ujenzi

  1. R

    JamiiForums Tanzania Tangazo: Wanaohitaji mtu wa kusimamia ujenzi wa nyumba, mtu wa uhakika muaminifu anapatikana

    Wakuu heshima kwenu. Kuna watu wako busy kwenye kazi, wengine hawajui kusimamia nyumba kwa maana ndio ujenzi wa kwanza labda. Sasa ondoa shaka mtaalamu kijana wa kiha muaminifu anapatikana. Ni rafiki yangu wa karibu kaomba nimtangazie humu. Ana uzoefu wa kusimamia mafundi wakiwa wanajenga ili...
  2. JamiiForums Tanzania Dar construction expo kuwakutanisha wadau wa ujenzi

    Watanzania na Wadau mbalimbali wa Ujenzi watakiwa kujitokeza kwa wingi katika Maonesho ya DAR CONSTRUCTION EXPO, ili kujifunza, nakuona Teknolojia mpya itakayopatikana katika Sekta ya Ujenzi. Akizungumza na Waandishi wa Habari katika ukumbi wa Diamond Jubilee, Jijini Dar es salaam, Mkurugenzi...
  3. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Kagera Bi. FATUMA agundua uozo mkubwa, Mbunge BKb Mjini na Meya wakalia kuti Kavu, waanzisha ujenzi Bila Ramani

    Wana JF Kagera imepata mwarobaini wa matatizo makubwa waliyokuwa wanayapata kwa muda mrefu. Mkuu wa mkoa kagera afichua uozo hatari uliokuwa unaendeshwa chini chini na genge la wahuni kuhujumu miradi mbali mbali ya maendeleo. Nisikuchoshe sana hii hapa hotuba kali ya mkuu wa mkoa pamoja na...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Waraka kuhusu ujenzi wa “jumuiya ya binadamu yenye mustakabali wa pamoja” wahimiza ushirikiano na kunufaika kwa pamoja

    Serikali ya China imetoa waraka kuhusu ujenzi wa “jumuiya ya binadamu yenye mustakabali wa pamoja” miaka 10 baada ya Rais Xi Jinping wa China kutoa pendekezo hilo ambalo limefuatiliwa na wachambuzi wengi wa mambo ya kiuchumi na kidiplomasia. Kutolewa kwa waraka huu, kunachukuliwa kuwa ni...
  5. JamiiForums Tanzania Tetesi: Waziri Jerry Silaa kuzuia ujenzi kituo cha mafuta, eneo lilikokuwa open space Moshi sasa lina Hati mmiliki

    Waziri Jerry Silaa, chambua kwa kina taarifa Za eneo hilo. Nikukumbushe tu kuwa eneo hilo lilikuwa open space na sasa lina hati kamili. Mwisho panajengwa kituo cha mafuta.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa jumuiya ya China na Afrika yenye hatma ya pamoja waimarishwa

    Ujumbe wa China kwenye Umoja wa Afrika, Akademia ya Sayansi ya China, Shirika la Mpango Mpya wa Maendeleo ya Afrika, Shirika la Fedha la Teknolojia za Kilimo la Afrika na taasisi nyingine hivi karibuni zimetoa kwa pamoja pendekezo la “Kuimarisha Uvumbuzi wa Sayansi na Teknolojia kati ya China na...
  7. JamiiForums Tanzania TRC yaendelea na zoezi la utwaaji ardhi kupisha ujenzi wa reli ya SGR kipande cha Tabora - Isaka

    Shirika la Reli Tanzania - TRC linaendelea na zoezi la utwaaji ardhi kupisha mradi wa ujenzi wa reli ya kiwango cha kimataifa - SGR kipande cha nne Tabora - Isaka kwenye vijiji takribani tisa vilivyopo wilayani Nzega mkoa wa Tabora hivi karibuni Oktoba, 2023. Mthamini kutoka TRC Bw. Valentine...
  8. JamiiForums Tanzania Mbunge Kapufi akabidhi zaidi ya Shilingi Milioni 2 Ujenzi wa Nyumba ya Katibu wa CCM Wilaya ya Mpanda

    Mbunge Kapufi akabidhi zaidi ya Shilingi Milioni 2 Ujenzi wa Nyumba ya Katibu wa CCM Wilaya ya Mpanda. MBUNGE wa Jimbo la Mpanda Mjini Sebastian Kapufi amekabidhi zaidi ya Milioni 2 kwa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake (UWT) Wilaya ya Mpanda kwa ajili ya kukamilisha Ujenzi wa nyumba ya Katibu wa...
  9. JamiiForums Tanzania Wananchi walia na ujenzi wa Daraja Kijiji cha Komdudu (Tanga), wadai wanateseka kwa muda wa miaka miwili

    Wananchi wa Kijiji cha Komdudu Wilayani Handeni Mkoani Tanga wamelalamikia kukumbana na changamoto ya kuvuka kwenye daraja lililopo kijijini hapo kwa muda wa miaka miwili tangu lilipoharibika. Daraja hilo halijatengenezwa bali limeweka la muda hali ambayo imekuwa ikiwapa changamoto Wananchi...
  10. JamiiForums Tanzania Wananchi wa Kitongoji cha Gomora waamua kuongeza kasi kwenye ujenzi wa shule shikizi

    Kitongoji cha Gomora ni moja ya vitongoji vitatu (3) vya Kijiji cha Musanja, Kata ya Musanja Vitongoji hivi vitatu (3) vinayo Shule ya Msingi moja iliyojengwa Mwaka 1959 na Kanisa la Mennonite. Shule hiyo (S/M Musanja) kwa sasa ni ya Serikali. Matatizo makuu yanayowakabili wanafunzi wa S/M...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kampuni ya Yapi Merkezi imekumbwa na ukata wa pesa hivyo kuathiri ujenzi wa reli ya kisasa (SGR)au Serikali ya Tanzania inaficha ukweli?

    Tanzania inatafakari Mpango B kwa ajili ya mradi wake wa SGR huku kampuni ya Uturuki ikiachwa. Mawaziri wa fedha kutoka Tanzania na Zanzibar wameanza kuchangisha fedha kwa ajili ya mradi wa reli ya standard gauge (SGR) baada ya mkandarasi mkuu wa kampuni ya Uturuki Yapi Merkezi kuonyesha dalili...
  12. JamiiForums Tanzania Wanachi wa Wilaya ya Momba Wamefurahishwa na Ujenzi wa Barabara ya Ikana - Iyendwa – Namchika Yenye Urefu wa Kilomita 33

    WANANCHI WILAYANI MOMBA WAIPONGEZA TARURA KWA UJENZI WA BARABARA YA IKANA – IYENDWA-NAMCHIKA. Na Mwandishi wetu - Momba Wanachi wa Wilaya ya Momba wameeleza kufurahishwa kwao na ujenzi wa Barabara ya Ikana - Iyendwa – Namchika yenye urefu wa kilomita 33 ambapo hapo awali ilikuwa haipitiki na...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Fundi ujenzi natafuta kazi

    Hello Naitwa Nyesigamkama Ni fundi ujenzi wa nyumba Fani ya Bricklaying and Concrete practice. Najenga kuanzia nyumba ya kawaida mpaka Ghorofa. Niko Murongo Kyerwa Kagera nafanya kazi mikoa yote. Namba yangu Ni 0614899688
  14. JamiiForums Tanzania Harambee Imefanikiwa Sana: Kisiwa cha Rukuba Chaanza Ujenzi wa Sekondari Yake

    HARAMBEE IMEFANIKIWA SANA: KISIWA CHA RUKUBA CHAANZA UJENZI WA SEKONDARI YAKE Kisiwa cha Rukuba ni moja ya vijiji vinne (4) vya Kata ya Etaro. Wanafunzi wa sekondari kutoka Kisiwani humo wanasoma nchi kavu kwenye sekondari ya Kata yao (Etaro Sekondari). Wanafunzi hao wanakumbuna na matatizo...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Samizi ashiriki kupokea madawati 50, washuhudia mamilioni ya Rais Samia ujenzi wa shule

    Jana Jumatatu Septemba 25, 2023 Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma, Dkt. Florence George Samizi ameambatana na Mkuu wa Wilaya ya Kibondo, Col. Aggrey Magwaza pamoja Mkurugenzi wa Benki ya NMB Kanda ya Magharibi Seka Urio katika mapokezi ya madawati 50 yenye thamani ya milioni tano kutoka...
  16. JamiiForums Tanzania Sugu akutana na Askofu Mwaikali. Ashiriki harambee ya Ujenzi wa Kanisa

    Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini, Mfanyabiashara wa kimataifa, Mwekezaji na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , Bilionea Joseph Mbilinyi , leo amefika kwenye kanisa la KKAM , Parish ya Isanga na kushiriki Harambee ya Kanisa hilo. Sugu amechangia kitita kizito mno baada ya kushinda mnada wa kuku...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Tunatoa huduma mbalimbali za ujenzi

    Kutana na timu yetu ya Wataalamu ujenzi tuliobobea katika fani hii, Makao makuu yetu yapo MOROCCO na SINZA jijini Dar es Salaam, Kwa majengo imara na ya kisasa kama apartmenent, nyumba za kawaida e.t.c. Kwa mawasiliano tupigie kwa simu no 0657274202 Baadhi ya kazi zetu ni hizi hapa chini.
  18. JamiiForums Tanzania Mkandarasi anayetakiwa Kujenga Daraja la Mto Mpiji linalounganisha Mbweni na Mapinga anachelewa nini kuanza Ujenzi?

    Kama kuna Wahusika wa Ujenzi wa Daraja hilo hapa JamiiForums nitashukuru nikipata Mrejesho wao kwani GENTAMYCINE nitapenda hata nyakati za Mvua Kubwa na Mafuriko niendelee kuwa Huru Kuvuka hilo Daraja na Kuwatembelea Makomandoo ( Wanamedani Waliotukuka ) walioko Jirani na Daraja hilo na Kukutana...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ndumbaro akabidhi Mifuko ya Saruji 50 Ujenzi Ofisi za CCM Tawi la Mahenge

    Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo na Mbunge wa JImbo la Songea Mjini, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ameambatana na Komredi Alhaji Mwinyi Msolomi, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Songea kutoa msaada wa mifuko 50 ya Saruji ili kuwezesha ujenzi wa Ofisi ya Tawi la Mahenge Kata ya Songea...
  20. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Bandari (TPA) imeanza kutangaza Zabuni kwaajili Ujenzi wa Bandari

    Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imetangaza zabuni mbili za ujenzi wa bandari ya Kisiwa Mgao mkoani Mtwara, Mbegani wilayani Bagamoyo, kadhalika bandari ya Tanga. Zabuni hizo, zinatangazwa kipindi ambacho kumekuwa na hoja kutoka kwa watu mbalimbali juu ya bandari zote nchini kukabidhiwa kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…