udom

The University of Dodoma (UDOM) is a public university in central Tanzania located in Dodoma, the country's capital. Building is taking place on a 6,000-hectare site in the Chimwaga area about 8 kilometres (5.0 mi) east of downtown Dodoma.The University of Dodoma was formally established in March 2007 following the signing of the Charter by the President of the United Republic of Tanzania. The first academic programmes commenced in September 2007. Currently UDOM is the fastest growing university within the country, its biggest more than any other university within the country, and it's praised with producing competent and qualified candidate capable of competing in job market.
In line with Tanzania's Development Vision 2025, the University of Dodoma, when fully operational, will be able to enroll 50,000 students. This is more than triple the size of the University of Dar es Salaam when UDOM becomes fully operational. Up to now it is 80% complete and is already two times bigger the size and capacity of The university of Dar es salaam.The university of Dodoma currently has seven colleges: College of Earth Science, College of Natural and Mathematical Sciences, College of Informatics and Virtual Education, College of Education, College of Humanities and Social Sciences, College of Health and Allied Science and College of Business studies and Law, in recently there was also establishment of newly academic institute within college of humanities and social science UDOM named institute of Development studies(IDS) charged with responsibility of strengthening professionals within the field of Development studies.
Also is found in the Capital city of Tanzania

View More On Wikipedia.org
  1. S

    KERO UDOM walianza kurejesha fedha za ziada (overpayment) lakini sasa wameacha, hatuelewi shida ni nini

    Bado kuna changamoto kubwa ya ucheleweshaji wa kurejesha fedha za ziada (overpayment) kwa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Baada ya taarifa iliyochapishwa na JamiiForums kuhusu kuchelewa kwa malipo hayo kusambaa, uongozi wa chuo ulianza kulipa baadhi ya wanafunzi, hatua iliyoashiria...
  2. B

    KERO Tunaomba UDOM kuharakisha na kuboresha utaratibu wa kushughulikia maombi ya uhamisho wa program za masomo

    Tunaiomba uongozi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kuharakisha na kuboresha utaratibu wa kushughulikia maombi ya uhamisho wa programu za masomo (Course Transfer). Wanafunzi wa mwaka wa kwanza ambao huwasilisha maombi mapema hulazimika kusubiri majibu kwa muda mrefu, huku masomo na moduli za...
  3. A

    KERO Wanafunzi UDOM hatuna sehemu za kukaa siku ya 6

    Uongozi wa unalazimisha watu wafanye usajili ndio wapate room na Mfumo wa chuo haufanyi kazi hakuna control number za NHIF wengine malipo hayasomi kwenye mtandao. Wanafunzi wameshalipia hela ya hostel ila chuo hskitaki kutoa vyumba Tukalale wapi. Ukizingatia tunashindwa kuksmilisha usajili kwa...
  4. A

    Tunaomba Uongozi wa UDOM lifatilie hili swala la continuous kupewa chumba adi uwe ushamalza usajili, inawapa wakati mgumu wanafunzi

    Tunaomba uongozi wa University of Dodoma (UDOM) lifatilie hili swala la continuous kupewa chumba adi uwe ushamalza usajili ambapo inawapa wakati mgumu wanafunzi Sisi kama wazazi tunaomba wanafunzi wapewe vyumba maana mwanafunzi hawezi kukumbia na hilo deni tunajua wazi kabsa ata asipolipa Sasa...
  5. A

    KERO UDOM utaratibu wa accommodation (HOSTEL) sio rafiki na ni kandamizi

    Unalipia hostel lakini hupewi chumba mpaka ukamilishe usajili wakati huo huo. Hakuna control number za NHIF huwezi kukamilisha usajili na huna pa kukaa. 2. Hawatoi makazi ta muda huna pakukaa na unatakiwa darasani ni kitu hakiingii akikilini 3. Malipo yana hesabu kuanzia siku ya kufungua chuo...
  6. D

    KERO Huduma za UDOM kwa upande wa changamoto za kitehama kwa wanafunzi ni mbaya mno

    Hii changamoto haipo ofisi za utawala mkuu pekee, bali hata utawala wa college yangu niliyokuwa nasoma ya ndaki ya sayasi asilia na hisabati (cnms) Viongozi hawajibiki kwa wakati , calls na message zetu zinasomwa tu na hazifanyiwi kazi kwa wakati au pengine hazifanyiwi kazi kabisa na wakati...
  7. G

    KERO UDOM SONPH wanachelewesha matokeo ya wahitimu

    Wahitimu wa shahada ya uuguzi kutoka UDOM wanakabiliwa na changamoto ya incomplete kwenye matokeo yao ya mwaka wa pili hali inayosababisha matokeo yao kucheleweshwa TNMC na hivyo kukosa uhalali wa kufanya maombi ya utarajali yanayotakiwa kuanza tar 1 november.
  8. K

    KERO Matokeo ya Diploma UDOM yamechelewa Wanafunzi tupo kwenye hatari ya kushindwa kuomba kujiunga na masomo ya Shahada

    Wahitimu wa ngazi ya Diploma kwa mwaka wa masomo 2025/2026 tunakabiliwa na changamoto ya kushindwa kuomba nafasi za masomo ya Shahada kwa mwaka huu kutokana na matokeo yetu kutokuwa yamewekwa kwenye mfumo hadi sasa. Hadi wakati huu, bado hatujapewa taarifa rasmi kuhusu sababu ya kuchelewa kwa...
  9. F

    KERO Kero na Dhuluma UDOM, Wanafunzi Wateseka!

    UDOM KUNA SHIDA SAUTI YA WANAFUNZI INAPASWA KUSIKIKA 👉Kero ya Kwanza: Madeni Yasiyoeleweka na Kufukuzwa Chuo Wanafunzi hawadaiwi ila wanawekewa madeni kwenye akaunti zao kwa makusudi pesa ambazo hawaelewi chanzo chake na matokeo yake huwekewa "withheld". Baada ya muda mrefu, hutolewa barua ya...
  10. A

    KERO Inasikitisha kuona UDOM inashindwa kukarabati na kuwa na Vyoo safi huku shida ya maji ikishamiri

    Katika hali ya kusikitisha, chuo hiki kikubwa nchini Tanzania na Afrika Mashariki, chenye majengo makubwa na mazuri, kinakabiliwa na changamoto ya ukarabati na usafi. Baadhi ya maeneo, hususan vyoo, yamekuwa katika hali isiyoridhisha kutokana na kutofanyiwa matengenezo ya mara kwa mara. Ni...
  11. A

    KERO Malalamiko kuhusu ada za Carryover na Supplementary katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimeanza utaratibu wa kuwatoza wanafunzi malipo kwa ajili ya Carryover na Supplementary Examinations, utaratibu ambao umeanza kutumika hivi karibuni katika mwaka wa masomo 2025/2026. Utaratibu huu umekuwa changamoto kubwa kwa wanafunzi, hasa wale wenye hali duni...
  12. Kizumari Technologies

    > USHAURI: Nimechoka kulipishwa $9 na SmallPDF kupunguza PDF ya Ajira Portal - Nimepata alternative ya bure na offline,

    Habari wakuu, Mimi ni msomaji wa humu JF kwa muda mrefu, leo naomba ushauri na pia natoa msaada kwa wanaotafuta ajira. Kama mlivyopitia, mimi ni fresh graduate wa UDSM. Wiki iliyopita dada yangu alitaka kutuma CV yake Ajira Portal. CV yake ilikuwa 3MB, system ya Ajira inataka 1MB. Akaenda...
  13. madubakito

    KERO Wanafunzi wa PostGraduate UDOM tulitoa hela za extension na sasa wameweka grace period, ila hawataki kurudisha fedha

    Mwaka jana, chuo kilitangaza kuwa hakukuwa na grace period, hivyo muda wa masomo unapomalizika, mwanafunzi alitakiwa kulipia extension ili kuendelea na masomo. Hata hivyo, mwaka huu chuo kimetangaza kuwa grace period ipo kwa muda wa miezi mitatu. Changamoto ni kwamba sisi tuliolipia extension...
  14. H

    KERO UDOM na HESLB mnashida gani? Mnatuumiza sisi graduates na kutupotezea muda

    Baadhi ya wanafunzi wa UDOM tunapata shida kuyaona matokeo yetu kwenye mfumo wa Sr2 kwa sababu ya madeni ambayo hatuyaelewi. Baada ya matokeo kutoka Hali ilikuwa shwari watu tuliona matokeo yetu ila baada ya muda kidogo mfumo ukashake na hapo ndo shida ilipoanzia. Chuo kinatuwekea madeni mfano...
  15. R

    Peter Madeleka tusaidie ufafanuzi wa kisheria kwa Mhadhiri wa UDOM kuachiwa huru na masharti kama mtu aliye kwenye kifungo cha nje

    Serikali haina nia ya kuendelea na kesi. Sasa dhamana inatoka wapi tena? Unampa mtu dhamana mtu aliye na kesi inayoendelea as far as I know. Masharti yanatoka wapi ya kuripoti kila friday ya mwisho wa mwezi for a year wakati kufutiwa kesi siyo kifungo cha nje. Kuna vitu haviko sawa. peter...
  16. A

    KERO Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) turejesheeni malipo yetu ya Ada yaliyozidi, mnatuzungusha kila siku

    Nilihitimu Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Mwaka 2025 katika Shahada ya Bachelor of Science in Telecommunication Engineering, kero yangu ni kuhusu fedha za overpayment ambazo tulipaswa kurejeshewa baada ya kumaliza masomo. Baada ya kuhitimu, wahitimu tuliandika barua za kuomba kurejeshewa fedha...
  17. A

    KERO Baadhi ya Wahitimu wa UDOM haturejeshewa overpayment tulizofanya kwenye ada

    Nina hoja kuhusu Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) naomba kuwasilisha moja ya jambo ambalo halijatolewa ufafanuzi kamili kuhusu mwenendo (progress) ya ulipwaji wa Overpayment kwa sisi ambao tumeshamaliza. Kuna ambao tayari wamelipwa lakini kuna wengine bado pesa haijaingia na hakuna ufafanuzi...
  18. University of Dodoma (UDOM)

    WATAFITI 15 WA UDOM WANG'ARA TUZO ZA KITAIFA, WATAMBULIWA KWA UCHAPICHAJI WA TAFITI KIMATAIFA

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimeendelea kuimarisha nafasi yake katika utafiti wa kitaaluma baada ya watafiti wake 15 kutambuliwa katika Tuzo za Utafiti za Kitaifa kwa kuchapisha matokeo ya tafiti zao katika majarida yenye hadhi ya juu kimataifa. Watafiti hao wa UDOM ni miongoni mwa washiriki...
  19. K

    Mzani wa Sheria: Dkt. Kaijage (UDOM) Gerezani kwa Ugaidi, Sheikh Mwaipopo Huru Pamoja na Vikosi vya "Mbwa Mwitu"?

    Habari za majukumu wana-JF (JamiiForums), Heshima kwenu wakuu wote wa jukwaa hili adimu na huru la kutoa maoni. Natumai mko salama na mnaendelea kujenga taifa. Leo nimeona nije hapa jukwaani tushirikishane mawazo na kufanya uchambuzi wa kina kuhusu mwelekeo wa sasa wa utoaji haki na usawa wa...
  20. LIKUD

    Wahadhiri 100 kuchanga sh laki tano pekee kwa Mhadhiri wa UDOM anae shitakiwa kwa ugaidi. Je huu ndio ujumbe wanao upeleka kwa serikali ya Samia? 👇👇

    Picha lina anza mhadhiri wa UDOM anakamatwa na vyombo vya dola kisha kushtakiwa kwa kosa la ugaidi. Je huyo mhadhiri ametenda kosa la ugaidi? Mimi sio mwanasheria ila najua kuwa this case is Res Sub Judice, and therefore very little to comment about that. Hukumu ya Mahakama ndio itakayo tupa...
Back
Top Bottom