ujenzi

  1. W

    JamiiForums Tanzania Tanzania yakataa agizo la UNESCO la kuitaka kusitisha ujenzi wa mradi wa Stiegler's Gorge Selous

    Tanzania Yakataa Agizo La UNESCO La Kuitaka Kusitisha Ujenzi Wa Mradi Wa Stiegler's Gorge Katika Pori La Akiba La Selous HAMZA TEMBA - WMU Tanzania imesisitiza uamuzi wake wa kuendelea na mpango wa kujenga mradi mkubwa wa kuzalisha umeme katika maporomoko ya mto Rufiji (Stiegler's Gorge Hydro...
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa stendi ya kisasa umeanza?

    Ujenzi wa stendi ya mabasi yaendayo mikoani ktk eneo la Mbezi mwisho jijini dsm ulitakiwa kuanza mwezi huu wa Julai kwa mujibu wa kauli ya uongozi wa jiji iliyotolewa mwaka jana, je ujenzi huo umeanza au umeahirishwa? Sababu iliyo nisukuma kujua jambo hilo ni kutokana na usumbufu mkubwa uliopo...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali: Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo uko palepale, gazeti lilipotosha

    Hii ni kwa mujibu wa Prof. Mbalawa, kasema gaazeti la the citizen ni limeandika uwongo. Chanzo: TBC habari ======== UPDATE: Dar es Salaam. The government has said the processes for the construction of the Bagamoyo Port will not be halted and will continue. Reacting to reports about the...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Kikwete kuweka jiwe la msingi la Ujenzi wa bandari ya Bagamoyo

    Rais Jakaya Kikwete, Alhamis Wiki Hii anatarajiwa kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo mkoani Pwani. Mradi huo wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo utakaokuwa wa aina yake Afrika Mashariki na Kati, unatarajiwa kugharimu dola za Marekani bilioni 10. Kwa mujibu wa taarifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…