uhalifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TheForgotten Genious

    Baada ya miaka 2 Haiti yarejesha uwanja wake wa Taifa baada kushikiliwa na magenge ya uhalifu

    Wote tunajua Hait haitawaliki kutokana na migogoro ya kisiasa iliyowahi kujitokeza huko nyuma kitu iliyopelekea kuzuka kwa magenge ya kihalifu na hatimae kuizidi nguvu serikali,na kudomdoka,serikali ya Haiti haina Rais kwa muda mrefu. Magenge ya uhalifu yalishikilia uwanja wa taifa kwa muda wa...
  2. Tochuku

    Operesheni ya Interpol: Zaidi ya Bilioni 280 za kitanzania, za uhalifu wa mtandaoni zanaswa Afrika, washukiwa 1,462 mbaroni, Tanzania imo.

    Shirika la Kimataifa la Polisi wa Jinai (Interpol) limesema kuwa operesheni yake ya hivi karibuni barani Afrika imesababisha kukamatwa kwa watu 1,462 na kupatikana kwa zaidi ya dola milioni 105 za Kimarekani za fedha haramu. Operesheni hio iliyofanywa katika nchi 21, ililenga utapeli wa...
  3. mcTobby

    Harakati za kijeshi, uhalifu na ujasusi

    Picha hii hapa chini ilinaswa kabla ya Mauaji ya Askari wa Uingereza kwenye Jiji la Belfast Ireland. Mwezi Machi 1988, askari hawa wawili wa Jeshi la Uingereza waliokuwa wakifanya kazi katika kitengo cha mawasiliano ya kijasusi(signalers)walivutwa kutoka kwenye gari lao na kuuawa huko West...
  4. Roving Journalist

    Responded Diwani wa Ilemi, Baraka Zambi: Vijana wote ambao wapo tayari kuacha uhalifu, ofisi ya Kata ipo tayari kuwapokea

    Wakazi wa Kata ya Ilemi Jijini Mbeya wakizungumzia hoja ya kuzorota kwa hali ya ulinzi na usalama katika eneo hilo. Diwani wa Kata ya Ilemi, Baraka Zambi pamoja na viongozi wa serikali za mitaa wamesema kuwa licha ya kuwahi kutokea kwa baadhi ya matukio ya uhalifu, hali ya usalama imeendelea...
  5. Kaka yake shetani

    Arusha tuweke mkoa namba moja wenye matatizo ya akili na kiwango cha uhalifu wa kiuni.

    Tuachane na musoma,mara na geita tuje arusha. Kwa steji waliyofika mnaona tuwape asilimia ngapi. Ukigusa mitandao ya kijamii kila siku ni huko arusha.
  6. Eli Cohen

    Ili kupambana na ukata huu mkali ilibidi vijana wa-normalize uhalifu na tabia mbovu na kuupamba majina ili tu wasiwe pressured na jamii

    1: Mfano sasa hivu binti hasemi anafanya umalaya, anasema ana danga, na akisema anadanga inasikika kikawaida kwa jamii kuliko akisema anafanya umalaya ila ni kitu kile kile. 2: Wazee wa connection 3: Machawa imekuwa hyped ila kiukweli watu wanauza utu na ubinadamu wao kwa ajili ya kumpamba mtu...
  7. Godlove Kabati

    RIWAYA: KIBIRITINGOMA

  8. Godlove Kabati

    Riwaya: Kibiritingoma

    Alikuwa mrembo wa sura, mwenye umbo la kuvutia na sauti ya kuburudisha. Akawa mashuhuri kama fedha, na adimu kama almasi. Sifa hizi, akazitumia kama fimbo, alipokutana na wanaume wenye tamaa kali ya ngono; alipokaribishwa kwenye dunia ya ukahaba. Kisha, akakutana na huyu. Kijana msomi, mwenye...
  9. EvilSpirit

    Polisi wa India wanagonga kwelikweli.Mtuhumiwa anagongwa huku akipelekwa alipotendea uhalifu

    Mtuhumiwa anafungwa kamba anapelekwa eneo alilofanyia uhalifu huku akigongwa kweli kweli.ngekuwa bongo hii sijui ingekuwaje
  10. ngozimbili

    Mange Kimambi, Mutiny, Coup d’état na Human shield: Je, kuhamasisha raia na jeshi kwa wakati mmoja kunaweza kuingia kwenye uhalifu wa kivita?

    Na Mwandishi Maalum Kuna tofauti kubwa kati ya maandamano ya kiraia na hali ambayo harakati za kiraia zinaanza kuunganishwa na uasi wa kijeshi, jaribio la kuangusha Serikali kwa nguvu na mapambano yanayosababisha vifo vya mamia ya watu. Hilo ndilo jambo linalonifanya niulize swali hili kuhusu...
  11. Echolima1

    Israel yawakamata Polisi wa Kipalestina kwa uhalifu!!

    Vikosi vya Israeli vimewakamata maafisa 3 wa polisi wa Mamlaka ya Palestina wiki hii kwa kuhusika kwao katika kuanzisha kituo cha ukaguzi kisichoidhinishwa karibu na Beitunia katika Eneo C na kumkamata mwanajeshi wa akiba wa Israeli huko mwezi uliopita. Mwanajeshi huyo wa akiba alikamatwa kwa...
  12. Triza95

    Tanga Mjini hali si salama, kikundi cha uhalifu kinachojiita VISHANDU, wanahatarisha Usalama wa watu

    Hello Jamii, Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam, lakini mara kwa mara huwa naenda Tanga kwa ajili ya shughuli mbalimbali. Kwa kweli, nimeshtushwa na hali ya usalama ninayoiona kwa sasa katika maeneo mbalimbali ya Tanga Mjini. Kuna taarifa na malalamiko kuhusu kuwepo kwa vikundi vya uhalifu...
  13. funaku

    Kila mtuhumiwa wa uhalifu akiwa anataka Rais awe Shahidi wake tutaweza kutekeleza??

    Hili ni swali kwa wanazuoni wanaojua sheria waliomo humu
  14. Soul21

    Bashe alimchoma Mpina mbele ya Rais huku nyumba uhalifu ulifichwa?

    Nakosa majibu kati ya Bashe na Mpina nani alikuwa mwalifu? Nimekosea heading!!
  15. figganigga

    CCM mnachofanya ni Uhalifu dhidi ya uhai wa binadamu kwa mgongo wa Chama cha Siasa

    Uhalifu dhidi ya uhai wa binadamu ni kitendo chochote kiovu kinachokatisha au kuhatarisha maisha ya mtu mwingine kinyume cha sheria na maadili. Vitendo hivi vinasababisha maumivu makubwa, hofu, na kupotea kwa haki za msingi za kuishi. Matendo ya Kuua mtu kwa makusu, Kupiga na kujeruhi watu...
  16. uhuruborn

    Hii siyo Siasa tena, huu ni Uhalifu dhidi ya Uhuru wa Mwananchi

    Kumteka mwanachama wa CCM kwa sababu amethubutu kuikosoa serikali na chama chake ni ishara ya hatari sana kwa demokrasia yetu. Soma Kada wa CCM, Bakari Kazungu, ambaye amekuwa akikemea uchawa, atekwa na kufanyiwa vitendo vya kikatili Mwananchi ana haki ya kusema ukweli. Mwanachama...
  17. ChoiceVariable

    ICC yakunjua Makucha, Waliohamasisha Vurugu Mo 29 Wakiwemo Wanaharakati Matumbo Joto.Hati ya Mashtaka Yawasilishwa

    My Take Waliokuwa wanawatumia wenzao kupata pesa Sasa ni wakati wa kwenda kujitetea. Kwa mujibu wa andiko linalosambaa mitandaoni, viongozi wa CHADEMA, wanaharakati na wahamasishaji katika mitandano ya kijamii wameshtakiwa mbele ya Mahakama ya ICC kwa tuhuma za makosa ya uhalifu dhidi ya...
  18. ChoiceVariable

    Marekani: Tunaomba Nchi Zingine Tuungane Kuivunjilia mbali Mahakama ya ICC Kisa Wanataka Kuficha Uhalifu waliyofanya Gaza na Sasa Iran.

    My Take Chadomo wakiona hii watalia sana 😂😂😂👇👇 https://www.instagram.com/p/DaxHrfqjpeU/?igsh=NWJ5N2JkY256ajlq
  19. Unread

    Kwanini ICC ipo kimya licha ya maombi ya uchunguzi wa uhalifu na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu nchini Tanzania?

    Habari wakuu, Niende moja kwa moja kwenye mada Zaidi ya miezi kadhaa baada ya makundi ya wanaharakati wa haki za binadamu na mashirika ya kimataifa kuwasilisha maombi kwa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) yakiiitaka ichunguze madai ya uhalifu na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu nchini...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    Kila mtu atafute sehemu ya ulaji ale. Kula sio dhambi. Ila kuziba ulaji wa wengine ni dhambi na uhalifu

    Hamjambo! Mfumo wa Dunia ni kama umbo la vidole vyako vya mkononi. Umbo la pyramid. Watu hawalingani. Kuna watakaokula zaidi ya wengine. Kuna watakaokula vizuri zaidi ya wengine. Ulaji. Kula kwa urefu wa kamba walisema wahenga. Ni kweli. Nature ipo hivyo. Kila mtu ale kwa urefu wa kamba...
Back
Top Bottom