uhuru

  1. JamiiForums Tanzania Ilikuwa ni busara kuendelea kiujumla na mipaka iliyoachwa na Wakoloni kwa nchi huru za Africa baada ya uhuru?

    Mojawapo ya maazimio na makubaliano ya mwanzo kabisa waliyowafanya viongozi wa nchi za Africa zilizojipatia uhuru miaka ya 1960's ni kuendelea kuheshimu mipaka ya nchi iliyoachwa na wakoloni. Haya makubaliano ya kiujumla jumla hivi yalikuwa sahihi ukizingatia mipaka ya mataifa ya Africa...
  2. JamiiForums Tanzania Siasa za misaada ya Wahisani na Madeni, Je, Nchi Zinazoendelea Zinaweza Kufikia Uhuru wa Kiuchumi?

    👉🏾Nchi zinazoendelea zimekuwa zikitegemea misaada ya wahisani ili kugharamia maendeleo katika sekta mbalimbali, lakini misaada hii mara nyingi inakuja na mzigo wa madeni. Madeni haya yanaweza kudhoofisha uchumi na kuzuia maendeleo ya kudumu, huku mataifa haya yakikosa uhuru wa kiuchumi. source...
  3. JamiiForums Tanzania Mchango wa Tabora Katika Kupigania Uhuru wa Tanganyika (1945 - 1961)

    MHADHARA: MCHANGO WA TABORA KATIKA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA (1945 - 1961) Niko Tabora toka jana usiku. Mwaliko wa Wazee wa CCM Tabora Kuadhimisha Kuzaliwa kwa CCM tarehe 5 February 1977. Nimealikwa kuzungumza mchango wa Tabora katika kupigania uhuru wa Tanganyika. Mhadhara unafanyika...
  4. JamiiForums Tanzania Athari za Mfumo wa Kichama kwa Idara za Usalama na Ulinzi Kabla na Baada ya Uhuru

    Kutoana na kutoka ukoloni mpaka kuwa watawala kuna utofauti kati ya idara za usalama na ulinzi kabla na baada ya uhuru, hasa katika muktadha wa Afrika na mataifa mengine yaliyojitawala kutoka kwa wakoloni. Kabla ya uhuru, idara za usalama na ulinzi mara nyingi zilikuwa zikitumika kama vyombo...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Maulid Kitenge: Kama tusipoushughulikia Uhuru wetu vizuri Wakoloni watarudi Kwa jina la Wawekezaji!

    KADA wa CCM na mwanahabari nguli Maulid Kitenge amewataka Viongozi wa Africa kufanya maamuzi Kwa umakini mkubwa Ili wasije kutuletea majuto huko mbele " Tusipoushughulikia vizuri Uhuru wetu Wakoloni Watarudi Kwa jina la Wawekezaji" amesema KADA huyo wa CCM anayeaminiwa sana na Wawekezaji wa...
  6. JamiiForums Tanzania Hali hii tunaita ni upweke au uhuru

    Kutoka kwenye msemo wa Charles Bukowski "Ukiwa hauna mtu anayekuamsha asubuhi, hakuna anayekusubiri usiku, ukiwa unafanya unachotaka huu tunaita ni upweke au uhuru"
  7. R

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa Mahakama: Mahakama yasitisha amri ya Trump ya kuzuia uraia wa kuzaliwa Marekani

    UHURU WA MAHAKAMA Kwako Ibrahim Juma , CJ. MH. JAJI MKUU NAOMBA UPITIE UONE KAMA KUNA HAJA YA KUIGA MFANO HUU WA MAHAKAMA HURU Jaji wa Mahakama ya Wilaya ya Marekani, John Coughenour, ametoa agizo la muda la kusitisha utekelezaji wa amri ya Rais Donald Trump ya kufuta uraia wa kuzaliwa nchini...
  8. JamiiForums Tanzania Tusahihishe Historia ya Uhuru wa Tanganyika

    https://youtu.be/9u_ZRa69IGs?si=Ea99wpBTzkTEHVwt
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru Kenyatta awaambia Gen Z "Msikubali haki yenu ipotee, ipambanieni sio mnakaakaa tu mnaogopa"

    https://www.youtube.com/watch?v=J8egAFLzxsA Siku mbili baada ya Rais mstaafu Uhuru Kenyatta kutoa rai kwa vijana nchini Kenya kupigania haki zao na utawala bora nchini Kenya, Rais William Ruto amemtuhumu mtangulizi wake huyo kuwachochea vijana nchini Kenya kufanya fujo. Usemi huo wa Rais...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Wafahamu kwa Majina Makamu Wenyeviti Tangia Kuasisiwa Kwa CCM 1977. Ujue Kwanini Ameteuliwa Mzee Stephen Wasira na wote wamezaliwa kabla ya Uhuru

    Ndugu zangu Watanzania, Hawa ndio Makamu Wenyeviti wa CCM tangia Kuasisiwa kwake Mwaka 1977 Februari 5. Ukiwatazama tu na kufuatilia tu historia zao na heshima zao katika Taifa letu .utagundua kuwa nafasi hiyo haijawahi kushikwa na mtu mwepesi mwepesi na asiyefahamu historia Ya Taifa letu. Ni...
  11. JamiiForums Tanzania Kipato huongeza uhuru na kujiamini kwa mwanaume

    Ni content but in reality inachoma kama pasi. Poleni wanaume wote mnaopitia khali hii ama zaidi ya hii. Mwenyezi Mungu awaone na kubariki hustles zenu. Happy Friday.
  12. JamiiForums Tanzania Kufukuzwa kwa Ntobi ni moja ya ishara kwamba Lissu na kundi lake ni madikteta kama alivyokuwa JPM, hawataki uhuru wa mawazo

    Mwenyekiti wa CDM Mkoa wa Shinyanga ameondolewa kwenye nafasi hiyo kwa sababu ameonyesha kumuunga mkono Mbowe. Kimsingi alitumia uhuru wake wa mawazo kumuunga mkono Mbowe. Kundi la Lissu, kwa formula ile ile ya JPM ya udikteta. Likaitisha kikao haraka haraka, bila hata kumsikiliza, wakamfukuza...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa nini wa Zanzibar Wana waita wa Tanzania makafiri ,je wamesahau kuwa ni sisi ndio tuliowapa Uhuru na utukufu.

    Kwa nini wa Zanzibar Wana waita wa Tanzania makafiri ,je wamesahau kuwa ni sisi ndio tuliowapa Uhuru na utukufu. Mapinduzi matukufu yalifanyika tarehe 12 Januari 1964. yaliwaondoa Sultan wa Zanzibar na tabaka la watawala wa Kiarabu. Sultan wa Zanzibar alitokea Oman,Sultan wa kwanza wa...
  14. JamiiForums Tanzania Jinsi Mpigania Uhuru, Wafanyabiashara wawili, DJ na Mmiliki Bar walivyofanikisha mwaliko wa Bob Marley nchini Zimbabwe kwenye Hafla ya Uhuru 1980

    Ilichukua mzalendo, mpigania uhuru asiye na woga na katibu mkuu wa Zanu-PF kuandaa sherehe za uhuru wa Zimbabwe. Kwa msaada wa wafanyabiashara wawili, mmiliki wa baa na mtangazaji wa redio waliweza kupanga njia ya mwaliko wa Robert Nesta (Bob) Marley. Mkongwe wa kitaifa Cde Edgar Zivanai “Two...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Hatuwezi kupata uhuru wa katiba na demokrasia bila kuwa radical. Upole umetushinda

    Upole kuna wakati hauleti mabadiliko hata nyerere alishasema kuhusu uhuru wa Africa. Mnao sema Nyerere alileta amani mjue kwamba amani inakuja na haki. Bila haki hakuna amani https://youtube.com/shorts/7M_wnltQWao?si=h3MmufJZ-Np0mcJx
  16. JamiiForums Tanzania Tangu Taifa la Tanzania lipate uhuru hajawahi kutokea mwanasiasa bora na mzalendo kama Lissu. Kila atakayeshindana naye ataanguka

    Hakuna aliyewahi kuthibitisha kuwa Tundulisu amewahi kuhujumu mali au fedha za umma hata sh. Mia mbili. Hajawahi kuwa muoga kwasababu ya maslahi. Anaposimamia jambo uhai wake huuweka pembeni kabisa. Awamu ya tano kila walipotafuta mpenyo wamfunge afie jela hawakuona hata kadirisha kaliko wazi...
  17. JamiiForums Tanzania Mafundisho ya Uislamu kuhusu uhuru wa dini

    Uislamu unasisitiza uhuru wa dini na haki ya kila mtu kuchagua dini yake bila kulazimishwa. Hii inathibitishwa katika aya maarufu ya Qur'ani: - Qur'ani 2:256 (Surat Al-Baqarah): Aya hii inaonyesha kuwa Uislamu unaheshimu haki ya mtu binafsi kuchagua dini yake, na hakuna mtu anapaswa...
  18. JamiiForums Tanzania Takwimu zinaonyesha kabla ya Uhuru mwaka 1961 asilimia 80 ya wasomi kwa ngazi ya PhD na Professor walikuwa wachagga

    Kheri ya mwaka mpya WanaJF
  19. B

    JamiiForums Tanzania ASKOFU BAGONZA - TUSIITAKE SERIKALI KUINGILIA UHURU WA KUABUDU, LABDA PAWEPO JINAI

    WARSHA KUHUSU MAFUNDISHO POTOSHI Katika kongamano lililowaleta viongozi kadhaa wa dini mbalimbali Tanzania, baba Askofu Bagonza alichangia mada Bagonza ataja hatari SITA kuhusu Mafundisho potoshi. Wewe zako ni zipi? https://m.youtube.com/watch?v=ZGhFhp6v6WE Baba Askofu Bagonza amesema kuna...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Nyang'homango Usagara Mwanza hakuna maji safi ya bomba tangu uhuru

    Wakazi wa Nyang'homango kata ya Usagara jijini Mwanza hawajawai kuwa na maji ya bomba tangu nchi hii ipate uhuru japokuwa ipo umbali wa kilometa 6 kutoka Buhongwa Wananchi wanapambana kujenga na kukuza mji na hivi karibuni Chuo cha Uhasibu (TIA) campus ya Mwanza imefunguliwa hapo. Watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…