ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tujadili ukweli wa Mixtape ya Antivirus ya Sugu na wenzake

    Kwa tuliokuwa tunafuatilia kwa karibu Hip Hop ya Bongo tunaikumbuka vizuri Mixtape ya Antivirus. Hii ni mixtape iliyokuwa engineered na Joseph Sugu na wenzake wakiwepo Mapacha, Rado na wengine. Wakati tukiwa Chuo Rado alikuwa mwenetu na mara kadhaa alitutembelea getto. Siku moja mwenetu akaja na...
  2. I

    JamiiForums Tanzania The Top 10 African Countries with the Best GDP Data Quality Ratings in 2023: An Overview by World Economics

    The legitimacy of data, regardless of scale or function cannot be overstated. It is paramount that accurate data is made available to the public and primary stakeholders, in order for development to take place, particularly when it comes to public data. ======= Business Insider Africa...
  3. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Sengerema afunguka mafanikio ya Rais Samia na ukweli kuhusu uwepo wa Sukuma Gang

    Mbunge wa Sengerema, Tabasamu Hamisi Mwagao amesema kipindi cha Miaka Miwili ya Uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan imekuwa ya Mafanikio katika Sekta mbalimbali ikiwamo Nishati, Maji, Elimu, Afya na Miundombinu katika Mkoa wa Mwanza huku akikana uwapo wa...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu kifo cha mfanyakazi mgodi wa Barrick North Mara

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Tarime Rorya, Geofrey Sarakikya, amesema mfanyakazi wa mgodi wa Barrick North Mara Emmanuel Chacha, aliyefariki dunia Machi 11, mwaka huu hakupigwa risasi. Aliyasema hayomkoani Mara, wakati akitoa ufafanuzi kuhusu kifo cha Chacha, ambapo alisema alifariki...
  5. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusiana na Suala la Feisal Toto na Kigugumizi cha TFF. Chama na Dickson Job wapo kwenye Rada

    Team ya Azam kwa sasa imekuwa chini ya Uangalizi wa mtoto wa Bakhresa anayeitwa Yusuf. Huyu kwa kipindi kirefu alikuwa nje ya nchi. aliirudi ili aje aisimamie Azam Sports Club baada ya kuwa inasua sua. kwa muda mrefu Azam imekuwa chini ya walimu Wareno hawa wamekuwa wakisaka vipaji na kutoa...
  6. JamiiForums Tanzania Sidhani kama kuna ukweli kuwa Waarabu walikuwa wakihasi watumwa wanaume

    Imezoeleka sana kwa watu kusema kuwa Uarabuni hakuna watu weusi kama Amerika licha ya watumwa wengi kupelekwa huko. Wengi hudai kuwa waarabu walikuwa wajiwahasi watumwa wakiume ili wasizaliane. hili naona si jambo la kweli hata kidogo. Sababu ni kuwa kitendo cha kuhasi mtu kilikuwa ni kitendo...
  7. JamiiForums Tanzania Ukweli Kuhusu Wahafidhina Wanaomnanga Hayati Magufuli

    Nasadiki kuandika haya ili hukumu ijapotolewa iwe ya haki. Leo 17.03.2023 ni siku ya kumbukukumbu ya kifo cha a.k.a jeshi la mtu mmoja au Legendary namuita hivyo, mzee John Joseph Pombe Magufuli. Nimefuatilia sana kwenye media tofauti ila sana mitandao ya kijamii na hali iliyopo mitandaoni na...
  8. JamiiForums Tanzania Waambieni ukweli siyo kuwatetea kinafiki

    Kwanini SHOMARI KAPOMBE na MOHAMED HUSSEIN 'SHABALALA" wameachwa katka uteuzi wa Timu ya Taifa. Ukweli uliowazi ,unaoaminiwa na wote waliokaribu na usimamizi wa Timu ya Taifa ni KWAMBA, vijana hawa HUWA HAWAJITUMI wakiwa timu ya Taifa kama wanavyojituma wakiwa kwenye timu yao ya SIMBA. Hili...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia, kuna matapeli wanakudanganya na kukuficha juu ya ukweli halisi wa shida za Watanzania Afrika Kusini

    Mama najuwa unaingia JF, wewe ni muungwana sana kwenye ziara yako South Africa umewaita viongozi wa TACOP kupitia balozi Milanzi kwa niaba ya Watanzania wote wanaoishi Afrika Kusini. Lakini cha kusikitisha viongozi hawa waliowakilisha badala ya kuja kuwakilisha wamegeuka machawa hata suti zao...
  10. JamiiForums Tanzania Hatari! Ndani ya CCM Ukweli ni Sumu, Inakuangamiza Msemaji

    Kama mtu mzito kama Dr Anthony Diallo ambaye alikuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa, Mbunge na waziri mwandamizi mstaafu na mmiliki wa vyombo vya habari chini ya Sahara media ambavyo ni kama ilikuwa ni mali ya CCM anaweza sema ukweli na chama kikamla kichwa wewe mwingine ni nani upone baada ya kusema...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wiki ya usalama barabarani, Polisi tuwaeleze ukweli

    Leo waziri mkuu mh. Kasim Majaliwa amezindua wiki ya usalama barabarani. Miongoni mwa watu wanachangia ajali za nyingi za barabarani ni polisi kupitia KIKOSI CHA KAMATA KAMATA Polisi hao wanaokimbiza pikipiki bila utaratibu,wanachomoa funguo kwenye pikipiki sasa muendesha pikipiki anapowakwepa...
  12. JamiiForums Tanzania Ifikie hatua tuwe tunaambizana ukweli kabla hatujafunga ndoa

    Ndoa za kwenye tamthilia na video za music zisituharibu......ndoa si kurushiana mito tu na magumu pia yapo.Mwanaume ukishindwa wajibika Kwa familia yako jiandae kuchitiwa au kuachika.....Kwa mwanamke vivyo hivyo umeolewa Kaa kifamilia, usista duh tupia kule.... wajibika ...itumikie ndoa...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kuhusu madeni ya Afrika, kurudia uongo hakubadilishi ukweli

    Shirika la Fedha la Kimataifa, Benki ya Dunia, na nchi mwenyekiti wa zamu wa G20 hivi karibuni zilifanya mkutano wa kimataifa kuhusu masuala ya madeni. Baadhi ya wanasiasa na vyombo vya habari vya Marekani na nchi Magharibi wamechukua fursa hiyo kuipaka matope China kuhusu madeni yake kwa nchi...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Rais kagundua ukweli: Mawazo ya upinzani ni bora kuliko ya bunge hili feki

    Kwa kawaida tu ukimuuliza Mtanzania wa kawaida bunge lililopita limeleta wazo gani lolote tofauti ambalo unalikumbuka? Jibu ni kwamba hakuna lolote wanalo likimbuka kwasababu wamejaa wabunge wengi fake wasiojua kuweka hoja? Lakini ubaya zaidi wananchi wengi wanaona bunge kama sio halali. Kwa...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Ni ugwadu tu lakini ukweli ni kwamba sijawahi enjoy kulala na malaya

    Just imagine yeye amevaa kondom na wewe umevaa kondom, yaani ukiwa unaingiza hauhisi mtelezo wowote zaidi ya kuhangaika tu mpka majasho wazungu hawana hata dalili ya kuja. Plus staili ni moja tu kifo cha mende yaani shida tupu. Nimeamua rasmi sitohangaika tena na malaya. Ni upotevu wa hela tu...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli kwamba wanawake hawapendani wao kwa wao?

    Habari wadau, Kwa muda mrefu umekuwepo msemo huu kwamba wanawake wenyewe kwa wenyewe hawapendani ambayo inaonekana ni tofauti na ilivyo kwa wanaume. Hadi kufikia hatua kusemwa unaweza ukakuta sehemu za kazi wanawake wanaofanya pamoja wanaongea vizuri wenyewe kwa wenyewe lakini sivyo kiwango...
  17. JamiiForums Tanzania Julio: Nimevutiwa sana na Mayele, ni straika wa ukweli

    Kocha Jamhuri Kihwelo Julio amesema kwa msimu huu mshambuliaji huyo wa Yanga, amefanya kazi nzuri n ani straika halisi kwa kuwa anajua kufunga. Amesema “Licha ya kuwa mpira wa sasa hivi combination imesababisha wachezaji wengi kufunga magoli lakini Mayele anaweza kufunga popote. “Tabu...
  18. JamiiForums Tanzania Hakuna aliyetaka Kumuua Godbless Lema. Tuambiane Ukweli tu

    Godbless Lema anapenda kujipa ukubwa au umuhimu ambao hana. Lissu ilikuwa auawe ni kweli na sababu ni pale alipoanza kutoa siri za ndani kwa wageni. Halikuwa jambo sahihi hata hivyo. So siungi mkono kumuua. Lema hakukuwa na kusudio hilo hata wazo halikuwepo. Sema Lema anapenda sana ku trend na...
  19. JamiiForums Tanzania Ukweli unaochukiwa kutokana na tamaa au maisha ya kujiziuka

    Tupeane pole kwa mihangaiko na harakati za kimaisha wote me na ke. 1. Wanawake kuvaa nguo vupi au zenye kubana na kuonyesha maumbile. nje ya utamaduni, nje ya utamaduni. 2. Kutolegeza mashart ya kuoa au kuolewa, utasikia mahari million kumi "pumbavu" million mbili sijawai kuishika_ 3...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Serikali zote duniani hazitaki watu wajue ukweli

    Duniani kote serikali zote hazitaki watu wajue ukweli! Kwasababu "Ukweli huwaweka watu huru" Duniani kote viongozi huapa kuficha siri, Hushika misaafu na biblia kutangaza kuwa wataficha siri badala ya kuapa kusema ukweli na haki! Yote hayo ili serikali itawale kwa amani inabidi watu wasiwe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…