ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tusiyasingizie mataifa ya nje, ukweli na uwajibikaji ndiyo mwarobaini wa kutuvusha hapa tulipofikia na tukavuka salama

    Matatizo ya nchi yetu ni sawa na jipu lililolelewa na muda wake wa kupasuka umefika na sasa halikwepeki kutumbuliwa. Inasikitisha sana, kuona viongozi wetu wakiendekeza propaganda na wakati ukweli unaujua na wanajua wazi Dunia inajua na wananchi sote tunajua, Kweli kwa dhama hizi, na katika...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Kama Hamkuuwa Pelekeni CNN Kwenye Mahakama Husika za Kimataifa Tujue Ukweli

    Msigwa, tunakushauri kama kweli serikali yako haikuuwa watu kuanzia tarehe 29 October, muwapeleke CNN kwenye mahakama husika za kimataifa . Msiishie kulalamika. Maana mnaonyesha kwamba CNN, Aljazeera, BBC, DW, AFP wote wanaongea uongo. Kama kweli nyinyi ni watu mlio na uhakika na hamkuuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Tume iliyoundwa inatafuta mtu wa kumbambikizia kesi ya mauwaji yaliyofanyika. Waliouwa ni mamlaka ya Samia haibadiliki na ushahidi upo

    Tume iliyoundwa inatafuta mtu wa kumbambikizia kesi ya mauwaji yaliyofanyika, walio uwa watu ni mamlaka ya samia haibadiliki na ushahidi upo. Ndugu Samia kwa ile hotuba yake ni wazi anajaribu kutaka kujivua na kumbambikizia mtu, NGO, au upinzani kwa mauwaji yaliyofanyika chini yake na vyombo...
  4. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa kumbuka Ukweli ni kitu gani

    Utamwelezaje MTU kwa maneno mazuri ambapo askari anampiga 'mwanamke' anayekimbia risasi. Je, huyo ni Askari aliyepitia mafunzo? Ukumbuke familia zao zipo.
  5. JamiiForums Tanzania Tunaenda Kondo kuujua ukweli

    Habari wakuu. Tunaelekea Kondo maeneo ya kati ya Tegeta Kibaoni na Bahari beach. Lengo letu ni kuhakikisha tunaujua ukweli juu ya taarifa tuliyopata ambayo hata hivyo tunaamini kuwa ni taarifa ya kweli kimazingira. Tunaenda kuthibitisha na kuweka wazi kila kitu. Tumedhamiria kukabiliana...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Serikali fake: Tatizo ni kubwa haiwezekani kusingizia tena! Kubalini makosa kwanza

    Serikali fake: Tatizo ni kubwa haiwezekani kusingizia tena! Kubalini makosa kwanza. Hamtaweza kusingizia TEC, Chadema wala Diaspora. Tatizo la yote ni moja tu HAKI bila kuweka utaratibu wa kupata HAKI yote mnayofanya ni bure. Mazoea ya kujidanganya yamefika mwisho
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ngoma inogile. Baada ya Vyombo vya Kimataifa kumwaga ukweli, Wahutumiwa wa Mauaji wanaweza kushtakiwa popote sio lazima ICC

    Kwa mujibu wa Sheria za Nchi mbalibali duniani Mahakama za Nchi husika zinaweza kutoa hati ya Kukamatwa Wahutuhumiwa Wanaotuhumuwa kutenda Makosa dhidi ya Binadamu. Kwa kuwa Chombo kikubwa kabisa cha habari duniani CNN kime confirm kuhusu vyombo vya Ulinzi na Usalama kuua raia kipindi na baada...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa nini raisa Samia hakubali ukweli kuwa ufisadi na upendeleo wa familia yake na Kikwete ni tatizo kubwa?

    Kuna familia tatu hapa nchini zimegeuza hili taifa kuwa la kisultani. Hili suala linawakera na kuwaudhi watanzania. Hizo familia zinajulikana. Maandamano ya Oktoba 29 watu wengi wamepoteza mali sababu tu zilihisiwa kuwa mali za Ridhiwani Kikwete. Au wataoto wa hayati Mwinyi au Familia ya rais...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kauli za Benson Bana, Serikali na Wengineo kwamba "Sisi ni Taifa Uhuru" hivyo sio Haki kuingiliwa au kupata Shinikizo la nje, Lina akisi ukweli

    Kumekuwepo na kauli mbali mbali za watetezi wa Uamuzi wa baàdhi yetu kutetea Sirikali iliyopi na uhalali wao, wa kufanya uchunguzi na mengineyo ili waendele kuwa madarakani na kuficha ukweli kwa kuegemea kwenye Katiba na Uhuru wa nchi kwenye kujitawala. Lakini hapo hapo wanashindwa kukumbuka...
  10. JamiiForums Tanzania Kelele ni nyingi kuliko ukweli

    Kwanza naomba kumshukuru mwenyezi Mungu mwingi wa rehema na mwenye uhai wetu kwa kutuweka tuwe hai hadi sasa. Pili nipongeze jitihanda mbalimbali za serikali, asasi za kirai, taasisi za kidini, jumuiya za kitaifa na kimataifa kwa kuwa mstari wa mbele kutafuta suluhu na mstakabari mwema wa taifa...
  11. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Huyu mama alindwe sana. Ukweli wake utatukomboa

    Siongezi neno. Angalia na sikiliza mwenyewe wanachoficha CCM na Polisi, BAKWATA na Chawa
  12. JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Samia haumizwi na vifo vya Watanganyika, hajali chochote kuhusu Watanganyika. Uteuzi wa Baraza la Mawaziri ni kielelezo tosha

    Kila siku tunasema humu. Kwa tulipofikia ni sisi Watanganyika kuamua kujikomboa tu. Na hiki ndicho kilichobaki na suluhisho pekee mbele yetu. Kama kuna mtu aliyekuwa anadhani kuwa Samia anaumizwa na vifo vya Watanganyika basi ajue anakosea sana. Kama kuna mtu alikuwa anadhani kuwa Samia...
  13. H

    JamiiForums Tanzania UKWELI MCHUNGU (GEN Z Hawataki Kusikia Lakini ni Ukweli 100%)

    1. School Won’t Make You Rich — But School Is NOT a Scam Shule haikubuniwa kukufanya uwe tajiri. Shule ilibuniwa kukufanya uwe mtu wa kawaida mwenye nidhamu, uwezo wa kusoma, kuandika na kufikiri. Kufanikiwa ni kazi ya skills, mtaji wa mawazo, na maamuzi ya kiuchumi, sio tu cheti. Cheti ni...
  14. JamiiForums Tanzania Ukweli ni upi na usahihi ni upi?

    Wakubwa shikamooni, Leo ni siku nzuri yenye furaha ikiwa ni katikati ya mwezi wa kumi na moja. Kwangu ni siku nzuri na ya muhimu,lakini pia ni siku nimeletewa zawadi fulani na boss,dada na mkubwa wangu ikiwa ni alama ya upendo na mahusiano mema kazini na nyumbani . Lakini pamoja na hayo...
  15. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ulinganisho wa picha za hivi karibuni ukionyesha ukweli wa miili yenye majeraha iliyorundikwa kwenye sakafu ya mochwari ya Mwananyamala kama magunia

    Wakuu, ni kweli kuwa ile miili ni ya ndugu zetu waliuawa na kwenda kutupwa kwenye sakafu ya mochwari ya Mwananyamala. Kama hukupata ndugu au kama una ndugu ambae hujui kama ni mzima au alishatangulia fanya kufika hapo kudai ukweli wake! Tazama ulinganisho wa picha mbili za matukio tofauti...
  16. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wizara ya Afya yazidi kuuthibitishia ulimwengu kuhusu Serikali ya Samia kuficha ukweli wa Mauaji ya kutisha yaliyofanywa kipindi cha Uchaguzi

    Anguko Kuu la CCM na Serikali yake halitotokana na jambo lingine lolote lile zaidi ya kukosa akili. Kukosa kwao akili ndo kumesababisha wawapuuze Wananchi na madai yao ya ukweli kisha kukimbilia kuwateka, kuwaua na kuwapoteza hali iliyopelekea hasira za Wananchi kupanda na kufikia kikomo na...
  17. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwabukusi: Kinachohitajika sasa ni ukweli, haki na uwajibikaji, tusiwalaumu vijana ni waathirika wa mifumo

    Rais wa Chama Cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) Wakili, Boniface Mwabukusi, amesema kwa sasa Taifa linahotaji haki, ukweli na uwajibikaji, mambo ambayo amesema yatawawezesha watanzania kufahamu watatoka kwa namna gani mahali walipo kwa sasa, na sio kuanza kuwalaumu Vijana ‎ ‎Akizungumza na...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwamposa aambiwe ukweli kuwa maandamano si dhambi mbele za Mungu

    Mwamposa amesema maandamano yanaondoa utukufu wa Mungu! Nina uhakika Mwamposa hata Bibilia hasomi kama tunavyojua wote wenye akili timamu kwa pamoja wetu kuwa huyu Mwamposa ni Tapeli. Kwenye agano la kale tunasoma wana Waisraeli (Musa&Haruni)walimfuata mara kadhaa farao awape ruhusa waende...
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Shoo anasimama na ukweli kwamba yale hayakuwa maandamano ya amani, awaombea wafu na walioharibiwa mali zao

    Friends and Our Enemies, Tunaendelea pale tulipoishia kwa kusema kuwa 'How you do anything,is how you do everything'..(Dante). Askofu shoo kupitia kanisa la walutheri siku zote ameendelea kusimama katika kunyoosha maelezo hata kama wengine itakuwa ngumu kwao kumeza dawa hiyo chungu. Katika...
  20. JamiiForums Tanzania Ni ukweli gani mchungu umeukubali kama mtanzania?

    Ambao wana nafasi ya kukusaidia ndiyo watakuangusha na kukurudisha nyuma kwenye mapambano yako. Wanasiasa wetu (hasa wale wenye tabia ambazo baba wa taifa aliziita za kimalaya malaya) ni adui zetu namba moja. Tutachelewa kupata mabadikiko kwa sababu ya ujuaji mwingi na kukosa utayari wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…