uchunguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    Kuficha maripoti ya uchunguzi alianzisha Nyerere. Hawa wanaiga tu, wamekariri mfumo!

    At around ten o’clock on the morning of 3 February 1969, Dr Eduardo Mondlane pulled up outside 201 Nkrumah Street. The address housed the offices of FRELIMO, the guerrilla movement fighting for Mozambique’s independence from Portugal beyond Tanzania’s southern frontier. Mondlane was FRELIMO’s...
  2. Roving Journalist

    Kadogosa: Usajili wa aliyekuwa Mhandisi Mshauri barabara ya Tanga - Pangani usimamishwe na uchunguzi ufanyike

    Waziri wa Ujenzi, Masanja Kadogosa, ameelekeza kusimamishiwa usajili kwa aliyekuwa Mhandisi Mshauri (Doch Limited) wa mradi wa ujenzi wa barabara ya Tanga - Pangani (kilometa 50) iliyobainika kuanza kupata nyufa kabla ya kukamilika na kuiagiza Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB) kufanya uchunguzi...
  3. A

    KERO Wanafunzi Wakike wa City Institute of Health (VIDETE – Chanika) wanakosa usimamizi wa usiku

    Naomba mamlaka zinazohusika na usimamizi wa vyuo nchini, hususan NACTVET, zifuatilie kwa haraka suala hili linalohusu usalama wa wanafunzi wa kike katika City Institute of Health and Allied Sciences (VIDETE), iliyopo Chanika, Dar es Salaam. Katika ziara tuliyoifanya chuoni hapo usiku wa...
  4. Troll JF

    Police Kenya wasema suala la Mwaipaya lipo kwenye uchunguzi waomba siku moja kuwasilisha kiapo Kinzani counter Affidavit maamuzi saa 9 mchana

    Suala la kutekwa kwa Mtanzania Jijini Nairobi bado halijapata jawabu kwani Wakili wa serikali amesema suala hilo lipo kwenye Uchunguzi hadi sasa. Suala hilo limeibua mnyukano wa kisheria Wakili Martha Karua amesema leo Mwaipaya alitakiwa kuletwa akiwa hai au amekufa mahakamani na kuiomba...
  5. Carlos The Jackal

    LEMA waambie walokutuma, Hatuogopi kufungwa kwa sababu ya Ripoti za Kihuni za JAJI Chande na JAJI Lila,Kwann CCM hawataki uchunguzi Huru?

    Kama Viongozi wa CHADEMA wataishia Jela, swali la msingi ni Wanaishia Jela kwa Haki au Uonevu na Ukandamizaji??. Yaaan wewe LEMA mpumbavu, unataka CHADEMA iwapihie Magoti CCM eti sasa Viongozi wake wasifumgwe??? Wewe LEMA ni mjinga kupindukia, Badala ya kuwaambia Wananchi lazima Tupambane...
  6. R

    DW na uchunguzi wa vifo vya 29.10.2025

    In short, Polisi walitenda kinyume na sheria na taratibu zao. Watu wengi walikufa !
  7. A

    HOJA Wizara ifanye uchunguzi malalamiko ya Watumishi wa Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Mtwara (COHAS)

    Watumishi wa Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Mtwara (COHAS) tunaomba msaada wa Wizara ya Afya kutokana na changamoto tunazokabiliana nazo chini ya uongozi wa chuo chetu. Tunadai stahiki za watumishi wanaosafiri kikazi, hazilipwi, Kiongozi wetu mkuu na Mtu wa Fedha wakitajwa kujilipa katika...
  8. Hismastersvoice

    Kesi ya Pambalu ihitimishe uchunguzi unaofanywa na tume iliyoundwa kuchunguza tukio hilo

    Jeshi la polisi limeonesha linao uwezo wa kugundua chanzo cha vurugu zilizotokea wakati wa uchaguzi, hivyo hakuna sababu kuendelea na uchunguzi unaofanywa na tume iliyoundwa kuchunguza tukio hilo.
  9. A

    KERO Watumishi wa Afya - Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo, Mbeya, tunaomba timu ya DMO ivunjwe na uchunguzi ufanyike

    Watumishi wa afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo, Mbeya, tulitoa malalamiko kuhusu DMO, In-charge wa Hospitali ya Wilaya, Katibu wa Afya wa Wilaya na timu yake ya CHMT, tukidai kuwepo kwa matumizi mabaya ya mapato ya hospitali kwa starehe, ikiwemo safari za Matema Beach, wakati...
  10. A

    DOKEZO Uchunguzi ufanyike Askari wanatumia Mgambo kubambikia kesi vijana Mtaa wa Charambe Magengeni (Dar)

    Hapa Charambe Magengeni kuna baadhi ya Askari Polisi wa Kituo cha Maturubai wanaodaiwa kushirikiana na mgambo kuwakamata vijana wa mtaa wetu na kuwabambikia kesi. Inadaiwa kuwa vijana wasipotoa pesa, hufungwa pingu na kupelekwa Kituo cha Maturubai. Baada ya kufikishwa kituoni, baadhi ya askari...
  11. C

    Uchunguzi waanza tukio la mbunge kugongwa na gari

    Mbunge wa Australia, Helen Haines amenusurika kifo baada ya kugongwa kwa makusudi na gari nje ya ofisi yake katika mji wa Wangaratta, takribani kilomita 200 kaskazini magharibi mwa jiji la Melbourne, leo Oktoba 19, 2026. Kaimu Msimamizi wa Polisi wa jimbo la Victoria, Ashley Mason amesema...
  12. G

    Waandishi wa Habari za Uchunguzi, tusaidieni katika hili

    Tuthibitishe kama kweli ni mtanganyika halisi. Tujue jina la mke wake. Tujue majina ya watoto wake ili tuweze kujua kama kweli ni mkatoliki au alishabadiri imani yake kama inavyodaiwa. Asanteni.🙏
  13. instinct desire

    Watanzania tulitegemea tusikie uchaguzi wa Rais mpya wa TLS sasa mbona kimya, sasa tutafanyaje uchunguzi wa tuhuma wakati mhusika bado yupo ofisini?

    Chama Cha Tanganyika law society (TLS) kilianzishwa na kulindwa na Sheria namba 307 (The Tanganyika law society act, 307) MLEZI wake mkuu akiwa ni serikali hivyo basi TLS si Mali ya mtu ni Mali ya serikali iliyoundwa kisheria, serikali inaangaza utendaji wa Kila siku wa TLS. Matukio ya Rais wa...
  14. O

    Wakazi wa Magadi Wasafiri Kilomita 45 Kutafuta Maji

    Wakazi wa Magadi, Kaunti ya Kajiado, wanakabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa maji safi, hali inayowalazimu baadhi yao kusafiri hadi kilomita 45 kutafuta huduma hiyo muhimu. Kwa mujibu wa taarifa katika video, wakazi hao wanakabiliwa na uhaba mkubwa wa maji, huku gharama ya kununua maji...
  15. O

    Uchunguzi wa BBC Wahusisha Kikosi Maalum cha Ulinzi wa Rais na Vifo vya Waombolezaji Watatu Kasarani

    Uchunguzi mpya wa BBC Africa Eye umeibua maswali kuhusu mauaji ya waombolezaji watatu waliopigwa risasi wakati wa hafla ya kitaifa ya kumuaga aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga, katika Uwanja wa Kasarani mnamo Oktoba 16, 2025. Katika uchunguzi uliotolewa Oktoba 12, 2026, BBC...
  16. O

    Mbunge Jared Okello Ataka Uchunguzi Kuhusu IEBC Kununua Vifaa Vipya vya Uchaguzi Kila Uchaguzi

    Mbunge wa Nyando, Jared Okello, ametaka uchunguzi ufanywe kuhusu uamuzi wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kununua vifaa vipya vya uchaguzi kila baada ya miaka mitano badala ya kukarabati au kuboresha vilivyotumika awali. Akizungumza na kituo cha runinga Jumanne, Oktoba 13, 2026, Okello...
  17. A

    HOJA Kanisa Katoliki lifanye uchunguzi wa Kwaya ya Kanisa la Sinza, kuna ‘upigaji’ na ukiukwaji wa maadili

    Waumini na Wanachama wa kwaya katika Parokia ya Bikira Maria Mama wa Mwokozi, iliyopo Sinza Jijini Dar es Salaam tuna hoja ambayo baada ya kuwa chinichini tumeona bora ifike hadharani, Dunia ijue labda hatua zitachukuliwa. Kuhusu ubadhirifu wa fedha Ndani ya kwaya yetu ya Mtakatifu Monika...
  18. Idugunde

    Uchunguzi ufanyike kama Chivayo amekufa na pesa za walipa kodi wa Tanganyika.

    Nimemsikia Rigathi Gachagua wa Kenya akisema kuwa Chivayo alikuwa akicheza dili na marais wengi wa Afrika kupiga madili na yeye kujifanya ni pesa zake. Hapa nchini uchunguzi huru ufanyike. Maana wanaoumia na masuala kama haya sio Wazanzibar bali ni Watanganyika.
  19. A

    DOKEZO Uchunguzi ufanyike Kituo cha Afya Fumagila. Kuna Wagonjwa wanatozwa fedha taslim badala ya Control Number

    Tunashukuru uongozi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza kwa kufika katika Kituo cha Afya Fumagila wiki iliyopita na kutoa maagizo kuhusu changamoto zilizokuwa zikilalamikiwa, hususan suala la utoaji na upokeaji wa fedha kwa wagonjwa. Hata hivyo, baada ya viongozi hao kuondoka, hali inaonekana...
  20. A

    KERO Njia ya Pugu Road (Vingunguti hadi Jet Corner) kuna harufu kali, sijui tatizo ni nini?

    Wale tunaoishi na kufanya shughuli zetu Pugu Road, kuanzia Vingunguti hadi Jet Corner kipindi cha nyuma eneo hilo lilikuwa na hali ya hewa nzuri, lakini siku hizi hali imebadilika, kumekuwa na harufu mbaya na nzito ambayo wakati mwingine inafanya iwe vigumu hata kufanya kazi na kuendelea na...
Back
Top Bottom