ukosefu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Mfumo gani wa Kiuchumi unaoweza Ondoa kabisa tatizo la ukosefu wa mitaji? - Watanzania wakipata mtaji wanatajirika haraka sana

    𝗣𝟮𝗕 𝗔𝗡𝗗 𝗠𝗦𝗠𝗘 𝗖𝗔𝗣𝗜𝗧𝗔𝗟 𝗔𝗖𝗖𝗘𝗦𝗦: 𝗝𝗘, 𝗛𝗜𝗦𝗧𝗢𝗥𝗜𝗔 𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗨𝗭𝗢 𝗬𝗔 𝗞𝗜𝗗𝗜𝗝𝗜𝗧𝗔𝗟𝗜 𝗜𝗡𝗔𝗪𝗘𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗧𝗔𝗧𝗨𝗔 𝗖𝗛𝗔𝗡𝗚𝗔𝗠𝗢𝗧𝗢 𝗬𝗔 𝗨𝗣𝗔𝗧𝗜𝗞𝗔𝗡𝗔𝗝𝗜 𝗪𝗔 𝗠𝗜𝗧𝗔𝗝𝗜 𝗞𝗪𝗔 𝗠𝗦𝗠𝗘𝘀? 𝘒𝘢𝘵𝘪 𝘺𝘢 2023 𝘯𝘢 2025 𝘮𝘢𝘭𝘪𝘱𝘰 𝘺𝘢 𝘮𝘵𝘶 𝘬𝘸𝘢 𝘣𝘪𝘢𝘴𝘩𝘢𝘳𝘢 (𝘗2𝘉) 𝘺𝘢𝘭𝘪𝘰𝘯𝘨𝘦𝘻𝘦𝘬𝘢 𝘢𝘴𝘪𝘭𝘪𝘮𝘪𝘢 106 𝘩𝘢𝘥𝘪 𝘛𝘡𝘚 𝘵𝘳𝘪𝘭𝘪𝘰𝘯𝘪 37.52, 𝘯𝘢 𝘸𝘢𝘧𝘢𝘯𝘺𝘢𝘣𝘪𝘢𝘴𝘩𝘢𝘳𝘢 𝘸𝘢 𝘬𝘪𝘥𝘪𝘫𝘪𝘵𝘢𝘭𝘪 𝘸𝘢𝘮𝘦𝘧𝘪𝘬𝘪𝘢 𝘮𝘪𝘭𝘪𝘰𝘯𝘪 2.79. 𝘒𝘸𝘢...
  2. BIOTOXINS

    KWA NINI MTU HUKASIRIKA? JE, HASIRA NI UKOSEFU WA ELIMU AU NI SEHEMU YA ASILI ?

    Hasira ni hisia za kawaida za binadamu, na mtu yeyote anaweza kukasirika bila kujali kiwango chake cha elimu, cheo au uwezo wake wa kiuchumi. Cha kushangaza ni kwamba watu hutofautiana katika namna ya kuonyesha hasira zao. Kuna mtu akikasilika kila mtu anajua, sauti hupanda na uso hubadilika...
  3. M

    KERO Tarime: Malalamiko kuhusu ukosefu wa uwazi na haki katika zoezi la upimaji wa madini Kijiji cha Nkerege

    Ninaandika kama mwananchi wa Kijiji cha Nkerege, Wilaya ya Tarime, kueleza masikitiko yangu kuhusu namna zoezi la upimaji wa madini lilivyotekelezwa katika kijiji chetu na utaratibu uliotumika kugawa fidia kwa Wananchi walioathirika. Kabla ya zoezi kuanza, kulikuwa na makubaliano kwamba...
  4. instinct desire

    UVCCM haya yanayoendelea siyo sifa ni ukosefu wa nidhamu ndani ya chama. kiongozi wa UVCCM Taifa jitafakari

    Sijapendezwa na midahalo inayoendelea mitandaoni nadhani sasa inavuka mipaka, kama vijana (UVCCM) yapaswa mjitafakari kuona haya mnayoyafanya yanaafya au lah! Kuweni na heshima kwa viongozi ndani ya chama, hayo ya kujibizana mitandaoni si desturi ya CHAMA CHA MAPINDUZI. Niwaombe UVCCM wote...
  5. A

    KERO Ukosefu wa maji, Mwanza, Wilaya ya Ilemela, Kata Nyamuhongoro, Mitaa ya Nyamadoke, Iwelyashenga na maeneo ya karibu

    Sisi ni wakazi wa Kata ya Nyamhongolo, katika mitaa ya Nyamadoke, Ibinza na Iwelyashenga, Wilaya ya Ilemela, Jiji la Mwanza. Kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa, hatujapata kabisa huduma ya maji kutoka MWAUWASA. Hapo awali, tulikuwa tukipata maji mara moja kwa wiki, tena kwa muda wa saa chache. Hata...
  6. K

    UKOSEFU WA MAJI WILAYA YA ILEMELA

    Wilaya ya ILEMELA kuna shida ya maji karibiawiki mbili sasa
  7. BIOTOXINS

    KERO Tiketi za SGR: Mtandao unaonyesha "seats full" wakati mabehewa yapo wazi, nani ananufaika na mkakati huu?

    Habari wakuu wa jukwaa hili la JamiiForums. Ni miezi kadhaa sasa tangu mradi wetu wa kimkakati wa Treni ya Kisasa (SGR) uanze kutoa huduma kati ya Dar es Salaam, Morogoro na Dodoma. Wakati Watanzania wengi wakifurahia reli hii mpya, kuna changamoto kubwa sana inayoumiza kichwa na inayozua...
  8. A

    KERO Serikali ijitahidi kuweka vyoo vya umma kwenye vituo vya mabasi na maeneo yenye msongamano

    Kwenye vituo vya mabasi na maeneo yenye msongamano mkubwa wa watu, kama Mbezi, tunaomba Serikali ijenge vyoo vya umma vinavyopatikana kwa urahisi. Vyoo hivyo vitasaidia wasafiri, wanaowasindikiza au kuwapokea ndugu zao, pamoja na wapita njia, kupata huduma bila kulazimika kuingia ndani ya vituo...
  9. Kado MtotoWaMzeeWaSiku

    KERO Tabora tuna kufa kwa ukosefu wa maji safi na mamlaka zipo kimya tu

    Nina kero hii kutoka hapa Tabora Mjini. Tunakaribia mwezi mmoja na nusu sasa hatuna maji safi, na hakuna sauti yoyote kutoka kwa mamlaka husika. Hawana hata samahani wala taarifa yoyote kwamba kuna mgao wa maji. Athari kwa wakazi ni pamoja na: Kukosa maji kwa matumizi ya kawaida ya nyumbani...
  10. A

    KERO Changamoto ya Ukosefu wa Maji Shule ya Sekondari Bombambili

    Shule ya Sekondari Bombambili iliyopo kata ya Kalangalala Wilaya ya Geita, Mkoani Geita, inakabiliwa na ukosefu mkubwa wa maji unaoathiri usalama wa wanafunzi ilihali maji ya GEUWASA yanapatikana 400m tu kutoka shule ilipo. Ukosefu huu wa maji umesababisha uchafu uliokithiri wa vyoo vya...
  11. peno hasegawa

    “Kumtetea Rais Samia Mbele ya Wananchi Si Kazi Rahisi: Wingi wa Malalamiko ya Utekaji, Mauaji, Dhuluma na Ukosefu wa Haki Wazua Maswali Mazito”

    Kulingana na wingi wa matukio ya watu kupotea, kutekwa, kuuawa, kudhulumiwa, pamoja na malalamiko ya wananchi kuhusu mahakama kutotenda haki, kumtetea au kumsemea Rais Samia mbele ya wananchi ni kazi kubwa sana! Kwa sababu huwezi kumtetea kiongozi kwa maneno pekee wakati wananchi wanapaza sauti...
  12. R

    Stupid UN, badala ya kujadili ukosefu wa demokrasia, mauaji, udikiteita wa African presidents mnajadili ramani ya dunia! Shame upon you

    Jadi ntakimeshaji udikiteita wa African presidents na mauaji ya watu wao. Mnajadili eti Greenland ni ndogo kuliko Afrika na ramani ya dunia haiko sawa. Haya ni ya kujadili, hadala ya kujadili ni kwa vipi UN itakomesja udikiteita wa , mauaji ya watu Africa.
  13. Nehemia Kilave

    AJIRA TANZANIA: Nini hasa chanzo cha ukosefu wa ajira hapa Nchini ?

    Habari wana jf , Tanzania ina vijana wengi wanaomaliza vyuo kila mwaka, lakini bado wengi wanapata changamoto kubwa ya kupata ajira . Swali ni hili: Je, tatizo kubwa ni kwamba ajira hazitoshi, au mfumo wetu wa elimu hauwaandai vijana na skills zinazohitajika kwenye soko la ajira? Kwa mfano...
  14. Parabolic

    Ukosefu wa Kipato chanzo cha Changamoto za Afya ya Akili

    Umasikini wa kipato umetajwa kuwa kichocheo kikubwa cha migogoro katika familia na hatimaye kusabaisha msongo wa mawazo na changamoto za afya za akili. Hayo yameelezwa Agosti 6, 2026 katika mkutano wa tathini ya matokeo wa mradi wa unasihi wa busara, Faraja na Ustawi uliofanywa kwa miezi sita...
  15. betting machine

    Nahitaji namba ya daktari wa afya ya uzazi kwa wanaume , nasumbuliwa na tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume

    Nahitaji daktari humu ndani niwasiliane nae naombeni msaada wenu tafadhali
  16. R

    KERO Kilio cha Wanafunzi UDOM: Ukosefu wa maji umezidi na hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa (ni zaidi ya siku5 sasa)

    Ukosefu wa maji katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) umeendelea kuwa kero kubwa kwa wanafunzi. Tunalazimika kutumia muda mwingi kusaka maji badala ya kusoma kwaajili ya UE na mitihani mingine, huku wengine wakikosa kuoga, kufua na hata kupata maji ya ziada. Inasikitisha kuona tatizo hili...
  17. Waufukweni

    Kwanini vilabu vya Tanzania haviingizi sokoni jezi zenye majina ya mastaa wao? Je, ni ukosefu wa mipango ya kibiashara?

    Mauzo ya jezi ni miongoni mwa vyanzo vya mapato ya vilabu vya soka duniani, ingawa fedha zote zinazolipwa na mashabiki haziendi moja kwa moja kwa klabu. Kwa kawaida, mapato hayo hugawanywa kati ya mtengenezaji wa jezi, wauzaji wa rejareja na klabu kulingana na makubaliano ya kibiashara. Hivyo...
  18. Bushmamy

    Wanaume wenye ugonjwa wa Tezi dume vijijini wanakosa matibabu ya ugonjwa huo kutokana na umaskini

    Miaka hii miwili nilikuwa maeneo ya vijijini basi katika zunguka yangu huko nilikutana na wazee kadhaa huko wakiugulia huu ugonjwa uitwao Tezi dume. Baadhi ya wazee niliongea nao Waliniambia ya kuwa wana tatizo Hilo Kwa muda mrefu ila ni kuwa hawana fedha Kwa ajili ya kwenda kufanya upasuaji...
  19. Bushmamy

    Wanaume wenye ugonjwa wa Tezi dume vijijini wanakosa matibabu ya ugonjwa huo kutokana na umaskini

    Miaka hii miwili nilikuwa maeneo ya vijijini basi katika zunguka yangu huko nilikutana na wazee kadhaa huko wakiugulia huu ugonjwa uitwao Tezi dume. Baadhi ya wazee niliongea nao Waliniambia ya kuwa wana tatizo Hilo Kwa muda mrefu ila ni kuwa hawana fedha Kwa ajili ya kwenda kufanya upasuaji...
  20. A

    KERO Ukosefu wa Maji Kata ya Sombetini, Wilaya ya Arusha Mjini

    Ni wiki sasa inakwenda, wakazi wa kata ya Sombetini hatuna huduma ya maji safi. Hakuna taarifa yoyote toka kwa mamlaka husika ya maji safi na maji taka ya jiji la Arusha (AUWSA) huku wananchi tukitaabika na adha ya kupata maji safi kwa matumizi mbalimbali ya shughuli za kila siku. Tunaomba...
Back
Top Bottom