ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kiukweli hiki wanachoita eti ni tatizo la afya ya akili hakipo. Ni dhana tu au failure of thinking deeply

    Siku hizi Kuna dhana imeibuka karibu kila Kona eti tatizo la afya ya akili. Ki ukweli hakipo kwa sababu zofuatazo. 1. Mtua amemaliza chuo kikuu na alikuwa na malengo mengi ya maisha kama kupata kazi ya uhakika lakini miaka nenda Rudi kazi inakoseka. Sasa huyu mtu akianza kuchanganyikiwa na...
  2. JamiiForums Tanzania UKWELI MCHUNGU: Wakatoliki wenzangu Papa Francis ni mjumbe wa shetani ndani ya kanisa

    Hii haikuhusu wewe mlokole ambaye hauna ushirika yaani mchungaji wako akifa na kanisa linakufa wala wewe msabato ambaye tumaini lako katika wokovu linategemea mahubiri ya mabaya ya kanisa   Wapendwa katika bwana TUMSIFU YESU KRISTU Bwana Yesu alisema " Mathayo 10:16 Angalieni, mimi nawatuma...
  3. JamiiForums Tanzania Fahamu ukweli kuhusu Palestina

    Fahamu ukweli kuhusu Palestina. Sheikh Stambuli Abdillahi Nassir sehemu ya kwanza: Barua inayoongelewa hapo ipo post #17. Inaendelea...
  4. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Paul Makonda hawezi kuisafisha CCM iliyochafuka kwa ufisadi.

    Wanachi wanalia kila kona kwa ugumu wa maisha. Kila kona ufisadi umetamalaki kila kona alafu mtu kama Makonda alete siasa za kwenda kuongea na wafu? Siasa za kupigia viongozi simu viongozi na kuhadaa kutatua kero zao wakati wameshaumia.
  5. JamiiForums Tanzania Kuna ukweli kwamba Yanga haijawahi kutoka nje ya tatu bora kwenye ligi kuu?

    Kuna tetesi kwamba Yanga haijawahi kutoka nje ya tatu bora, Wengine wanafika mbali kudai kwamba Yanga ikikosa ubingwa basi husalia namba 2 tu, si nje ya hapo. Ni kweli?
  6. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna ukweli wowote wa kuchetusha malipo ya control number za serikali (GePg) kwenda kwa mtu binafsi?

    Government Electronic Payment Gateway (GePG) Kuna ukweli wowote wa kuchetusha malipo ya control number za serikali (GePG) kwenda kwa mtu binafsi? Kumekuwepo na taarifa za chini kwa chini kwa baadhi ya watu kuwa Kuna taasisi ukienda wanakupa control number kisha ukishalipiaa either ukiwaletea...
  7. JamiiForums Tanzania Hii taarifa ya TAHLISO ina ukweli?

    KAMISHENI YA MIKOPO TAHLISO 06/11/2023 MASWALI YANAYOULIZWA KUTOKA KWA WANAFUNZI WANAOENDELEA NA MASOMO WALIOOMBA MKOPO, ( CONTINUING STUDENTS ) 1. Mimi ni mwaka wa pili nimeomba mkopo lakini nimeandikiwa kujiandaa na zoezi la kukata rufaa, lakini bado Batches za continuing students...
  8. JamiiForums Tanzania Wanaotangaza utabiri wa hali ya hewa (TMA) wawe wanatangaza ukweli

    Kwanza niipongeze sana idara inayoshughulika na ukusanyaji wa data za hali ya hewa na mwisho kututangazia hali ya hewa inayotarajiwa kuwepo. Binafsi ni mdau mkubwa wa kutazama hali ya hewa, kwa uchache kutwa mara tatu. Habari ya mwisho kuu waliyotutangazia watabiri wetu ilikuwa ni kututaka...
  9. JamiiForums Tanzania Tuache kujifariji 'kipuuzi' kuwa hata sisi tuliwafunga 5 - 0 mwaka 2012, ukweli ni kwamba kipigo chao kimetuuma mno

    Halafu msisahau Sisi tulipowafunga wao walikuwa na Kikosi dhaifu na Mgogoro mkubwa Klabuni kwao wakimtaka aliyekuwa Kiongozi wao Lyoed Nchunga ajiuzuru. Na nakumbuka Usiku wa kuelekea Mechi hiyo Mchezaji na Rafiki yangu mkubwa tu Jerryson Tegete alinipigia Simu na kuniambia kuwa Mechi yao ya...
  10. JamiiForums Tanzania Lady Jaydee bado ana kiporo cha hili swali kuhusu Chidi Benz, naomba atuweke bayana ukweli kuhusu yeye na Child Benz nini kilitokea baina yao?

    Kuna wimbo Lady Jaydee aliimba na Chidy Benz unaitwa Uko juu, kwenye audio ya huo wimbo verse ya Chidy ipo ila video yake Lady Jaydee alifuta verse ya Chidy . Inavyosemekana kwa habari za chini ya kapeti ni kwamba Chidy alikuwa anamtaka kimapenzi Lady Jaydee akaamua kumtongoza Lady Jaydee ,Lady...
  11. JamiiForums Tanzania Bunge lapitisha Muswada unaotaka wake wa Marais na Maspika wastaafu kulipwa kiinua mgongo

    Bunge limepitisha muswada wa sheria ya marekebisho ya sheria mbalimbali namba 4 wa mwaka 2023 ambapo moja ya marekebisho katika sheria ya Mafao ya Kustaafu katika Utumishi wa kisiasa inapendekezwa Wenza (Mke/Mume) wa Marais Wastaafu, Wenza wa Makamu wa Rais Wastaafu na Wenza wa Mawaziri Wakuu...
  12. JamiiForums Tanzania British Lord ameongea ukweli

    Habari Jf, Leo katika pita pita zangu mitandaoni nmekutana na video moja mpaka nikashanga maana sikuwa kujua vitu vyote hivi kabla. Naona watu wanaanza kuweka wazi ukweli wao. Mda ni muhimu kujua kila kitu. https://m.youtube.com/watch?v=14si4mDQcVM
  13. JamiiForums Tanzania Fikiria Dunia ingekuaje kama Dini na Sheria visingekuwepo

    Zipo nadharia tofauti zinazoelezea asili ya jamii (muingiliano) mpaka kufikia dola za hivi sasa na miongoni mwao ni creation theory from holy book na state of nature theory (social contract theory), ambapo kuna wanazuoni kama Thomas Hobbies, Jean Jack.., John Locke na wengineo. Ambapo kundi la...
  14. JamiiForums Tanzania Ikikuuma Kajinyonge, ila ukweli ni kwamba 85% Moses Phiri anaenda Yanga SC Dirisha Dogo au Msimu Mpya ujao

    GENTAMYCINE nimeandika Threads za kutosha hapa Kuuonya Uongozi wa Simba SC juu ya Kocha Mkuu Roberto Oliveira anachomfanyia Mshambuliaji wangu Bora ndani ya Simba SC Moses Phiri ila nikapuuzwa. Mpaka nikaja hapa JamiiForums Kumuonya Kiongozi Mmoja Mwandamizi wa Simba SC kuwa Yeye ndiyo...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Wanadiplomasia wetu waliopo Zambia na DRC Congo kwanini wanashindwa kumwambia Rais ukweli? Watanzania wanateseka kwenye hizi nchi hakuna wakuwatetea

    Tanzania nadhani tunashindwa kuelewa kwamba nchi yetu ili iendelee lazima wafu wetu wasafiri nje . Tunashindwa kuelewa ili nchi iweze kupunguza changamoto za ajira lazima watu wake wakatafute fursa Sehemu nyingine Tumekuwa wepesi sana kutetea wageni badala ya kutetea watu wetu. Raia wa Kongo...
  16. JamiiForums Tanzania Ukweli usiofundishwa kuhusu rangi za Bendera ya Taifa (Tanzania)

    Ni kwamba bendera ina jumla rangi nne lakini kati ya rangi hizo hakuna rangi inayoitwa NJANO bali ni rangi ya DHAHABU ambayo ilikusudiwa kuwakilisha madini tuliyonayo nchini Swali la msingi ni kwa nini sasa tukaijua njano na kuitumia kisha dhahabu tukapotezea?
  17. JamiiForums Tanzania Iran ndio taifa pekee la Uislamu wa ukweli wengine wanafiki tu

    Toka Gaza ikumbwe na mashambulizi ya Israel hakuna nchi ya Kiislamu iliyothubutu kukemea unyanyasaji huyo kwa raia lakini 🇮🇷 imethubutu mara kadhaa kusema huenda ikaingia na kusababisha mzozo kuwa mkubwa zaidi. Saudia iko wap na uwezo wake? Qatar je kwann wasitoe hata vifaa? Misri jirani kabisa...
  18. JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba CCM wengi hawana furaha na Uteuzi wa Makonda ila hawana nguvu ya kusema hapana!

    Kama kwenye hii dunia Kuna genge la wanafiki basi niamini Ndugu yangu, CCM ni baba wa Hilo Genge. Leo baada ya kutangazwa Kwa Uteuzi wa Makonda nimewasiliana na Wana CCM wengi Tena very influential wanasema hawajapendezewa, unawauliza mbona Sasa mko kimya? Wanakosa majibu! CCM wameshindwa...
  19. JamiiForums Tanzania Rasmi: Kwa alivyotetea ukweli kwenye suala la Bandari, Tulia Ackson Mwansasu apewe kijiti 2030 kuongoza Tanzania

    Ukweli umekuwa bidhaa adimu sana Tanzania na upotoshaji umekuwa kama sehemu kubwa ya maisha. Nimefuatilia sana siasa za Tanzania na nasema kweli, hakuna mtu aliyenifurahisha kwenye suala la Mkataba wa Bandari kwa kutetea ukweli tena kisheria kama Spika wa Bunge Bi Tulia Ackson Mwansasu Kama...
  20. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: " Dunia ya sasa haimpendi baba bora/mume bora. Hizi ndio adhabu ambazo dunia itakupa kwa " kosa" la kuwa baba/ mume bora

    Baba bora ni nani? Baba bora ni yule anae wapenda, watunza na kuwajali watoto wake. Mume bora ni nani? Mume bora ni yule anae mpenda na kumjali mke wake na familia yake kwa ujumla. Je dunia inampenda baba bora/mume bora? The evidence says NO. Experience inaonyesha kwamba mwanaume ukijaribu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…