ufanisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jinsi Cages za Mbao Zinavyobadili Ufugaji wa Kuku - Hazina Gharama

    https://youtu.be/Kf2DhWBoXUA Katika mazingira ambayo wengi huamini kuwa "ufugaji wa kisasa ni kwa matajiri," Mzee Hashimu – afisa mstaafu kutoka Mwanza – anathibitisha kinyume chake. Akiwa na uzoefu wa maisha na ujasiri wa kujaribu vitu vipya, leo anafuga kuku wa Sasso kwa kutumia cage...
  2. Kwa nini bwawa la umeme la Nyerere na DP World havijasaidia bidhaa na huduma kushuka bei ?

    Uchumi wa bongo huwa unashangaza sana, kuna wakati watu walikuwa wanasema bwawa la umeme likikamilika na Waarabu wa DP World wakianza kuendesha bandari itasababisha gharama za uzalishaji na uingizaji mizigo kushuka na kupelekea bidhaa kuwa bei rahisi ila haijawaha hivyo mpaka sasa!
  3. CAG alidhishwa ufanisi wa fedha TPA Mwaka wa Fedha 2023/24

    Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imepokea pongezi kubwa kutoka Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa utendaji wake bora katika mwaka wa fedha 2023-2024. Ripoti ya CAG, iliyowasilishwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan, ilionesha kuwa TPA ni miongoni mwa mashirika ya umma...
  4. Hujalegea na Wala Hujarogwa, Umekosa Nidhamu: Nguzo Nne za Ufanisi

    Watu wengi hujiona kuwa wavivu, wakihisi kana kwamba hawawezi kujituma ipasavyo ili kufanikisha malengo yao. Lakini tafakari kwa kina: Je, kweli ni uvivu, au ni ukosefu wa nidhamu? Uvivu unamaanisha kukosa msukumo kabisa, lakini kwa kawaida, watu wanajihisi "wavivu" si kwa sababu hawana uwezo wa...
  5. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imefurahishwa na utendaji kazi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA)

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imefurahishwa na utendaji kazi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA) ambao umechochea uboreshaji wa huduma katika bandari mbalimbali hapa nchini uliotokana na maboresho ya uwekezaji. Akizungumza mara baada kufanya ziara ya kujionea utendaji...
  6. K

    Ushauri: Ili kuongeza ufanisi wa ukusanyaji mapato, TRA igawanywe na kuwa mamlaka mbili, mamlaka ya mapato ya ndani na mamlaka ya mapato ya nje

    Salamu Rais wa JMT, Dkt. Samia Suluhu Hassan Wazir wa Fedha, Dkt.Mwigulu Nchemba Ninayo furaha sana kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema na huruma kwa baraka zake kuu tunazoendelea kuzishuhudia katika Taifa letu. Kwa namna ya pekee kabisa ninamshukuru Mwenyezi Mungu kwa amani, umoja na...
  7. ERB, ECI Waanza Utekelezaji wa Makubaliano ya Kuongeza Ufanisi kwa Wahandisi

    ERB, ECI WAANZA UTEKELEZAJI WA MAKUBALIANO YA KUONGEZA UFANISI KWA WAHANDISI. Bodi ya Usajili wa Wahandisi Tanzania (ERB) na Baraza la Uhandisi la India (ECI) wameanza utekelezaji wa makubaliano kati yao ambayo yalisainiwa mwezi Disemba 2024 lengo kuu likiwa ni kuchangia maendeleo ya kiuchumi...
  8. Tiba ya mkojo (urine therapy) hii tiba inafanya kazi vizuri na kwa ufanisi

    Habari wakuu . Mimi nimekuwa nikusumbuliwa na matatizo ya kuumwa na kichwa aina ya kipanda uso. Nimetumia Dawa za kutuliza maumivu Kwa muda mrefu Sana , Ila nimekuja kupona Kwa kutumia tiba moja inaitwa "Urine therapy). Tiba hii nimetumia siku tano Kwa kufanya hivi. Kunywa mkojo robo...
  9. B

    Ufanisi wa Utoaji wa Vitambulisho vya NIDA: Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita

    Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan inaendelea kuonyesha dhamira yake ya kuboresha huduma kwa wananchi. Moja ya mafanikio makubwa ni uboreshaji wa mfumo wa utoaji wa Vitambulisho vya Taifa kupitia Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA). Kwa sasa, NIDA...
  10. Basic salary 390,000 - mkopo, take home Laki na thelasini, mtumishi wa umma, na bado tunataka huduma bora zenye ufanisi!

    Kuna sehemu nimeiona hii salary slip nimeshangaa sana wazee, Nchi inayoelekea uchumi wa kati, Mwaka huu bado kuna watu wanalipwa hvyo toa mkopo mtu anabaki na laki na theraaini kwa mwezi, na tunataka huduma bora na nchi imeimarika kiuchumi! Hii ni kada gani hapa nchini?
  11. Mhe. Katimba Awataka Wakandarasi wa TARURA Kutekeleza Miradi kwa Ufanisi

    MHE. KATIMBA AWATAKA WAKANDARASI WA TARURA KUTEKELEZA MIRADI KWA UFANISI Naiba Waziri, Ofisi ya Rais - TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amewataka makandarasi wanaopatiwa kandarasi za ujenzi wa barabara za TARURA kutekeza miradi hiyo kwa ufanisi na kwa wakati kama ilivyo makubaliano ya katana...
  12. Kamishna Mwenda: Ufanisi wa Bandari waongeza mapato TRA

    UFANISI WA BANDARI UMEONGEZA MAPATO YA TRA - KAMISHNA MWENDA Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Mwenda amesema Uwekezaji uliofanywa katika Bandari ya Dar es Salaam na Kampuni za DP World na ADANI umechangia kwa kiasi kikubwa ongezeko la Mapato kwa TRA ndani ya kipindi...
  13. Dkt. Biteko: Kutumia umeme bila ufanisi kunaongeza mzigo kwenye uzalishaji wa umeme

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa suala la matumizi Bora ya Nishati linapaswa kuwepo kwenye mipango ya Serikali katika nchi za Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ili kuwezesha nchi hizo kutumia umeme kwa ufanisi na hivyo...
  14. Tanzania kuimarisha ufanisi wa mfumo wa kodi ili kukuza uwekezaji nchini

    Tanzania imechukua hatua stahiki za kuimarisha ufanisi wa mfumo wake wa kodi, ili kukuza uwekezaji na biashara na mataifa mbalimbali duniani. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahamoud Thabit Kombo, amesema hayo tarehe 13 Novemba, 2024 jijini Dar es Salaam...
  15. K

    Je, herbal clinics zina ufanisi?

    Itifaki ikiwa imezingatiwa. Kumekuwa na ongezeko kubwa la verbal clinics mijini, herbal clinics hizo zinanadiwa sana kuwa zina uwezo wa kutibu magonjwa lukuki. Je zina ufanisi? Changia uzoefu wako.
  16. Mbunge Kenneth Nollo: Maslahi ya askari polisi yaboreshwe ili kuongeza ufanisi wa utendaji kazi Mpango wa Taifa 2025/2026

    Serikali imeshauriwa kuboresha mazingira na maslahi ya askari polisi ili kuongeza ufanisi wa utendaji kazi wa polisi katika mapendekezo ya Mpango wa Taifa wa mwaka 2025/2026. Hayo yamesemwa leo Jumatano Novemba 6, 2024 na Mbunge wa Bahi (CCM), Kenneth Nollo wakati akichangia katika mpango huo...
  17. Vipi kuhusu ufanisi na uimara wa Nissan X-trail (Hybrid)

    Wataalamu, Kuna hizi gari NISSAN XTRAIL-HYBRID zimeongezeka sana hapa mjini. ni gari SUV nzuri sana kwa kuzitazama lakini vipi kuhusu ufanisi na uimara wake ukilinganisha na SUV zingine?
  18. Upo vipi ufanisi wa kutumia dawa hii katika kupunguza matumizi ya pombe...

    Nataka nirudi kama zamani , japo kazi ninayoifanya ni ya kutumia akili sana, kwa hiyo kuna muda nakuwa nahitaji utulivu ili kazi niifanye kwa ufanisi...nilijiingiza kwenye uraibu wa kutumia pombe Kali ( konyagi) kwangu Mimi nikinywa pombe nakuwa Na hamu ya kula Na hata kunenepa Huwa nanenepa...
  19. Katika matibabu sindano zinafanya kazi haraka na kwa ufanisi kuzidi vidonge.

    Kama unapitia changamoto ya ugonjwa kukurudia Mara Kwa mara au kutopona . Mfano marelia , Typhoid, UTI n.k Ikiwa umetumia vidonge Ila haujafanikiwa kupata matokeo chanya Kwa haraka ebu jaribu sindano . Sinadano zinatoa majibu Kwa haraka japo ni gharama na zinaumiza Ila zinasaidia Sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…