uchumi

  1. Je Tanzania bado iko uchumi wa kati wa chini au imeshapanda zaidi kiuchumi?

    Tanzania ilipo panda kwenye viwango vya kiuchumi, watu wote tulifurahi sana, tulitunga nyimbo na mashairi shatashata. Tangu mama ameingia amekuwa akiupiga mwingi sana, pia kwa kuongeza Kodi kwenye mafuta na tozo kwenye miamala ya simu nadhani atakuwa ameboresha sana mfuko wetu wa hazina. Pia...
  2. Biashara Zimestuck na Hali ya uchumi si nzuri...

    Hali ya biashara sio nzuri kabisa...nimeona vitu hivi nikajifikiria sana 1.watu wengi sana wanafungua biashara then soon wanafunga,biashara nyingi zinaigwa 2. biashara ya daladala zimedoda sana mida ya saa tatu hadi saa tisa 3.ugonjwa umechangia sana...watu hawatoki hovyo, nahisi kama...
  3. Rais Samia: Don't rock the boat. Biashara na uchumi vitayumba

    Kwanza nina declare position, Mimi ni mwana CCM. Tena ni mfanya biashara. Zaidi ya hapo nina muunga mkono Mama Samia. Haya matukio ya kisiasa hivi karibuni kibiashara na hatimaye kiuchumi yameleta ukakasi kidogo. Nasema hivi kwa experience ya yaliyonikuta hivi karibuni. Nilipata ahueni sana...
  4. Kama kweli tunataka kujenga uchumi tupunguze bei ya vifaa vya ujenzi

    Asalam-aleikoum Wana-JF, Nimeona nitoe hoja yangu kuhusu maamuzi ya wanasiasa ya kuanzisha tozo kubwa za miamala ya mitandao kwa kisingizio cha kujenga uchumi. Lakini matokeo yake tunayaona, watu wanalia kila kona ni maumivu. Hoja yangu ni kwamba badala ya tozo hizi mpya ambazo ni kuongeza...
  5. Changamoto za kuwa uchumi wa kati ni maumivu ya kodi kuwa juu

    Wakati tunashangilia kuingia Uchumi wa Kati basi ujue Tulikuwa tunashangilia yafuatayo; 1.Nchi kuhama kutoka kupewa mikopo nafuu na ya mda mrefu na kukopeshwa mikopo ya Kibiashara. 2.Kukoma au Kupungua kwa misaada ya wahisani.kama misaada ya kibajeti nk 3.Kuanza kujitegemea kwa kila...
  6. Kenya Vs Tanzania: Wapinzani vs Mbadala kukuza uchumi

    GTs, Hivi wapinzani wetu wataacha lini kufanya mikutano isiyokuwa na tija? Juzi hapa Zitto Kabwe kaitisha kikao cha majungu majungu, yaani mchumi mzima anaongelea eti tulikosea kukabiliana na Corona utadhani yeye mwenyewe hajioni kuwa ni mfaidika wa njia sahihi na bora ya kukabiliana na korona...
  7. T

    Serikali ifanye nini ili uchumi wetu uipiku Kenya na mataifa yenye uchumi mkubwa kuliko sisi?

    Kama inavyojulikana ni kwamba Tanzania ina kila sababu ya kupiga hatua kiuchumi kutokana na mahali ilipo. Hata hivyo mimi nilitarajia baada ya kuachana na siasa za kijamaa huenda tungeanza kuyapiku kiuchumi mataifa mengi yanayotuzunguka na hata yaliyo mbali. Ndipo najiuliza kama taifa tufanye...
  8. SoC01 Maendeleo ndani ya Jamii ni chachu kubwa katika kuinua Uchumi wa Nchi

    Ni Vema tungeanza kwa kutambua maana halisi ya neno MAENDELEO. "Maendeleo ni mabadiliko yanayo onekana kuboresha hali ya binadamu na mazingira kwa ujumla".Kuna ngazi tatu za kimaendeleo; Maendeleo Binafsi,Maendeleo ndani ya Jamii na Maendeleo ya Nchi kiujumla.Aina zote hizi za maendeleo...
  9. V

    SoC01 Uwekezaji wa Vijiji vya kisasa katika kuchochea ukuaji wa uchumi wa nchi na mtu mmoja mmoja

    Utangulizi Tanzania kiuhalisia bado ni nchi ambayo inategemea uchumi wake kukua kupitia vijiji vyake ambavyo shughuli za watu wake wengi hutegemea kilimo. Mbali na kutegemea kilimo zaidi na shughuli zingine, lakini bado vijiji vingine viko nyuma zaidi katika nyanja za kijamii, kiuchumi na...
  10. BRT inahujumu uchumi kwa makusudi

    Sekta ya usafiri hasa wa abiria jijini Dar ilielekea kupata ufumbuzi baada ya Serikali kuwekeza kwenye mradi wa mabasi yaendayo kasi almaarufu Mwendokasi. Kinachoendelea baada ya hapo ni kwa wasimamizi wa mradi huo kuuendesha kama kampuni za Kipemba. Yaani wanafanyabiashara wanapojisikia...
  11. P

    Upandaji wa Mlima Kilimanjaro uboreshwe ili walemavu, wazee na wenye uzito kubwa waweze kufika kileleni

    MLIMA KILIMANJARO Mlima kilimanjaro ni fursa ya utalii inayoingiza kipato kwa Serikali na watu binafsi, lakini pia ni sehemu ya kuimarisha afya kwa mtalii kupitia kutembea, lakini mlima Kilimanjaro bado upo katika Hali ya kubagua wapandaji/watalii sababu mlemavu, wazee na watoto, hawapati fursa...
  12. SoC01 Jiongeze zaidi

    "Mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake",msemo huu uliobeba maana,yamkini unatumiwa na waswahili kufikisha ujumbe kwa watu kua watu wanatakiwa kuishi kulingana na uwezo wao wa kimaisha ulipoishia,lakini kwa upande mwingine tunapaswa kukubaliana kua matumizi ya msemo huu ni sahihi kwa asilimia zote...
  13. Kama moja ya 'Literature' ya Uchumi inasema Masikini na Wajinga ni Muhimu katika 'Economy Stimulation', kwanini tunaupinga Ujinga na Umasikini?

    Katika hili lililo mezani ( nililolileta ) leo GENTAMYCINE nitakuwa Msomaji zaidi wa 'Comments' pamoja na 'Intellectual Arguments' zenu ili nami pia Kichwa changu na Ubongo wangu uimarike kwa uelewa wa Mambo makubwa, mazito na muhimu kama haya. Nataka hasa 'Critical Anaysis' zenu hapa.
  14. Air Tanzania (ATCL) kichocheo cha ukuaji wa uchumi Tanzania

    The Diplomat Air Tanzania (ATCL) ni shirika la umma na limekodishiwa ndege na serikali kutoa huduma kwa wananchi ,na kwa mara kadhaa hasa kipindi hiki cha corona halijatengeneza faida shirika kama shirika lakini faida ya ndege hizi ni kubwa hasa kwenye sekta nyingine za uchumi ikiwemo biashara...
  15. SoC01 Kwanini ELIMU ya juu haitoi mchango kikamilifu kukuza uchumi wa nchi?

    Pamoja na kuongezeka kukubwa kwa wanafunzi wanaojiunga na elimu ya juu, vyuo vyingi vikuu vya Kiafrika havitoi wahitimu wengi, na wengi wao hawana stadi zinazohitajiwa kuinua maendeleo ya kiuchumi ya taifa katika karne ya 21. Kwa hiyo kizuizi kimoja kikubwa katika kukuza uchumi ni maamuzi...
  16. Chanjo, Lockdown, Uchumi na Mitego ya Kiintelijensia: Tanzania ya 2022

    Uwezo wangu wa kisiasa, kiuchumi, na ki-intelijensia ni mdogo sana. Naomba niliweke hili wazi mapema. Sisi ndiyo wale tunaouliza lini "Brazil itacheza na Manchester". Ninachompendea Mama, tofauti na JPM ni tabia yake ya kuwa brief. Hotuba ya Mama usipoiwahi basi utakuta amemaliza. Harudiirudii...
  17. G

    Tozo zote za simu zinapaswa kuondolewa ili kukuza uchumi

    Tozo zote za simu zinapaswa kuondolewa ili kukuza uchumi Kwa mujibu wa taarifa za mtandaoni inakadiriwa kuwa watu zaidi ya bilioni 5 ulimwenguni wanatumia simu za mkononi katika shughuli mbalimbali za mawasiliano. Mbali na kuwezesha mawasiliano huduma za simu zinatajwa kama kichocheo kikubwa...
  18. SoC01 Kijana amka sasa!

    Karibu ndugu msomaji wa nakara yetu hii fupi, ninayo kuletea kwako wewe pamoja na jamii yote kiujumla hasa vijana ambao wanadhani kitokana na hatua hii ya serikali yetu wanaona kama ni kikwazo cha kutimiza ndoto zao hata malengo yao, na kubaki kulalamika bila kuchukua hatua. kwa muonekano huo...
  19. Tusiruhusu Covid-19 iathiri uchumi

    Julai 25, 2021 Wizara ya Afya imetoa muongozo wa kiafya ambao kimsingi haujaangalia ukali wa COVID19 na hali za maisha ya watu mtaani. Eti kinyozi anunue mataulo... ekhe wakati yeye vinyozi tuliozoea hata kubadili wembe ni ishu, hiyo mashine yenyewe kaiunga unga, ya moto hata mwenyewe...
  20. S

    SoC01 Mbinu bora za kujikomboa kiuchumi na kibiashara ili kujiletea maendeleo

    Moja kati ya vitu mahimu sana katika kuinua uchumi wa inchi pamoja na kuleta maendeleo kuanzia kwa mtu mmoja mmoja adi kwa taifa ni biashara, kuna biashara za aina nyingi nyingi kama vile maduka ya vyakula, magenge, nakadhalika. Kila biashara unayoiona, kuijua au kuimiliki usije kamwe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…