ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Hongera Lema, ukweli hata kama mchungu shuruti usemwe

    Huu ndiyo ulio ukweli mchungu: Mkwamo wetu uko hapa. Uhai wetu utarejea kwa kujikwamua kutoka hapa. Ukweli huu ni mwiba mchungu mno kwa ule upande mwingine uliojaa ulaghai na ubinafsi uliopitiliza.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Kama hakuna Mzee au kiongozi yeyote wa kitaifa atamwambia ukweli Mzee Makamba, yajayo yanafurahisha

    Wapo watu wanadhani Magufuli hakuwa na watu na wapo wanadhani Magufuli alifanya Yale hakuambiwa au kutakiwa kuyafanya chini ya Baraza la usalama wa Taifa. Ikumbukwe Magufuli amekufa kwa sababu ya CCM kuendelea kukaa madarakani hii sio siri wala Habari yakuficha Hayati Magufuli amekufa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mzee Makamba: Watu wazuri huwa hawafi, ndio sababu Kinana yupo na Jakaya yupo!

    Mzee Makamba amesema Wanaccm Wana Iman kubwa sana na Rais Samia na 2025 atashinda kwa kishindo Mzee Makamba ametaka CCM kupitisha Azimio la kumpitisha Rais Samia kuwa mgombea Urais pekee kea ticket ya CCM 2025 Makamba amesema hakuna haja ya kuogopa kwani Watu wazuri na wanaopendwa hawafi ndio...
  4. JamiiForums Tanzania Kwenu watu wazima mliovuka miaka 30, kuna ukweli kwamba inachukua miongo mitatu (miaka 30) akili kupevuka ?

    NB: nazungumzia akili ya maisha na sio pesa, elimu ya darasani, cheo, kuoa, n.k. hivi vitu hata kijana mwenye 18 anaweza kuwa navyo lakini AKILI bado haijakamilika kupevuka. Nimefatilia research mbali mbali nimeona wanasayansi wanao deal na mambo ya saikolojia wamekadiria kwamba wengi akili zao...
  5. JamiiForums Tanzania UKWELI MCHUNGU: Wazazi wengi hawana upendo wa kweli

    Anaandika, Robert Heriel Wazazi msiwape watoto wenu mzigo wa kununua upendo wenu kwa kuhangaika ili kuwapa pesa na mali. Upendo haununuliwi. Tabia ya kudai malipo kisa mliwasomesha au kuwazaa na kuwatunza huo ni uhuni. Kuwapenda watoto wenye vipato au wanaowapa vijizawadi ni dalili moja wapo...
  6. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Osama Bin Laden apasua Ukweli. Asema hawaamini USA na pia kuna mambo yalimkwaza kwa baba yake

    Waislamu si ruhusa hata kunuswa na Mbwa inakuaje huyu Osama alifuga Mbwa? Osama Bin Laden alikuwa na Ajenda gani akaone atumie Dini kuzikamilisha? Sisi Wa kristo wa Masaki na Waislamu wa Buza huwa tunapelekeshwa tu katika mambo haya. ====== Mtoto wa Osama Bin Laden, Omar Bin ambaye wakati...
  7. JamiiForums Tanzania Haya mambo ya kupata mke mtandaoni yana ukweli?

    Tunaweza tukawa tupo kwenye mahusiano na wapenzi wetu tunaotarajia kuwaoa ila tunazinguana/kugombana kila siku, wakati kuna mitandao ambayo ipo kiganjani kwetu inaweza kututimizia haja ya mioyo yetu. Kiufupi, watu wengi hatuna muda wa kutongoza, hatuna muda wa kupita mitaani na kuangalia...
  8. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kilimo semeni ukweli kuhusu GMO

    Binafsi naungana na Huyu jamaa. 1. Mbegu za asili zimepotea. 2. Zamami kipindi cha kilimo mbegu tulichota kwenye magala yetu. 3. Mbegu za kisasa huwezi kureplant ukishaipanda ndo imetoka hiyo. 4. Matokeo yale watu wamekuwa watumwa wa kununua mbegu kila msimu. 5. GMO zinashambuliwa sana na...
  9. JamiiForums Tanzania Bashiru (Oct 12, 2018): Madalali wa mali za umma hawawezi kupendezwa na mijadala ya kujisahihisha

    '....Mijadala itatufanya tujisahihishe tulipojikwaa na msitarajie madalali wa mali za umma watafurahishwa na mijadala ya aina hiyo.' Bashiru - 12 Oct 2018
  10. JamiiForums Tanzania Ukweli mwingine huu

    Katika pita pita na hawa watu wa jinsi ya upande wa pili yaani wanawake, warembo, vigori, mademu ati wanaita kuna hali flani hivi ya kweli...ni kuwa Unapomtongoza mrembo ambaye humvutii kabisa ona the first point atakataa au atakwambia anaenda kufikiria hapo maana yake hujamvutia na jibu lake...
  11. JamiiForums Tanzania Tuseme ukweli, uchaguzi wa CCM uliofanyika una viashiria vya udini

    Kwa jinsi uchaguzi wa CCM ulivyofanyika kwenye mikoa yote Tanzania watanzania tuache unafiki uvccm na CCM kwa ujumla Kuna udini. Angalia viongozi waliochaguliwa kuanzia halimashauri kuu, Uvccm mpaka ngazi ya kata ni udini mtupu. Kama huu uchaguzi umefanyika kumridhisha Rais basi watu...
  12. JamiiForums Tanzania Tujadili ukweli kuhusu Stem cells(Seli Shina)

    Nimekuwa na mgonjwa wa kansa. Nikawa na jamaa akanishauri kujaribu seli shina. Nikaungwa na mtalaam. Akanidokeza vitu vizuri kiasi cha kusema baada ya mwezi atapata nafuu kubwa hata kuachana Chemotherapy hapa Ocean Road. Napata mashaka isijekuwa ni promo tu auze. Bei yake kubwa kiasi dozi ya...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Ukweli na uwazi wa serikali ya Rais Samia umeleta utulivu na Amani, Kuaminika na Kuungwa Mkono na watanzania

    Ndugu zangu utulivu,amani na mshikamano uliopo hapa nchini ni kutokana na serikali ya Rais Samia kuaminika na watanzania,kuungwa mkono na kupewa ushirikiano wa kutosha kunakotokana na kuendeshwa kwa uwazi na ukweli kwa serikali inayoongozwa na Rais wetu Mama Samia. Watanzania wanafahamishwa na...
  14. JamiiForums Tanzania Sio kawaida ya Mbowe, CHADEMA tupeni Ukweli

    Huyu mwamba Yuko wapi? Ikulu haendi tena. Ndege imeanguka mwamba Yuko kimya, sio kawaida yake. Mama katoa kauli tata Arusha, mwamba katulia tu. Katiba inasusua mwamba katulia. Hamna maandamano. Hii sio kawaida ya mwamba kukaa underground muda mrefu kiasi hiki. Kama anaumwa tupeni taarifa ndg...
  15. JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini tuwaambie ukweli watawala

    Naomba kuwasilisha maoni yangu kwa viongozi wetu wapendwa katika imani mbalimbali za kidini. Baadhi ya viongozi wa dini wamekuwa wakitumia upande mmoja tu wa Neno la Mungu kuelezea kuhusu umuhimu wa kuheshimu mamlaka zilizopo kwa kuwa zimetoka kwa Mungu na zimeruhusiwa na yeye kuwepo...
  16. JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba Bashiru kakumbuka Ikulu

    Sina haja ya salamu, Wengi mnamtetea Bashiru kuwa kafanya jambo zuri kwa kauli yake hila, ukweli ni kwamba kuna kipindi mbolea ilipanda sana sokoni Mama akafanya jambo ikashuka bei wakati hili jambo linatatuliwa Dr. Bashiru hakuona? Kipindi iko wakulima walikuwa wanalazimika kuuzia serikali...
  17. JamiiForums Tanzania Hongera TRL kwa Mabehewa Mapya. SGR ni Reli Mpya ya Kisasa; Je, Mabehewa Haya ni Mapya ya Kisasa? Hakuna Ubaya Kutumia Mitumba, Ila Tuambiwe Ukweli!

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nikipata fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" Hili ni maslahi ya taifa ya pongezi kwa TRC nimeona mzigo wa mabehewa mapya ya kisasa ya reli ya kisasa ya SGR ukipokelewa bandarini, DSM, hivyo hatua ya kwanza ni kutoa pongezi kwa TRL kwa kazi...
  18. JamiiForums Tanzania Inadaiwa Picha maarufu ya Ronaldo na Messi ilikuwa edited bila wao kukutana, kutokuwa marafiki ndio chanzo kikuu

    Ni picha iliyojizolea umaarufu mkubwa watu wengi wakidhani picha hio ilikuwa ni ya kweli na ilipigwa kwa lengo la kumbukumbu, Stori ipo tofauti kabisa. Picha hii imeandaliwa kwajili ya mikakati ya kutangaza na kuifanyia promoshen kampuni kubwa ya nguo "luis vutton", kampuni hii iliingia mkataba...
  19. JamiiForums Tanzania Wazungu waanza kuambiana ukweli

    Infantino: "Today I feel Qatari, I feel Arab, I feel African, I feel gay, I feel disabled, I feel a migrant worker.... For what we Europeans have been doing around the world in the last 3,000 years we should be apologising for the next 3,000 years before starting to give moral lessons"
  20. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Umejifunza nini kuhusu Maisha?

    Wakuu poleni na Majukumu, moja kwa moja kwenye mada . Binafsi Mpaka sasa nimejifunza haya hapa👇👇 1: Kama hutapambana kufanya kazi kwa bidi kutimiza ndoto zako mwenyewe, kuna mtu atakuajiri na kukupa kusudi. 2: Maisha hayangojei uwe sawa, amka kila siku na uendelee kusonga mbele. 3: Wathamini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…