uchumi

  1. E

    Ndege zina umuhimu mkubwa sana katika Sekta ya Usafiri, utalii na uchumi na taifa kwa ujumla

    Habari ndugu zangu, marafiki na watanzania kwa ujumla. Natumai muwazima wa afya tele. Leo nitakwenda kuelezea umuhimu wa ndege katika taifa letu ambalo sasa linatambulika kimataifa na kupewa heshima kubwa sana baada ya kupata Rais mwenye maono na mpenda maendeleo. Kabla sijaanza kuchimba kwa...
  2. Sekta ya Mawasiliano ya simu inavyosaidia ukuaji wa Uchumi Tanzania

    Kwa miaka kadhaa sasa Uchumi wa Tanzania umeendelea kukua na kuiwezesha nchi kufikia lengo la kuwa nchi ya Uchumi wa kati (lower-middle-income economy) ikiwa ni miaka mitano kabla ya kufikia mwisho wa muda iliyokuwa imejiwekea. Huku hili likitokea, Tanzania imejikita katika kuboresha zaidi...
  3. GE2020 Prof. Lipumba (Ndala Nzega Vijijini): Tunahitaji Kuboresha Sekta Muhimu Za Uchumi Na Kilimo

    TUNAHITAJI KUBORESHA SEKTA MUHIMU ZA UCHUMI NA KILIMO."PROF.LIPUMBA" NDALA NZEGA VIJIJINI Historia ya maendeleo ya uchumi duniani inaonesha kuwa maendeleo ya viwanda hutanguliwa au kuambatana na mapinduzi ya kilimo. Ongezeko la uzalishaji na tija katika sekta ya kilimo huongeza upatikanaji wa...
  4. T

    Kwenye uchumi Mzee umejifunga goli, taka usitake

    Tunasifia mafanikio ya ujenzi wa miundombinu mikubwa ila upande wa pili unajua kabisa100% umeharibu na huenda itatuchukua miaka mingi kusimama tena. Naipenda serikali yangu ila kwenye uchumi ndugu zangu figure hazitubebi na kama tungeweka data wazi, walahi huenda mkuu asingekaa kwenye kiti...
  5. Jicho langu la tatu na biashara ya bodaboda

    Hivi karibuni nilipata safari za kutembelea mikoa tofauti tofauti hapa nchini Tanzania, lakini pia nilipata fursa ya kubadilishana mawazo na watu wa kada na makundi mbalimbali, usafiri wangu wa kuniwahisha mahali mara nyingi nilitumia pikipiki ama jina maarufu boda boda, kitu kilichonifikirisha...
  6. GE2020 Prof. Lipumba: Tunahitaji kuboresha sekta muhimu za uchumi na kilimo

    TUNAHITAJI KUBORESHA SEKTA MUHIMU ZA UCHUMI NA KILIMO."PROF.LIPUMBA" MOROGORO  Historia ya maendeleo ya uchumi duniani inaonesha kuwa maendeleo ya viwanda hutanguliwa au kuambatana na mapinduzi ya kilimo. Ongezeko la uzalishaji na tija katika sekta ya kilimo huongeza upatikanaji wa chakula na...
  7. GE2020 Ilani ya CCM 2020: Tanzania bado haijafikia Uchumi wa Kati

    My take: Zile mbwembwe zote kumbe ni danganya toto
  8. Teknolojia ya Kidijitali ilivyo fursa ya kukuza uchumi endelevu Tanzania

    Katika miaka ya hivi karibuni, teknolojia ya kidijitali nchini Tanzania imezidi kukua na kulisaidia taifa hili kuwa moja ya taifa linalokuwa kwa kasi kwenye eneo la teknolojia ya kidijitali Afrika Mashariki. Ni wazi kuwa ukuaji huu umechangia kwa kiasi kikubwa kufungua fursa mbalimbali za...
  9. David Kafulila: Hali ya uchumi wa kati wa Tanzania na rekodi saba za kimataifa zilizowekwa chini ya uongozi wa Rais Magufuli

    ~Na David KAFULILA. email: davidkafulila0@gmail.com 02 Septemba 2020. Julai 1, 2020, ni tarehe itakayokumbukwa katika historia ya Tanzania. Ilikuwa tarehe ya kwanza ya utekelezaji wa Bajeti ya mwisho ya Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Utawala wa Rais JOHN MAGUFULI; na muhimu zaidi, ni siku...
  10. Kifo cha Muammar Gaddafi ni kifo cha Uchumi wa Afrika. Tuna wakati mgumu kuanzisha nguvu za kujitegemea

    Wana JF, Ukisoma makala mengi kuhusu aliyokuwa ametuandalia Ghadafi utagundua kuwa Afrika haiwezi kuungana kujikomboabkutoka kwa mabeberu. Mabeberu wana njia nyingi ya kutufanya tuendelee kuwategemea Anaandika mtia nia mstaafu Pascal Mayalla Tanzania pekee, bara letu lote la Africa. Bara la...
  11. Athari za COVID-19: Australia imekumbwa na mdororo mbaya zaidi wa uchumi tangu miaka ya 1930

    Australia imekumbwa na mporomoko mbaya zaidi wa uchumi katika robo ya kwanza tangu kutokea kwa mdorororo mkubwa kabisa wa kiuchumi duniani wa miaka ya 1930. Hali hiyo inatokana na janga la virusi vya corona, ambapo data zilizotolewa leo zinathibitisha kuwa nchi hiyo inakabiliwa na mdororo wake...
  12. J

    Kwenye mkutano wa ACT-Wazalendo Lindi hakukuwa na Mwananchi mwenye Elfu 10 mfukoni. Halafu tunaambiwa tuna Uchumi wa Kati

    Bernard Membe aliuliza wananchi waliohudhuria mkutano wake kuhusu fedha walizonazo mfukoni. Katika wananchi waliohudhuria mkutano ule wa kampeni hakuna aliyekuwa na shilingi elfu 10 mfukoni mwake. Wakati huohuo serikali inajigamba kwamba tumepanda daraja na kufikia uchumi wa kati. Kwa kweli...
  13. GE2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020

    Lissu niseme wazi leo umegusa maisha ya Watanzania walio wengi. - Bima ya afya kwa Watanzania wote. - Hakuna tena kuibia wafanyabiashara maskini kwa kuwatoa elfu ishirini kila mwaka. - Hakuna tena kukatwa asilimia 15 kisa mkopo. Tutakatwa asilimia tatu tu. - Elimu ya maarifa, kubadili...
  14. Mmiliki wa shule ya Martin Luther jijini Dodoma kawageuza wazazi kitega uchumi, anatakiwa kushitakiwa

    Kwa wakazi wa Dodoma jina Martin Luther sio geni unapozungumzia suala zima la elimu. Ni shule iliyopo eneo la kisasa njia ya kuelekea Dar es Salaam. kwa ujumla shule ina mazingira ya kuvutia kwa muonekano wa nje. Kwa upande wa taaluma pia imekuwa miongoni mwa shule bora mkoani Dodoma ikiwa...
  15. T

    GE2020 Ilani ya CCM 2020: Mkitupa kura ndani ya miaka 5 tutatengeneza ajira milioni 8

    Wajumbe Nasoma hapa ukurasa wa 5 mwanzoni kabisa, kwamba CCM imezamiria kustawisha maisha ya kila Mtanzania kwa kutokomeza umaskini na kuhakikisha taifa linafikia uchumi wa kati ( Kumbe bado hatujafika au wamecopy na kupaste ya 2015 😁😁😁😁 ) kwa kuongeza ajira zaidi ya MILIONI 8 ( 1,2,3 ...
  16. Hii ndio mahana halisi ya taifa lenye uchumi wa kati

    Ndugu zetu wakenya nadhani mna kitu cha kujifuza kutoka kwa kaka yenu Tanzania. Ukiachana na mambo ya corona, this is Dar es salam young Africans the giant football club in east and Central Africa, tafasiri halisi ya timu iliyo kwenye nchi ya uchumi wa Kati.
  17. Mpaka Mwalimu Nyerere anaondoka madarakani, uchumi wa Tanzania ulikuwa ni mkubwa kuliko wa Kenya. Marais waliomfuatia walikwama wapi?

    Kuna shida mahali. Pamoja na watu kumnanga (very incorrectly and unfairly) Mwalimu Nyerere (RIP mzee wetu) kuhusu sera zake za uchumi, inaonekana dhahiri kuwa alikuwa akifanya vizuri zaidi kiuchumi kwa kuchukulia nchi ya Kenya kama benchmark. Nimeichukulia Kenya kama benchmark kwa vile ndiye...
  18. S

    Mwakasaka Boaz: Takataka zinaweza kuleta Maendeleo makubwa nchini Tanzania

    Mwakasaka Boaz ni Msomi na Mtaalamu wa masuala ya Uchumi na maendeleo ya kijamii, Nishati Mbadala na Mtafiti wa kujitegemea Anajua kwamba katika dunia hii sababu kubwa na kikwazo kikubwa cha maendeleo ya kiuchumi na kijamii ni kushindwa kufikiri kwa ufasaha (Accurate Thinking). Leo Tuangazie...
  19. S

    Rais Magufuli amekosea sana kuagiza magari ya kesi za Uhujumu Uchumi yapewe Taasisi za Serikali

    Raisi Magufuli amefanya kosa kubwa sana kuagiza kwamba magari yaliyotaifishwa kuhusiana na kesi za uhujumu uchumi yagaiwe kwa taasisi za Serikali kwa sababu mbili kubwa zifuatazo; Haya magari mengi ni ya zamani sana, zaidi ya miaka 10, na mengi yalinunuliwa kama used vehicles. Wamiliki binafsi...
  20. Mkazo zaidi unatakiwa kuwekwa kwenye Soko la Ndani katika kuendeleza Uchumi

    Rais Xi Jinping wa China ametoa mwito wa kuweka msisitizo kwenye kuunda mtindo mpya wa maendeleo, ambapo soko la ndani na solo la nje yanahimizana, lakini soko la ndani kuwa njia kuu ya kuendeleza uchumi. Rais Xi amesema hili ni “chaguo la kimkakati” kwa China kwenye ushirikiano wa kimataifa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…