ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Baada ya kuachana rasmi na Yanga SC sasa Mchezaji Clatous Chota Chama huenda Akili zake nzuri zikawa zimemrejea kwa kusema huu Ukweli

    Kiungo nyota wa kimataifa kutoka Zambia, Clatous Chama, amesema kuwa klabu ya Simba SC inapendwa na kuheshimiwa zaidi nchini kwao Zambia ikilinganishwa na Yanga SC. : Chama ambaye ameachana na Yanga, amesema kuwa staili ya mpira ya klabu ya Simba, historia yake barani Afrika, pamoja na uwepo...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Je, VPN ni kweli inalinda faragha yako? Au ni mbinu ya kibiashara inayouzwa kwa hofu badala ya ukweli?

    Katika miezi ya karibuni, Serikali ya Tanzania imekuwa ikichukua hatua za kusitisha au kudhibiti upatikanaji wa baadhi ya mitandao ya kijamii kama Telegram na X (zamani Twitter) hususan nyakati za uchaguzi, maandamano, au mijadala mikali ya kisiasa. Hatua hizi huchukuliwa kwa jina la “usalama...
  3. JamiiForums Tanzania Admin wa Tume Huru ya Taifa Uchaguzi amefanya kwa Makusudi au ndio ukweli? Chapisho lililopo kwenye tovuti lina makosa ya uandishi!

    Tume huru ya uchaguzi wametoa chapisho ambalo lina makosa ya kiuandishi jambo ambalo sio la kawaida kwa taasisi.. kwanza kabisa mwanzoni linasomeka hivi.... Tume Huru ya Taifa ya Uchafuizi imetangaza kuwa Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani utafanyika Siku ya Jumatano ya tarehe 29 Oktoba, 2025...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Ukweli unaowaumiza Wakiristo wengi duniani ni kujua kuwa Uislamu ulikuwepo mwanzoni kabisa na Muislamu wa kwanza alikuwa Nabii Adam na mkewe Hawa

    Usije na kejeli bali hoja zenye ushahidi
  5. U

    JamiiForums Tanzania Huu ndiyo ukweli Wakiristo na Mayahudi duniani hawamkubali Nabii wa mwisho Mohamed kwakuwa siyo Myahudi

    Siyo Myahudi wala Mzungu hivyo wanakuwa wagumu wa mioyo kumuamini
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli wowote kwamba kazi za IT / Computer serikalini wana muda mwingi sana wa kupumzika bila kazi ?

    Mfano niliwahi kusikia system administrator wa Chuo kazi yake kwa kiasi kikubwa ni kuangalia tu system haina matatizo (Monitoring), Anapata muda mwingi wa kupumzika, anawahi kuondoka na mshahara mzuri. Yani wakishaseti Server, Database na Network kinachobaki huwa ni kutazama kila kitu kinaenda...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Tuongee tu ukweli, Humphrey Polepole kabadilisha kabisa upepo wa kisiasa nchini

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU Kwetu sisi ambao tunashinda kitaa hapa na pale wote tutakubaliana kabisa kuwa pole pole alichokifanya ni kama kugonga msumari kwenye geneza Kawafanya watanzania wote wamuone mama kizimkazi kama kibaka Yaan huo ndo ukweli hata wale kobazi wachache ambao...
  8. JamiiForums Tanzania Ukweli Kuhusu Kuhisi Nyege

    Ukweli Kuhusu Kuhisi Nyege: 1. Kuhisi nyege sio dhambi wala si jambo baya. 2. Umepata baraka kama umeoa au umeolewa na mtu anayekuwa na nyege nyingi kwa ajili yako tu. 3. Moja ya vitu vinavyoua hamu ya kushiriki tendo la ndoa ni ugomvi wa mara kwa mara na wa muda mrefu. 4. Sio wanaume tu huwa...
  9. JamiiForums Tanzania Wanaume wote JamiiForums na Kwingineko kuleni Chuma hiki cha Ukweli Mchungu

    Kudadadeki.....!!!!!!
  10. K

    JamiiForums Tanzania Makosa mawili ya rais Samia yanayotugharimu

    Mara 4R, Mara mardhiano....... haya yote ameshidwa na vigogo ndani ya CCM https://youtu.be/Ku52ZOjs0oQ?si=N3mmmLL4TrSqjbhQ
  11. M

    JamiiForums Tanzania Taifa limepasuka kati ya uovu na uwema, kati ya haki na dhuruma, kati ya ukweli na uongo. Tujitafakari

    Kwa hali iliyop sasa Taifa linapitia kipindi kigumu sana kuna mgongano wa fikra na vitendo kati ya wanaotetea uovu waziwazi na wale wanaopinga uovu. Katiba hazifanyi kazi, watu wanaumizwa, mbinu za kuendeleza uivu zinapangwa na kutekelezwa kilichobaki wananchi watoe maamuzi yao vinginevyo nchi...
  12. H

    JamiiForums Tanzania GE2025 Watu Wasitengeneze Videos! Ukweli Ni Huu - Samia Alipogoma Kutoka ukumbini

    Hii ni tofauti na mtangulizi wake alivyofanya, licha ya kutolewa fomu moja tu kwaajili ta mgombea wa Urais.
  13. JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango: Tishio la upotoshaji ni kubwa, kuna changamoto ya kutofautisha ukweli na upotoshaji

    Kauli ya Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ya Julai 15, 2025 inawakumbusha wadau kuendelea kuzuia maudhui ya Upotoshaji yanayotengenezwa kwa kutumia Akili Unde kwani ni tishio kwenye maamuzi ya Wanachi hasa kipindi cha Uchaguzi. Tembelea JamiiCheck.com ujifunze kubaini maudhui yaliyoundwa kwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Je, Mafundi Wetu Ndio Wanaangamiza Magari Mapya? Tuchambue Ukweli

    Magari mapya yanayoingia nchini, hasa yenye plate mpya kama D au E, yamekuwa yakikumbwa na matatizo makubwa ndani ya muda mfupi tu baada ya kuanza kutumika. Hali hii imeibua maswali mengi kuhusu chanzo cha matatizo hayo. Uchambuzi unaonesha kuwa, licha ya uwezekano wa kuwepo kwa magari mabovu...
  15. JamiiForums Tanzania Ukweli wa mambo huu hapa

  16. JamiiForums Tanzania Haya wale Wanaume wenzangu tunaopenda Wanawake wenye Mizigo (Makalio) na hatuwapendi Mbaumbau (Wasionayo) tumepewa Ukweli Kamili na Mtaalam

  17. O

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli kwenye bei za hizo machine

    https://www.instagram.com/p_m_k_investiment?igsh=MWY5Y21mcWV6aGFocw== Ni pikipiki mbalimbali je bei zake zina sadifu uhalisia nani anihakikishie hawa jama wapo hapa dar
  18. JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe Polepole ni dhaifu na hakukata kiu

    Habari za Sabato watu wa Mungu, Niende kwenye Mada Kwa ufupi Sana, Nimewaza mengi lakini kubwa huenda Wazee wetu walioasisi hili Taifa letu (Tanganyika) hakuwa JASIRI kama ambavyo tunawasoma kwenye historia. Kiongozi shupavu haogopi ushindani, kuwajibika na kukubali ukosoaji mfano tangu...
  19. JamiiForums Tanzania Nilitarajia Polepole aweke hadharani ukweli juu ya kifo cha hayati Magufuli

    Aliposema kuwa kesho tusilaumiane juu ya nitakachoongea mimi binafsi nilitalijia ataweka wazi juu ya hili suala. Je ni kweli aliugua? Na kama aliugua mbona watanzania walifichwa kwa zaidi ya wiki tatu bila kumuona hayati hadharani? Je kulikuwa na uzembe? Polepole hajagusia kabisa!
  20. JamiiForums Tanzania Kwa ninavyokujua GB 64 hapo Karume kabla ya hii Press yako yenye Ukweli mahala fulani ulianza kwanza kupiga kile Kitu chako cha hapo Shaurimoyo

    GB 64 Sisi Masela Wenzako tumeshabadilika na Kukua sasa mbona Wewe bado tu Usela uko damuni? Nimecheka sana japo umesema Ukweli!!!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…