uhuru

  1. JamiiForums Tanzania Rais Uhuru Kenyatta: Nchi jirani zinahitaji siasa ambazo ushindani si uadui na vita

    Katika kile unachoweza kutafsiri kama ni Kenya kuguswa na siasa mpya za Tanzania, Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesistiza ustahimilivu wa kisiasa hasa kwa nchi zilizoizunguka. Amesema uchaguzi unafaa kuleta utangamano wa nchi na siyo kinyume chake. Amedai kuwa siyo siri nchi zinazoizunguka...
  2. JamiiForums Tanzania Singa: Kijiji kilichokuwa tajiri kuliko vyote Tanzania kabla na baada ya uhuru

    Singa ni kijiji kilicho katika kata ya Kibosho mashariki, wilaya ya Moshi vijijini katika mkoa wa Kilimanjaro. Wakaazi wa eneo hili ni Wachagga wa Kibosho japo siku hizi kuna wapare wengi na makabila mengine kama wasambaa na hata wahaya(wengi ni wajenzi). Kijiji cha Singa kimegawanyika sehemu...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Uhuru hajahudhuria uapishwaji wa Rais Magufuli?

    Toeni maoni yenu. Yangu ni kwamba Rais Magufuli bado ana machungu kwa sababu Rais Uhuru alifuata maagizo ya wanasayansi kuhusu njia za kudhibiti Corona ikiwemo kupima madereva wa Tanzania waliokuwa wanaleta Corona huku. Rais Magufuli naye akaamua kufutilia mbali urafiki na Kenya kama vile...
  4. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Wanashangilia Meli ya DRC, Kigoma hamna meli toka Uhuru

    Amesema meli iliyopokelewa leo kwa mbwembwe na wanaCCM si ya Tanzania bali ni mali ya DRC. Ameongeza kuwa ni aibu Tanzania kutokuwa na meli na kutegemea ya DRC Chanzo: Zitto kabwe on all social media
  5. JamiiForums Tanzania Ni uhuru upi wa kujieleza wanaoutaka CHADEMA?

    Kuna dhana potofu ambayo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamekuwa wakiwaaminisha Watanzania eti hakuna uhuru wa habari na vyombo vya habari vimeminywa. Dhana hiyo imekuwa ikiwashangaza hata waandishi wa habari wenyewe kwani hawajaona kuminywa huko kwani wamekuwa wakifanya kazi...
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Mwamakula: Uchaguzi uwe wa haki na uhuru

    Mtu ye yote anayehangaika na mikakati ya kuweka wapiga kura hewa, kuandaa watoto na wasio na sifa za kupiga kura ili wapige kura, kuiba kura, kuongeza vituo hewa na kuongeza kura za ziada kwenye vituo, huyo atakuwa amekosa kibari kwa watu na Mungu! Wananchi, madereva, wanafunzi, waalimu...
  7. JamiiForums Tanzania VPL: Tanzania Prison vs Simba & Yanga vs Polisi Tanzania

    Karibuni tufuatilie mechi hizi pamoja Tushuhudie vigogo hawa watakavyofanya hii Leo Utaburi wangu Prison 0- 3 Simba Yanga 1- 3 Tanpolis OKW BOBAN SUNZU GENTAMYCINE @Forteleza na wengine toka vyurani Updates Kikosi cha simba Manula Kapombe Tshabalala Nyoni Onyango Mkude Mzamiru Bwalya...
  8. JamiiForums Tanzania Kinga kwa Rais aliyeko madarakani na wastaafu ni kichocheo cha uvunjaji haki, Iangaliwe upya

    Katika nchi yetu kuna sheria za ajabu sana, mojawapo ni hii ya kumlinda Rais Mstaafu kutokana na makosa aliyoyafanya akiwa Rais. Habari juu ya Ufisadi uliofanyika katika awamu ya tatu ya Uongozi wa nchi yetu ni dira tosha ya kutufanya tufikirie upya juu ya Kinga ya Rais Mstaafu ya kutoshitakiwa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gamanywa: Haki ni tunda la utii wa sheria vs Shehe Kishki: Haki ni tunda la uhuru wa binadamu. Ipi ni sahihi?

    Askofu Gamanywa ameitafsiri Haki kama tunda la utii wa sheria na kwamba Sheria ndio hutoa haki. Gamanywa amesema Amani ni muhimu kuliko haki kwa sababu Haki hubadilika badilika kulingana na mabadiliko ya sheria lakini Amani iko pale pale. Naye shehe Kishki ametofautiana na askofu Gamanywa kwa...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Uhuru Kenyatta ametusaidia kuwaambia wanaotaka katiba mpya kuwa siyo jibu la matatizo yetu

    Kenya Considers New Constitution To Avoid Perennial Violence Kenya’s President Uhuru Kenyatta has called for a change of the constitution, outlining the benefits it will have for future generations. “We spend almost two years after every election on conflicts,” he said, “and that is what we...
  11. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Watanzania, uongozi haujaribiwi. Chagua kwa ajili ya Uhuru na Amani ya Watanzania

    Habari za muda huu ndugu wanabodi wenzangu? Leo nimerudi tena baada ya takribani siku kadha zilizopita kuwa na majukumu mengine na hasa ya kiuchumi pamoja na ya kisiasa. Tumetafuta kura za kutosha na kwa tathimini ya haraka tumefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuweza kuwafahamisha watanzania wengi...
  12. JamiiForums Tanzania Korea ya Kaskazini ina maendeleo ya vitu lakini watu hawana uhuru

    Moja ya mdahalo unaondelea kwenye kampeni za urais ni kati ya maendeleo ya watu na maendeleo ya vitu. Mimi nakubaliana na Tundu Lissu kwa kuchagua maendeleo ya vyote! UHURU, KAZI NA MAENDELEO maana yake ni maendeleo ya vyote! Kwa mfano, Korea ya Kaskazini wana majengo mazuri, miundombinu na...
  13. JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini sherehe za ‘UHURU’ haziitwi ‘FREEDOM DAY’? , badala yake zinaitwa sherehe za ‘KUTOKUA TEGEMEZI’ , yaani ‘IN-DEPENDENCE DAY’?

    Nadhani hapa tulichotwa akili, neno ‘DEPEND’ limaanisha ‘Kutegemea’, kwahiyo siku ya kuoata uhuru wetu kuitwa siku ya ‘IN-DEPENDENCE’ wanamaanisha kwamba sisi tulikuwa tunawategemea wao ili kuishi, kwahiyo siku ya uhuru wetu badala ya kuitwa ‘Freedom day’ wakaiita siku ya kuacha ‘utegemezi’, hii...
  14. JamiiForums Tanzania Upotoshaji wa dhana ya uhuru ndani ya upinzani

    Katika siasa za ushindani kama ilivyo ushindani holela wa soko huria kumeibuka upotoshwaji mkubwa wa kutumia fikra za Mwalimu Nyerere nyingi na hapa nitajikita katika dhana ya “UHURU”. Kwa makusudi katika mchakato wa kuwa makuhadi wa soko huria, na pengine pia wapinzani kutokuwa na falsafa ...
  15. JamiiForums Tanzania Tofauti ya CCM ya Magufuli na wapinzani kwenye dhana za uhuru na haki

    Kampeini kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 zimeanza rasmi tarehe 26 Agosti, 2020. Vyama vya siasa vitakavyoshiriki uchaguzi vimeanza kunadi ilani, sera na wagombea wao. Katika kampeini hizi. Wakati kauli mbiu ya CHADEMA ni “Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu”, ya ACT ni “Kazi na Bata”...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Kubezwa kwa haki na uhuru hugharimu taifa

    Mabibi na mabwana heshima kwenu. Umoja na utaifa ni tunu zitokanazo na kuzingatiwa kwa haki na uhuru wa watu. Hizi huakisiwa kimatokeo na hali ya amani na utilivu katika nchi husika. Kutatizwa kwa umoja na utaifa ndicho adui akihitajicho kupenyeza chochote dhidi yetu. Halahala na uchaguzi huu...
  17. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu afafanua maana ya uhuru, haki na maendeleo ya watu kwa watu wa Dodoma

    Akiwa mkoani Dodoma ambayo kwa asili ni ngome ya chama cha mapinduzi, Ndugu Lissu amefafanua kwa uzuri kabisa na kwa lugha rahisi kabisa ya kueleweka anamaanisha nini pale CHADEMA inaposema haki, uhuru na maendeleo ya watu. Mheshimiwa Lissu ameelezea ukosefu wa haki kwa kutolea mfano chaguzi za...
  18. V

    JamiiForums Tanzania GE2020 Magufuli akiwa Songwe: Msipomchagua Silinde sileti maji Tunduma

    Kuna methali ya kiswahili inasema mfupa wa kulazimisha ukivunja chungu. Kwa kila aliyefatilia hotuba ya Dr. Magufuli pale Tunduma atagundua kuwa CCM haikubaliki kama Chadema, mbaya zaidi ni kutokana na mgombea CCM inayomnadi, maana haaminiki tena kwa wananchi wa Tunduma, kwa tabia yake ya...
  19. JamiiForums Tanzania Haya maneno ya mtangazaji wa Uhuru FM kwa wanafunzi wa Jangwani mnayaonaje?

    Lengo la uzi halipo kisiasa wala kuegemea au kushambulia upande wa chama chochote cha kisiasa. Leo nilikuwa nasikiliza redio stesheni ya Uhuru FM. Walikuwa wanahoji wanafunzi wa kidato cha 5 na 6 shule ya Secondary Jangwani kuhusu "kwanini Magufuli miaka mitano mingine" Ila kuna...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Ups and Downs katika kudai haki na uhuru

    Mabibi na mabwana heshima kwenu. Safari ya kudai uhuru na haki hazijawahi kuwa rahisi. Uliza kote Duniani si Afrika kusini wala Palestina. Si Belarus wala Venezuela. Kina Mandela waliitwa magaidi. Kama wanavyoitwa hivyo leo HAMAS au hata Watalibani. Panakutofautiana kwingi kunakoweza kutokea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…