uchimbaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Uchimbaji wa dhahabu katika mito

    Habari! Nataka kuingia kwenye biashara ya utafutani madini ya dhahabu lakini sio kwa kuchimba bali kwa tutafuta kwenye mito (alluvial gold). Naomba kujua ni mito ipi ina ile dhahabu ya mchanga? Na kijiji kipi? Na gharama/utaratibu wa kujiunga na wachimbaji wadogo ni kiasi gani na utaratibu upoje?
  2. H

    Watoto wetu wasikatishe masomo kwa sababu ya uchimbaji madini. Tuwahakikishie elimu itakayowawezesha - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Watoto wetu wasikatishe masomo kwa sababu ya uchimbaji madini. Tuwahakikishie elimu itakayowawezesha kuendelea kujipatia kipato hata baada ya machimbo kuisha, ikiwemo kufanya biashara ya madini ndani na nje ya nchi. ๐ƒ๐ค๐ญ. ๐Œ๐ฐ๐ข๐ ๐ฎ๐ฅ๐ฎ ๐๐œ๐ก๐ž๐ฆ๐›๐š ๐˜ž๐˜ข๐˜ป๐˜ช๐˜ณ๐˜ช ๐˜”๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ถ ๐˜ธ๐˜ข ๐˜›๐˜ข๐˜ฏ๐˜ป๐˜ข๐˜ฏ๐˜ช๐˜ข ๐Ÿ—“๏ธ Novemba 11, 2026 ๐Ÿ“ Segese...
  3. A

    KERO Mazingira magumu ya Kazi ya Watumishi wa Idara ya Uchimbaji walitokea RUWASA na kwenda ofisi za Bonde

    MAZINGIRA MAGUMU YA UTENDAJI KAZI YA WATUMISHI WA IDARA YA UCHIMBAJI WALIOTOKEA RUWASA NA KUHAMISHIWA OFISI ZA BONDE. Watumishi wa Idara ya Uchimbaji tuliokuwa ofisi za RUWASA kutoka mikoa mbalimbali tulipatiwa barua za kuhamishiwa katika ofisi za Mabonde kama Bonde la mto Rufiji, Bonde la mto...
  4. Hivi kwa nini serikali yetu pale wananchi wakijiwekea biashara shughuli au uchimbaji mnaingilia na kusingizia muwekezaji.

    Wakati wananchi wanajitafuta mfano wameona hapa wafanye biashara zao au mambo mengine na ilo eneo cha kushangaza wala serikali ijahusika. Baada ya mda unaona serikali imeingilia ilo eneo na kuanza kupangia watu,kufukuza watu kwa kisingizio cha muwekezaji. Leo hata mkianzisha sehemu ambapo...
  5. H

    Mwigulu asisitiza umuhimu wa kurasimisha taratibu za ushirikiano katika shughuli za uchimbaji wa madini

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesisitiza umuhimu wa kurasimisha taratibu za ushirikiano katika shughuli za uchimbaji wa madini kwa kutumia mikataba rasmi, akisema hatua hiyo itasaidia kuweka wazi makubaliano ya pande zinazohusika na kuzuia migogoro. Ametoa kauli hiyo wakati akizungumza...
  6. M

    Wizara ya Madini ya Tanzania imefuta leseni za uchimbaji za mradi wa grafiti wa Bunyu unaomilikiwa na Volt Resources, ambazo ni ML 591/2018 na ML 59

    Wizara ya Madini ya Tanzania imefuta leseni za uchimbaji za kampuni ya Volt Resources kwa mradi wake wa grafiti wa Bunyu, ambazo ni ML 591/2018 na ML 592/2018. Volt Resources (ASX: VRC) imethibitisha kupokea taarifa rasmi kutoka kwa Wizara ya Madini kuhusu kufutwa kwa leseni hizo, jambo ambalo...
  7. Kwa mtu yeyote anayehitaji kushirikiana katika uchimbaji wa dhahabu

    Wadau,ni kwamba tunatafuta mtu wa kushirikiana nae katika uchimbaji wa dhahabu,maana yake ni kwamba,tumefikia hatua tumeishiwa lasilimali fedha,kwaiyo tunatafuta mtu atakae kuwa tayari kutuunga mkono ili tufike kwenye uzarishaji. Atakae wiwa kushirikiana na sisi anakaribishwa kutembelea site na...
  8. N

    Nina leseni ya uchimbaji wa madini natafuta mwekezaji ambaye hana tupige kazi

    Wakuu anayehitaji leseni ya uchimbaji madini aje tupige kazi atakuwa ananipa 30% ya kitakachopatikana
  9. Uchimbaji Visima Tanzania: Bei kwa Kila Mkoa

    Tunachimba visima virefu na vifupi mikoa yote: ZIFUATAZO NI GHARAMA ZA UCHIMBAJI KILA MKOA Dodoma -mita moja tunachimba 80,000 na survey tunafanya kwa 400,000 Arusha-mita moja tunachimba 120,000 na survey tunafanya kwa 600,000 Kilimaniaro-mita moja tunachimba 130,000 na survey tunafanya kwa...
  10. A

    KERO Rukwa: Hatma ya Watumishi wa RUWASA waliokuwa Idara ya Uchimbaji haijulikani

    Watumishi wa RUWASA ambao tulikua kitengo cha uchimbaji mpaka leo hatuelewi hatima yetu ni nini, kwani toka tusikie kwamba Idara ya Uchimbaji imeondolewa RUWASA na kupelekwa Ofisi za Bonde, na mashine zote za uchimbaji kukabidhiwa ofisi za Bonde, na ikisemekana kwamba baadhi ya Watumishi itabidi...
  11. A

    Wakazi wa maji chumvi walia na uchimbaji haramu wa mchanga unaotishia kuangusha nyumba zao

    Wakazi wa Majichumvi Mtaa wa Tembomgwaza-Kimanga, wilayani Ilala jijini Dar wamefunua vinywa vyao kulalamikia uchimbaji haramu wa mchanga pembeni ya Mto Luhanga unaofanywa na vijana, hivyo kusababisha mmomonyoko unaohatarisha kuanguka kwa nyumba zao. Kwa mujibu wa baadhi ya wakazi wa eneo hilo...
  12. M

    Naombeni misaada kwa wanaojihusisha na uchimbaji wa madini

    Habari wa juu Nimekuja hapa kwa lengo moja tu natafuta mtu wa kunishika mkono anayejihusisha na mambo ya madini Mimi ni kijana wa miaka 26 nipo Dar es Salaam Lengo la kuja hapa ni kuomba kama kuna mtu anayejihusisha na maswala ya madini anasehemu ambayo anafanya uchimbaji ambayo anahitaji...
  13. J

    David Kafulila: Sijawahi kuona Rais aliyefuta leseni za uchimbaji madini 2,600 kwa mpigo na kuwapa vitalu hivyo watoto wa masikini

    WACHIMBAJI WADOGO WAGEUKA NGUZO YA SEKTA YA MADINI TANZANIA. Na Mwandishi Wetu, Katika historia ya sekta ya madini nchini, wachimbaji wadogo mara nyingi walionekana kama sehemu isiyo rasmi, inayochangia kwa kiwango kidogo katika pato la taifa. Lakini chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu...
  14. 0678955834 uchimbaji wa visima mashambani na majumbani

    Tunachimba visima virefu na vifupi mikoa yote: ZIFUATAZO NI GHARAMA ZA UCHIMBAJI KILA MKOA Dodoma -mita moja tunachimba 80,000 na survey tunafanya kwa 400,000 Arusha-mita moja tunachimba 120,000 na survey tunafanya kwa 600,000 Kilimaniaro-mita moja tunachimba 130,000 na survey tunafanya kwa...
  15. Polepole: Rostam Aziz ndiye anayeendesha biashara ya uchimbaji na usafirishaji wa makaa ya mawe

    Wakuu kuna MTU aliwahi kusema TUNDU LISSU Alikamatwa Kwa maelekezo ya ROSTAM AZIZ mara baada ya TUNDU LISSU kugusia Usafishaji wa kimagendo wa Makaa ya Mawe na Madini ya Uranium Tani Kwa matani kwenda nje ya Nchi . Humu JF pia Kuna mdau aliandika kua Madini haya yamekua yakisafirishwa Kila...
  16. V

    Mambo ya kuzingatia kabla hujachimba kisima cha maji cha kisasa

    Je unahitaji kuchimba kisima cha maji safi na salama cha kutoboa mwamba mambo yafuatayo ni ya kuzingatia kabla hujachimba โœ…jambo la kwanza fanya geophysical survey survey kubaini eneo lako lina maji na yako umbali gani kutoka uso wa dunia sababu gharama ya kuchimba kisima ni kwa mita moja kila...
  17. Gwajima aelimishwe juu ya wajibu wa Jeshi la polisi wa kulinda usalama wa raia, mali na makazi na sio ujenzi wa barabara au uchimbaji visima vya maji

    Afundishwe vyema pia kwamba hakuna namna nchi inaweza kuacha jambo muhimu sana kama la ulinzi wa Taifa, watu, mali na makazi yao likafanywa na makampuni binafsi ya ulinzi, kwasababu tu eti jeshi la polisi liko na shughuli au tenda nyingi za ujenzi wa barabara na uchimbaji visima vya maji...
  18. V

    Watu wengi wanataka kufahamu gharama za uchimbaji kisima Cha kisasa

    Wadau wengi Sana wanakutana na changamoto ya maji katika MAENEO yetu na wengi wanatamani sana kuchimba kisima Cha kisasa ila hawajafahamu gharama na taratibu zake โœ…Taratibu ya kwanza ni kufanya survey kitaalam inaitwa geophysical survey yaan mtalaam kuja eneo lako kujua Je maji yanapatikana na...
  19. A

    DOKEZO Serikali inavyoibiwa Kodi kwenye Vilemu vya Uchimbaji Madini (hasa Malera, Nyamongo) Ofisi ya Madini ikihusika moja kwa moja!

    Kumekuwa na utaratibu wa kikodi wa kiholela sana unaocha mianya ya rushwa ya wazi kabisa kwa Ofisi ya Madini hasa kwa eneo nililolitaja, nadhani utaratibu huu unatumika kote nchini, hapa wilaya ya Tarime, Mkoa wa Mara. Mwishoni nitatoa pendekezo langu juu ya nini kifanyike namna nzuri ya...
  20. Je katika mkataba huu wa uchimbaji Helium nchini, tuko serious kweli?

    Leo nmekutana na habari kuhusu Tanzania kuingia mkataba wa uchimbaji Helium, kwamba Tanzania tutapata 17% tu huku mwekezaji akipata zaidi ya 83% Nikiangalia kiundani mkataba huu wa Helium One (Southern Rukwa, Tanzania) na Serikali ya Tanzania kuhusu uchimbaji wa helium katika eneo la Southern...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ