uhamiaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Eswatini yazipa biashara za kigeni zisizo halali miezi 12 kuondoka nchini humo

    Biashara zinazomilikiwa na raia wa mataifa ya Asia zinafungwa kote nchini Eswatini, iliyokuwa ikijulikana kama Swaziland, huku serikali ikiimarisha udhibiti dhidi ya biashara zinazomilikiwa na wageni. Hatua hiyo inafuatia kupitishwa kwa sheria na bunge, inayolenga kuongeza umiliki na ushiriki...
  2. Eli Cohen

    France walijifanya vinara wa uhamiaji. Leo hii kizazi cha wahamiaji kutoka North na West Africa wanaunguza nchi. UK wao ni ubakaji umeongezeka

    Katika mipango ya kisasa ya EU ilikuwa ni kukumbatia sera la mlengwa kushoto (liberalism), ambao maudhui na haki za mashoga, kuspport course ya palestine na kupokea wahamiaji kiholela ndio zikawa focal points zao. Poland na hungary zilikata uhuni huu kwa kukataa sera za liberalism ambazo...
  3. Sifi Leo

    Rais wa Tanzania hataki kupoteza muda,kufikili dhidi ya teuzi zake yeye anaangalia walioshindwa ubunge, mtu aliisha kuwa mbunge leo anakuwa dc?

    Rais wetu ni mvivu wa kufikiria ndio maana hataki kupoteza muda na yeye anaangalia yake makali tu yaliyotengwa ccm anayapa ubunge so shame. Yaani teuzi zake ni mwenye nacho anaongezea. Mtu amekuwa mbunge alafu unamteua awe DC baada ya kushindwa ubunge ccm Nchi ni ya watanzania haiwezekani...
  4. GONGO BOY

    KERO KWA IDARA YA UHAMIAJI

    Hapo mwanzo tuliambiwa kwamba saizi hakuna ukabila wala udini wala rangi, lakni wahenga hawakukosea kisema kua uyaone inshort ni kwamba idara ya uhamiaji kumejaa ukabila uliokithiri hasa pale unapokuwa unahitaji NIDA yaan ukifika pale hata mkiwa wawili mmoja akajitambulisha kwamba yeye ni mfipa...
  5. Traxtion

    Raia 134 wa Burundi wamekamatwa Tanzania huku mvutano wa uhamiaji ukizidi kushika kasi katika ukanda wa Afrika Mashariki

    Tanzania imewakamata raia 134 wa Burundi kwa madai ya kuingia nchini kinyume cha sheria, huku hatua za kudhibiti uhamiaji zikizidi kuimarika Afrika Mashariki. Mamlaka nchini Tanzania katika Mkoa wa Mara zimesema raia hao wa Burundi walikamatwa wakati wa operesheni iliyolenga watu wanaoishi...
  6. britanicca

    Agizo la Siri kwa Uhamiaji, wapewa amri kila MTANZANIA anayeingia nchini achunguzwe historia yake ya machapisho mtandaoni

    Kwanza ni upotezaji wa Muda, Pili Magufuli alijaribu akafeli, tatu Tanzania si wajinga wako anonymous! Wanaweza sumbua watu maarufu na wamiliki wa Platform kadhaa lakin si mtu simple Hii wanasema ianze September 4/ 2026 Britanicca
  7. B

    Saad Mtambule : Wanafunzi mkawaambie wazazi juu uhamiaji haramu Kinondoni

    07 Agosti 2026 Kinondoni, Dar es Salaam Tanzania SAAD MTABULE : WANAFUNZI MKAWAAMBIE WAZAZI JUU UHAMIAJI HARAMU KINONDONI https://m.youtube.com/watch?v=d7oFRuKVK-w Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Saad Mtambule amewataka wanafunz i kutokaa kimya na KUWAFICHUA wahamiaji haramu Ofisi ya Uhamiaji...
  8. A

    DOKEZO Inakuwaje hawa wachina wanafanya kazi nchini kwa kibali cha utalii?

    Inakuwaje Idara ya Uhamiaji haichukui hatua za kutosha katika suala hili? Ninauliza kwa sababu mahali ninapofanya kazi kuna raia wengi wa China, lakini kila mara maafisa wa uhamiaji wanapokuja kufanya ukaguzi, wao huondoka mapema kana kwamba wanapata taarifa kabla. Pia, inakuwaje baadhi yao...
  9. C-C Digital Pro

    Civilian-Coin: Note: Wajibu wa Jeshi la Uhamiaji na Jeshi la Zima moto na Uokoaji kwa raia wa Tanzania.

    Wajibu wa idara ya Huduma za Uhamiaji Tanzania kwa wananchi ni pamoja na kutoa hati za kusafiria (pasi za kusafiri), kudhibiti uingiaji na ukaazi wa wageni, na kuchakata maombi ya uraia. Chombo hiki kinafanya kazi chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi ili kulinda usalama wa nchi kwa maana...
  10. A

    KERO Nafuatilia Pasipoti Uhamiaji Kurasini tangu 2025, nimelipia fedha kamili wao wanataka wanipe Pasipoti ya muda! Why?

    Nina dukudhuku kuhusu Idara ya Uhamiaji Kurasini hapa Dar es Salaam, Mtu unaomba Passport kwa ajili ya matembezi mfano kwenda Kenya wao wanataka bank statement, unaleta bank statement wanataka barua ya mwaliko. Unaleta barua ya mwaliko wanakusukumizia kwa afande mwingine wanaanza kuhoji ukoo na...
  11. A

    KERO Nimeshindwa kusafiri kisa Uhamiaji Mbeya wamechelewesha passport yangu

    Bado nina malalamiko dhidi ya Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Mbeya. Kutokana na ucheleweshaji wa utoaji wa pasipoti, hatimaye nimeshindwa kufanya safari yangu iliyokuwa imepangwa kwa mwaka huu wa 2026. Kinachonisikitisha zaidi ni kwamba, pamoja na kufuatilia mara kwa mara, sijapewa maelezo ya...
  12. A

    KERO Uhamiaji na changamoto ya 'MTANDAO' kwa wanaoomba Pasipoti

    Naomba kujua hvi taifa letu like limekuwa dhaifu kiasi ambacho tumeshindwa kutatua changamoto ya mtandao kwenye sekta muhimu kama uhamiaji? Mfano: Ofisi ya uhamiaji morogoro inaweza kukaa wiki au zaidi kwa mfululizo bila mtandao ..inaleta usumbufu na kero kwa watu wanahitaji huduma ya Haraka.
  13. Roving Journalist

    Uhamiaji: Mfumo ulisumbua na sasa umekaa sawa, taarifa za walioomba Passport zipo, hawatakiwi kulipa mara 2

    Idara ya Uhamiaji nchini imefafanua kuwa huduma zake za kimfumo zimerudi katika hali ya kawaida baada ya changamoto iliyosababisha ucheleweshaji wa baadhi ya maombi ya wananchi, na kueleza kuwa mbombaji hatakiwi kulipia huduma mara mbili. Akizungumza kuhusu suala hilo, Msemaji Mkuu wa Idara ya...
  14. M

    KERO Uhamiaji ina usimamizi mbovu, Rais samia tungua majipu

    Hakuna wanachokifanya huduma MBOVU Kwa wananchi, rushwa, wizi na utapeli vimetamalaki Yapata miezi sita Sasa wananchi walotuma maombi ya passport na wanao omba passport wanaambiwa mfumo umekorapti haufanyi kazi, angali pesa zote za maombi ya passport tayri washalipia, 150,000/= Mpaka wengine...
  15. Roving Journalist

    Dkt. Emmanuel Nchimbi: Uhamiaji tumieni busara bila kuvunja Sheria

    Makamu Rais, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, ametoa wito huo kwa Idara ya Uhamiaji wakati wa uzinduzi wa Ofisi ya Uhamiaji Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja.
  16. ndege JOHN

    Nini kinaendelea Uhamiaji mpaka kupata passport iwe vigumu?

    Mtu mmoja anipe sababu, kwanini watu hawapati passport? Pia soma - KERO - Uhamiaji Mbeya wananizungusha kupata Passport, kila nikienda wanasema hakuna Mtandao
  17. adriz

    Tetesi: Serikali itoe ufafanizi kuhusu tetesi za mfumo wa uhamiaji KuCollapse maana kuna baadhi ya viashiria vipo

    Moja kwa moja. Juzi niliona Uzi wa member wa Jf ambaye amelelemika kuwa wiki nzima anarudishwa uhamiaji wakati wa kufuatilia passport anaambiwa kuwa Kuna Virus kwenye mfumo na data hazipo , kaambiwa atulie . Na Mimi mwenyewe ndugu zangu zaidi ya wawili wanasubiri Visa ya kwenda nchi Fulani...
  18. A

    KERO Uhamiaji Mbeya wananizungusha kupata Passport, kila nikienda wanasema hakuna Mtandao

    Idara ya Uhamiaji Mbeya imekuwa changamoto na kero kubwa, nimeenda kuomba Passport nimerudi zaidi ya mara 4, mwezi sasa umeisha wanasema hakuna Mtandao wakati sisi tunajaza form zao online, tukiwapelekea wao wanasema mtandao hamna mbona form zao tunajaza bila shida, kwanini wao ofisini kwao...
  19. L

    Waziri Katambi awataka wastaafu Uhamiaji kujiepusha na anasa, watoto wa mwaka 2000

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amewaasa wastaafu wa Idara ya Uhamiaji kujiepusha na anasa pindi watakapopata mafao yao, bali wajikite kufanya shughuli za uzalishaji ili kuondoa upweke. Pia amewataka wastaafu hao kulinda afya zao, kumrudia Mungu na kuwa waaminifu katika ndoa...
Back
Top Bottom