ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Wadangaji tuna Maisha mazuri kuliko Wanawake walio Ndoani

    Utakataa na kufyonza pengine hata kuniporomoshea matusi, ila huu ndio ukweli mchungu kwa baadhi ya wanawake walio ndani ya ndoa zao ambao hawataki kuusikia abadani. Nina siku ya 4 leo tangu nimetoka vacation Dubai, haijalishi nimetumikaje au nani kanitumia nikiwa huko, ila kiukweli nimeridhika...
  2. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu kuhusu Magari used

    Ukinunua gari used/ mtumba, utabeba mzigo wote wa aliyepita nalo. Dent, engine knock, interior mbovu – zote ni zako sasa. Cha kuchekesha, yule mmiliki wa kwanza aloyekuuzia bado analiangalia kwa jicho la kumbukumbu, na kuna muda analitamani kabisa hilo gari aliendeshe tena. Kila akikuona nalo...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA inakwenda shimoni

    Heshima sana wanajamvi. Nimekaa pale natafakari na kujiuliza mambo mengi sipati majibu. Natazama hizi kesi za michongo na hukumu za michongo naiona chadema inapitia mkondo ule ule wa NCCR-MAGEUZI. Ngongo kwasasa Tanga Michungwani.
  4. H

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa Waafrika tusimamie ukweli kati ya Waafrika wanaofuata uislam/ukristo na wasiofuata ni wapi walio sahihi na wakweli?

    Habarini, Tusimamie ukweli kutoka moyoni katika hili. Asanteni!!
  5. R

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina ulikosea mahesabu, ilibidi uwe mnafiki, "upige kimya", upite then useme ukweli! ACT ulikokwenda , Tume itakutangaza?

    Ulijua kuwa menykiti wako ni dikitaita, hataki uweli. Ilibidi uwe mnafiki upite, then uushabulie injustices ulizokuwa unaziona. Huko ACT ulikokwenda, unaweza kushinda, wananchi wanakuhitaji, je watakutangaza?
  6. R

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu BIBLIA YA ETHIOPIA yenye vitabu 88 na kwa nini vitabu vingine vilinyofolewa na wajanja.

    Yale waliyoyaona yatawapa changamoto wakayaita APOKRIFA. Ati maandishi yaliyotiwa chumvi nyingi!! Yale waliyoona hayana madhara katika kuwezesha malengo yao kutimia ndiyo wakayaacha. Twende polepole: https://youtu.be/n489bUhMXb0?si=gAXe7aU7KY-ohDWR
  7. JamiiForums Tanzania Ushauri wa Ukweli kwa Vijana Kuhusu Maisha

    1. Jifunze Kujijua Kabla Ya Kujitangaza Usijaribu kuwa mtu mwingine ili ukubalike – jua wewe ni nani, unataka nini, na thamani yako iko wapi. Ukiwa original, huna ushindani. 2. Pesa ni Muhimu – Lakini Tabia ni Zaidi Unaweza kupata pesa leo na kupoteza kesho. Lakini ukiwa na nidhamu, heshima...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Ukweli ulio mchungu: Uchaguzi wa Wabunge na Madiwani mwaka huu ndio unakamilika siku ya leo kwa asilimia karibu ya 98%.

    Wanabodi, Kutokana na hali ya kisiasa nchini kwetu, huo ndio ukweli. Ukubali au ukatae, wajumbe wakishapitisha majina, hayo majina kwa asilimia kama 98% au 99% ndio wawakilishi tutakaokuwa nao kwa miaka mitano ijayo. Ama kweli SIASA si HASA.
  9. JamiiForums Tanzania Shida mtu akiwa muhongo hata siku akongea ukweli anashindwa kuaminika , polepole ni kama zitto kabwe na Mbowe au Lipumbana na Mrema!.

    Katika siasa kitu kinachoitwa Msimamo ni muhimu. Najaribu kuangalia walichokuwa wanapambania akina Mrema TLP Lipumba na Mbowe bado sikioni. Hivyo naona na Polepole anapita njia zilezile. Anabomoa nyumba aliyoijenga mwenyewe na kusema haifai na wala tusiwaamini mafundi walioijenga.
  10. JamiiForums Tanzania Ukweli Kuhusu Kutengeneza Pesa Online — Usifuate Kelele, Fuatilia Mwelekeo Sahihi

    Katika ulimwengu wa sasa wa kidijitali, kauli kama “Unaweza kutengeneza mamilioni ukiwa nyumbani” zimekuwa maarufu sana kwenye mitandao ya kijamii. Lakini ukweli ni upi? Je, kila mtu anaweza kweli kutengeneza pesa mtandaoni? Je, kuna njia halali na rahisi au kila kitu ni ‘scam’? Blogpost hii...
  11. JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa kina kuhusu Utatu Mtakatifu: Je, Baba, Mwana na Roho Mtakatifu ni Mungu watatu?

    Kuna watu wanaojiuliza: “Kama Mungu ni mmoja, kwa nini Wakristo husema kwamba kuna Baba, Mwana na Roho Mtakatifu? Je, wanaabudu Mungu watatu?" Kabla ya kujibu swali hilo ngoja nieleze nafsi ya mwanadamu ni nini. Ukiielewa nafsi ya mwanadamu itakuwa rahisi kufahamu vizuri nafsi tatu za Mungu au...
  12. JamiiForums Tanzania Ukweli huu unamuumiza ila kashindwa kuniacha, kila siku anajipa matumaini

    Wajomba leo sina habari za kijiweni. Kuna binti mmoja niwahi kuwa naye kwenye tukawa marafiki kama mwezi hivi, sasa baada ya hapo alijiforce akawa anataka mahusiano, sikuwa na shaka sana nilijua hilo husiano likidumu labda miezi 3 tu litakufa, aysee si nikajaa kwenye mfumo? Binti anajiweza...
  13. JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Kwa ilipofika Tanzania sasa, Samia hata akiamua kuwa Rais post 2030 atafanikiwa na hakuna wa kumfanya chochote!

    Kwenye Taifa lolote lile, vyombo vya kuilinda Katiba vinapokufa lolote lile linaweza kutokea na hakuna wa kufanya chochote kile. Ni ukweli mchungu kuwa sasa Tanzania Katiba inavunjwa waziwazi kwa Watu kuzuiwa kutekeleza Haki zao za Uhuru wa Kuabudu na hakuna lolote linalofanyika. Haki za...
  14. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu narcissist

    Katika maisha ya kila siku, huwa tunakutana na watu wa aina mbalimbali—wenye upendo, huruma, upole, kujali, na pia wale ambao ni wakatili kimya kimya, wenye kujipenda kupita kiasi, wasiojua kupokea makosa, wala kuona umuhimu wa wengine. Hawa wa mwisho ndio mara nyingi huitwa "Narcissists" –...
  15. JamiiForums Tanzania Usalama wa taifa umevamiwa?

    Watu wengi wanafikiri usalama ni kulala na kuamka mzima. Lakini usalama ni zaidi ya hapo Nawaambia nchi haipo salama kwa Sasa. Hakuna usalama wa ajira yaani kwa Sasa mpaka utoe rushwa ya pesa,Ngono au uwe Mtoto wa kiongozi ndio upate ajira au cheo. Usalama wa kiafya haupo Kama ndugu yako...
  16. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Kiongozi: Ili mtumishi athibitishwe au kupanda daraja atalazimika kufanya mtihani kupima uwezo wake

    Ili kuimarisha utendaji kazi katika sekta ya umma, Serikali imedhamiria kuanzisha mfumo wa upimaji kwa kutumia mitihani ya lazima kwa maofisa walioteuliwa au kupandishwa vyeo vya uongozi. Hatua hiyo mpya ni sehemu ya kuhakikisha watu wenye uwezo na uelewa thabiti wa shughuli za utumishi wa umma...
  17. JamiiForums Tanzania Huu Hapa Ukweli Mchungu Kuhusiana na Maisha Unaopaswa kuujua mapema Kabla Hata ya kufikisha miaka 18

    Ukweli ni Kwamba MAISHA NI KUPANGA NA KUPANGA NI KUCHAGUA Na cha kusikitisha ni kwamba… KILA SIKU UNACHAGUA — hata bila kujua. Kila jambo unalofanya ni uchaguzi: – Unapochagua kulala badala ya kusoma... – Unapochagua kula bata badala ya kuwekeza... – Unapochagua kulalamika badala ya...
  18. M

    JamiiForums Tanzania CCM haina uwezo wa kusema ukweli hata kwa jambo dogo kama hili la kukutana na waandishi wa habari

    Huyu kichwa mviringo Makalla alisoma chuo gani time management? Kama kikao tu cha kuchuja majina kinakaa wiki nzima bila muafaka je vikao vya kujenga bwawa na umeme na Sgr vingechukua muda gani? Je madudu waliyokuwa wanayatetea kwenye mkataba wa Dp world vipi? Alafu wahuni kama hawa...
  19. JamiiForums Tanzania Baada ya kuachana rasmi na Yanga SC sasa Mchezaji Clatous Chota Chama huenda Akili zake nzuri zikawa zimemrejea kwa kusema huu Ukweli

    Kiungo nyota wa kimataifa kutoka Zambia, Clatous Chama, amesema kuwa klabu ya Simba SC inapendwa na kuheshimiwa zaidi nchini kwao Zambia ikilinganishwa na Yanga SC. : Chama ambaye ameachana na Yanga, amesema kuwa staili ya mpira ya klabu ya Simba, historia yake barani Afrika, pamoja na uwepo...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Je, VPN ni kweli inalinda faragha yako? Au ni mbinu ya kibiashara inayouzwa kwa hofu badala ya ukweli?

    Katika miezi ya karibuni, Serikali ya Tanzania imekuwa ikichukua hatua za kusitisha au kudhibiti upatikanaji wa baadhi ya mitandao ya kijamii kama Telegram na X (zamani Twitter) hususan nyakati za uchaguzi, maandamano, au mijadala mikali ya kisiasa. Hatua hizi huchukuliwa kwa jina la “usalama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…