uchumi wa tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. leroy

    Nani Kinara Afrika Mashariki 2026?

    https://youtu.be/KuUO1ItbOUU Habari zenu Wana-JF. Mara nyingi kukiwa na mjadala wa kiuchumi Afrika Mashariki, ubishi unakuwa kati ya Tanzania na Kenya. Lakini vipi tukiziweka nchi tano za Afrika Mashariki (Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, na Burundi) kwenye mizani moja kwa kutumia takwimu za...
  2. Mikopo Consultant

    House of Cards: Je, uchumi wa Tanzania chini ya Rais Samia, upo mbioni kupata anguko kubwa la kihistoria?

    Kwa objective economists na mfuatiliaji wa hali ya kiuchumi ya hii nchi; kwa hapa uchumi wa nchi yetu ulipofikia na mazingira ya kisiasa ya nchi hii, inawezekana kabisa uchumi na mustakabali wa Tanzania, upo hatua moja au mbili nyuma ili kupata anguko ambalo halijawahi kushuhudiwa tangu nchi hii...
  3. leroy

    Video: Makato ya pesa kwa simu: nani hasa analipwa?

    https://youtu.be/1Pg_XCOVYIA Unataka ndugu yako apokee Sh10,000 taslimu, na hana salio kwenye pochi yake ya simu. Kutuma Sh10,000 pekee kunaweza kusitoshe kugharamia kutoa kiasi hicho chote. Tuchukue mfano wa jedwali rasmi la M-Pesa lililoanza tarehe 1 Julai 2025, kwa kutuma kutoka M-Pesa...
  4. C

    Heche: Uchumi wetu unahujumiwa na watu wasiokuwa na maarifa, wezi na mafisadi

    Mwalimu Nyerere alijenga na kuacha misingi yote ya kuinua Uchumi na kubadili maisha ya watu. Mafisadi wanaiba, wanapora na kuacha mamilioni ya watu wakiwa masikini, vijana hawana namna ya kupata ajira kwasababu viwanda na maeneo ya kuajiri vijana yamehujumiwa.. wanafanya haya ili wao na familia...
  5. instinct desire

    Kama CHADEMA walilipwa ruzuku zote bil. 2.7 na Lissu akalipwa madai yake yote na Mh. Rais Dr. SSH na bado wamehujumu uchumi wetu hivi hawa ni wenzetu?

    Mara baada ya Mh. Rais Dr. Samia Suluhu Hassan kuingia madarakani aliwalipa chadema kiasi cha bil. 2.7 ambazo ni malimbikizo ya ruzuku ambazo before walikuwa wamezira, Pia akalipa mamillion ya kiinua mgongo na Hela za matibabu alizokuwa anadai Tundu Lissu lakini chaajabu CHADEMA wamekuwa...
  6. ChoiceVariable

    Uchumi wa Tanzania Wafikia GDP ya $ 92 Bilioni mwaka 2025. Mbioni kuvuka $ 100 Billion Kwa mara ya kwanza Hapo 2027

    Nawakumba tuu wakati SSH anashima madaraka alikuta Uchumi uko $ 69 Bilioni lakini miaka 5 baadae tunaenda kuvuka $ 100b mwaka 2027 sawa na ongezeko la $ 30B ndani ya kipindi Cha miaka 5 tuu. Ndio kusema Hadi 2030 Kuna uwezekano mkubwa wa kufika $ 130 B ambapo atakuwa amekuza Uchumi Kwa kiwango...
  7. Anti-tozo

    Uchumi wa Tanzania

    Ukisikia uchumi wa hili taifa unakuwa inabidi utafakari na kunywa maji mengi sana maana dah!
  8. Roving Journalist

    Wasira: CCM Itahakikisha Uchumi Wa Tanzania Unaendelea Kuwa Imara

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema CCM inalenga kuhakikisha uchumi wa Tanzania unakua kwa asilimia saba ifikapo mwaka 2030, huku ukichochea ongezeko la kipato na kuboresha maisha ya wananchi. Wasira amesema hayo leo (Agosti 21,2026) wakati...
  9. K

    Uchumi wa Tanzania unakua, Lakini maisha ya Mwananchi yameboreka?

    Mara nyingi tunasikia taarifa kuhusu ukuaji wa uchumi, ongezeko la uwekezaji na maendeleo ya miundombinu nchini. Hata hivyo, baadhi ya wananchi bado wanaendelea kulalamikia gharama za maisha, bei za bidhaa na changamoto za kipato. Je, ukuaji wa uchumi unaonekana moja kwa moja katika maisha ya...
  10. H

    Serikali imesema uchumi wa Tanzania unaendelea kuimarika, ikichangiwa na uwekezaji katika sekta madini, gesi, nishati, kilimo na miundombinu

    Serikali imesema uchumi wa Tanzania unaendelea kuimarika na kwamba uwekezaji katika sekta mbalimbali, hususani madini, gesi, nishati, kilimo na miundombinu, unatarajiwa kutoa msukumo mkubwa kwa ukuaji wa uchumi. Hayo yalielezwa na Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), wakati...
  11. M

    David Kafulila: Hayati Benjamini Mkapa aliweza kuukuza Uchumi wa Tanzania na kuwa karibu sana na wa Kenya | Endelea kupumzika kwa amani Mzee Mkapa

    SEHEMU YA KUMBUKUMBU YA RAIS MKAPA: MIAKA 6 TANGU ATUAGE Anaandika Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), Bw. David Kafulila, kupitia mtandao wa X. Na David Kafulila Julai 24, 2026 Kwa mujibu wa takwimu za Shirika la Fedha Duniani (IMF), ukubwa wa...
  12. instinct desire

    Nashauri mchakato wa katiba mpya uanze 2030s kwasasa tujenge kwanza uchumi wetu otherwise ni kuchezea hela

    Kuna watu wakishaona Tanzania imeanza kujijenga kiuchumi basi nao wanaanzisha program za kula ili mradi watu wasipate ajira, MIRADI ya maendeleo isiwepo, watumishi wasiongezewe mishahara, ili wapate hoja ya kulalamikia. Nadhani kwa mtu anayejua athari za wale panyaroad wa chadema hawezi...
  13. S

    Ndani ya miaka 10, uchumi wa Tanzania utaimarika sana kutokana na uwepo wa graphite, nickel, rare earth elements, helium, uranium, dhahabu na CNG

    CHADEMA nataka niwape sababu mojawapo kwa nini CCM katika kipindi hiki hawatakubali kwa njia yeyote kuachia madaraka. CCM wanajua sana kwamba ndani ya miaka 10 ijayo, uchumi wa Tanzania unaweza kufikia kiwango cha nchi kama Afrika Kusini na kina Misri. Na hili linatokana na kwamba ndani ya...
  14. maiko sultan

    Tanzania iko mbioni kupata mkopo wa takribani TZS trilioni 1.165 kutoka Shirika la fedha duniani (IMF)

    Tanzania iko mbioni kupokea mkopo wa takriban shilingi trilioni 1.165 kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), baada ya Bodi ya Wakurugenzi ya shirika hilo kukamilisha tathmini ya mwisho ya utekelezaji wa programu za mageuzi ya kiuchumi nchini. Fedha hizo zitatolewa kupitia Mpango wa Mkopo...
  15. Mkalukungone Mwamba

    Katambi: Tujitenge na uhalifu na tuwakatae wanaohamasisha vurugu na vitendo vya kuharibu uchumi wa Tanzania

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi amesema hali ya nchi ni salama akiwashukuru Watanzania kwa kutunza amani. Waziri Katambi ameyasema hayo alasiri ya leo Jumanne, Julai 7, 2026 baada ya kujionea hali ya usalama wa jijini Dar es Salaam ikiwa ni kufuatia tishio lililokuwa likisambaa...
  16. dr namugari

    Natabiri uchumi wa Tanzania utashika kwa kas ya 4 g 2027

    Nikitumia concept ndogo sna ya kiuchumi ya money supply na inflation Kwa bahat mbaya sna serkali hii katili imeshindwa kudhibiti mfumuko wa bei sas kitacho tokeaa by 2027 serkali itadondoka siyo kwa sabbu ya upinzani bali kwa kishindwa kuzibiti uchumi hal itakuwa mbaya sna hakuna mtu atatak...
  17. Fbn

    MaSwali ya kichokonozi: Bwawa la Nyerere ? umeme toka Ethiopia? uchumi wa Tanzania umezidi kuliko USA

    Naomba kujibiwa haya maswali.Ila kubwa zaidi bwawa la Nyerere ?.
  18. Hamissi Hamza Jr

    Tathimini ya uchumi wa Tanzania 2026 - 2030

    Wakuu Za Wakati Huu Na Hongereni Na Majukumu Ya Ujenzi Wa Taifa Letu". Awali ya Yote Sijajua washauri wa Uchumi Wa Taifa kwa Madam President ni kinani?ila Binafsi naona Move Tuliochagua Kama Taifa Sio sahihi Hasa Kuegemea Zaidi Upande wa China na Urusi kwasababu 1.China Ni Wazee Wa Loans Na...
  19. K

    Nyerere angewasikiliza Mtei na Kambona uchumi wa Tanzania ungekuwa mkubwa sana

    Nyere alishidwa sehemu moja tu kwenye uchumi. Wakati wa nyerere Tanzania ilikuwa masikini na hakufanikiwa kuja na suluhu ya maana. Sera na maazimio yake hayakufanikiwa ndiyo maana hadi leo Kenya nchi ndogo zaidi imetuzidi uchumi. Kuna watu wawili ambao angewasikiliza tusingekuwa hapa Edwin...
  20. The Burning Spear

    Uchumi wa Tanzania unaangamia kwa siasa za uchawa

    GT. Na Malisa. Wakati wa Magufuli IMF ilitoa takwimu kwamba GDP per capita yetu imepanda hadi $2,400 na tukaingia kwenye orodha ya nchi za uchumi wa kati (Lower middle Income). Leo IMF haohao wametoa takwimu kuwa GDP per capita imeporomoka hadi $1,300. Nini kimetokea? Wakati ule tumeingia...
Back
Top Bottom