ufanisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    David Kafulila: Kupitia PPPs tunajenga nchi ambayo kijana wa kitanzania mwenye ufanisi wa 40% aweze kushindana kwenye soko na Mchina mwenye 70%

    Akizungumza na vijana wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Mkurugenzi Mkuu wa PPPC, David Kafulila, alisema kuwa upande wa Serikali vijana ndiyo nguvu kuu ya kuleta mabadiliko na mageuzi yoyote ambayo taifa linayahitaji ili kusonga mbele. David Kafulila alisema kuwa ili kufanikisha hilo...
  2. C

    Serikali inaendelea kutathmini ufanisi, muda wa kinga na gharama za chanjo ya malaria kabla ya kuamua matumizi yake nchini

    Serikali ya Tanzania imesema inaendelea kutathmini ufanisi, muda wa kinga na gharama za chanjo ya malaria kabla ya kuamua matumizi yake nchini, ikilenga kuhakikisha chanjo itakayochaguliwa inatoa kinga inayokidhi mahitaji ya wananchi na kuendana na uwezo wa mfumo wa afya. Hata hivyo, Tanzania...
  3. Ntemi_Ntale

    Microsoft Yatoa Ofa ya Kuacha Kazi kwa Hiari kwa Wafanyakazi 60,000 Huku AI Ikichochea Ufanisi

    Mambo Muhimu Takriban wafanyakazi 60,000 wa Microsoft wanastahili kujiunga na mpango mpya wa kuacha kazi kwa hiari (buyout) katika nchi nne(Marekani, Kanada, India na Uingereza) Hatua hii inakuja miezi sita baada ya Microsoft kutangaza mpango wake wa kwanza kabisa wa kustaafu kwa hiari kwa...
  4. Wizara ya Ardhi

    Wasajili wa hati wasaidizi watakiwa kutumia mifumo ya e-Ardhi na e-Office kwa ufanisi ili kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi

    ARUSHA Wasajili wa Hati Wasaidizi kutoka mikoa mbalimbali nchini wametakiwa kutumia mifumo ya kielektroniki ikiwemo e-Ardhi na e-Office katika utekelezaji wa majukumu yao ili kuongeza ufanisi, kuondoa urasimu na kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi. Wito huo umetolewa na Mkurugenzi wa...
  5. L

    Tosamaganga Sekondari, miaka 100 ya uhai, ufanisi na ujenzi wa vizazi tofauti

    Habari wana jamvi wa JF... Leo tumeanza maadhimisho ya jubilei ya miaka 100 (1926 - 2026) ya Shule ya Sekondari ya Tosamaganga. Maadhimisho haya yameanza leo tarehe 08/10/2026 na kilele chake ni keshokutwa tarehe 10/10/2026. Aidha mgeni rasmi katika sherehe hizo ni Mh. Prof. Palamagamba Kabudi...
  6. Pfizer

    Plasduce Mbossa: Bandari ya Dar es Salaam imepanda Kimataifa kutoka nafasi ya 360 hadi 255 katika ufanisi wa kuhudumia makasha

    MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imeingia katika hatua ya ziada ya kuboresha ufanisi wa huduma na kupanua miundombinu ya bandari zake, huku ikilenga kukabiliana na ongezeko kubwa la meli na mizigo pamoja na kuimarisha ushindani wa bandari nchini katika soko la kimataifa...
  7. Zack Abdul

    Bandari ya Dar es Salaam Kinara Afrika Mashariki Yaipiku Mombasa kwa Ufanisi Duniani!

    Bandari ya Dar es Salaam imefankiwa kuwa kinara Afrika Mashariki ikiipita rasmi Bandari ya Mombasa ya nchini Kenya katika viwango vipya vya ufanisi wa makontena duniani. Kulingana na ripoti mpya ya Benki ya Dunia (Container Port Performance Index), lango hili kuu la bahari la Tanzania limepiga...
  8. Hyrax

    Maoni Yangu: Huu ndio Muarobaini wa Ajali za Barabarani - Kila Dereva Awe na Leseni, na Mfumo wa Pointi Uboreshwe, Uwe na Ufanisi.

    Ndugu zangu wa JamiiForums, Ajali za barabarani zimeendelea kupoteza maisha ya ndugu zetu, kusababisha ulemavu, na kurudisha nyuma uchumi wetu kupitia uharibifu wa mali. Mara nyingi tumekuwa tukilaumu ubovu wa miundombinu au magari, lakini ukweli ni kwamba chanzo kikuu cha ajali ni kiburi...
  9. Wakusoma 12

    Masomo ya hisabati na computer/coding yafundishwe kwa kiingereza shule za msingi

    kuna haja ya kuanza kufikiria mfumo ambao Hisabati na Computer Science/Coding vinafundishwa kwa kutumia Kiingereza kwa kiwango kikubwa zaidi kuanzia shule za msingi. Sababu kubwa ni kwamba dunia ya sayansi na teknolojia inatumia sana lugha ya Kiingereza. Istilahi nyingi ambazo mwanafunzi...
  10. B

    Pampu ya Mafuta kwa Workshop/Garage - Ufanisi!

    HAND OIL PUMP Pump ya mafuta kwa matumizi ya workshop, garage na viwandani. Imara na rahisi kutumia Inafaa kwa kupampu mafuta kwa ufanisi Bei ni 75000/= kwa mawasiliano 0612630936 Mikoani pia tunasafirisha
  11. Wizara ya Ardhi

    e-Ardhi: Serikali yaongeza ufanisi katika huduma za ardhi, Ruvuma

    Ruvuma Serikali kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeendelea kuchukua hatua za kisera na kiteknolojia kuboresha huduma za ardhi nchini, ambapo matumizi ya Mfumo wa e-Ardhi yameelezwa kuwa ni hatua muhimu katika kuongeza ufanisi, uwazi na usalama wa taarifa za ardhi...
  12. Roving Journalist

    Prof. Shemdoe awaasa Viongozi Serikali za Mitaa kuepuka Migogoro ili kuongeza Ufanisi wa Huduma kwa Wananchi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amewaasa viongozi katika Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kuepuka migogoro miongoni mwao na baina yao na watumishi wanaowaongoza, akisisitiza kuwa migogoro mahali...
  13. M

    Biashara ya kisasa inahitaji mifumo ya kisasa

    Biashara ya kisasa inahitaji mifumo ya kisasa. T-CAMS inaleta uwazi, ufanisi na uhakika wa malipo katika sekta ya uwakala wa forodha, kwa manufaa ya mawakala, waagizaji wa mizigo na Serikali.
  14. Roving Journalist

    Rais Samia aielekeza TAMISEMI kusimamia huduma za Ugani kwa tija na ufanisi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameiagiza Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo pamoja na Wizara ya Mifugo na Uvuvi, kuhakikisha Wakala wa Huduma za Ugani (NAESA) unatekeleza majukumu...
  15. M

    Mfumo wa T-CAMS ni Mageuzi ya Kidijitali Yanayojenga Uwazi, Ufanisi na Ushindani katika Sekta ya Uwakala wa Forodha Tanzania

    Mfumo wa T-CAMS ni Mageuzi ya Kidijitali Yanayojenga Uwazi, Ufanisi na Ushindani katika Sekta ya Uwakala wa Forodha Tanzania Utangulizi Katika dunia ya sasa, ushindani wa biashara haupimwi tena kwa ukubwa wa bandari au idadi ya mipaka ya nchi, bali kwa ubora wa mifumo inayorahisisha biashara...
  16. M

    Mfumo wa T-CAMS ni Mageuzi ya Kidijitali Yanayojenga Uwazi, Ufanisi na Ushindani katika Sekta ya Uwakala wa Forodha Tanzania

    Mfumo wa T-CAMS ni Mageuzi ya Kidijitali Yanayojenga Uwazi, Ufanisi na Ushindani katika Sekta ya Uwakala wa Forodha Tanzania Utangulizi Katika dunia ya sasa, ushindani wa biashara haupimwi tena kwa ukubwa wa bandari au idadi ya mipaka ya nchi, bali kwa ubora wa mifumo inayorahisisha biashara...
  17. Roving Journalist

    NACTVET: Tumefanya maboresho ya mawasiliano kwa njia ya simu ili kuongeza ufanisi

    Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) limetoa taarifa kuwa limefanya maboresho ya mawasiliano yake kwa njia ya simu ili kuongeza ufanisi katika kuwahudumia wadau wake. NACTVET imeeleza kuwa mbali na namba za simu za Makao Makuu, maboresho hayo yamejumuisha...
  18. Milvik Tanzania

    Kuongeza Ufanisi wa Wafanyakazi Wako: B2B Bima za Afya, Maisha na Ajali (Pamoja na Familia Zao!)

    Heshima kwenu wakuu, Katika ulimwengu wa biashara wa sasa hapa Tanzania, rasilimali watu ndio injini kuu ya mafanikio ya kampuni yoyote. Wafanyakazi wakiwa na amani ya nafsi (peace of mind), ufanisi kazini (performance) huongezeka mara dufu. Je, unajua kwamba unaweza kulinda afya na ustawi wa...
  19. Roving Journalist

    DAR: Wizara ya Ardhi yatoa Hati zaidi ya 470, Waziri Dkt Akwilapo ahimiza ufanisi, Haki na weledi katika utoaji wa huduma

    Zaidi ya wananchi 470 wamepatiwa Hatimiliki katika banda la Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wakati wa Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba), yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Akizungumza leo, Julai 5, 2026...
  20. Nyankurungu2020

    Wakati wa utawala wa hayati JPM usalama wa taifa ilikuwa idara makini. Taarifa zilitoka kwa wananchi. Ndio maana hayati JPM alifanya kazi kwa ufanisi

    Utawala wa hayati JPM ulifanya kazi kwa ufanisi na uliweza kuwaridhisha wananchi kuwa upo makini na ulijali maslahi ya wananchi. Idara ya usalama taifa ilikuwa karibu na wananchi. Ndio maana hata kama ni kero ndogo namna gani rais alikuwa na taarifa nayo kwa undani. Kero za wananchi...
Back
Top Bottom