ujumbe

  1. Baba Kisarii

    JamiiForums Tanzania Ujumbe muhimu kwa wanawake wote

    Huu ni ujumbe muhimu kwa wanawake wote, unaanza hivi..... Ikiwa una mwanaume(umeolewa) maishani mwako, mtunze na umheshimu kwa kila njia. Ikiwa wewe ni mseja , ishi maisha yako kwa ukamilifu. Ikiwa unatamani wanaume hovyo hovyo , utachukuliwa na mbwa mwitu wakali. Huo ndio ujumbe wenyewe...
  2. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Spika Dkt. Tulia Ackson

    Madam Spika, nimekusikiliza kwa makini ukitaja vifungu vya sheria & Kanuni ambazo unasema Luhaga Mpina (Mb) amevunja! Nakushauri rudi ukavisome vizuri maana baadhi ya vifungu UMEUPOTOSHA Umma. Umevitafsiri unavyotaka wewe ili lengo lako la kumwondoa Bungeni litimie, lakini sio tafsiri halisi ya...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI: Mfumo wa kusoma madeni ya parking ulipata hitilafu ukashindwa kutuma ujumbe kwa wenye magari

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kulalamika kuwa kuna utaratibu mbovu unaendeshwa na watu wanaohusika kukusanya madeni ya maegesho ya magari, mamlaka zimetolea ufafanuzi malalamiko hayo. Mdau huyo alidai wahusika wanatega njiani, wanasimamisha gari na kumfuata Dereva wakiwa wengi katika...
  4. Mzee Nyerere

    JamiiForums Tanzania PICHA: Mzee Jakaya hilo shati nimelielewa sana

    Hii shati ya Mzee wangu Jakaya Kikwete nimeipenda sana, Mungu aendelee kukutunza Mzee wetu. We all love you. ====== Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ambaye ni Mlezi wa CCM Mkoa wa...
  5. El Roi

    JamiiForums Tanzania Wakenya wanawapa viongozi wa Tanzania ujumbe.

    Maandamano yanayoendelea nchini Kenya, binafsi hayajanivutia kwa sababu hayana lengo linaloeleweka. Uharibifu unaofanywa na waandamanaji kama kuiba na kupora Mali za watu hii inaonyesha maandamano hayo hayana lengo. Ilianza na kutaka budget irekebishwe kwa kile walichodai maisha magumu...
  6. JF Member

    JamiiForums Tanzania Ujumbe Wangu kwa Rais Samia siku ya Leo kuhusu Wafanya Biashara

    Rais wangu wa Tanzania, Wasalaam! Iwapo kweli umechagua kuwa chura kiziwi, itoshe kukushauri kwamba uchague tena na maeneo ya kuwa kiziwi. Sio kile kelele ihahitaji kuwa kiziwi, nashauri hili swala la wafanya biashara ujitokeze mwenyewe na iwe baada ya kupata ushauri wa kina. Kwa sasa ubebaki...
  7. S

    JamiiForums Tanzania funga maduka ingia barabarani na màbaango yenye kufikisha ujumbe

    watanzania mbafunga maduka mnabaki nyumbani kulia lia kwa mitandao. funga duka zama barabarani pigaa kelele mixer fujo isio umiza na mabango juu kufikishaa ujumbe kwaa uzito.
  8. Bata batani

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mashine ya EFD ikileta ujumbe huu call in service unafanyaje?

    Jamani naombeni msaada machine yangu ya efd imeniandikia call in service. Nikitaka kutoa risiti hivyo inachukua muda kutoa
  9. L

    JamiiForums Tanzania Tazama picha hii Ya Luhaga Mpina kwa umakini halafu uniambie muandishi alitaka kutoa ujumbe gani?

    Ndugu zangu Watanzania, Sina maneno mengi,lakini nilitaka tu utoe mawazo na mtizamo wako juu ya ujumbe aliotaka kutoa muandishi wa katuni hii. Ambayo inamuonyesha Mheshimiwa Luhaga Mpina amebebwa mgongoni. Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa...
  10. lugoda12

    JamiiForums Tanzania Huwezi kuwa mtu mzuri kwa kila mtu

    HUWEZI kuwa mtu mzuri kwa kila mtu. Baadhi ya watu wanahitaji tu uzoefu! ✍🏾
  11. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Album ya Roma nipeni maua yangu Ina nyimbo nzuri sana zenye ujumbe mzuri

    Kwa wale wapenda nyimbo za wana harakati Roma mkatoliki katupa album kalii sana kuanzia track number 1 hadi 15 zote ni nzuri sana roma mkatoliki pokea maua yako je ipi ni track ipi umeipenda zaidi? Mimi yangu ni track number 11 derby paka na panya
  12. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mkuu Biteko: Aliyemkubwa na amfanye mdogo pia apate furaha kazini

    "Siyo sawa, aliyemkubwa na amfanye mdogo pia apate furaha kazini," Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko akizungumza katika Mkutano wa Kumi na Moja wa Kitaaluma wa Makatibu Mahsusi Tanzania uliofanyika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tafadhali aliye na namba za hawa Watangazaji wa Kike wa Kipindi kilichopo Hewani sasa EA Radio awapigie na awape huu Ujumbe wangu kwa Lawama zao Kwetu

    Kwa atakayewapigia anifikishie huu ujumbe wangu muhimu Kwao kwani nawasikia tokea wameanza Kipindi chao leo ( ambacho huwa kinaanza Saa 3 Asubuhi hadi Saa 6 Mchana ) ni kama vile ama Wametendwa na Wapenzi wao au wana Hasira ( Usununu ) na Sisi Wanaume kuwa tunawapa Mimba Wanawake na Kukimbia...
  14. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Unadhani vyama vya siasa vibebe kauli mbiu gani tunapoelekea chaguzi chaguzi mbalimbali?

    Vyama vya kisiasa na wanasia, hasa katika nyakati za uchaguzi huibua na kuibuka na catchphrases, slogan au kauli mbiu za kusisimua wanainchi, kuwatambulisha au kuelezea hisia, uelekeo au shauku za uongozi wao na vyama vyao, endapo watapewa ridhaa kuongoza na wanainchi. vyama na wanasiasa...
  15. Ryan Holiday

    JamiiForums Tanzania Welcome to the World of Philosophical Quotes (Misemo ya Kifalsafa)

    Napenda kuwa karibisha katika uzi wa misemo mbalimbali ya kifalsafa. Hili kuweza kuimprove our critical thinking skills, knowledge of logic, to unlock the gate of Wisdom(Hekima) na kuwa sehemu ya upendo kwa binadamu wenzetu. Language Prerequisites:- Only Swahili and English Quotes Note: Karibu...
  16. Dkt. Gwajima D

    JamiiForums Tanzania Wazazi na Walezi huu ni ujumbe wenu wa thamani kuelekea siku ya familia duniani

    Salaam nyingi za upendo kwenu. Wazazi na Walezi, tunapoelekea kwenye siku ya familia duniani tarehe 15 Mei, 2024, tafadhali tuanze ukurasa mpya wa kuwa karibu zaidi na watoto wetu. Zawadi iliyo bora zaidi kwa mtoto wako kwenye nyakati za Dunia ya leo, ni kuwa karibu naye, tena karibu zaidi...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Mh Dr. Gwajima D Kuna ujumbe wako pm

    Salaam mwana jf Dkt. Gwajima D ! Kuna ujumbe inbox, naomba kuwasilisha.
  18. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania sikukuu ya wafanyakazi ujumbe kwenu

    Hapa kuna ujumbe kuhusu wafanyakazi wote mda mwengine uzembe na mazoea umebebeka sana kwenu. Hii ni picha ya mfano mfanyakazi .
  19. M

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Lissu kwenda kwa Wajumbe kamati kuu huu hapa

    Kutoka Chadema Hq. Ameandika Tundu Lissu. Wajumbe wa Kamati Kuu salaam. Nimepokea barua hiyo kutoka viongozi wetu wa Njombe. Barua yenyewe inajieleza na mnaweza kuisoma na kuielewa wote. Pamoja na kwamba haijatumwa kwa wajumbe wote wa Kamati Kuu, sidhani kama ni sawa sawa kwangu kuikalia kimya...
  20. Msanii

    JamiiForums Tanzania Vikwazo dhidi ya Israel vinavyowekwa na Marekani vinatuma ujumbe gani kwa mashabiki wa vita ya Gaza?

    Kwa mara ya kwanza tangu kuundwa kwa Taifa la Israel mnamo 1948, serikali ya Marekani ambayo imekuwa mshirika mkuu wa siasa na harakati za Israel pale Mashariki ya Kati, imeeleza kusudio lake la kuweka vikwazo kwa kikosi maalumu cha Jeshi la IDF kilichofanya oparesheni zake upande wa ukingo wa...
Back
Top Bottom