ufanisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ufanisi wa Nchi katika mambo mbalimbali huamua taifa liwe wapi kwa kesho yake

    Moja kati ya sekta nyeti katika taifa ni ile tunaita "think tank". Sijajua kwa taifa letu watu hawa wanatoka angle ipi,ni aidha ni watu wa sili sana ama wanatoka mbele ya vyombo tunavyoviona ama vile vinavyojihusisha na mambo ya intelijensia!. Sipo hapa kujadili wanatoka wapi!, nipo hapa...
  2. Video za utupu na punyeto hupelekea mwanaume kupoteza ufanisi katika tendo la ndoa

    Kuna ukweli wowote katika hili?
  3. Kuongeza Ufanisi na Kukuza Sekta ya Mafuta na Gesi Tanzania: Mapendekezo ya Kuanzisha Wizara ya Mafuta na Gesi

    Kuongeza Ufanisi na Kukuza Sekta ya Mafuta na Gesi Tanzania: Mapendekezo ya Kuanzisha Wizara ya Mafuta na Gesi Na Elia Wilinasi Sikanyika Mheshimiwa Rais Dkt. Samia, Napenda kuwasilisha maoni yangu kuhusu umuhimu wa kuanzisha Wizara ya Mafuta na Gesi (Ministry of Oil and Gas) katika Serikali...
  4. Kuwepo na Bunge la kujadili ufanisi wa bajeti iliyopita Kabla ya kuanza kujadili nyingine

    Hoja ya Dkt. Tulia kusema hili ni bunge la bajeti na siyo la kujadili report ya CAG lipo sahihi, lakini kwa nini report ya CAG ijadiliwe baada ya kupitisha bajeti nyingine ilihali iliyopita ufanisi wake ni sufurisufuri. Kwanini tisingeanza kujadili madudu ya bajeti iliyopita badala ya kuendelea...
  5. Bodi za Wadhamini za CHADEMA hazina Ufanisi katika Kusimamia Utendaji Kazi wa chama chao

    Katiba ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inaitaka Bodi ya Wadhamini ya Chama kufanya mikutano isiyopungua mitatu kila mwaka. Hata hivyo, nilibaini kuwa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) haikufanya mikutano yoyote katika mwaka huu wa fedha...
  6. B

    Serikali ya Rais Samia haina ufanisi katika matumizi yake , mfano mzuri ni hiki anachotarajia kufanya makamu wake!

    Hivi karibuni tumeambiwa kuwa eerikali imeunda jopo la wataalam waliopewa jukumu la kuandika VISION 2050. Katika vision hiyo mambo menig yameanishwa na jinsi ya kufikia malengo hayo. Ukiangalia kwa makini malengo katika vision hiyo sio tofauti sana na maligno yaliyokuwa wenye visin ya nchi za...
  7. B

    Serikali ya Rais Samia haina ufanisi katika matumizi yake, mfano ni hiki anachotarajia kufanya makamu wake

    Hivi karibuni tumeambiwa kuwa serikali imeunda jopo la wataalam waliopewa jukumu la kuandika VISION 2050. Katika vision hiyo mambo mengi yameanishwa na jinsi ya kufikia malengo hayo. Ukiangalia kwa makini malengo katika vision hiyo sio tofauti sana na malengo yaliyokuwa kwenye vision ya nchi za...
  8. Kuongeza ufanisi katika kupambana na Rushwa ni suala muhimu sana nchini Tanzania

    Rushwa ni tatizo kubwa nchini Tanzania na ina athari mbaya kwa uchumi, maendeleo ya kijamii, na utawala wa sheria. Tanzania imeshuhudia matukio mengi ya rushwa katika miaka ya hivi karibuni, na taarifa zinaonyesha kuwa tatizo hili linaweza kuwa kubwa kuliko inavyofikiriwa. Kwa mfano, ripoti ya...
  9. Nataka nitoke na binti niliyemwajiri. Kwa wale mliowahi kutoka na mabinti mliowaajiri kwenye maduka au ofisi zenu, hii itaathiri ufanisi wa kazi?

    Nilipata wazo kuongeza kitega uchumi nje ya kazi yangu kuu na nikaona nijaribu nifungue duka dogo nitesti kana ikikataa nifunge ama ikikubali niongeze mtaji, mwanzoni niliweka binti lakini alikuwa slow na sio mzoefu hivyo biashara ilikuwa ipo ipo tu ikabidi aondoke, duka lilikaa mwezi limefungwa...
  10. Ni matilio gani bora ya kufungia maduara ili kuzalisha kwa ufanisi?

    Habari zenu wakuu, niko kanda ya ziwa huku kwenye mgodi x, kazi kubwa ninayofanya ni kununua mawe na kwenda kusaga mwaloni, kukamua na kuuza marudio. Miongoni mwa changamoto kubwa zinawakabili wachimbaji wa mgodi niliopo, ni ufungaji wa maduara kwa kutumia matimba/miti. Kitendo cha kufungia...
  11. Apatikane Mbadala wa DAWASA na TANESCO ili kuongeza ushindani na ufanisi wa utoaji huduma

    Wadau, Katika kipindi chote cha kuona serikali tofauti tofauti hapa Tanzania kero ambazo zimekuwa zikijirudia rudia sana ni hii ya upatikanaji wa maji na umeme. Watanzania wameshazoea kuiomba serikali kupewa huduma hizi kitu ambacho ni haki yao tena ya msingi kama walipa kodi. Ifike mahali...
  12. Unayetafuta ngekewa na hirizi ya Simba hivi hapa, ufanisi wake ni 100%

    Nimetokea kuupenda na kuuamini zaidi uchawi wa Mzungu kuliko uchawi wa mwafrika/Mwarabu (msingi wa uchawi wa Mwarabu na Mwafrika ni the same). Uzuri wa uchawi wa Mzungu, ukiufuata vizuri basi matokeo yake ni asilimia mia moja. Sasa leo nataka nikufundishe kuhusu dawa ya ngekewa pamoja na dawa...
  13. S

    Mambo muhimu ya kuwa nayo ili uendeshe kampuni yenye faida,tija na ufanisi hapa Tanzania

    Habari wana jukwaa hili. Naomba kujua ni mambo gani ambayo unapaswa kuyaeka sawa kwa wakati wa mwanzo kabisa wa kuanzisha biashara(Yenye mfumo wa kampuni), ili iweze kuleata tija, faida na uendelevu kwa miaka ijayo mbele. Hili nikimaanisha namna ya kuandaa hesabu zako kwa ajili ya kodi...
  14. L

    Roboti yasaidia kuongeza ufanisi wa uzalishaji wa pombe kiwandani mkoani Anhui, China

    Roboti ya kutengeneza pombe inafanya kazi katika kiwanda cha kutengeneza pombe mjini Fuyang, mkoani Anhui, China.
  15. Je, kuhamishwa hamishwa Wizara kwa Bashungwa ni dalili ya Ufanisi mkubwa au 'Tunabeti' tu Uwezo wake?

    Nipo tayari kusubiria Majibu yenu (Mirejesho yenu) ya Kutukuka Great Thinkers wa JamiiForums niyasome na Nielimike zaidi.
  16. T

    Ufanisi wa serikali ya awamu ya sita

    Nitumie vigezo gani kupima ufanisi wa serikali ya awamu ya sita? 1. Wingi wa mikopo 2. Wingi wa magari ya misafara ya viongozi 3.safari za kila mara nje ya nchi 4. Porojo 5. Tozo kila mahali 6. Chanjo ya corona 7. Ufisadi 8. Sgr 9.jnhep 10. Barabara za mjini na vijijini kutokutengenezwa licha...
  17. Ukweli Mchungu: Hakuna biashara Serikali inaweza kufanya kwa ufanisi

    Nimepanda treni ya Kigoma - Dar mwaka 2021, na nilijisemea sitakuja kupanda tena kwa namna treni hii ilivyo na huduma mbovu na za aibu. Ninatumia usafiri wa ndege Air Tanzania mara kwa mara kwa safari zangu za ndani ya Tanzania. Kuna kipindi hata namba zao za huduma kwa mteja hazipatikani...
  18. M

    SoC02 Utoaji wa Vitambulisho vya Taifa, ufanywe kwa ufanisi ili Serikali ipate takwimu kwa urahisi

    Kumekuwa na Mfululizo wa Serikali ya Tanzania kudai Taarifa Mhimu za mwananchi anapotaka kupata huduma serikali ambazo kimsingi ni Mzigo kwa Mwananchi huyo, kuwa nazo kwa wakati anaohitaji kupata Huduma. Mfano unahitaji Kutibiwa kwa Njia ya Bima, Utadaiwa Cheti cha Kuzaliwa, cha serikali ya...
  19. SoC02 Soma hii kwa ufanisi, maisha utayapatia

    Mwanangu leo kabla hujalala naomba unisikilize kidogo, ninalo neno nahitaji kukuusia huenda likakufaa kimaisha. Kama si leo basi kesho na kama si kesho basi mtondo .. Mwanangu tupo chini ya mbingu, sababu ya Mungu. Yeye asiye na majungu, mwenye upendo usio na ukungu agaae riziki kwa mafungu...
  20. Ufanisi wa kazi kwa watumishi wa umma ni mdogo sana

    Wanabodi, twende mbele, turudi nyuma, wafanya kazi wengi wa serikali (zaidi ya 70%) hawana ufanisi katika kazi zao. Ni kama serikali inawalipa mishahara ya bure kabisa. Kada za ualimu, afya, ulinzi/usalama (Polisi, Magereza, Wanajeshi), sheria(mahakimu) zinajitahidi sana hata kuingia kazini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…