uhuru

  1. JamiiForums Tanzania Tumenufaikaje na uhuru?

    Tanganyika ilipata uhuru mwaka 1961. Tumepata nini cha ziada ambacho tusingepata kutoka Serikali ya Kikoloni?
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tanzania yasisitiza Uwazi na Uhuru Uchaguzi Mkuu 2025

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, ameyahakikishia mataifa mbalimbali ulimwenguni kuwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu, utafanyika kwa uhuru, uwazi na haki, kwa mujibu wa sheria mpya za uchaguzi za mwaka 2024. Akizungumza jijini Dar es Salaam...
  3. JamiiForums Tanzania Kutoa Uhuru kutoka kwa hatari zote

    Heshima kwa mabudha na bodhisattvas wote. Hivi ndivyo nilivyosikia wakati mmoja. Mwenye Baraka alikuwa akisafiri katika nchi ya Magadha alipofika kwenye shamba la mwembe. Katika shamba hilo la maembe, aliishi katika Pango la Miamba la Indra kwenye Mlima wa Vaidehaka. Śakra bwana wa devas...
  4. JamiiForums Tanzania Miradi hiyo hiyo inakaguliwa na mwenge wa uhuru, hiyo hiyo kamati za Bunge, hiyo hiyo CCM, hiyo hiyo inakaguliwa na viongozi wa serikali

    Naomba kuuliza, mbona wakaguzi wa miradi ni wengi sana na bado miradi mingi ufanisi wake ni wa hovyo. Hizo pesa zinazotumika kwa ajili ya ziara za kukagua miradi si bora zikafanya kazi nyingine tu na miradi ikawa inakaguliwa na taasisi moja maalumu baada ya hapo inapeleka ripoti kwa wengine.
  5. JamiiForums Tanzania CHADEMA yalaani kufutwa kwa Kanisa la Askofu Gwajima, wadai ni dhuluma na ukiukwaji wa uhuru wa kuabudu

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelaani vikali hatua ya Msajili wa Jumuiya za Kiraia kulifuta kanisa la Ufufuo na Uzima, likiuita uamuzi huo kuwa wa kidhalimu na unaokiuka uhuru wa kuabudu kama unavyolindwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pia soma > ACT Wazalendo...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kukimbiza mwenge wa uhuru kitaifa

    Nimewahi kuona matangazo ya nafasi za wakimbiza mwende wa uhuru kwenye halmashauri na mikoa, lakini sijawahi kuona wakitangaza nafasi hizo kitaifa. Hawa watu huwa wanapatikanaje?
  7. JamiiForums Tanzania Uhuru wa Kuabudu na Haki ya Askofu Gwajima Kufundisha Amri za Mungu: Usiue mtu asiye na hatia, Usiue jina zuri la mtu baki, na Usiibe mtu kwa Kumteka

    https://youtu.be/NhpB9Zh2_6Y I. Usuli Uamuzi wa serikali wa kukurupuka kufunga kanisa la ufufuo na uzima na matawi yake 2,000 nchini Tanzania, tena bila kutoa nafasi ya kujitetea kwa viongozi wake, ni ushahidi kwamba huenda viongozi wetu hawaelewi kwamba uhuru wa kuutafuta ukweli wa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Tujifanye kuuliza - Kanisa ni mali ya mtu? Kama kakosea yeye, kwanini kanisa lifungwe?

    Maneno mazito ya askofu mpigania haki huyu anaandika: KAMA NI KWELI: Inaweza kumaanisha hivi.. Eti Kanisa Limefungwa au kufutiwa usajili. Kisa? Kiongozi wake kakosana na waliomsajili au kadaiwa kuhubiri kinyume na alivyotegemewa. Kama ni kweli; tujifanye kuuliza? Kanisa ni mali ya mtu? Kama...
  9. JamiiForums Tanzania Kufungia Kanisa kwa Sababu ya Hoja za Gwajima? Taifa Linapotea Mwelekeo wa Haki na Uhuru

    Tarehe 2 Juni 2025, nimeona barua inayojinasibu kuwa ni ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya kulifungia Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church @ Ufufuo na Uzima, linaloongozwa na Mbunge wa CCM, Askofu Josephat Gwajima. Kisingizio? Lakini kwa anayesoma hali kwa makini, hoja ya kweli ni moja tu...
  10. JamiiForums Tanzania Unajua kama raia una wajibu kwenye ulinzi wa uhuru, mamlaka na umoja wa Taifa? Timiza nafasi yako

    Wewe kama raia una wajibu wa kuhakikisha unadumisha uhuru,amani na umoja katika nafasi mbalimbali ili kuimarisha huduma za kijamii na kiuchumi. Kama raia unatakiwa kudumisha uhuru,amani,umoja na kulinda rasilimali za nchi Ikiwa raia hatalinda hatotekeleza wajibu huo basi anaweza kushtakiwa...
  11. W

    JamiiForums Tanzania iPhone ni kama mkoba wa Gucci au Luis Vuitton wenye buku jero ndani. Ni muonekano tu lakini unabanwa matumizi, Sijutii kuhamia Android

    Nimezitumia Iphone kwa mudamrefu, nilikuwa sisikii wala sioni simu nyingine nje ya iphone, ila baada ya kuhamia android sijioni kabisa nikirudi nilikotoka. Simu za android hapa nazoziongelea ni zile topbrand Samsung, Google Pixe, One Pus, Xiaomi, Mitandao ya simu inakubana ukitumia Iphone...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kama hakupi uhuru wa kumkosoa unapata wapi nguvu ya kumsifia?

    Wakuu hebu tujadili kitu kimoja hapa. Media na watu maarufu na machawa kutwa kucha ni kusifia tu na wakati kuna mambo kibao yanatokea ambayo siyo mazuri ambapo walipaswa kuwa wanayaongelea pia lakini wao kazi waijuayo ni kusifia. Anyways tuseme wanaogopa kukosoa kwasabab absolutely watapitia...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Picha: Hii ndiyo miradi inayotarajiwa kupitiwa na mwenge wa uhuru, Ruangwa 2025

    Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa, Hassan Ngoma, amefanya ziara ya kukagua na kuhakiki miradi mbalimbali ya maendeleo itakayopitiwa na Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2025 pamoja na barabara zitakazotumika katika mbio hizo. Ziara hiyo imefanyika leo Mei 21, 2025, ambapo Ngoma ametembelea maeneo...
  14. JamiiForums Tanzania Ulaya Imezeeka: Tushangilie Anguko la Wakoloni Wetu Lakini Pia Tujipange kama Ndugu Zetu Wachina

    Utangulizi: Mwalimu Aliyepitwa na Wanafunzi Wake Ulaya. Bara lililowahi kuwa kitovu cha maarifa, maendeleo na utawala wa dunia. Waliwahi kuja Afrika wakiwa kama walimu, wakitutazama kama wanafunzi wasiokomaa, wakaandika historia yetu kwa kalamu zao na kutufundisha kuwa maendeleo yanakuja kwa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania HAKI za Binadamu na UHURU wa Kisiasa

    Mandhari ya haki za binadamu na uhuru wa kisiasa nchini Tanzania yanaweza kuathiri ikiwa Lissu atakabiliwa na mashtaka ya Uhaini, Njia ya nchi katika kukabiliana na upinzani na wapinzani inaweza kubadilika, na matukio mapya yanaweza kutokea ambayo yanaweza kusababisha mashtaka au taratibu...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Demokrasia na uhuru nchini umepitiliza mipaka mpaka akina Heche wanatukana Polisi na Wanaharakati wakivuka mipaka kuja kuleta uchochezi nchini

    Ndugu zangu Watanzania, Naona Sasa Demokrasia na uhuru hapa Nchini Umepitiliza Mipaka na kuvuka mstari wa demokrasia na uhuru unaopaswa kuwepo hapa Nchini na mahali penginepo pale popote Duniani. Uhuru umezidi mpaka sasa watu kama akina Heche wanafikia hatua ya kusimama kwenye magari yao...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa nchi za Afrika haukupatikana kupitia demokrasia na haitokaa itokee bali kwa mtutu wa bunduki

    Huu ndiyo uhalisia "no pain no gain"
  18. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kenya imeamua kulivalia njuga suala la Lissu, wakenya walinusuru maisha yake na Sasa wanapambabia uhuru wake. Mungu hutumia wageni kuleta amani nyumba

    Wakuu si jambo la kushangaza kwa hiki kilichopo hapa nchini maandiko yanasema kuwa Mungu huwatumia watu wengine kuleta amani. Wakati taifa letu likiwa linapitia katika kipindi Cha majaribu makubwa ya haki, uongozi na utu jirani zetu Kenya wameonesha kuguswa na mateso yetu. Sina mambo mengi Hilo...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Kama Ilivyo, Hakuna Uhuru Usio na Mipaka, Watawala Pia Wajue Hakuna Mamlaka Yasiyo Na Mipaka. Kilichofanyika Airport, ni Ushenzi

    Watawala, pamoja na jeshi la polisi, siku zote wamekuwa wakipenda kutoa kauli kuwa: 1. Tii sheria bila shuruti. 2. Hakuna uhuru usio na mipaka Jambo la kujiuliza, hawa wanaotoa hizi kauli ambazo ni sahihi, wao wenyewe wapo mstari wa mbele katika kuzitekeleza ili kuweka mfano mzuri kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Sanamu ya Uhuru (Statue of Liberty) na Fremenasoni na kwa nini New York jina nick name linaitwa big apple

    Sanamu ya Uhuru iliyopo New York ni zawadi kutoka Ufaransa mwaka 1886, ikiwa ni ishara ya uhuru, demokrasia, na marafiki wa mataifa mawili. Hata hivyo, kwa miaka mingi kumekuwa na hadithi na nadharia za usiri zinazosema sanamu hiyo ina uhusiano na Fremenasoni (Freemasons), kundi la kijamii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…