ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kama kuna ukweli kuhusu kuwepo kwa gari ya bilioni 70+ ndani ya TZ, basi kuna maswali mengi sana

    Achana na ile Rolls Royce ya Bilioni 2 na nusu iliyompita Trafiki bila kusimama Kuna tetesi kuna hiki ni chuma kingine ROLLS ROYCE BOAT TAIL - Dola milioni 28 "bila ushuru" (shilingi bilioni 70 na kitu)
  2. JamiiForums Tanzania Kisaikolojia: Unapokuwa kwenye mazungumzo, ukitaka mtu akwambie ukweli unaoutaka mfanye acheke kwanza.

    Copy Code;
  3. JamiiForums Tanzania Udini Dhidi ya Maaskofu ni Hoja Potoshi za Mafisadi wa CCM Kukwepa kuambiwa ukweli

    GT Hawa viongozi wetu maaskofu hawajawahi kupoa hasa linapokuja swala la uadilifu na kutenda haki, huwa hawacheki na yeyote. Hivi sasa kumeibuka hoja kwamba eti ni wadini this is BIG NO kiufupi hawa jamaa siyo wanafiki. Mafisadi wanakuja na propaganda hii kukwepa kusikia Ukweli. Kama ingekuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu jezi za Simba ni huu

    Nitalielezea hili jambo kwa ufupi sana, mengine mtajalizia wenyewe. Nimeacha kuongelea sana soka la Tanzania maana wababaishaji ni wengi, kuanzia viongozi, wachezaji, wachambuzi na waandishi wa habari hadi mashabiki. Kiufupi ni kwamba jezi za Simba zinazoenda kuzinduliwa J5 ni zile zile ambazo...
  5. JamiiForums Tanzania Njoo uwaambie ukweli, if the shoe fits

    UZI WA VAYOLENSI; Njoo utoe makavu kama unayo! Kama wewe ni mwanamke usiyejishughulisha, maisha yako yanategemea kudanga au kuomba omba wanaume hela - jua unatumia kikojoleo chako kama shughuli ya kiuchumi na huna tofauti na changudoa anayejiuza barabarani, . Kama wewe ni mwanaume unayejali...
  6. JamiiForums Tanzania Gentlemen na simp huchanganywa ila ni watu wawili tofauti

    Mara nyingi watu huchanganya kati ya masimp na ma’gentlemen kwasababu ya ufahamu finyu wa hawa watu wanawakilisha haiba gani. Simps na gentlemen ni viumbe wawili tofauti ambao hawafanani hata kidogo katika nature ya matendo yao. Zifuatazo ni tofauti kati ya simp na gentlemen na ni vema...
  7. JamiiForums Tanzania Tuseme ukweli tu: Yeyote atakayepiga kura Oktoba atakuwa na Mtindio wa Ubongo

    Kwa sisi Wanasheria Kanuni na Sheria Kuu za Ushahidi zinasema Ushahidi usiotiliwa mashaka na unaopaswa kuzingatiwa moja kwa moja na Mahakama au Mfanya maamuzi ni Ushahidi wa Mtu aliyetenda kitendo husika au aliyekuwepo eneo la tukio wakati kitendo hisika kinafanyika. Kwa maneno ya Humphrey...
  8. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Maombi ya kujionesha, hata kama ni ya siku tisa (Novena), Mungu hayasikii

    Maombi ya kujionesha ni hali ya kuomba au kufanya sala kwa kutaka watu waone, waseme na kusifia. Ni maombi ya mtu anayetafuta heshima ya kidini, sifa au umaarufu wa kijamii kwa kutumia jina la Mungu. Mtu anapotangaza mitandaoni ratiba za maombi yake na kupiga kelele “leo siku ya kwanza ya...
  9. JamiiForums Tanzania Pigo zito kwa wapinzani wa Biblia: Wanaakiolojia wagundua sarafu za kale zinazothibitisha ukweli wa Biblia!

    Kuna watu wanaodai kwamba Biblia ni hadithi zilizotungwa tu ili kuwahadaa watu weusi!! Hata hivyo mara kwa mara sayansi ya akiolojia imekuwa ikifuta hoja hizo dhaifu kwa ushahidi ulio dhahiri. Hivi majuzi, wanaakiolojia wamegundua sarafu za kale mjini Yerusalemu, zenye alama na picha za kifalme...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Jamani hivi hizi DAP, sijui 7 on 1 zina ukweli wowote au kiini macho?!!!

    Kama ni kweli hawa watakuwa binadamu wa namna gani?!!! Inakuaje watu saba wamuingilie mtu, tena kinyume na maumbile halafu anakenua tu?!! Hiyo double anal penetration (dap) nayo sielewi tu.......mpaka mtu afanye hivyo (uume mbili kuingia kwa pamoja njia ya haja kubwa) binadamu huyu alikuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Tunaenda Robo Fainali ya CHAN 2024, ila huu ukweli kuwa Taifa Stars ni DHAIFU lazima usemwe. Kenya na Uganda wako vyema Kiufundi kuliko Sisi

    Kwakuwa hata Ibada ya Katoliki niliyohudhuria hii leo inasema kuhusu Mtume Jeremiah alivyochukiwa na kuadhibiwa kwa kuwa Mkweli hata Mimi GENTAMYCINE kama kawaida yangu ya kuwa Msema Ukweli Maishani na hapa JamiiForums kwa kujiamini kabisa nasema Taifa Stars bado si timu Shindani CHAN 2024...
  12. JamiiForums Tanzania Je lina ukweli kwa kiasi gani hili "never trust colleagues at work/schools /Colledge/Universities " ?

    Habari , kwa mliwahi pitia hii hali comedian Tom Daktari kapitia mnazungumziaje level of trusting colleagues. https://youtu.be/weyJaQlchV8?si=W4MHw5DiFsmeuVUQ
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Mali za Tanzania nzima (namba 1-Serikali) na (namba 2-Kanisa la Katoliki)

    UKWELI Mchungu: Mali za Tanzania nzima (namba 1-Serikali) na (namba 2-Kanisa la Katoliki) . Kesho wakisema wanasimamisha mashule yao, hospitali na vitegauchumi vyao vyote mpaka mabadiliko ya sheria yafanyike serikali kesho kutwa inafanya mabadiliko tena bila mgomo. Sababu kubwa sio tu kwamba...
  14. JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Sasa kila Mwananchi ajipambanie kivyake

    Uzi huu utajieleza kwa picha
  15. JamiiForums Tanzania Mh Babu aliponusurika mwanao walikuwa wamekuda 10 siku hiyo kwa uzembe wao, kusema ukweli Dr Samia katurudisha enzi za jakaya

    Mh Babu, kama utanibishia tafadhali familia vifo vya siku hiyo vipo 10 watoto walikufa WA uzembe wa watumishi. Kama unabisha njoo mm Niko hapa uone ni aibu mawenzi watu wanakula mnoooó
  16. JamiiForums Tanzania Nitaichangia CCM $40k kama Samia atapata kura za ukweli 3m

    Jana Samia kachukua fomu, ukiangalia tukio Zima, mchukua fomu na Mgombea mwenza walikuwa wabaridi mno. Uchaguzi wa mwaka huu umepoa aswaa, hauna hamasa ata kidogo. Wananchi hawataki kabisa kumsikia Mgombea wa CCM. Matukio ya utekaji, mauaji, ubakaji,kubambikizia wapinzani kesi za uongo ndo...
  17. JamiiForums Tanzania Kuna wanawake wanaosema bora kimoja cha maana kuliko vingi vya kuchoshana. Je kuna ukweli hapa?

    Habari, Hii ni kauli nimeipata kwa mwanamke zaidi ya mmoja wakisema kuna wanaume wanaweza kupiga kimoja cha maana wakatosheka kuliko zaidi ya vitatu tunavyovitolea jasho. Je ni kweli?
  18. JamiiForums Tanzania Hakuna dini inayofundisha ukweli hata moja duniani

    Nini maana dini - Dini ni utamaduni wa eneo fulani. Je dini zinafundisha ukweli , ? Hakuna dini yoyote yenye mafundisho ya kweli. Ila ni hadithi , na kawaida ya hadithi waweza pata kitu cha kujifunza chanya au hasi. Bibilia na Quruan - hivi vitabu vimeandikwa na watu havina uhusiano na Mungu...
  19. JamiiForums Tanzania Leo niambie ukweli mmoja mchungu ambao kama mwanaume ni lazima niukubali

    Leo niambie ukweli mmoja mchungu ambao kama mwanaume ni lazima niukubali
  20. JamiiForums Tanzania Utambuzi na ufahamu wa ukweli

    JE, UKWELI NI NINI? —Mtakatifu Augustine (au labda mtu mwingine kabisa…) Vipi kama simba huyo amefungwa? Vipi kama ukweli wa kweli, ule usiohudumia taasisi, dini, au mifumo ya mamlaka, umefukiwa makusudi chini ya maelfu ya nusu-ukweli uliopambwa? Vipi kama ukweli haujawahi kuwa juu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…