ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Saido Ntibazonkinza acha Kutulalamikia Maskani tumekuchoka bali waambie tu Yanga SC yako Ukweli

    Wewe kila ukija Maskani Mikocheni Kupiga Stori na Kukutana na Marafiki zako Wanamuziki wa Bendi za Dansi kutoka Congo DR kazi yako ni Kulalamikia tu. Unasema unachukizwa na Klabu ya Yanga kukufanya Wewe ndiyo Mkalimani wa Kocha Mkuu Nabi badala ya kuwa Wanakupanga ucheze Uwanjani. Tulikuonya...
  2. JamiiForums Tanzania Brings back Moses Lijenje campaign

    Wakuu kutokana na yanayoendelea kwenye kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake, hatuna budi kupaza sauti zetu kuisaidia familia ya Komandoo Moses Lijenje kujua status ya hali ya mpendwa wao, na pia kupaza sauti zidi ya matendo ovu ya jeshi la Polisi Tanzania dhidi ya RAIA wasiokuwa na hatia. Bring...
  3. JamiiForums Tanzania Siku Rais Samia akigundua wanawake ndio wanaompinga zaidi, atawapigia magoti wanaume

    Kuna jambo moja ambalo Rais Samia huenda bado hajaligundua ni kuhusu nafasi yake ya kisiasa kuwa imetengenezwa na nguvu ya siasa za vyama kuwatumia wanawake kama mtaji wa kisiasa ili kupata madaraka au kuendelea kuwa madarakani na kamwe sio kuwapa wanawake madaraka ili wawatale wanaume. Pili...
  4. JamiiForums Tanzania Ukweli ni kuwa dunia imejaa hila

    Huwa tunaambiwa: Wataalamu wamefanikiwa kuondoa ndui (smallpox) duniani kutokana na dungadunga. Je, kuna ukweli wowote? Asilimia zaidi ya 95 ya wanadamu watakwambia NI KWELI. Ukiwaambia NI UONGO utatukanwa, utabezwa, unaweza hata kupigwa mawe, au kufanyiwa chochote kibaya MAANA HUNA AKILI WEWE...
  5. JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali sema ukweli kuhusu wastaafu umejitetea visivyo na kusema kitu ambacho hakipo

    Msemaji wa Serikali hajasema ukweli, amesema pensheni zimelipwa tar 22 mwezi huu, watu wameenda Ijumaa tar 24 Benki Hakuna Mafao wala Pensheni. Watu wote walio staafu mwezi wa 2 mwaka huu hawajapewa hata pensheni wala Mafao sisi ni miongoni, pia kusema mpaka mwezi wa 9 serikali inaendelea...
  6. JamiiForums Tanzania Pamoja na kuwa Chato itatangazwa mkoa kwenye kilele cha mbio za Mwenge Oktoba 14, ukweli ni kuwa CCM haiyaenzi mema ya hayati Magufuli

    Kuna masuala kadha wa kadha ambayo yameibuka na kukatisha tamaa wananchi wa kawaida. Tozo ambazo kiuhalisia ni makandamizo kwa wananchi wa kawaida. Wamachinga kuondolewa kimabavu kwenye miji mikubwa na mafisadi kuavhiwa huru kana kwamba hawakuliibia taifa. Haya ni baadhi ya mambo ambayo...
  7. JamiiForums Tanzania President Of Croatia Zoran Milanovic: We Will Not Be Vaccinated Anymore

    Rais Milanović wa Croatia aliulizwa siku ya jumatatu na mwandishi wa habari, Kwa nini kiwango cha uchan*jaji si cha juu kama ilivyo kwa nchi nyingine za Umoja wa Ulaya. Akasema: “We will not go more than 50 percent, let them fence us with wire,” Milanović said in recent statements to the press...
  8. JamiiForums Tanzania Kuna ukweli gani juu ya mbegu za kiume kitalamu

    Habari watalamu.... Mm naomba ufahamu ktk hili ,hivi mbegu za kiume hata tone zinafaa kumpa mimba mwanamke? Au nikiasi gani Cha mbegu kinatosha kubebesha mimba, je Ni mbegu zile za kwanza au hata zinazokuja nyuma baabada ya zile za kwanza kufyatuka hizi za nwisho mwisho zinazoishirizia ukiingiza...
  9. JamiiForums Tanzania SoC01 Kuna ukweli kuhusu Mungu?

    Moja kati ya mijadala ambayo imezua ugomvi mkubwa duniani na kusababisha vifo kwa watu wengi ni katika suala zima la kuwepo au kuto kuwepo kwa Mungu mmoja.kila imani imejaribu kueleza kivyake kuhusu mtazamo wake juu ya suala la imani ya Mungu lakini katika mengi basi lazima lipo jawabu sahihi...
  10. JamiiForums Tanzania Huu ndo ukweli kwa kizazi chetu

    Habari zenu wakuu!! Ukitafakari dunia tulionayo mda so mrefu duniani itachomwa moto na itaondoka kama ukurasa Warumi 1:26 Hivyo Mungu aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu, hata wanawake wakabadili matumizi ya asili kwa matumizi yasiyo ya asili; Warumi 1:27 wanaume nao vivyo hivyo waliyaacha...
  11. JamiiForums Tanzania Kubwa la majamba wa ukweli.

    Moja ya villains bora kabisa katika cinema.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Serikali itwambie ukweli kuhusu inflation na thamani halisi ya pesa. Gharama za maisha zimepanda sana

    Siku hizi ukiwa na shilingi elfu 10, inayoyoma kama upepo, thsmani ya pesa haipo kabisa Maisha ya wananchi yanazidi kuwa juu na magumu. Wakati serikali haikuongeza stahiki za wafanyakazi kwa miaka Sita sasa, lakini imewazunguuka na kuwaongezea TOZO lukuki na kodi Lukuki na hivyo kuifanya...
  13. JamiiForums Tanzania Upatikanaji wa dawa kwenye Zahanati na Hospitali za Serikali, ukweli ni upi?

    Awamu ya 5 tuliambiwa upatikanaji wa dawa kwenye maeneo hayo umefikia hadi 94% hii likuwa 2018 , lakini watu walewale kwenye awamu ya 6 mwaka 2021 tunaambiwa upatikanaji wa dawa kwenye Zahanati na Hospitali zilezile umepanda hadi 61% kutoka 21% ilivyokuwa awali . Anayeelewa hizi Takwimu...
  14. JamiiForums Tanzania Pangua ya Baraza la Mawaziri yanukia

    Uteuzi wa Dk Stergomena Tax kuwa mbunge, unaibua hisia kama ni mwanzo wa Rais Samia Suluhu Hassan kupangua Baraza la Mawaziri. Dk Stergomena, mwanamke mwenye heshima kubwa kwenye uga wa kidiplomasia, anaingia bungeni kipindi ambacho Taifa halina Waziri wa Ulinzi kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwamba wapo wakuu wa wilaya wameomba kuacha kazi kwa ajili ya majukumu mengine binafsi zina ukweli?

    Zipo taarifa nimesoma kwenye group moja la WhatsApp kwamba baadhi ya wakuu wa Wilaya wamepata mchongo mpya na wameomba waruhusiwe kwenda kuimarisha carrier zao japo majibu hayajatoka. Rafiki wa karibu wa DC mmoja Kanda ya ziwa anaeleza kwamba rafiki yake ameshaomba na ametuma baadhi ya wazee...
  16. JamiiForums Tanzania Imani Potofu na Ukweli Kuhusu Chanjo ya COVID19

    Chanjo ya COVID-19 inaweza kuathiri uzazi wa wanawake Chanjo ya COVID-19 haitaathiri uzazi. Ukweli ni kwamba chanjo ya COVID-19 inahimiza mwili kuunda nakala za protini ya spaiki inayopatikana kwenye uso wa coronavirus. Hii "inafundisha" kinga ya mwili kupambana na virusi ambavyo vina protini...
  17. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Kama Serikali ingeamua kuongeza tozo hata kwa 100% hakuna Mtanzania angeweza kugoma

    Habari! Binafsi ningependa serikali isingepunguza tozo hata 0.1%, ingewezekana basi tozo zingeongezwa kwa 50-100% ili serikali itimize makusudi yake kwa haraka. Watanzania sio watu wa kuonewa huruma. Wengi ni wanafiki. Kazi yao kulaumu kidogo kisha maisha yanaendelea. Mtanzania akiwa na...
  18. JamiiForums Tanzania Kuna ukweli wowote kuwa idara ya maji inabambika bili?

    Hivi eti kuna ukweli wowote kuwa mashirika ya maji yanabambika bili au maneno yetu kama kawaida kila kitu kulalamika mimi nataka nianze kufatilia bili yangu ya maji nione maana Léo nimeona jirani yangu kajaza watu anagombana na msoma mita ndio kuuliza anasema wanabambika Sana bili maji kwake...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia anakuza utalii wetu kupitia 'The Royal Tour’

    Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameanza kurekodi kipindi maarufu cha 'The Royal Tour' kwa lengo la kuitangaza Tanzania kwenye Sekta ya Utalii, Biashara na Uwekezaji. Faida ya Mhe. Rais kurekodi Kipindi cha 'The Royal Tour' ● Kipindi kitarushwa kwenye Mabara na Nchi Kubwa kama...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson: Mshahara wa Mbunge ni Tsh milioni 4.6 na sio vinginevyo

    Ktk kipidi cha ITV Dk 45, mambo yabwagwa hadharani. Hivi punde akihojiwa ktk kipidi hicho, Naibu spika wa Bunge la Jamhuri ya Muunganao wa Tanzania Mheshimiwa Dr Tulia Ackson, amedai mshahara wa Mbunge ni milioni 4.6 tu. Anakatwa Kodi Tsh 1500,000 na kubakiwa na Tsh 3100,000. Ameendelea kudai...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…