ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Pope Leo XIV atoa wito kwa vyombo vya habari kutojitenga na ukweli

    Wakuu natamani vyombo vyetu vya habari ujumbe huu uwafikia pia. Kiongozi wa kanisa Katoliki Papa Leo XIV kupitia ukurasa wake wa X amevitaka vyombo vya habari haviwezi na havipaswi kujitenga na ukweli. === "The media cannot and must not separate itself from the destiny of truth...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna ukweli wowote?

    Kuna ukweli wowote hapa wakuu hii nimekutana nayo leo kwenye comments kwenye uzi wa Buyobe Kwamba kuna watu walikuwa wanapita hasa kwenye maeneo yaliyopoa kuwaamsha watu waingie road ila wao walikuwa hawaguswi wala kukamatwa
  3. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu wa vifo vya watu wasio na hatia wakati wa maandamano nchini Tanzania

    Ni huzuni kuu inayotanda mitaani. Machozi yanayodondoka kwenye nyuso za mama waliopoteza watoto wao, kelele za huzuni za ndugu wanaojaribu kuelewa kwa nini wale waliokuwa wakidai haki leo wamelala milele. Tanzania, nchi iliyojulikana kwa amani na utulivu, leo inajikuta ikitikiswa na maswali...
  4. JamiiForums Tanzania Ukweli wa Ardhi House: ‘Mtandao unasumbua’ ni kificho — Nilijaribu kuingia kwenye mfumo, na mchezo ulianza!”

    Ukweli wa Ardhi House: ‘Mtandao unasumbua’ ni kificho — Nilijaribu kuingia kwenye mfumo, na mchezo ulianza!” UZI: Nimekuwa nikitoka HADI hapa na nikakutana na kitu ambacho siwezi kuziba mol. Huyu ni story ya jinsi ‘mtandao’ unavyotumika kama kificho ili watu wafanye ujanja katika ofisi za umma...
  5. JamiiForums Tanzania Mmeona kuwa kuombea badala ya kuliambia ukweli kusivyosaidia zaidi ya kudanganyana?

    Kwa wanaokumbuka viongozi machawa wa dini walivyohanikiza 'kuombea' taifa na kushindwa kuwaambia ukweli watawala na kilichotokea watakubaliana nami. Kuomba ni kautapeli fulani kwa matapeli wachache kuwadanganya walio wengi hiku wakiwaibia na kuwageza majuha. Tanzania onahitaji kuambiwa ukweli...
  6. JamiiForums Tanzania SI KWELI Meta yatangaza Mabadiliko ya Sera kwenye Mtandao wa WhatsApp kwa Mawasiliano Binafsi pamoja na Makundi Sogozi kuanzia Machi 22, 2024

  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Tunatokaje? Huu utakuwa uzi maalum. Mihemko tuweke pembeni. Ila ukweli na suluhu tusiviache

    Hamjambo wakuu! Poleni wote kwa yote yaliyotokea. Waliopoteza wapendwa wao, waliopata majereha, waliopoteza mali iwe kwa kuibiwa au kuchomwa moto. Na zaidi Mungu awape pumziko linalowastahili waliopoteza maisha. Upande wangu mambo yalikuwa magumu sana ukizingatia ninapoishi na karibu kabisa na...
  8. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mungu kawaweka Heche na Lissu gerezani kuonyesha ukweli

    Mungu ana mbinu ambazo mwanadamu hawezi kuzielewa. Sasa hawawezi kusingizia kuchomwa kwa nchi viongozi wa Chadema. Lakini hawawezi kusingizia chama ambacho kimefungiwa wakati wa uchaguzi na walikuwa hawafanyi hata mikutano. Kibaya zaidi sasa serikali inataka kusingizia wakenya na watu ambao...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Kumekucha, Leo Ndio Leo, Ndio Ile Siku Tuliyo Isubiria Sana, Japo Wako 17, Ni CCM, Ni Samia! Huu Ndio Ukweli Wenyewe!

    Wanabodi Hauchi, hauchi, hatimaye kumekucha, leo ndio leo, ile siku ya siku tuliyoisubiri sana kwa miaka 5. Ninachokifanya hapa ni kuwapatia tena jf, ile the jf advantage of being the first to know, kuwa japo kuna wagombea 17 wa urais, ukweli wa mambo, mgombea ni mmoja na chama ni kimoja, ni...
  10. JamiiForums Tanzania Ila hii picha ina ukweli wa uhakika

  11. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu kilichotokea kufukuzwa kwa Gamond Yanga

    Wana Yanga wengi walifurahia sana mwenendo wa timu kipindi cha Master Gamondi na chini yake ndiyo timu nyingi zilichezea kipigo cha 5 including timu yako. Tatizo lilianza kwenye tamasha la Cheka 2 ambapo Engineer aliongozana na Aziz Ki kwenda kwenye tamasha, na haikuwa mara yakwanza Engineer...
  12. JamiiForums Tanzania Ukweli: Kuna tofauti kati ya Kutiki na kuchagua kiongozi anayefaa kwa taifa lako

    Kutiki maana yake ni kuweka alama.ya vyema. Hata kama ulichokiwekea alama ya vyema hakifai kwa manufaa yako. Lakini kuchagua ni kupambanua kile kilicho chema kwa manufaaa yako na taifa lako. Hivyo hata kama wanaokwenda kutiki watatiki tu kama mkumbo. Lini watatiki?
  13. J

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba kuna Mauaji ya Kimbari ya Wakiristo yanaendelea Nigeria

    Ni muda mrefu sasa maskini wawatu, wakiristo wa Nigeria wamekuwa wakichinjwa na Waislamu wenye Siasa Kali huko Nigeria katika maeneo ya kaskazini na kwa siku za karibuni Central Plateau States. Kibaya zaidi Serikali ya Nigeria hasa baada ya kuingia madarakani the Islamist Muhammad Bhukhari...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Kuna wakati utahitajika kuusikia UKWELI hata kama utakuwa ni mchungu

    Andiko hili ni kwa hisani ya ndugu Vareliano Ulrick Mtundu "..........mfalme akamwambia Yeremia, nataka kukuuliza neno, nawe USINIFICHE neno lolote. Basi Yeremia akamwambia Sedekia, kama nikikufunulia neno hilo, je! Hutaniua wewe? Tena mimi nikikupa shauri wewe hutanisikiliza." (Yeremia...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Huu ndiyo ukweli wa tarehe 29, siyo polisi wala CCM wote wanayapinga maandamano

    Yaani huu ndiyo ukweli halisi Polisi siyo wote wanapinga maandano na siyo Wanachama wote wanapinga maandamano bali wengi hawapendi jinsi inchi inavyoendeshwa na Rais Ni vile wakati wa Magufuli wengi wapinzani walikuwa wanaridhisha na kazi aliyokuwa anafanya kupambana na mafisadi,kinachotakiwa...
  16. JamiiForums Tanzania Queen Massanja si useme tu ukweli kuwa Vijana wakipanda hawashuki haraka na hutaka kusugua vilivyo ili Hela yao iende sawa?

    QUEEN: BORA DR. MWAKA VIJANA HAPANA _ Msanii wa bongo Movie Queen Masanja ambaye ni Ex-Wife wa Dr. Juma Mwaka amesema bora arudiane na mumewe kuliko kuendelea kuwa na mahusiano ya kimapenzi na vijana wadogo wadogo. "Bora kurudi kwa mume wangu kuliko hawa vijana wa siku hizi, Vijana ni pasua...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Nyerere alisema ukweli

    https://youtu.be/xAt_0R-fv0k?si=oT7VUl1dtDP9SkZi
  18. B

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Wanaume kuna muonekano ukiwa nao, huwezi kuja JF kulalamika kuwa kila mdada unayemtongoza anakuomba omba hela

    Habarini, Tofauti na kichwa cha habari, katika pitapita zangu TikTok nlikutana na account ya jamaa mmoja mtanzania, anajiita Dr Julian sio mwanamziki wala sio muigizaji, hapost maisha expensive, ila aloo hiyo idadi ya wadada wanao-andika thirst comments kwenye picha za huyo mkaka , na...
  19. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Huu ndio ukweli mchungu kuhusu OKTOBA 29 , hakutakuwa na maandamano Bali ni Kutiki tu

    Ninasimamia ninachoamini na ninaamini watanzania hawapo tayari kwa maandamano yasiyo na mwisho na Hilo ndilo linafanya maandamano yanayoratibiwa kufanyika OKTOBA 29 kukosa hoja ya ushawishi na utekelezaji na kuyapuuza. Huu ndio ukweli mchungu wa OKTOBA 29 : Kwanza , watu wataamka mapema...
  20. JamiiForums Tanzania Pombe ni kinga ya ukweli katika asili.

    POMBE NI KINGA YA UKWELI KATIKA ASILI. Kuna maneno mazito sana katika ulimwengu wa kale: wakati babu zetu walipo tumia kinga ya ulevi kusema Ukweli. Walijua wazi kuwa “Ukweli ni mchungu na huumiza, lakini Uongo ni mtamu lakini Huua.” karibu katika meza ya Mkushi Dr. DOGOLI KINYAMKELA ☠️💀...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…