uhuru

  1. JamiiForums Tanzania Tuwakumbuke Mashujaa wa Uhuru Waliosahaulika Kuelekea 9 December: Abbas Max (1918 - 1992)

  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Makundi 53 ya waasi DRC yakubali yaishe kwenye kikao Kenya

    Kwenye shughuli iliyosimamiwa na kuratibiwa na aliyekua rais wa Kenya bwana Uhuru Kenyatta. Wamekubali kuweka silaha chini na kuanza shughuli za ujenzi wa taifa, ikumbukwe jumuia ya EAC iliazimia kwamba amani lazima ipatikane DRC kwa heri au shari, chagua moja. Pia M23 wametuma ujumbe wako...
  3. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jitihada za Uhuru Kenyatta kurejesha amani Congo, ayataka makundi ya kigeni yenye silaha kurudi makwao

    Hotuba yake imenitia moyo. Amenifurahisha alipozitaka nchi majirani kutoitumia ardhi ya Congo kama uwanja wa vita. Kuna mapendekezo mengi ambayo yakifanyiwa kazi amani na ustawi utarejea Congo.
  4. JamiiForums Tanzania Unaanzaje kuahirisha sherehe za Uhuru? Ahirisheni na sherehe za Muungano

    Yaani inakuajekuaje mtu unaahirisha Sherehe za Uhuru? Uhuru? UHURU? Sababu kubwa? Pesa ziende kwenye MAENDELEO? Yaan Mnaacha mafisadi yanajipigia, Mnajipa masafari Kila kukicha, Mnajipa matumizi makubwa kupindukia, wafanyabiashara mmewaita wafanyabiashara wazuri, alafu from nowhere, Unazuia...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Kama tunazuia Sherehe za Uhuru Day basi tuzuie pia na Mbio za Mwenge kwani zinaigharimu nchi

    Kama Cognizant (alias) Adorable Angel ningeulizwa nichague kipi kizuiwe na kisicho na faida kwa taifa kati ya Siku ya Uhuru 9 Desemba na Mbio za Mwenge wa Uhuru haraka sana bila kupoteza muda ningepinga kuwepo kwa Mbio za Mwenge wa Uhuru nchini. Kwanini? Siku ya Uhuru wetu (9 Desemba) najifunza...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Kughairisha Sherehe za Uhuru ni dharau kwa Tunu ya Uzalendo tuliyokuwa nayo Watanzania

    Bado tunaweza kuwa na Sherehe za Siku ya Uhuru kwa bajeti yoyote ile iliyopangwa na mambo mengine yakaendelea kama yalivyopangwa. Ni dharau kwa Watanzania wazalendo kama akina Cognizant (alias), Adorable, Angel kufuta sherehe za uhuru na kusema pesa zielekezwe katika matumizi ya jambo lingine...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Milioni 960 za sherehe ya Uhuru zikajenge mabweni shule nane za wanafunzi wenye mahitaji maalum

    NB: Ya Magufuli ni yake Samia. ==== Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelekeza TZS milioni 960 ambazo zilitengwa katika bajeti kwa ajili ya maadhimisho ya sherehe za Uhuru inayoadhimishwa kila Desemba 9, zipelekwe Ofisi ya Rais TAMISEMI na zitumike kujenga mabweni katika shule nane...
  8. JamiiForums Tanzania Tulitishwa sana Story ya Mapank ya Samaki na Utawala wa Mkapa. Sasa Tujadili kwa Uhuru

    Nilienda nchi Fulani ulaya miaka kadhaa ilopita nilipata marafiki wawili wanaosoma ujasusi katika nchi ya ulaya. Mmoja alikuwa mjapani mixer na italiono, mwingine Mjerumani mixer na mfaransa. Hawa watu wanaijua Tanganyika, Zanzibar, na Tanzania na matukio yake yote. Walinipa VCD na DVD matukio...
  9. JamiiForums Tanzania Waasi wa M23 waomba kufanya mazungumzo na Uhuru Kenyatta

    Kundi la waasi la M23 siku ya Ijumaa lilikaidi wito wa kusitishwa kwa mapigano, likitaja mashambulizi ya mara kwa mara kutoka kwa jeshi la Kongo, FARDC, lakini wakaomba kukutana na mpatanishi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Uhuru Kenyatta na Rais wa Angola Joao Lorenco, kutetea malalamiko yao...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Miaka 61 tangia tupate Uhuru bado tunategemea Umeme wa Maji

    Hivi shida ni nini? Kwanini wanaotuongoza wanaonyesha uwezo mdogo wa fikra ama ni kutokujali. Kwanini hatuna umeme wa Gesi? Kwanini Hatuna umeme wa Makaa y mawe? Kwanini hakuna mfumo wa kukinga maji yanayotengeza umeme yasipotee kwa 100%, ili yaweze kutumika tena.? Naamini shida sio TANESCO...
  11. JamiiForums Tanzania Kipindi cha Mr. Right ni kizuri Ila namna kinavyofanyika kinaaibisha na kudhalilisha Wanawake

    KIPINDI CHA MR. RIGHT NI KIZURI ILA NAMNA KINAVYOFANYIKA KINAAIBISHA NA KUDHALILISHA WANAWAKE. Anaandika, Robert Heriel Kuhani. Ingawaje ni aibu kubwa Kwa mwanamke kutoka hadharani na kutangaza kukosa mume WA kumuoa lakini hiyo tunaweza kusema ni kasumba tuu Mbaya. Taikon ninaamini hata...
  12. JamiiForums Tanzania Kulikuwa na umuhimu gani kwa viwanja vya Uhuru na Mkapa kujengwa sehemu moja?

    Habari za muda huu ndugu zangu wa jamiiforums. Eti wataalam wa mipango miji, kulikuwa na umuhimu gani kwa viwanja vya soccer vya Uhuru pamoja na ule wa Benjamin William Mkapa kujengwa sehemu moja? Eneo ulipojengwa uwanja wa Mkapa lilikuwa eneo la wazi na ndio sehemu ambayo chuo cha ufundi...
  13. JamiiForums Tanzania Ni bora utumwani penye mahitaji muhimu kuliko uhuru pasipo na mahitaji muhimu

    Hata waisrael walifikia kipindi kuchoka na shida wanazopata safarini kuelekea kaanani walitamani Musa awarudishe Misri kwa farao utumwani walipata mahitaji muhimu.
  14. JamiiForums Tanzania Lindi yamzika Sheikh Mpigania Uhuru Sheikh Hassan Mohamed Said Kinyozi

    Kama tusingeandika historia yetu waliokuwa hawapo hiki kizazi kipya kisingeijua historia ya Sheikh Hassan Kinyozi. Tungemzika Sheikh Hassan Kinyozi kama tunavyowazika masheikh wetu. Tusingeliweka jeneza la mwalimu wetu mabegani na vifua mbele tukijua kuwa tunamzika shujaa aliyepigania uhuru wa...
  15. JamiiForums Tanzania TANZIA Sheikh Hassan Mohamed Said Kinyozi Mpigania Uhuru na Mmoja wa Waasisi wa TANU Lindi amefariki Dunia

    Jioni hii imenifikia taarifa kutoka Lindi kuwa Hassan Mohamed Said Kinyozi mmoja katika vijana waliowasha moto wa kupigania uhuru wa Tanganyika Southern Province, yaani Jimbo la Kusini amefariki dunia akiwa na umri wa kiasi cha miaka 90. Nakumbuka kama jana siku nilipofika Lindi kwa basi dogo...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Siasa za Marekani: Democrats kampeni yao ni ya kuruhusu ushoga/LGBT na uhuru wa kutoa mimba.

    Mwanadada huyu hapa ana furaha sana mgombea wa Democratic ameshinda kwenye jimbo lake kwa hiyo anafurahia kwenye jimbo hilo kutoa mimba itakuwa ni ruhusa! Alikuwa na wasiwasi kuwa kama angeshinda mgombea wa Republican, utoaji mimba ungepigwa marufuku kwenye ji,mbo lake!! “We won!” That was...
  17. JamiiForums Tanzania Sherehe za Uhuru zisifanyike au kusiwe na vikosi vinapita pita

    Comedy zilizofanyika zinatosha kwa hiyo miaka yote, ni muda sasa kuangalia mantiki ya kinachooneshwa, kama wanafanya vitu ambavyo haviendani na uhalisia ni bora wakaailika wachekeshaji basi. Ule ukakamavu waliokua wanaonesha nib fake tu
  18. JamiiForums Tanzania Ni kwanini watu wenye jinsia mbili hawapewi uhuru wa kuchagua jinsi yao?

    Watoto wengi wanaozaliwa na jinsia mbili mara nyingi hufanyiwa upasuaji na wazazi kupanga wawe jinsi gani. Sasa kwanini wasiachwe wakue ili wao wenyewe waamue jinsia wanayoitaka? Hapa nazungumzia intersex ama watu wanaozaliwa na jinsi mbili.
  19. JamiiForums Tanzania Tangu tumepata uhuru ni hayati Julius Nyerere na hayati John P. Magufuli waliujua kwa undani na umaskini wa watanzania wengi na kuwaonea huruma

    Julius alikuwa na huruma juu ya raia wa chini. Hakutaka wateseke na tozo, kodi, ada za shule na hata kuhangaika kupata chakula. Julius alipambana kila Mtanzania angalau asipate tabu sana ila mabeberu na vibaraka wa mabeberu walimkwamisha. Hayati John Pombe alipambana masikini wasihangaike...
  20. JamiiForums Tanzania Orodha yangu ya Marais bora kuanzia wa kwanza hadi wa mwisho tokea tupate uhuru

    Jambo rafiki! Moja kwa moja kwenye mada. Hii ndiyo orodha yangu ya Maraisi bora kuanzia wa kwanza mpaka wa mwisho tangu tupate uhuru. NB: Mimi ni mtoto wa 90's, kwahiyo wengine nimefanya utafiti kwa mapokeo ya mdomo kupitia wazee wangu. 1. Ali Hassan Mwinyi Huyu kwangu ndiyo raisi bora tangu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…