uchumi

  1. Mkazo zaidi unatakiwa kuwekwa kwenye Soko la Ndani katika kuendeleza Uchumi

    Rais Xi Jinping wa China ametoa mwito wa kuweka msisitizo kwenye kuunda mtindo mpya wa maendeleo, ambapo soko la ndani na solo la nje yanahimizana, lakini soko la ndani kuwa njia kuu ya kuendeleza uchumi. Rais Xi amesema hili ni “chaguo la kimkakati” kwa China kwenye ushirikiano wa kimataifa na...
  2. GE2020 Ilikuwaje Deo Mwanyika wa ACACIA aliyehukumiwa kwa Uhujumu Uchumi achaguliwe na CCM kugombea Ubunge Njombe Mjini?

    Kama ambavyo Rais Magufuli amekuwa akijigamba kuwa anapambana na mafisadi wakwepa kodi na wahujumu Uchumi pamoja na mabeberu kwa kupitia kauli yake ya vita ya kiuchumi. Huyu Mwanyika ndo Rais aliyetutangazia kuwa amawasiliano na wanasiasa wa upinzani ili wamuhujumu hadi kutoa ile kauli yake...
  3. L

    Flyovers, SGR na uboreshaji wa miundombinu awamu ya 5 Tz ni matokeo ya kubadilisha matumizi ya pesa sio kukua kwa uchumi

    Kufanya uchaguzi kwa pesa ya ndani, kujenga flyovers, SGR na uboreshaji wa miundombinu unaofanywa na awamu ya 5 ni matokeo ya kubadili matumizi pesa/kipato tu sio kukua kwa uchumi. Mfano, pesa zilizokuwa zinatumika kulipa mishahara kwa watumishi wa umma. Sasa wanastaafu, wengine wanakufa hakuna...
  4. Tanzania yashushwa rating ya uchumi wa kati, yadaiwa uchumi wake sio halisi na ukwasi wake hautabiriki hasa katika kupata mikopo ya nje

    Rating Action: Moody's downgrades Tanzania's rating to B2; outlook stable 21 Aug 2020 London, 21 August 2020 -- Moody's Investors Service ("Moody's") has today downgraded the foreign and local currency issuer ratings of the Government of Tanzania to B2 from B1 and changed the outlook to stable...
  5. Despite the global COVID-19 pandemic, Tanzania has achieved its middle-income vision five years ahead of schedule

    https://www.google.com/url?sa=t&source=web&rct=j&url=https://www.forbesafrica.com/brand-voice/2020/08/19/tanzania-is-ahead-of-schedule-under-magufuli/%23:~:text%3DDespite%2520the%2520global%2520COVID%252D19,compatriots%2520on%2520this%2520historic%2520achievement.&ved=2ahUKEwjJ2-rMiqnrAhU6UhUIHZJ...
  6. GE2020 SPECIAL THREAD: Taarifa za Kampeni na Sera za Mgombea Urais kupitia CHAUMMA, Hashim Rungwe Sipunda

    SEPTEMBA 5: CHAUMA KUFUNGUA RASMI KAMPENI MANZESE, DAR Mgombea Urais kupitia CHAUMMA, Hashim Rungwe ametangaza kufungua rasmi kampeni za chama chake viwanja vya Bakhresa vilivyopo Manzese Dar es Salaam, Septemba 5 Awali chama hiko kilipanga kufungua kampeni zake mkoani Mara, zoezi ambalo...
  7. E

    Uelewa wa Lissu kwenye uchumi ni mdogo

    Nimefuatilia kauli za Lissu akiwa Morogoro mjini, kasema serikali ya JPM haijaongeza mishahara (General salary increment) na yeye akiingia madarakani ataongeza mishahara kulingana na hali ya uchumi ili kupunguza ukali wa maisha. Ni kweli "General increment" kwenye salary adjustment hufanyika...
  8. Rushwa ya ngono yaingia kwenye makosa ya uhujumu uchumi

    “HAKUNA Mwanaume amewahi kulalamika rushwa ya ngono,” amesema Mwendesha Mashtaka wa Takukuru, Stella Mafuru. Amesema kesi zote zinazohusu rushwa ya ngono, zinatolewa na wanawake, lakini hakuna mwanaume yeyote ambaye amewahi kuripoti rushwa hiyo ya ngono ambayo kwa sasa imeingia kwenye kipengele...
  9. Kukua kwa Uchumi siyo madaraja na miundombinu tu, bali PPP (Purchasing Power Parity)

    Namshangaa yeyote anayejinasibu kukuza uchumi wakati bado hali ya Watanzania waliowengi ni maskini hawana uwezo wa kununua hata mahitaji muhimu. PPP ya Tanzania inazidiwa na Kenya, Rwanda, Uganda Maswali ya Msingi 1. Wangapi wana uwezo wa kufanya mahemezi ya kila siku. 2. Wangapi...
  10. Mhadhiri UDOM aliyetaka rushwa ya ngono kwa mwanafunzi afunguliwa shtaka la uhujumu uchumi

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Dodoma inatarajia kumfikisha mahakamani Mhadhiri Msaidizi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Jacob Nyangusi (43) na kufunguliwa shauri la uhujumu uchumi kwa kosa la kutaka rushwa ya ngono kinyume cha sheria ya kuzuia na Kupambana na rushwa...
  11. Msimu Huu Baada ya Majanga ya Corona, Covid -19 unatumia kiasi gani kwa Siku?

    Gharama zako za matumizi kwa siku zimekaaje katika kipindi hiki? Mfano chakula, usafiri, matumizi ya simu, vinywaji na kadhalika. Tuchangie mada hii wana jf..
  12. Dkt. Hassan Abass: Pato la Tanzania limekua mara mbili zaidi katika miaka minne ya Rais Magufuli

  13. Mahakama ya Rufaa yabatilisha uamuzi wa Mahakama Kuu kesi ya dhamana ya makosa makubwa

    Katika hukumu iliyotolewa leo tarehe 5 Agosti, 2020, Jopo la Majaji watano wa Mahakama ya Rufani limekubaliana na Serikali kuwa kifungu cha 148(5) cha Sheria ya Mwenendo wa Mashauri ya Jinai ,Sura ya 20 ya Sheria za Tanzania kinachozuia dhamana kwa makosa makubwa ya jinai yakiwemo mauaji...
  14. J

    Dkt. Abbas: Dira ya maendeleo ya 2025 haina sehemu inayoonyesha pato la Nchi kuingia Uchumi wa Kati. WB ndio yenye vigezo vyake

    Msemaji wa Serikali Dkt. Hassan Abbas ametolea ufafanuzi dhana ya uchumi wa kati kwa kusema katika Dira ya maendeleo ya 2025 hakuna sehemu inayoelezea pato la nchi kuingia uchumi wa kati. Dkt. Abbas amesema Benki ya Dunia ndio huweka vigezo vya nchi kuingia katika ngazi hizo. Hivyo amewataka...
  15. Ili tufike Uchumi wa Kati shirikishi tunapaswa kufanya nini?

    Ndugu wananchi, Kama taifa lazima tuwe na dira na Mipango. Marehemu Mzee Mkapa alitamani kwamba ikifika mwaka 2020 ba Pato la Mtanzania liwe limefika USD 3000. Niseme tu kwa wale ambao sio wafuatiliaji wa Mambo kwa sasa GDP per Capita ni USD 1080 Ila tukitumia mfumo wa PPP (Purchasing Power...
  16. T

    Tetesi: Bar ya Forty Forty Tabata imefungwa miezi zaidi ya 3, mmiliki yuko jela kesi za uhujumu uchumi

    Wale wapenzi wa bar maarufu Tabata Bima Junction mtakua mashahidi, hii bar imefungwa zaidi ya miezi 3. Awali watu wengi walidhani labda ni sababu ya Corona lakini sio kweli. Mmiliki wa Forty Forty investments alikuwa ni mmoja wa wahasibu wa wizara ya utalii waliotafuna zaidi ya Billion 4 ambao...
  17. Huduma za simu zinavyoisaidia Tanzania kukuza uchumi wake

    Mashaka Meela, Dar es Salaam Takwimu za uchumi za hivi karibuni zinaonesha kuwa kuna kila sababu ya kuwa na matumaini na hali ya uchumi wa nchi yetu. Kwa mujibu wa makadirio ya hivi karibuni ya Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), uchumi wa Tanzania unakadiriwa kukua kwa asilimia 5.2 kufikia...
  18. Uchumi wa Kati: Waziri Mkuu akisalimiana na bibi Asumin Milanzi huko Ruangwa

    Waziri Mkuu Mh Kasim Majaliwa alikuwa kwenye ukaguzi wa mradi wa kisasa wa kilimo cha mboga mboga. Hawa ndio Watanzania wa uchumi wa kati. Pichani akisalimiana na bibi Asumini ambaye ni mpiga kura wa Ruangwa.
  19. Walinzi nane na wengine 12 wafikishwa Kisutu wakikabiliwa na kesi ya uhujumu Uchumi

    WALINZI nane wa Kampuni ya Ulinzi ya Security Group ya Afrika (SGA) Tanzania Ltd na wenzao 12 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka matatu likiwemo shtaka la wizi na utakatishaji fedha wa zaidi ya Sh bilioni mbili mali ya NMB...
  20. J

    Raha ya Uchumi wa kati ndio hii kila mwanaCCM anataka kwenda Bungeni

    Ni kwamba hakuna anayekubali kubakia nyuma kila mtu sasa anataka kuwa mbunge ili afaidi mema ya uchumi wa kati. Usipochukua fomu za kugombea Ubunge unaonekana ni mshamba au ni mbahiri usiyetaka kuchangia chama. Ngoja tuone kama na kesho foleni ya kuchukua fomu itakuwa ndefu kama ya leo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…