udsm

The University of Dar es Salaam (UDSM) is a public university in Dar es Salaam, Tanzania. It was established in 1961 as an affiliate college of the University of London. The university became an affiliate of the University of East Africa (UEA) in 1963, shortly after Tanzania gained its independence from the United Kingdom. In 1970, UEA split into three independent universities: Makerere University in Uganda, the University of Nairobi in Kenya, and the University of Dar es Salaam.

View More On Wikipedia.org
  1. 1

    Wazir wa mikopo udsm ni changamoto sana

  2. A

    KERO Waziri wa Mikopo UDSM ni changamoto sanaa

    Habari, tunaomba mamlaka husika zifuatilie malalamiko ya wanafunzi wanaokabiliwa na changamoto za mikopo ya elimu ya juu, hususan namna wanavyohudumiwa na maafisa mikopo (Loan Officers) wanapokwenda kuwasilisha matatizo yao. Wanafunzi wanadai kuwa baadhi ya maafisa mikopo hawawasikilizi...
  3. Prof_rutta22

    UDSM: Mfumo wa ARIS3 wa Maombi ya Vyumba Haufanyi Kazi Siku ya Room Shopping, Namba za Msaada Hazipatikani. Uwazi Unahitajika

    Wakuu, salaam. Leo naleta jambo linalowagusa wanafunzi wengi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kuhusu zoezi la Room Shopping 2026/27 lililotangazwa na DARUSO kupitia Wizara ya Maji, Makazi na Mazingira. Ratiba iliyotangazwa: 3 Novemba: COICT Hostels, saa 4:00 asubuhi 4 Novemba: Magufuli na...
  4. A

    Vyuo kama UDSM tumieni fursa ya AFCON kupata pesa

    Mbali na timu ya taifa kuandaliwa kushiriki na kushinda kombe. Taasisi kama vyuo wanapaswa kubangua bongo kunufaika na globap/continental/regional events kama hizi, hata kwa kushirikiana na sekta binafsi (PPP). Mna eneo zuri, kubwa katikati ya mji mngeweza kujenga hotel na kiwanja kikubwa cha...
  5. A

    KERO Wazabuni tunaofanya kazi Chuo Kikuu Mlimani tunazungushwa malipo yetu kwa muda mrefu

    Binafsi, nina kampuni ya usafi inayotoa huduma katika taasisi kadhaa, ikiwemo Chuo Kikuu cha Mlimani. Hata hivyo, changamoto kubwa imekuwa ni malipo ya huduma tunazotoa. Unaweza kufanya kazi kwa zaidi ya miezi tisa bila kulipwa, huku ukiwa na wafanyakazi wenye familia zinazokutegemea na ambao...
  6. I

    KERO Nasumbuliwa kusoma Masters katika chuo cha UDSM tangu mwaka 2025

    Mimi ni Mtanzania ambaye niliomba kujiunga na programu ya uzamili (Master’s) katika Chuo cha COSS, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), mwaka 2025, na nikapata nafasi ya kujiunga. Baadaye, nilielezwa kuwa wanafunzi waliochaguliwa katika programu hiyo walikuwa wachache, hivyo masomo yasingeweza...
  7. A
  8. robinson crusoe

    TCU Simamieni Taratibu za Ubora Vyuo Vikuu. Uamuzi wa UDSM Kufuta Mitihani ni ishara Mbaya!!

    Kwa siku mbili sasa anga za elimu zinajadili uamuzi wa UDSM kufuta mitihani ya marudio kipindi cha Septemba/Oktoba. Ninachokiona ni uzembe wa TCU kushindwa kuangali taratibu za vyuo ambazo zinaathili ubora. Nilipouliza huku na huko, nilichokiona ni kwamba kumbe vyuo vya TZ pole pole vinaingiza...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    Dkt Chemical anafundisha nini huko UDSM kama hajui Ndoa ni sehemu ya mafanikio ya mtu both Mwanaume na Mwanamke?

    Dkt CHEMICAL ANAFUNDISHA NINI HUKO UDSM KAMA HAJUI NDOA NI SEHEMU YA MAFANIKIO YA MTU BOTH MWANAUME NA MWANAMKE? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Ndoa ni moja ya vipimo vya mafanikio ya mtu. Hilo mtu yeyote ambaye anaakili timamu analijua. Sasa mtu umeenda shule mpaka umefika chuo kikuu...
  10. E

    KERO: Wanafunzi wa Masters UDSM zaidi 80 hatarini kukosa mahafali ya December 2026

    1. Sisi Wanafunzi wa Masters Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Main Campus. Tunacheleweshwa kupewa matokeo yetu ya Dissertation ili tuweze ku-graduate Mahafali ya mwezi Disemba 2026. 2. Mfano Wanafunzi wa Shule kuu ya Elimu Chuoni hatujapewa matokeo yetu toka tuwasilishe dissertation mwezi...
  11. McLaren

    UDSM: Mitihani Maalum na Mitihani ya Marudio haijafutwa

    Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimekanusha taarifa zinazosambaa mtandaoni zikidai kuwa mitihani maalum (Special) na mitihani ya marudio (Supplementary) imefutwa Soma Zaidi Chuo Kikuu cha UDSM chabadili utaratibu wa Supplementary na Special Examination Uogozi wa UDSM umesema mitihani hiyo...
  12. Kiranga

    Museveni and his Upanga days unpaid bills Covered by my family

    This is a factual account, read it as a story of how the vagaries of life can take you from a refugee fleeing debt to a president, or a character flaw and seminal integrity issue that explain bigger leadership problems in Uganda and Africa. You are probably aware that Yoweri Museveni studied at...
  13. M

    Familia tunahisi kijana ametuongopea kuwa amehitimu udsm 2026,

    habari ya wakat huu wadau? kama tittle inavyojieleza nina mjomba wangu ambae alikuwa akisoma udsm na mwaka huu ndio alitakiwa kuhitimu lakin kama familia tunashindwa kuelewa kama kweli kahitimu au anaidanganya familia, sababu aligoma kuonesha matokeo yake ya mwisho pia aligoma ndugu yoyote...
  14. E

    Kijana wangu anataka akasome Bachelor of Arts (Music) - UDSM. Ni maamuzi mazuri au anapotea?

    Wakuu, Msaada wenu mnaojua vizuri haya mambo. Kijana wangu anapenda sana muziki hasa chombo, kupiga Saxophone. Nataka akasomee hiyo kozi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Ana sifa zote, Division two ACSEE, HGK. Naomba mnishauri vizuri kabla sijamshrikisha, mimi sio mtaalam haya mambo. Itakuwa ni...
  15. manaina jr

    Nahitaji Mwongozo: MSc Data Science UDSM

    Wakuu habari ya muda huu Mimi ni mwajiriwa serikalini nimeomba admission UDSM ya Msc in Data Science na Mungu amesaidia nimepata. Naomba mwongozo kwa wazoefu waliosoma au wanaosoma hii kozi hapo chuo. Ni nini ugumu wake, gharama za zaidi ukitoa ada ni zipi (zile zinazohitajika zaidi kulipwa...
  16. A

    HOJA Ufafanuzi wa mabadiliko ya gharama za masomo UDSM

    Habari zenu, ndugu zangu wanafunzi. Ninaomba nirejee suala hili kwa mara nyingine, nikitumaini kwamba sasa nitaeleweka vizuri. Naomba mnipatie nafasi nieleze kwa kina kuhusu mabadiliko ya gharama za chuo chetu. 1. Sababu za mabadiliko ya gharama za chuo Kwanza, mabadiliko haya hayajafanyika...
  17. Bujibuji Simba Nyamaume

    Kumbukumbu za UDSM from 1970s to 1990s: Poisoned Letters na Mzee Punch

    Katika miaka ya 1980 na miaka ya nyuma yake, machapisho na barua za siri au za asiyekuwa na jina zilizokuwa zikifichua kashfa, udaku, na masuala mbalimbali katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Mlimani) zilifahamika sana kama "Poisoned Pens" (au Poison Letters). Mwandishi au waandishi wa...
  18. A

    Responded Suala nililowasilisha JF kuhusu placement za waajiriwa wapya wa VETA sasa tumeshapewa ufafanuzi. Tumeitwa

    Habari Admin, napenda kukujulisha kuwa suala nililowasilisha hapa kuhusu placement za waajiriwa wapya wa VETA sasa tumeshapewa ufafanuzi. Tumeitwa kwenye semina itaksyofanyika tarehe 7 na 8 mwezi wa 10/2026
  19. Think2

    Ninaomba joining instruction ya kozi ya mionzi maana sijatumiwa, UDSM- MCHAS

    Ninaomba joining instruction kozi ya mionzi maana sijatumiwa ila ukicheki kule nactevet niko confirmed
  20. LIKUD

    Mnaosoma UDSM vipi ratiba ya masomo itaendelea vile vile licha ya uwepo wa El Nino? Kuna mtu anataka kulipa ada nataka nimshauri kabla hajafanya maamu

    Huyu mmama alikuwaga " Mtu' Wangu wa karibu Sana wakati nasoma UDSM. Amegraduate mwaka 2010 anatoka nchi jirani. Anataka kuja kufanya Masters UDSM.. Kwa mujibu wa ratiba iliyopo ni kwamba classes zinaanza October mwishoni. She was about to pay her fee ila amesikia kuhusu El Nino na mabadiliko ya...
Back
Top Bottom