ujenzi

  1. JamiiForums Tanzania Ramani Bure .... Karibuni kwenye group letu la Ujenzi Ramani Bure

    🏗️ JENGA KISASA NA KELVIN HK BUILDERS – UHAKIKA NA UBORA! Wadau na wapenzi wa ujenzi bora, kilio chenu kimesikiwa! Kelvin HK Builders tuko hapa kufuta machozi yenu na kukupa nyumba ya ndoto zako kwa viwango vya juu zaidi. 🛠️ HUDUMA ZETU ZA KITAALAMU: Ramani za Kisasa: Tunasanifu ramani za...
  2. JamiiForums Tanzania Kwetu ujenzi tunaufanya kwa viwango vya hali ya juu

  3. JamiiForums Tanzania Responded Wizara ya Ujenzi: Wanaosafirisha mizigo mikubwa waache kutumia vishoka kuomba vibali, wanakwamisha kazi

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kuandika Wizara ya Ujenzi ishughulikie ucheleweshwaji wa vibali vya usafirishaji wa mizigo maalumu (Special Load Permits) katika Mfumo wa ePermit , Wizara ya Ujenzi imetoa ufafanuzi kuhusu suala hilo. Hoja ya Mdau ~ Wizara ya Ujenzi ishughulikie ucheleweshwaji...
  4. JamiiForums Tanzania UJENZI wa OFISI ya MAKAMU wa Rais jengo kama hekalu la mfalme ni matumizi mabaya ya fedha, mtu WA mazingira OFISI ya Nini? Nchimbi hakupanda mti juzi?

    Ile OFISI inayokarabatiwa ya MAKAMU wa Rais ni kuchezea fedha za UMMA, MAKAMU wa Rais Tanzania ni OFISI ya kutulizia mijitu nguri michokonoko dhidi ya WENZAo ndio maana kupewa KAZI zinazo usu mazingira TU Sasa mtu WA mazingira OFISI kama Ile ya Nini? Nchimbi kwa Nini hakupanda miti juzi?
  5. JamiiForums Tanzania Sababu zinazosababisha gharama za ujenzi kutofautiana hata kama mchoro ni uleule

    Hata kama mchoro wa nyumba ni uleule, gharama za ujenzi zinaweza kutofautiana sana kutokana na mambo yafuatayo: 1. Mahali pa Ujenzi (Location) Bei ya vifaa hutofautiana kulingana na eneo Gharama za usafiri wa vifaa (mchanga, kokoto, saruji n.k.) Upatikanaji wa mafundi na malipo yao 2. Aina na...
  6. JamiiForums Tanzania Morogoro: Wanaokwamisha ujenzi wa stendi ya Mikumi kuondolewa

    📍MOROGORO - Mkuu wa Mkoa, Adam Malima, amesema hatua zitachukuliwa dhidi ya Watumishi wote wanaokwamisha utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa stendi ya magari ya mizigo (malori) ya Mikumi, Wilayani Kilosa, unaotarajiwa kuanza hivi karibuni. Malima ametoa kauli hiyo wakati wa kikao kazi cha...
  7. JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe: Rais Samia ameimarisha uchumi Geita kupitia ujenzi wa Barabara ya Kasamwa-Gamashi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuidhinisha Shilingi 1,035,047,200/= za ujenzi wa dharura wa barabara ya Kasamwa- Gamashi yenye urefu wa kilomita 18, iliyoimarisha shughuli za kiuchumi kupitia Sekta ya Usafiri na...
  8. JamiiForums Tanzania DODOMA: Nauza mbao za ujenzi na fenicha kwa bei rahisi

    Habari zenu wadau wa Dodoma. Karibuni ofisini (Jamhuri, shule ya sekondari) kuna mzigo wa mbao wa kutosha na Bei zetu ni rahisi sana! 2x2 - 2,300 2x3 - 3,300 2x4 - 4,300 2x6 - 6,500 1x4 - 2,300 1x6 - 4,300 1x8 - 7,300 1x10 - 13,000 Misumari inch 2, 3, 4 na 6 yote ipo kwa Tsh 3,000 tu kwa kilo...
  9. JamiiForums Tanzania DODOMA: Nauza mbao za ujenzi na fenicha kwa bei rahisi.

    Habari zenu wadau wa Dodoma. Karibuni ofisini (Jamhuri, shule ya sekondari) kuna mzigo wa mbao wa kutosha na Bei zetu ni rahisi sana! 2x2 - 2,300 2x3 - 3,300 2x4 - 4,300 2x6 - 6,500 1x4 - 2,300 1x6 - 4,300 1x8 - 7,300 1x10 - 13,000 Misumari inch 2, 3, 4 na 6 yote ipo kwa Tsh 3,000 tu kwa kilo...
  10. JamiiForums Tanzania DODOMA: Nauza mbao za ujenzi na fenicha kwa bei rahisi.

    Habari zenu wadau wa Dodoma. Karibuni ofisini (Jamhuri, shule ya sekondari) kuna mzigo wa mbao wa kutosha na Bei zetu ni rahisi sana! 2x2 - 2,300 2x3 - 3,300 2x4 - 4,300 2x6 - 6,500 1x4 - 2,300 1x6 - 4,300 1x8 - 7,300 1x10 - 13,000 Misumari inch 2, 3, 4 na 6 yote ipo kwa Tsh 3,000 tu kwa kilo...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa uwanja wa mpira Arusha

    Hivi huyu aliyependekeza hii ramani ya uwanja mpya ARUSHA ana akili timamu kweli? Ilikuwakuwaje hiyo ramani ilipitishwa kwenye jopo la wataalamu? Ni Bora huo uwanja ukavunjwa ili tujenge uwanja mzuri na siyo hilo beseni.
  12. JamiiForums Tanzania Ulipofikia ujenzi wa reli ya SGR Morogoro mpaka makutupora

    https://youtu.be/GyaJZGMF0a4
  13. JamiiForums Tanzania EPOXY FLOOR TECHNOLOGY: Kwa Nini Inakuwa Trend Kubwa Kwenye Ujenzi wa Kisasa?

    EPOXY FLOOR TECHNOLOGY: Kwa Nini Inakuwa Trend Kubwa Kwenye Ujenzi wa Kisasa? Utangulizi Kwa kipindi cha hivi karibuni, teknolojia ya Epoxy Floor imekuwa ikizungumzwa sana kwenye sekta ya ujenzi, hasa mtandaoni. Wauzaji wa kemikali za ujenzi, wakandarasi, mafundi pamoja na wamiliki wa majengo...
  14. JamiiForums Tanzania Mbeya: TECU na TANROADS Mkoa, Wakagua Ujenzi wa Daraja la Sungwe la barabara ya TANZAM

    Ujumbe wa wataalam kutoka TANROADS Makao Makuu kupitia Kitengo cha Ushauri wa Kihandisi (TECU), kwa kushirikiana na TANROADS Mkoa wa Mbeya, umefanya ziara ya ukaguzi wa ujenzi wa Daraja la Sungwe lililopo katika barabara ya TANZAM mkoani Mbeya na kuridhishwa na hatua iliyofikiwa katika...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Kwa mwenye kufahamu kinacho endelea ujenzi wa barabara jijini Mbeya

    Wakuu msada kwa anaeye fahamu kinacho endelea juu ya ujenzi wa njia nne jijini mbeya. Mwaka jana nilishuhudia kero ya vumbi na baadaye matope! Kisa ni enzi huu sasa jana narudi Mbeya mjini hali ni ile ile! mwaka jana walau wajenzi walikuwa kazini maeneo mengi kuanzia Uyole hadi Mwanjelwa na...
  16. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa wodi mpya ya ICU ya watoto MOI yafikia asilimia 98

    Ujenzi wa wodi mpya ya Wagonjwa Mahututi (ICU) kwa ajili ya watoto wanaotibiwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) umefikia asilimia 98, hatua inayotarajiwa kuboresha huduma za kibingwa na kibobezi kwa watoto wenye uhitaji wa uangalizi maalum. Akizungumza leo januari 15...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi ujenzi wa Barabara Dar utaisha lini?

    Unajua imekua kama kero hivi, yaani miaka inaendaga inarudi ila kila siku Dar es salaam wapo kwenye ujenzi wa barabara. Hivi ni ujenzi wa miundo mbinu gani hii isiyoisha? Ujue kuna maeneo Dar ukipita unaweza dhani upo mkoani? Nauliza tu, kwamba Serikali imeshindwa kutenga hata mwaka mmoja au...
  18. JamiiForums Tanzania Mwaka wa mawasiliano kati ya watu wa China na Afrika kuhimiza ujenzi wa Jumuiya yenye Hatma ya Pamoja

    Mwaka wa 2026 wa Mawasiliano kati ya Watu wa China na Afrika umezinduliwa hivi karibuni katika makao makuu ya Umoja wa Afrika yaliyoko Addis Ababa, mji mkuu wa Ethiopia. Mwaka huu, takriban shughuli 600 za mawasiliano kati ya China na Afrika zitafanyika, na kuleta uhai na nguvu zaidi kwa ujenzi...
  19. JamiiForums Tanzania Mpango wa kuanza ujenzi SGR Mijini wakati kipande cha Dodoma- Mwanza kinasuasua, nani ameubariki?

    Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetoa taarifa kuwa hivi karibuni litaanza ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) katika miji, hususan Dar es Salaam, kama sehemu ya utekelezaji wa maagizo ya Serikali yenye lengo la kupunguza changamoto za usafiri mijini. Baada ya kusoma taarifa hii, nimekuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Hii nyumba inaweza kufikia gharama za ujenzi kiasi gani?

    Naomba kuuliza wataalamu wa ujenzi hizi nyumba za hivi (kama zinavyoonekana sio kubwa) zinaweza kufikia gharama za ujenzi na finishing kali kiasi gani? nataka nikiwa na pesa kamili au inayokaribia kumaliza nyumba ndo nijenge, vyumba viwili au vitatu vidogo na bati llitolee maji nyuma hiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…