Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Balozi, Mhandisi Aisha Amour amewataka Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi kuzingatia Sheria, Taratibu na Kanuni za utendaji kazi ili kupata majengo bora, salama yasiyoathiri mazingira na yanayoendana na thamani halisi ya fedha.
Akizungumza Oktoba 30, 2024...