Umri wangu ni miaka 45, Hali yangu ya kindoa ni mtalaka, watoto wanne, Kila mmoja na mama yake, na watoto wote wako kwa mama zao.
Kazi nafanya, Hela napata, pombe nakunywa. Mambo ya mabebzi labda itokee tu, wana gharama sana na Mimi ni bahili sana.
Mwanamke ninayemtaka awe na sifa zifuatazo...