ukristo

  1. V

    Dira kwa waliokata tamaa ishu za dini hasa ukristo

    Shikamooni,.. Nafikiri njia rahisi ya kudumu kanisani au kwa mchungaji husika iwe ni UWEZO WA HUYO MCHUNGAJI AU KANISA HILO KUKUFANYA UISHI KWA USTADI BILA KUTEGEMEA KUOMBEWA AU KUWEKEWA MIKONO. Kwaufupi Mahali qanapojikita kukufundisha kwa maneno na vitendo (UNAONA na wao wameweza wanayosema)...
  2. Registered_jf

    Kifo cha Herode mwaka AD 44

    Simulizi la kifo chake kutoka kwenye Biblia na kutoka kwa mwanahistoria Josephus. 1) Matendo 12 inatusimulia kuwa Herode Agripa aliwatesa wakristo, alivyoona wayahudi wamefurahia hilo akaanza kumuwinda kumuua Petro. Petro akakamatwa akafungwa gerezani akisubiri kuuawa siku ya Pasaka. Usiku...
  3. Hance Mtanashati

    Wanachofeli CHADEMA ni kuuhusisha Ukristo hususani Ukatoliki na ukombozi wa nchi

    Suala la udini kwa namna moja au nyingine ndilo kikwazo kikubwa kinachorudisha nyuma ukombozi wa nchi. Kuna waislamu wanataka kuwaunga mkono chadema ila kila wakifikiria uongozi mzima wa chadema umejaa wakristo na wanahusisha moja kwa moja kanisa kwenye ukombozi wa nchi ndipo wanapofeli mazima...
  4. USSR

    Wakristo wameamua kuilinda Makah ili isishambuliwe na Waislamu wa Houth , Ukristo ni upendo!

    Naandika kutoka moyoni kwa kuwa naujua vema Ukristo ni dini ya upendo na huruma kwa wote haina ubaguzi, ukiachana na pale Kiev ambapo Wakristo wanalinda mauaji kutoka kwa waliokengeuka leo Ufaransa na Uingereza wameamua kuungana Wamarekani [Wakristo] kulinda mji mtakatifu wa Kiislamu wa makha...
  5. Yoda

    Hakuna ugaidi kwenye Ukristo, ni vihoja kumshitaki Mkristo kwa ugaidi

    Kuna mambo kama nchi huwa tanakosea na kujiabisha sana, mojawapo ni hilo la kuwafungulia Wakristo mashitaka ya makosa ya ugaidi, kwa hakika ni kituko cha aina yake na vihoja kwani Ukristo kwa asili katika nyakati hizi hauna ugaidi na hauwezi kuwa na ugaidi ndani yake hivyo ni vigumu sana pia kwa...
  6. Bujibuji Simba Nyamaume

    Nimeshiriki ibada nyingi sana za kiimani. Buddhism is the most best kwa mafundisho. Ila kibongobongo hamna dini bora kama Ukristo.

    Dini ni nini? Dini ni jumla ya imani, mafundisho, na desturi ambazo humwongoza binadamu katika uhusiano wake na Mwenyezi Mungu au nguvu za ghaibu, pamoja na kuweka mwongozo wa maadili na mtindo mzima wa maisha. Neno hili limetokana na neno la Kiarabu "Ad-din" (اﻟدﻴن), lenye maana ya utaratibu...
  7. Yoda

    Nini kinawafanya Waislamu waamini dini yao ndio sahihi na sio Ukristo?

    Nini kinawafanya Wakristo waamini dini yao ndio sahihi na sio Uislamu au dini nyingine?
  8. M

    Tanzania Bara: Kwanini maeneo yenye Wakristo wengi yanaonekana kuendelea, huku yenye Waislamu wengi yakikabiliwa na umaskini?

    Mfano ukienda Moshi, Mbeya, Iringa, Arusha, Mwanza, n.k. sehemu hizo kuna presence kubwa ya makanisa na kuna maendeleo kuanzia elimu, afya, n.k. Lakni ukienda sehemu zilizojaa waislam kama Lindi, Mtwara, Tabora, Pwani, Kondoa. Ndio sehemu zinazosifiwa kushika dini lakini hali ya maendeleo ni duni
  9. Carlos The Jackal

    Mwaipopo ni Muislam mwenye Misimamo Mkali, Mjinga asiyekua na akili , Mwenye Chuki na Ukristo , aliyeshindwa kujifunza Somo kupitia SHEIKH MAJINI .

    Uislam ni Dini iloanzishwa na Ukatoliki !!. TUNAJUA , Mpumbavu alipata MADARAKA, Jambo la kwanza ni kúanzisha vita na wenye Akili ili kuwadhoofisha. Hatua nyingine ,Huwa ni Kuwaita Wapumbavu wenzie na kuwaleta karibu. Mambo hayo mawili , huleta Anguko la TAASISI/NCHI. Endeleeni kumtuma...
  10. Yoda

    Ni vigumu sana mtu kuacha kumuamini Mungu, dini akiwa katika familia ya Ukristo au Uislamu

    Huu wimbo wa Israel Mabinti huwa unanifanya nitafakari sana kuhusu waamini Mungu na dini. "Ukiniponya nitaamini, hata usiniponya bado nitaamini. Ukinijibu nitaamini, hata usinijibu bado nitaamini."
  11. Zacht

    Kwa Nini Ukristo Hauna Mfumo wa Social Guidance Kama Uislamu na Uyahudi?”

    Nimekaa hapa nimetafakari, Ikiwa Mungu anatoa dini kwa ajili ya kuwaongoza wanadamu, tungetegemea lazima dini hiyo itoe mwongozo unaogusa kuanzia ibada , namna wanadamu wanavyo takiwa kuishi, pamoja na familia, ndoa, talaka, mali, biashara, mirathi, haki, wajibu na mahusiano ya kijamii etc...
  12. mimi mtakatifu

    Nataka Kuacha Ukristo na Kujiunga na Buddhism – Nianzie wapi Dar?

    Nimevutiwa sana na story ya Gautama Buddha na nimeamua kutaka kujifunza kuhusu Buddhism kwa lengo la kujiunga na kufuata mafundisho yake. Kwa sasa sioni Ukristo wala dini yangu ya asili ikinipa matokeo ninayoyatafuta zaidi ya matumaini, hivyo nimeamua kutafuta njia nyingine ya kiroho...
  13. Yoda

    Waislamu wanaosema Ukristo sio dini huwa wana maana gani?

    Huwa nikiwasikia Waislamu wanaosema Ukristo sio dini naona kama wamechanganyikiwa au wenye hitilafu kwenye kichwa na hawaelewei maana ya dini. Dini duniani ziko kati ya 4,000 mpaka 10,000.
  14. Robert Heriel Mtibeli

    Yafuatayo ni mawazo mgando ya Wanaume wengi Mabwege na wenye Akili duni.

    YAFUATAYO NI MAWAZO MGANDO YA WANAUME WENGI MABWEGE na WENYE AKILI DUNI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Yule Shujaa. Moja ya mambo yaliyonifanya nisipende kukaa vijiweni na kuwaelewa wazazi na walezi wangu ni kutokana na mitazamo, fikara, na mawazo ya vijana na wanaume wengi wanaokaa...
  15. Design Your Idea

    Nawapongeza wananchi wa Albania kwa kukimbilia ukristo kwa kasi ya ajabu. Nchi sio muslim majority tena.

    MMECHAGUA AMANI. MMECHAGUA UWAZI
  16. Adryz

    Nimeamua kubadili dini na kuwa mkristo. Yesu ni Mungu na wayahudi ni wateule wake

    Nimeamua kubadili dini na kuwa mkristo. Kwaanzia leo na muabudu Yesu. Yesu ni Mungu na wayahudi ni wateule wake. Siwezi kuendelea kuliabudu jiwe moja jeusi na kufuata mila za kiarabu. Wakristo nikaribisheni. Eli Cohen secretarybird Monetary doctor Beira Boy Seran min -me raraa reree...
  17. R

    Kwanini tutumie MSALABA kama alama ya Ukristo? It was a weapon of execution!

    Kama Yesu angeuawa kwa kupigwa mawe for alleged blasphemy they brought to the high priest, akavuja damu, je tungekuwa tunaweka mawe juu ya makanisa kama alama ya kanisa?? Yesu hakuwa wa kwanza kuuwawa kwenye gogo. It was the most severe mode of execution for the enemies of the Roman empire...
  18. Beira Boy

    PENTECOST birthday of the church, sikukuu ya kuzaliwa kwa ukristo na kanisa

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Leo katika kanisa tunafanya kumbukumbu ya kushuka kwa roho mtakatifu ahadi ya Baba YESU KRISTO alisema kwamba wasitowaacha yatima nitawaleteen msaaidizi na atakapokuja huyo roho atawambia kweli, aliongeza kuwa lazima mimi niondoke ili...
  19. Crocodiletooth

    Siasa za upinzani na maneno ya tumaini vs kiboko ya wachawi na ukristo wake.

    Watu wapo kazini katika kutafuta riziki kwa maneno matamu matamu yenye matumaini kwa wale waliokata tamaa,wanaofikiri pengine kubadilika kwa serekali huenda watafadika kwa namna fulani na maisha yao kubadilika/ vs maneno ya nabii kiboko ya wachawi juu ya kuwapatia watu maneno yenye tumaini ya...
  20. MK254

    Uganda: Ndugu waungana kumkata mikono jamaa kisa ameaga uislamu na kujiunga Ukristo

    Baba yake alibariki huo ukatili na kusema sharia ya kiislamu inaruhusu kumfanyia chochote baada ya yeye kuaga hiyo dini ya muarabu. Niliona pale Kampala idadi ya waislamu kama inazidi kuongezeka, haya matukio yataongezeka sana kwa mzee Museveni, kajizeekea na kuacha nchi iendelee kuharibika...
Back
Top Bottom