinga mwingi sana, Hatujui kupokea ukweli ili tupambane

    Nimejaribu sana kutafakari huu ujinga utaisha lini, lakini sioni hata dalili yaani!! Katika jamii yetu hasa afrika Tanzania hatupendi kabisa kukubali ukweli! Mwenzetu akifanikiwa kipesa (hatukubali moja kwa moja), Kauli zetu nyingi midomoni utasikia " Yule jamaa kama siyo Freemasonry basi...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Museveni is very ill and admitted in a hospital here in Nairobi

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…