ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Ukweli ambao mafeminist wengi hawa uzungumzii.

    Wakiwa mbele za watu na kamera wanakuwa wakali, ila usiku ukiingia wanakuwa wapweke. Asante mshana kwa hii picha.
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia na wanasoka wa kike, ukweli utatuweka huru

    Ukweli ni kitu gani? Swali hili limedumu kwa umri sawa na kalenda inayotumika sasa duniani, yaani karne 21 au miaka elfu mbili na ishirini na moja. Tangu wakati huo ukweli umekuwa mhanga wa karibu kila jambo, hasa inapotokea ukweli huo haupendezi sana masikioni mwetu, watu hujikuta...
  3. JamiiForums Tanzania Inakuwaje kila anayeusema ukweli kuwa Bunge ni dhaifu, itafsiriwe kuwa amelidhalilisha Bunge na kuitwa kwenye Kamati ya Maadili?

    Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, imemuhoji mbunge Jerry Slaa, mbunge wa Ukonga, kwa tiketi ya CCM, kutokana na amri iliyotolewa na Spika wa Bunge hilo, Job Ndugai, kwa madai kuwa amesema uongo na kulidhalilisha Bunge hilo! Ikumbukwe kuwa mbunge Jerry Slaa, siku chache zilizopita...
  4. JamiiForums Tanzania Manara alikuwa jipu Simba, ukweli umejitenga

    Tulijiuliza sana kwanini Yanga wanamtetea Manara humu? Mtu avunje miiko ya kazi halafu kundi la wahuni linamtetea. Uongozi wa Simba sio wajinga, leo manara anatangaza tamasha la Yanga kuonyesha hadharani usaliti aliokuwa anafanya. Unajua siku zote ukisingiziwa kama huhusiki haikuumi, Manara...
  5. JamiiForums Tanzania Maneno haya ya Winston Churchill kuhusu kodi na maendeleo yana ukweli wowote?

    Tafsiri isiyo rasmi Kwa kiswahili anasema, "Nchi inayojaribu kuendelea kwa kutoza watu wake kodi ni sawa na mtu aliye ndani ya ndoo kisha akajaribu kujinyanyua." Yana ukweli wowote haya maneno? Kama yana ukweli, ni njia gani mbadala wa kodi nchi itumie?
  6. JamiiForums Tanzania Serikali watuambie ukweli wa hizi tozo

    Walisema wameongeza shilingi 100 kwenye mafuta kwa ajili ya barabara, wakaanzisha makato kwenye miamala wakadai ni kwa ajili ya barabara, wakakopa trilioni 2.7 kwa ajili ya barabara. Kwa nini wasituambie ukweli wasingizie barabara? Hii ni mbali na 1200 kwa kila lita moja ya mafuta ya kula...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima Achana na mambo ya chanjo, Serikali nzima imekuangushia mzigo peke yako

    Kipindi hayati JPM anapinga chanjo alisimama kidete haswa haswa, akapiga marufuku na fumigation na akaagiza mtu yyte atakayefanya fumigation eneo lolote akamatwe. JPM kafariki Amekuja mama Samia yeye kaagiza chanjo sasa hapo kuna kazi kubwa ya kuwaamisha wananchi kutoka kwenye idea za...
  8. JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Baadhi ya viongozi walioonekana wakichanjwa, wame-fake ili kuwahadaa wananchi

    "Baadhi ya viongozi walioonekana wakichanjwa, wame-fake ili kuwahadaa wananchi. Inapofika mahali pa kuilinda Tanzania dhidi ya majanga, simuogopi mtu yeyote, siogopo kitu chochote hatuchanjwi" Askofu Josephat Gwajima akizungumza kanisani kwake leo.! My Take Hii imevuka mipaka. Lakini mambo...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Hongera Sabaya kwa kufunua ukweli, pengine wasiojulikana watajulikana

    Kwa kifupi Sabaya amefunua ukweli ambao wengi tusingeweza kuufahamu kirahisi. Kwanza ni ujasiri mkubwa kuwataja viongozi wakubwa kwenye kesi ambayo inaonyesha Kuna uhalifu, Kukiri kwamba alitumwa na mamlaka ya uteuzi ni dhahiri kwamba kuna uwezekano kwamba nayo ilihusika. Wengi tunafamu...
  10. JamiiForums Tanzania Msajili wa Vyama vya Siasa adaiwa kumtaka Mnyika aandike barua ya maelezo kufuatia kauli aliyoitoa kuhusu Rais Samia

    Nchi hii ukifa kwa stress labda itakua ni kwa sababu ya TOZO ila sio kwa comedy za siasa za Tanzania. Anayejiita Msajili wa Vyama Vya siasa ameitaka Chadema kupeleka maelezo kwake kwa "Kosa" la kumkashifu Rais kuwa amesema "Uongo"!!
  11. JamiiForums Tanzania Ukitaka ukweli ndani ya chochote wanakimbilia ukali kwanza na vitisho

    Swala lote kutaka ufahamu kuhusu ukweli wa jambo lolote kuhusu sababu au jambo fulani, basi unaweza kupata tatizo au kushambuliwa au kupotea kabisa Sehemu zifuatazo: 1: Imani za dini zote 2: Serikali 3: Ukweli au Uongo 4: Historia n.k Hizi ni sehemu ambazo uwezi kubaki salama duniani
  12. JamiiForums Tanzania Chanjo za Kupambana na Corona (COVID-19): Nini Maoni na Mtazamo wako?

    Je, COVID-19 ni nini? COVID-19 ni maambukizi yanayosababishwa na virusi vya Corona, virusi hivi ni sawa sawa na vile vinavyosababisha mafua ya kawaida tofauti na mafua, virusi vya corona vinaweza kuambukiza mwingine kabla hata ya huyo mtu hajaanza kuonesha dalili. Tofauti ni kwamba, watu wenye...
  13. JamiiForums Tanzania Wakati GSM wakiwaficha Mashabiki 'Oya Oya' wengi wa Yanga SC, huu ndiyo Ukweli Kamili wa kuwahusu akina Kisinda, Sogne na Mukoko

    Siku zingine Wadukuzi na Wanyetishaji wa Taarifa za ndani ( za Siri ) akina GENTAMYCINE tunawaambieni Mambo hapa kwa 99.9% muwe mnatuelewa tafadhali. Ni kwamba Uongozi wa Klabu ya Yanga na Wadhamini wao Samjo Samjo ( Matapeli Matapeli ) akina GSM wanasema kuwa Wachezaji wao akina Tuisila...
  14. N

    JamiiForums Tanzania GSM waambieni watu wenu ukweli kuhusu Kisinda, Djuma Shabani. Simba mmedanganya bei ya Banda

    Waambieni kwamba kisinda alikuja kwa mkopo toka sa vita hamjamuuza kwenda morroco kauzwa na wakala wake ,hivi hizo biashara zenu na as vita zimejaa uongo uongo tu , Dujma shaban ilitakiwa mummpe usd 45,000 dollars kabla ya kumtangaza mkampa 25,000 usd kisha mkamtangaza kakaksirika na kurudisha...
  15. JamiiForums Tanzania Mwanasaikolojia mahiri wa Kipindi cha Mazungumzo ya Familia cha Radio One Dkt. Charity Xavery atoa Ukweli Mchungu

    Akizungumza 'mubashara' kabisa katika Kipindi Bora kabisa cha Mazungumzo ya Familia cha Radio One kinachoruka kila Siku za Jumapili kuanzia Saa 1 na Nusu asubuhi hadi Saa 4 Kamili asubuhi, Mwanasaikolojia Mwalikwa Dkt. Charity Xavery leo ametoa kitu Kiitwacho Ukweli Mchungu kwa Wasikilizaji...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Sijashangaa wala kushtuka Mbowe kukamatwa kwa tuhuma za ugaidi

    TUHUMA ZA UGAIDI ZA MBOWE ZINAWEZA KUWA NA UKWELI WOWOTE? Mwenyekiti wa CHADEMA Ndugu yangu Freeman Mbowe ametiwa hatiani na polisi kwa tuhuma za ugaidi na kupanga njama za kutaka kuua na kudhuru viongozi wa Serikali. Mbowe alitiwa mbaroni akiwa Jijini Mwanza. Toka namfahamu Mbowe amekuwa na...
  17. JamiiForums Tanzania Tukubali ukweli, CHADEMA tumemkosea Rais Samia

    Ameingia madarakani tukiwa na hali mbaya sana. Maana tulikuwa tumevunjiliwa mbali na CCM yao. Tukapewa ruhusa ili tufanye mikutano ya kidigital ili walau hata kidogo kuwe na nguvu ya upinzani. Badala yake ni kutumia nafasi hii vibaya. Kumletea dharau na kumtishia Sasa ameonyesha ukuu wa...
  18. JamiiForums Tanzania Tukubali ukweli, Watanzania si watu wa kufanya maandamano. Tusitegemee miujiza

    Makamanda, tukubali ukweli kuwa pamoja na wito wa kuandamana kutolewa mara nyingi na viongozi wa CHADEMA, hakuna iliyofanikiwa. Tunajilisha upepo kufikiri kuwa tarehe 5 Agosti itakuwa tofauti. Ni muhimu sasa tuwaambie viongozi wa CHADEMA waachane na mkakati huu ambao siku zote unashindwa...
  19. JamiiForums Tanzania Kati ya Swaraj 855FE na Swaraj 960FE ipi ni mashine ya ukweli?

    Wajuzi wa trakta mpo humu. Fungukeni tupate kujua. Ipi mashine ya ukweli kati ya 855FE na 960FE? Tudokeze na sababu blacksamurai Ulimbo Mkyashinho kidadari DASM Brian72 FURY BORN na wakuu wote
  20. JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu kwa Wanasimba: Televisheni ya Yanga kuwa na Thamani kubwa kuliko Klabu ya Simba ni upumbavu

    Naam kuweka uelewa sawa ni vyema nikafupisha mada. Lakini sitakuwa sawa kama sitowapongeza wanamsimbazi kwa ubingwa na hatua kubwa waliyopiga kwenye soka kwa miaka hii minne. Lakin pia niwapongeze kwa wapenzi wa timu ya Simba kwa support yao isiyokatika kwa timu yao. Tumekuwa tukifuatilia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…