uchumi

  1. Uchumi Mamboleo; Timu haijengwi na Washambuliaji Pekee

    Kumetokea Kasumba ya Watengeneza Sera kuwa Wauza Sura na Wapiga Brah Brah; Kama vile walivyo wapiga ramli wanatafuta mchawi kwa kuwaambia wadau makosa ni yao kwa kutokufanikiwa... Wanasema kila kitu ni Biashara kana kwamba vingine vyote havina maana; Yaani hata Timu sababu Mfungaji ndio...
  2. D

    SoC03 Uwajibikaji na Utawala Bora katika Kilimo ni Nyenzo ya Kuinua Uchumi

    Uwajibikaji na Utawala Bora katika Kilimo ni Nyenzo ya Kuinua Uchumi Utangulizi Tanzania, kama nchi inayojivunia utajiri wa rasilimali za ardhi na kilimo, ina nafasi kubwa ya kukuza uchumi wake kupitia sekta ya kilimo. Hata hivyo, ili kufikia mafanikio haya, uwajibikaji na utawala bora katika...
  3. D

    SoC03 Utawala Bora na kukuza ushiriki wa wananchi katika maamuzi ya kijamii na uchumi

    Utangulizi Utawala bora na ushiriki wa wananchi ni mambo muhimu katika kuleta mabadiliko chanya katika jamii na kushughulikia changamoto zinazowakabili wananchi. Utawala bora unaohusisha uwazi, uwajibikaji, haki, na kuheshimu haki za binadamu unaimarisha demokrasia na kuleta ustawi katika taifa...
  4. SoC03 Kuimarisha Utawala Bora Tanzania: Kukuza Uchumi na Ajira kwa Vijana

    Utangulizi Tanzania, kama nchi inayoendelea, inakabiliwa na changamoto nyingi katika kufikia Utawala Bora. Hata hivyo, kwa kuzingatia mabadiliko na utekelezaji wa mikakati sahihi, Tanzania inaweza kufungua fursa mpya za maendeleo katika nyanja zote za kiuchumi na kijamii. Makala haya...
  5. Nchi zenye uchumi imara Africa 2023

    Top 10 largest economies on the continent 2023 1)- Nigeria 🇳🇬 - $477 Billion 2)- Egypt 🇪🇬 - $477 Billion 3)- South Africa 🇿🇦- $406 Billion 4)- Algeria 🇩🇿 - $192 Billion 5)- Morocco 🇲🇦 - $134 Billion 6)- Ethiopia 🇪🇹 - $127 Billion 7)- Kenya 🇰🇪 - $113 Billion 8)- Angola 🇦🇴 - $107...
  6. L

    Uchumi wa China wakua kwa asilimia 5.5 katika nusu ya kwanza ya mwaka huu

    Idara Kuu ya Takwimu ya China hivi karibuni ilitoa takwimu ambazo zinaonesha kuwa, pato la taifa la China katika nusu ya kwanza ya mwaka huu lilikuwa dola trilioni 8.27 za Kimarekani, ambalo ni ongezeko la asilimia 5.5 ikilinganishwa na mwaka jana kipindi kama hicho. Kwa kulinganishwa na...
  7. SoC03 Uchumi wa Buluu Uimarishwe ili Kuboresha Uchumi na Ajira kwa Vijana Tanzania

    Utangulizi Uchumi wa Buluu ni nini? Kwa mujibu wa Benki ya Dunia (“World Bank”), Uchumi wa Buluu ni “Matumizi endelevu ya rasilimali za bahari kwa ajili ya ukuaji wa uchumi, kuboresha shughuli za kujipati kipato, na ajira, huku afya ya mfumo wa ikolojia ukihifadhiwa”. Kwa mujibu wa Kamisheni ya...
  8. SoC03 Uwajibikaji na Utawala Bora: Muhimu katika maendeleo ya uchumi

    Uwajibikaji na utawala bora ni muhimu kwa ajili ya maendeleo ya uchumi na uwekezaji. Uwajibikaji husaidia kuhakikisha kwamba serikali inatumia rasilimali zake kwa ufanisi na kwa manufaa ya umma. Utawala bora husaidia kuhakikisha kwamba serikali ni wazi na inawajibika kwa matendo yake. Kuna njia...
  9. Mbunge Ngassa: Miundombinu ni Uti wa Mgongo Kwenye Uchumi wa Nchi

    ".. Serikali yetu imeweka nguvu kwenye Miundombinu ya uchumi kwa kuwa miundombinu ni uti wa mgongo kwenye kukuza uchumi wa Taifa na mtu mmoja mmoja. Barabara, Umeme, Mawasiliano na Huduma za kifedha ni muhimu sana katika kukuza uchumi jumuishi na shindani..." "...Hivyo tunapoona wakandarasi...
  10. Ripoti Goldman Sachs: China na India zitaongoza Uchumi wa dunia mwaka 2075

    🇨🇳 China: $57 trillion 🇮🇳 India: $52.5 trillion 🇺🇸 United States: $51.5 trillion 🇮🇩 Indonesia: $13.7 trillion 🇳🇬 Nigeria: $13.1 trillion 🇵🇰 Pakistan: $12.3 trillion 🇪🇬 Egypt: $10.4 trillion 🇧🇷 Brazil: $8.7 trillion 🇩🇪 Germany: $8.1 trillion 🇲🇽 Mexico: $7.6 trillion 🇬🇧 UK: $7.6 trillion 🇯🇵 Japan...
  11. Uchumi gani huo unakua wakati Dola inazidi kupanda?

    Uchumi gani huo unaokua na dollar ya Marekani inazidi kupanda tu now 2400 na kitu, Euro 2600 na kitu na pound isharudi kw 3200 uko Jamani hii nchi. Fastest growing economy in the world Kumbe konokono tu against a cheetah😩😩😩
  12. Mbunge Martha Mariki Achangia Milioni 29 Kuinua Uchumi wa Wanawake Mkoa wa Katavi

    MHE. MARTHA MARIKI ACHANGIA MILIONI 29 MAKUNDI YA AKINA MAMA MKOA WA KATAVI ILI KUJIKWAMUA KIUCHUMI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki ameendelea na ziara yake katika Kata mbalimbali za Mkoa wa Katavi huku akikabidhi Shilingi Milioni 29 za kuwawezesha wanawake...
  13. M

    Zanzibari kukataza wanaume kusuka sio jambo la kimaadili ila ni chanzo kipya cha uchumi

    Labda ningependa kuwatafakarisha watanzania wenzangu kwa jambo hili. Hivi tunaweza kutoza shilingi ngapi ili kuruhusu mtu kuzidisha mwendo kasi kwenye barabara za makazi ya watu? Au kumruhusu mtu kukata viungo vya albino? Au kufanya uwindaji haramu kwenye mbuga na bahari? Ninacho jaribu kusema...
  14. Mzee Butiku ana lipi la kushauri kuhusu Uchumi?

    Hili halisemwi sana ila ndo ukweli wenyewe! Moja ya sababu zilizofanya Mwl. Nyerere aamue kung' atuka mwaka 1985 ni kutokana na kufeli kwa Sera zake za kiuchumi hasa za kijamaa. Ilifika kipindi watanzania walianza kuvaa nguo zenye viraka na hata ununuzi wa bidhaa madukani ulifanyika kwa...
  15. Jinsi uchumi wa nchi unavyoathiriwa na biashara ya bodaboda

    Salaam wadau. Leo ningependa kuelezea jinsi gani uchumi wa nchi unavyo/takavyoathiriwa na biashara ya bodaboda. Biashara hii inayokua kwa kasi kila uchao imekua ni kimbilio la vijana wengi wanaotafuta maisha hasa kutokana na ukweli kua ni biashara rahisi isiyohitaji mtaji na nguvu kazi kubwa...
  16. SoC03 Uchumi bora utawala bora

    Mabadiliko katika suala la uchumi ni muhimu sana katika kuleta utawala bora na uwajibikaji katika nchi yoyote. Uchumi imara na wenye kustawi ni msingi wa maendeleo ya jamii na kupunguza umaskini. Nchini Tanzania, mabadiliko katika uchumi yanaweza kuwa chachu ya kuchochea utawala bora na...
  17. Njombe: Wananchi wafunga ofisi ya kijiji wakidai mwenyekiti anahujumu uchumi wa kijiji

    Wananchi wa kijiji cha Ngelenge wilaya ya Ludewa mkoani Njombe wamelazimika kuifunga ofisi ya mwenyekiti wa kijiji chao Bwana Thomas Mkinga wakimtuhumu kuwa anahujumu uchumi wa kijiji huku wakimtaka ajiuzulu kwenye nafasi yake. Frolence Haule ni mmoja wa wananchi wa kijiji hicho ambapo amesema...
  18. TANZIA Dkt. Elineema Kisanga wa UDSM Idara ya Uchumi afariki Dunia

    Dkt. Elineema Kisanga lecturer wa shule ya Uchumi, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam amefariki Dunia Leo asubuhi. Taarifa zinasema kuwa mauti yamemfika akiwa mazoezini, Leo asubuhi ambapo alianguka na kufariki hapo hapo. Kwa wale mliosoma undergraduate, masters na Phd UDSM hope mtakuwa mnamkumbuka...
  19. Naomba ufafanuzi kwa anayetumia majiko haya ya induction je yanafaa kwa uchumi wa kitanzania

    Inasemekana ndio majiko bora zaidi duniani na salama kuliko majiko yoyote yale, kwa anayetumia atujuze kuhusu sisi wanyonge, je yanatufaa?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…