uhuru

  1. JamiiForums Tanzania Kwanini mfalme Zumaridi anasumbuliwa sana na dola? Uhuru wa kidini uko wapi!?

    Nimesoma taarifa ya polisi kuhusu kukamatwa kwa mfalme Zumaridi imenishangaza sana. Lini polisi badala ya NEMC wameanza kushughulikia uchafuzi wa mazingira kwa kelele? Lini katika nchi hii imekuwa kosa kisheria mtu kujisema yeye ni mungu? Kwa muda mrefu sana polisi wamekuwa wakijishughulisha...
  2. JamiiForums Tanzania KATAVI: Ujenzi wa meli nne za mizigo bandari ya Karema, umeanza

    https://youtu.be/7aPJ1GP9HI4?si=3qPt-dgtRClDyksg Wabunge wanaotoka ukanda wa ziwa Tanganyika ikiwemo Katavi,Kigoma na Rukwa wakiongozwa na Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile wamefanya ziara Mkoa wa Katavi katika Wilaya ya Tanganyika eneo la Bandari ya Karema, ambapo wametembelea na...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini Tangu waafrika tupate uhuru Hadi Sasa hakuna nchi Tajiri iliyofanikiwa

    Tatizo ni ngozi? Ubongo? Au tuliumbwa tuwe masikini na Tegemezi? Au hii sehemu Mungu aliiweka kama mashambani pa dunia watu watoke kwingineko waje wapige pesa na kuondoka. Maana Sasa hivi DUNIANI Kila rangi inayoamua kuendelea duniani inaendelea tena faster isipokuwa hii nyeusi rangi ya...
  4. JamiiForums Tanzania Unaanzaje kujipa uhuru kiasi hiki ilihali uko kwenye chumba cha mtu?

    Ni wiki ya pili sasa naishi na mshkaji wangu X kwenye geto langu hapa Dsm kutokana na sababu zisizowahusu (Ninae nyumba mkoani, nipo hapa Dar kama mfanyabiashara X wa kupita tu) Jana usiku mida ya saa 4 nimebisha hodi nikiwa natoka mishen town, jamaa akawa anaitikia kwa mashaka huku anakukuruka...
  5. JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza tokea kupata uhuru kuna raia wa msumbiji ambao walikuwa sio raia Zanzabar?

    Naangalia taarifa ya habari ITV leo nimebaki mdomo wazi mwenye kuelewa kuhusu ZNZ ilikuwa ina raia wa msumbiji ambao sio Zanzibar.
  6. JamiiForums Tanzania Je, ni sawa Bunge la EU kuingilia uhuru wa mahakama zetu lakini si sawa AG wetu kufanya hivyo? Kisa ni hizo USD 170 million kwa mwaka wanazotupa

    Kwa tu misaada yao kwetu ambayo ni kiduchu sana kisichofikia hata TSH trillion moja kwa mwaka, hizi nchi za EU zinatuhesabu sisi bado ni koloni lao na maamuzi ya mahakama zetu zinapaswa kufuata maelekezo yao. Hawatambui sovereign yetu. Rais wetu alishawakemea kuhusu jambo hilo. Hata rais wa...
  7. JamiiForums Tanzania Pongezi Rais Samia kwa Tanzania kuwa Kinara Uhuru wa Habari, EAC, Vipi Kale ka 'Simba ka Kizimkazi' Mnaonaje Kaachiwe?, Kanatuvurugia Sana Amani?

    Wanabodi Makala yangu kwenye Gazeti la Mwananchi https://www.mwananchi.co.tz/mw/kolamu/tumpongeze-rais-samia-sambamba-na-wanahabari-ila-tukaze-uzi-5030938 Tarehe 3 Mei kila mwaka ni Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa Vyombo vya Habari, kwa wiki nzima, iliyopita, nimekuwa jijini Arusha kwenye hoteli...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa vyombo vya habari Tanzania, naomba wanahabari mtujubu

    Juzi nimesikia kelele na ngonjera za kusifia uhuru wa vyombo vya habari hapa nchni. Jana bunge la ulaya lilijadili hali ya haki za binadamu mchini. Hii ni habari kubwa sana kwa viwango vyovyote. Nimepitia karibu magazeti yote ya leo hakuna hata mojo lililothubutu kuandika habari hiyo. Hivi mtu...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu ifanyikie uwanja wa Uhuru Ili kutoa Nafasi kwa umma kushuhudia

    Salaam! Kwa kuwa Mahakama imeona ni vyema mtuhumiwa wa kesi ya uhaini inayomkabili Tundu lissu isikilizwe mahali pa wazi na umma wa watanzania umeruhusiwa kuhudhuria, Na kwa kuwa uhaini ni jambo baya, ungetumika uwanja ule wa uhuru Ili wananchi wahudhurie na kujua uhaini ni nini Ili waogope...
  10. JamiiForums Tanzania Ripoti ya Haki za Binadamu: Uhuru wa kujieleza uliathiriwa na sheria kandamizi, unyanyasaji, na ukandamizaji wa waandishi

    Uhuru wa Kujieleza: Mwaka 2024, uhuru wa kujieleza uliathiriwa na sheria kandamizi, kusimamishwa kwa leseni za vyombo vya habari, na matukio ya kukamatwa, kushambuliwa, kunyanyaswa, na kufungwa kwa waandishi wa habari. Pia kulikuwa na Vikwazo dhidi ya uhuru wa kisanii na ubunifu. Ingawa...
  11. JamiiForums Tanzania TEC: Shambulio dhidi ya padre Kitima lilitaka kupora haki ya uhai, uhuru wa kusema na kutenda kadiri ya wito wake

    Makamu wa Rais Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC Askofu Eusebius Nzigilwa akizungumzia tukio la kushambuliwa kwa katibu wa baraza hilo Padre Charles Kitima amesema Shambulio hilo lilitaka kupora haki ya uhai, uhuru wa haki yake ya kusema na kutenda kadiri ya wito wake aliojaaliwa na...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa nini Historia ya Tanzania kabla ya uhuru ina masimulizi mengi tofauti kwa jambo moja?

    Tanzania mambo ya miaka 1800's na 1900's unaweza kupewa historia moja ina versions(masimulizi) mawili au matatu tofauti kabisa! Kwa nini imekuwa hivi ikiwa inasemekana watu wengi wa pwani tayari walikuwa wanajua kuandika na kusoma enzi hizi? Ukienda Marekani Chuo kikuu cha Havard...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Muongo huu ni muongo wa uhuru wa kweli wa Afrika

    Habarini, Katika muongo huu Afrika inasimama tena na kutaka uhuru wa kweli na kupinga viongozi/manabii wa Afrika kuuwawa tena kwa maslahi ya wazungu. Kila kiongozi mwema wa Afrika atakayeuawa kwa hila za u.s.a na ufaransa basi malipizo yake ni kupitia mauaji ya vibaraka wao na uteketezaji wa...
  14. JamiiForums Tanzania Miaka 77 ya UHURU miaka 3,000 ya Umri historia imejirudia Israel

    Miaka 77. Bila shaka, Israel ilirudi katika nchi ya mababu zao na kujenga taifa ambalo linastawi katika eneo ambalo halijawahi kuwataka hapo . Wameshambuliwa, Wamesusiwa, wamesemewa uongo, Wamechukiwa-na bado wanakuwa na kustawi. Wanavumbua vitu ambavyo kwa mwanadamu wa kawaida anashangaa . Wana...
  15. JamiiForums Tanzania Mkutano wa Uhuru wa Kitaaluma ( Academic Freedom) UDSM 29/4-2/5

    Wasomi wa Mlimani toka tarehe 29/04-02/05 Wana Mkutano wa kitaaluma wanajadili Uhuru wa Kitaaluma (Academic Freedom) ingawa wenyewe wamefungwa kwenye minyonyoro ya utumwa wa fikra na uchawa
  16. JamiiForums Tanzania Democrasia iliopo Kenya hasa uhuru wa habari sio wa levo hizi za Africa ni beyond Africa labda Ulaya huko nako pia nina wasiwasi.

    Democrasia iliopo Kenya sisi hata robo yake hatutarajii kuifikia , kwa kizazi hiki cha kipumbavu. Jamaa wako mbali sana kwenye uhuru. Angalia hii habari na piga picha ndio Bongo hii. Hii je? Kenya uhuru wa Habari ni beyond, Tanzania kuna wajinga wanadanganywa kwamba kuna uhuru wa Habari...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Prof. Kabudi: Tunatambua mchango wa wanahabari na tunatilia mkazo umuhimu wa kulinda uhuru kwa ustawi wa demokrasia na maendeeo

    "Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani ni siku ambayo dunia inatafakari nafasi ya vyombo vya habari katika jamii zetu, tunatambua mchango mkubwa wa wanahabari na tunatilia mkazo umuhimu wa kulinda uhuru huu muhimu kwa ustawi wa demokrasia na maendeleo. Kauli mbiu ya maadhimisho ya Siku ya...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri mkuu: Serikali tutahakikisha uchaguzi unakuwa wa amani na utulivu, Tume huru ya uchaguzi wametuambia watausimamia kwa uhuru, haki na uwazi

    "2025 huu ni mwaka wa uchaguzi, sisi kama serikali, kama wadau wa uchaguzi, pindi tume huru ya uchaguzi watatoa ratiba tunatarajia nyie ndiyo mtalieleza taifa (Wanahabari) na sisi ushiriki wetu ni kuhakikisha kwamba yale yaliyo muhimu ya kuufanya uchaguzi huu kuwa wa usalama, na kila mmoja...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Wabunge wamlaumu Uhuru Kenyata kwa kuwashawishi Vijana wa Africa mashariki walete mabadiliko kwa kushika madaraka

    Wabunge wazee wamemlaumu Rais mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyata kwa kuwataka Vijana wa Africa mashariki waamke kutoka usingizini Wabunge hao wamesema Vijana wakipewa madaraka makubwa nchi za Africa mashariki hazitatawalika Source: Citizen tv Kwako kijana Lucas Mwashambwa
  20. JamiiForums Tanzania Wenye kuhitaji madarasa ya ukuaji wa kiroho ili kupata uhuru wa kweli na amani ya ndani mcheki Mwalimu hapa

    [4/25, 13:22] Dr Rwakiunge Anointing Oil For Everything: Yes, hilo linawezekana tena kwa urahisi sana. Kwenye mada yetu ya Nguvu za Ziada (Paranormal abilities) tutakayoanza kuisoma mapema wiki kesho, tutajifunza mengi sana na hilo likiwemo ili wanaotaka kufanya bilocation wafanye na huo ndio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…